Taharuki makaburi 19 yakibomolewa na wasiofahamika Tabora

  Рет қаралды 1,919

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

8 күн бұрын

Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu wasiofahamika wameyavamia na kuyavunja makaburi 19 yaliyopo Mtaa wa Magubiko kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora, huku tabia hiyo ikitajwa kuwa imekuwa ya ikijirudia kwa matukio tofauti yanayofanana na hilo.
Alexander Ntonge aliyezika ndugu yake hivi karibuni, amesema yeye alipigiwa simu kuwa umetokea uharibifu wa kuvunjwa makaburi na kwamba kaburi la babu yake limebomolewa.
Peter Kubingwa ni mwenyekiti wa mtaa wa Magubiko kata ya Kiloleni amesema vitendo hivyo ni vya kusikitisha.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema: “Nimepata taarifa za makaburi kuvunjwa na watu ambao hawajafahamika, tayari uchunguzi unaendelea ili tuwabaini waliofanya uhalifu huo na kisha hatua kali dhidi yao zichukuliwe.”

Пікірлер: 5
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 2 сағат бұрын
Cha msingi wasijengee ili wakose cha kuiba
@JohnnyCheyo
@JohnnyCheyo 12 сағат бұрын
Mungu awasamee
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 14 сағат бұрын
😢😢😢
@AshaMwamba
@AshaMwamba 14 сағат бұрын
Wanauza vigaya
@lucykebacho3446
@lucykebacho3446 14 сағат бұрын
Makubwa kuliko
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 128 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 120 МЛН
KCMC wafunguka wanavyohangaika kumtafuta muuguzi aliyetoweka
7:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,8 М.
Kiongozi CCM amvaa Mbowe kauli ya kutaka watu waandamane kama Gen Z
5:35
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН