THE CLASSIC MASANJA PART 2 EP 1:NILIFUKUZWA ZAIDI YA MARA NNE SIKUKATA TAMAA/IMANI ZA WAGANGA

  Рет қаралды 35,617

KuviFacts

KuviFacts

6 ай бұрын

Kama maombi ya wengi yalivyotaka Masanja Mkandamizaji amerudi tena kwa mara ya pili katika meza ya The Classic akiendelea kutupa simulizi kali na za kusisimua juu ya maisha yake ya sanaa na menginge nje ya sanaa kiujumla,episode Masanja anaeleza namna alivyokutana na vizingito vizito kila alipofanikiwa hatua moja lakini hakukata tamaa kabisa na kusonga mbele

Пікірлер: 61
@ombenikija
@ombenikija 6 ай бұрын
Aisee ahsante sana kaka Jabir kumrudisha mwamba. Best storyteller huchoki kumsikiliza
@shexnkole4684
@shexnkole4684 6 ай бұрын
Nilichojifunza ni kuwa kama una kitu kikubwa kwenye maisha utakutana na mapingamizi mengi ambayo yanaweza kukukatisha tamaa... Kikubwa ni kufocus na kukokata tamaa.... Kujiamini kwa kile unachokifanya kutokuruhusu kukata tamaa Wala kukatishwa tamaa....
@user-lr8vm9yd4l
@user-lr8vm9yd4l 6 ай бұрын
Kuna funzo kubwa sana hapa, shukran brother masanja kwa kushare hii, shukra pia Brother Jabir kwakuandaa hiki kitu
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
Pamoja sana kaka
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 6 ай бұрын
Masanja kula jasho lako umepambana saaaaana
@kijanisaini5688
@kijanisaini5688 6 ай бұрын
Siku Muite king 👑 kiba Pia alichenji upepo wa bongo flavor nakumbuka album nyimbo16 zote zili hits Sana nakumbuka mack muga ilihit miaka3,Kiba nalia,naks,cndelela,nchumu njiwa nazingine nyngi haijawah tokea had leo
@josephfarajamagnifico5586
@josephfarajamagnifico5586 6 ай бұрын
Hajaweza kubadili upepo wa bongo fleva, amefanya vizuri tu. Wewe ni mapenzi yako yanakuendesha
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 6 ай бұрын
Maaisha bana masanj zamani alikua mzee saivi kijana😂😂😂
@richardmaxwell3991
@richardmaxwell3991 6 ай бұрын
Binafsi nimeongeza heshima kubwa after kusikia interview ya Masanja, vile tunavyowafahamu hawa mastaa ni tofauti na kitu wamepitia. respect to Masanja
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 6 ай бұрын
Masanja acha ale pesa yake kwakweli😂😂😂😂
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 6 ай бұрын
🇰🇪 Napenda Masanja alivyopaa real
@rashidally7285
@rashidally7285 5 ай бұрын
Masanja hakika umepambania sana sanaa Yako bila kuchoka mungu akutie nguvu nimewahi kukuona mara mbili kaka lakin huwez Amin nilikua naogopa hata kukusalimia kaka nilihofia utanitoa nishai mara ya kwanza Biafra kwa white 2015 mara ya pili ilala ofisin kwa mkuu wa mkoa zote broo nilikua nakuogopa hta kukusemesha lakin moyo wangu hakika ulifarijika sana Kila nilipokuona I hope one tutaonana tena much respect nimejifunza kitu Toka kwako Kuna mastaa nilikua nawaona halafu wakawa wanavungia ndio chanzo Cha uoga
@thomasbarabonamubondo9218
@thomasbarabonamubondo9218 6 ай бұрын
Nilikua namuheshimu Ila nmemuheshimu zaidi. Big up
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 6 ай бұрын
Oya Kuvi Naomba Mlete Masanja Tena
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 6 ай бұрын
masanja arudi tena
@judithmaghembe2530
@judithmaghembe2530 6 ай бұрын
Haichoshi kusikiliza….very interesting and motivating👏🏼👏🏼🔥
@ricchjamez
@ricchjamez 3 ай бұрын
Very interest story big shut out masanja 🤏
@mustapherabel8471
@mustapherabel8471 6 ай бұрын
Safi sana motivation kwa sisi vijana kipind kizuri sana
@mzansitv714
@mzansitv714 6 ай бұрын
Nipo nawafuatilia, kiukweli stori ya Masanja inatufunza mengi.
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 6 ай бұрын
Nahisi masanja ndo jamaa ambae nkimuangalia ,siwezi kujikaza😂😂😂
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 6 ай бұрын
Maisha ni safari yenye mabonde,Milima,Vichaka na Misitu minene🎉🎉🎉
@immabahatiimmabahati2373
@immabahatiimmabahati2373 6 ай бұрын
Tisha sana
@JustinMapper
@JustinMapper 6 ай бұрын
Masanja is a very good storyteller aisee...🔥🔥🔥
@KIPEPE19
@KIPEPE19 6 ай бұрын
MASANJA IS HELLA FUNNY 😂😂😂😂😂
@voisaclassic1866
@voisaclassic1866 6 ай бұрын
Story ya masanja ukiwa huna akili utaona anachekesha ila kiukweli ina somo kubwa sana kwenye maisha ila kiufupi tu kila mtu aamini anachofanya bila kujali watu wanasema nini
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 6 ай бұрын
Safi sana jabiri bonge la pindi hili keep moving
@johnluyego9353
@johnluyego9353 5 ай бұрын
That is Masanja. Mungu ni wetu sote, katika maisha lazima kukaza. Asante kwa interview nzuri
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 6 ай бұрын
Finally umetundea haki, Ahsanteeee Sana Jabir
@KuviFacts
@KuviFacts 6 ай бұрын
Pamoja sana
@williammbwambo747
@williammbwambo747 5 ай бұрын
Umasikini ni mzuri kuuelezea ukiwa na Pesa😂
@bettymwigune8150
@bettymwigune8150 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@ElizaYanga
@ElizaYanga 3 ай бұрын
Kwel
@sallynemsi6560
@sallynemsi6560 6 ай бұрын
Tunafunga n kufungua mwaka n mkandamizaji😂😂😂
@ahaditaifa4639
@ahaditaifa4639 6 ай бұрын
Mlete tena part 3
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 5 ай бұрын
Kweli penye nia pana njia big up masanja mkandamizaji, adi machozi yamenilenga
@user-qu2uw9jj6z
@user-qu2uw9jj6z 6 ай бұрын
watu wanayoka mbali sana
@weeknd_places
@weeknd_places 6 ай бұрын
Umetisha kuvichaka..🔥🔥
@kagirasta1476
@kagirasta1476 6 ай бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkubwa sana
@ticianmarando9027
@ticianmarando9027 6 ай бұрын
kuvichaka arudi huyu hajamalizia episodes
@user-rw5hh6ip8z
@user-rw5hh6ip8z 5 ай бұрын
Tunaitaji mwendelezo wa hiyo story ni nzuri sana
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 4 ай бұрын
🙏🙏👍
@beatricethomson4020
@beatricethomson4020 5 ай бұрын
Masaja ongera sana kwa uvumilivu
@NguyaPlanB-wn3yy
@NguyaPlanB-wn3yy 5 ай бұрын
Aludi tena bhn
@PAPRATZ
@PAPRATZ 5 ай бұрын
Watching this from USA best interview
@georgenathanael
@georgenathanael 4 ай бұрын
Umejua kuni-inspire masanja
@selemanimsangi7805
@selemanimsangi7805 6 ай бұрын
Nakumbuka Historia yake niliisoma kupitia Jarida la Fema mwaka 2010 nimekuja kugundua vitu vingi mwandishi aliviskip ila kupitia hii interview nimepata Madini yakutosha....
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 6 ай бұрын
Daah jarida la fema, kitambo sana
@mathewben9983
@mathewben9983 5 ай бұрын
Enz ya Sekondari 2008 iv
@user-hd9xi3om2y
@user-hd9xi3om2y 5 ай бұрын
❤❤❤
@salumjumah5648
@salumjumah5648 5 ай бұрын
Mzee wa kuv mkandamizaji aje tena😅😅😅😅
@Eng2460
@Eng2460 6 ай бұрын
finally🙌🙌
@selemanimsangi7805
@selemanimsangi7805 6 ай бұрын
Ila Bado tunamuhitaji another round ili tujue akina mpoki waliingiaje ingiaje humo.
@baritazarstanley9608
@baritazarstanley9608 6 ай бұрын
I don't usually write but wageni wako wote hakuna hata mmoja kamzungumzia Cool James "Mtoto wa dandu". People should get to know about this guy
@mikelmweuc9619
@mikelmweuc9619 6 ай бұрын
Hao jamaa ni kisimple na hazintoshi wahenga tu ndio tunawajua🤣🤣
@JumaSalehe-kg6uq
@JumaSalehe-kg6uq 6 ай бұрын
Haha wanatumia majina gani Instagram?
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 5 ай бұрын
Sanjaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@antonyyohana6148
@antonyyohana6148 6 ай бұрын
Kuvichaka Mtafute Jay Moe na Soggy Dog hanta hawa Jamaaa ni Noma wanajuwa kuongea na wana story nyingi kuhusu Music
@user-bc7up2qt1l
@user-bc7up2qt1l 6 ай бұрын
Brother J .tumpate wakuvanga
@pangapower688
@pangapower688 5 ай бұрын
😂😂
@josephatmtweve6534
@josephatmtweve6534 5 ай бұрын
Mdimi uko poa
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 11 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45