Video na Audio hizi zinahusu Matukio, Mafundisho na Mahubiri Yaliyotolewa Katika Ibada zinazofanyika UDSM CCT Chaplaincy (CCKD)
Пікірлер: 778
@davidmisiwa4622 Жыл бұрын
Kama unampenda na kumkubali huyu mchungaji Kwa huduma yake gonga like kisha SEMA neno kwake
@odanmmbaga98068 ай бұрын
Safi SANA 😊
@user-js6qv9eu6q8 ай бұрын
Hata mimi na muelewa sana huyu kiongozi,
@helenadoramtera18138 ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu
@timothybarasa85692 ай бұрын
@oda😂😂😂y😂😂😂nmmbaga9806
@agnerambena8457 Жыл бұрын
Mchungaji uko vzr, unatuondolea stress baba Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani
@mossyfimbo35778 ай бұрын
Mungu Baba akujalie maisha marefu uzeeke kwa Neema na Rehema na kuhubiri Neno la Bwana mpaka siku yako ya mwisho ya maisha yako haya yoote nayaomba kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo
@davidwainaina3899 Жыл бұрын
Asante mchungaji 💯 God bless you mtumishi I'M from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✝️✝️🇰🇪 ✝️✝️✝️✝️ amen amen amen amen
@samwelcharo81514 ай бұрын
God bless u pastor, I'm samwel from kenya
@happyrange62593 ай бұрын
Barikiwa sana Mchungaji. Mungu atukuzwe kwa karama aliyokupa ya kuielewa biblia na kuhubiri.
@user-mm3zc2pe9i8 ай бұрын
mtumishi wa mungu..umefariji sana moyo wangu.ubarikiwe
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Noma sana,,Mzee Biblia kaiweka kichwani yote..
@mariachisunga1095 Жыл бұрын
Mahubiri sahihi kwa wakati sahihi ... Hii ndio vijana wanataka kuskia na watu woote wa dunia hiii... Barikiwa Baba hananja nakupenda
@EmanuelynyansiluNyasilun-bb2zeАй бұрын
Mahubili 0:00
@joshuanjoroge2274 Жыл бұрын
Namekusikiza for the first time but you have made me feel blessed and I have just loved you. Church is place of Joy
@anthonyassenga236510 сағат бұрын
thank you glory to god piga subsribe uweze kunifutilia mtu wa Mungu
@exaudlyimo3459 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji, nimebarkiwa sana na mahubiri yako. Karibu sana Usharika wa Mwika Moshi.
@lilaccalmlife Жыл бұрын
Whoever is reading this, I pray for you that God visits your home today with Healings, blessings, and Miracles. Amen💞
@jofreylukumay9462 Жыл бұрын
Amina
@Gladness6822 ай бұрын
Ameeeeeeen❤❤
@evodiusandrew9713 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mchungaji Hananja unafundisha,unachekesha na unahubiri respect kwako
@walterrotich29624 ай бұрын
😢God bless you
@constantinennonjela3922 Жыл бұрын
Baba Mungu aendelee kukubariki mafundisho yako yanauchoma Moyo wangu na yanaubadili sana
@peterkilawe8212 Жыл бұрын
Namkubali sana askofu
@kaleshkov4777 Жыл бұрын
Nabarikiwa na maubiri yako
@joycekimaro4340 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri na pia unatufurahisha sana chakula na mboga bwana hakika ww sio mchungaji wa bahati mbaya ni Mungu alikuchagua penda sana ww Mungu akutunze na kimo chako
@evaristbamfu7149 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukubariki na kukutumia kwa kazi yake takatifu. Unalijua neno. Ubarikiwe sana Baba
@katekabugua856 Жыл бұрын
for the first time in a while I have watched a full sermon nimependa sana mafunzo sitachoka mpaka Yesu afanye jambo. 🇰🇪
@angeluskapinga2255 Жыл бұрын
Mchungaji anaujumbe. Hayo do mahubiri na anaonyesha kuinua Biblia vilivyo sio kwa kukariri ila kuitumia katika maisha halisi ya mtu. Abarikiwe sana.
@denisngainemunene5947 Жыл бұрын
Mungu akubaliki muchungaji
@luicehizza7349 Жыл бұрын
Huyu mchungaji natamani nikutane nae siku nimempenda sana
@ednapeter7068 Жыл бұрын
Amen
@sheijj4608 Жыл бұрын
@@angeluskapinga2255😊
@user-hl9ee2ve4s2 ай бұрын
Glory be to God!! Mungu azidi kukupa nguvu na hekima ya mafundisho Kama haya mchungaji. I'm so much blessed
@anthonyassenga236511 сағат бұрын
emen glory to god
@kibetndiwa9550Ай бұрын
Be blessed pastor, unahubiri ukweli kabisa
@saidramadhan71 Жыл бұрын
Asante sante mchungaji ipovizuri mwenyezi mungu akupe maisha marefu zaidi hapa Duniani Emeen
@severinaseverinanyoni707 Жыл бұрын
Mungu alikuleta kwaajili yetu Ww ndio mtumishi wa Mungu ata vifungo vipo kichwani ww ni mtumishi wa Mungu ila hawa wengi bila kusoma awaendi ila ww kila kitu kipo kichwani jmn mtumishi ww nakupenda sana mm nipo dubai nakufatilia sanaa
@IsaacNyato-dt9we9 ай бұрын
Halafu wachungaji na maaskofu wengine wanatuchanganyia siasa na dini. Kwao tunataka mahubiri kama Haya siyo huo usnaharakati wanaotufantia. Abarikiwe sana mchungaji Hananja tunamwekewa sana.
@neemaelieza708 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mchungaji wetu tunskupenda sana
@G.S985 Жыл бұрын
Uyu Pastor nampenda mpaka basi ❤Mungu akubariki sana Baba
@VanisKwamboka-hj6xo Жыл бұрын
I feel blessed with the preaching May The good lord bless you pastor
@MagrethUrbani10 күн бұрын
Mtumishi wa bwana kazi yako ni njema.mungu akutunze.karibu Nachingwea lindi utusaidie vijana wetu kimaadili.
@AcousticMukeloАй бұрын
My Favorite Pastor 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🔥🔥🔥👍🏾👍🏾
@JuliusHatariАй бұрын
Nimeona kipaji kwake huyu mchungaji amekariri mafungu mengi sana nilikuwa namfatisha kwenye bible yuko vizuri sana aiseee ,,, Mungu akubaliki pastor Ananja
@user-sl1rc1tu5b Жыл бұрын
That is true spich. God bless you,Paster Hananja
@lifeisgood4841 Жыл бұрын
Mch. Rich Jack Hananja. Salute to You Paster. Live Blessed. You are the transformer.
@lifeisgood4841 Жыл бұрын
Pastor not Paster.
@joyceian3040 Жыл бұрын
Barikiwa na nusu sauti ya Mungu ndani Yako. Barikiwa mno❤
@emanuelyohana3049 Жыл бұрын
Da! Mchungaji we Ni mwisho Asante nimebarikiwa Sana.
@philiposahani2017Күн бұрын
Pastor hanaaaaanjaaaa MUNU akubariki kwakweli tunafurahi kwa maneno yakoooo
@melckizedecktemba5373 Жыл бұрын
Huyu ni mtumishi halisi, Mungu amemuweka kusababisha Furaha ...furahini ktk Bwana siku zote tena NASEMA furahini..amewekwa kuondoka stress kwa watu
@Auntybetty_tz Жыл бұрын
Ukweli huyu amesoma Maisha halisi ya watu, mtaani tumemchoka, ukija kanisani muhubiri anakusimanga umetoa sadaka ndogo, moyo unachaka zaidi.lakini huyu mchungaji ni FARAJA ya watu waliopondeka moyo
@germanakisogole55912 жыл бұрын
Nakuelewa sana I love you from Iringa kwa Dr Rooooose😄😄😄🥰
@germanakisogole55912 жыл бұрын
Uso unachoka kwa machozi😢😢
@irutingaboisaac76736 ай бұрын
Mimi ni munyarwanda,lakini nakupenda sanaaaaaaaaaaaaaa mungu azidi kukubariki
@anthonyassenga236511 сағат бұрын
asante sanaaa
@wanjalaelia331511 ай бұрын
Jamani, I have really been blessed... Enjoyed it..... Stress kwisha!
@OmoloKwaye-ym6fr Жыл бұрын
Hongera kwa ukweli na sema kweli ili tupone una mahubiri mazuri sana mchungaji Richard hananja
@starlonzakayo7074 Жыл бұрын
The kind of preaching, waaa so knowledgeable, inspiring. Bible school did something here.
@japhetdzoro44662 күн бұрын
Watching from Kenya in 2024 more blessings in your life Mchungaji
@anthonyassenga236511 сағат бұрын
asante man of god
@harriethkalindili7980 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mungu akutunze,wewe ni Genius !
@joyceian3040 Жыл бұрын
Sana
@jamespulei-ol3yk Жыл бұрын
I am soo much blessed by this preaching......
@beatricekikwelele6592 Жыл бұрын
ÀÀ
@williamsabaya32742 жыл бұрын
Educating, inspiring, invigorating, reviving, correcting, reminding, memory challenging, messianic, socially cross cutting. May our Lord give this pastor more days and strength to educate and train, mould and prepare the next generation of teachers of the word of God holding high the banner of Jesus Christ our Lord and Saviour.
@prosperkullaya67212 жыл бұрын
Hello yule mh ni Ndg yako iliniuma sana kesi yake mungu amuwekee wepesi
@elizabethmaufi4883 Жыл бұрын
Barikiwa mpendwa,ponya kizazi chetu .
@deograciakashaigili5973 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza MCHUNGAJ!! Kumbe Boko haram na Elshababy ni kosa la Ibrahim? Mungu atusaidie sana
@evanstimba1534 Жыл бұрын
@@deograciakashaigili5973 in
@amilyentartaiment9062 Жыл бұрын
Naomba no zako
@floridaemmanuel19222 жыл бұрын
Hakika uinuliwe mtumishi Mungu akubarika sana japo sijatimiza ndoto zangu za elimu lakini natiwa moyo namafundisho yako yskua nisikate tamaa IPO Siku ntapata kuendelea namasomo yangu niombee nifanikiwe kupata ada ya chuo miaka mitatu Ili nikasome namim mchungaj
@udsmcctmedia77082 жыл бұрын
Mungu akusaidie, Ajibu Haja ya Moyo wako. Ameni.
@ruthjames2735 Жыл бұрын
Nabarikiws sana watu kama hawa hakika hawata onja mauti pastor god bless you
@gnas1235 Жыл бұрын
Ila Kuna watumishi wa Mungu waliotumwa na Mungu barikiwa sana pastor
@MndoaSadat-ke6bx Жыл бұрын
Mimi nampenda sana huyu mchungaji Pamoja nakua mm ni muislam Hongera mchungaji
@dennomtotowasarah1519 Жыл бұрын
Karibu Nairobi city Kenya mchungaji...glory be to God 🙏
@annakarijo8478 Жыл бұрын
Anafaa huyu amafariji sana Mungu azidi kumbariki. Amina.
@jeniferchamla1853 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi..nabarikiwaga sana namahubiri yako
@user-cy2ky2cy8h9 ай бұрын
Ubarikiwe na akuongoze safari yako ya kutangaza injili daima ni kipaji umekilimiwa
@user-rc1sh5dh2f8 ай бұрын
Amen baba mungu akupe maisha marefi😢😢😢
@PeterMsafiri-ik3tm16 күн бұрын
Mchungaji uko vizuri kwa mahubili, tupo pamoja na wewe.
@hilgathjoshua8804 Жыл бұрын
Ameni asante Baba Mchungaji❤❤
@kwayamalaikagabrielparokia5062 жыл бұрын
Amina Baba...Mungu akulinde,akutunze na azidi kukufanya njia...naiona leo na kesho kupitia wewe.
@udsmcctmedia77082 жыл бұрын
Amina Barikiwa
@amonmandikiroelias1165 Жыл бұрын
Amen
@theresiagisberth6197 Жыл бұрын
Amina Mtumishi nabarikiwa na mahubiri, Mwenyeezi Mungu akutangulie katika safari Yako ya uchumgaji.
@noelpaul3829 Жыл бұрын
Amen
@kangwamagashi18479 ай бұрын
Barikiwa mchungaji hananja, mungu aendelee kukutunza uishi miaka mingi
@faustinmushi3442 Жыл бұрын
Uko vizuri mtumishi Mungu bariki kazi yako
@reginaldtarimo-kf1ye Жыл бұрын
Hananja baba uko vizuri mahubiri yako yako sawa na yanatia moyo sana.hii ndiyo faraja ya moyo...
@ChristineNzyoka Жыл бұрын
Haya Sasa ndiyo mahubiri,hogera sana Mchungaji Hanaja na Mungu akubariki pamoja na familia yako
Nimecheka kwenye daldala km chizi jmniii Baba Barikiwa sana
@tausihasheem5169 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mayungamanyanda5280 Жыл бұрын
atleast tumepata mchungaji wa mtaa... Bravo kaka
@bonifacemunyokikilonzo858310 ай бұрын
Please mchuganji,I agree with your message, God bless you.
@beatricemembi76862 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji
@sarahanyisile5614 Жыл бұрын
Amen amen
@beatricemembi76862 жыл бұрын
Amen mtumishi ubarikiwe barikiwa na mafundisho yako
@novesnuhunathan6105 Жыл бұрын
🎉 this preaching is so powerful 🙌 Am blessed 😊😊😊😊
@godblesskweka660413 күн бұрын
Mtumishi nakukubali sana mungu akubariki kwa maisha yako yote uko vzr
@barakalukasi4158 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi numebarikiwa mno na maneno
@ssemwaimujoho1183 Жыл бұрын
NIMEFARIJIKA SANA MCHUNGAJI MUNGU ALIBARIKI NENO LAKO LISAMBAE DUNIANI KOTE , AMEN
@saimonrodgers8262 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@arimaomary2189 Жыл бұрын
Ameni mchungaji ba
@christinamboya4292 Жыл бұрын
MUNGU akubariki baba.
@christineadolf5164 Жыл бұрын
Love the way you incorporate the gospel and humour you❤ 😂😂 can't tire to listen to you
@dicksontech4794 Жыл бұрын
mooyo unatweta. kujutana nawe pr. mtatiwa nguvu akiisha kukujiliahuyo roho mtakatifu. pr roho amekujilia Asante Munguu
@LeonardJosephat-ky6jb11 ай бұрын
Rev. Richee you are so humble , josephat Leonard jumbe
@prosperkullaya67212 жыл бұрын
Ur the best of the best God bless you and your family so much
@cjecje50002 жыл бұрын
Real blessed be blessed pastor
@DorisTarimo-wn5nf Жыл бұрын
Homgera baba mungu akupe moyo huohuo wa kubeba matatizo ya watu
@stephanoselaphin8474 Жыл бұрын
Nakupenda sana baba, Mungu akupe miaka elf ufundishe vizazi na vizazi
@danielkimaro83152 жыл бұрын
mchg n shida ata asomi bible maandiko yamekaa kichwan dah hil kanisa wanaenjoy san maana anafundisha na kuchekesha had shida unasahau ,shalom pastor
@udsmcctmedia77082 жыл бұрын
Shalom karibu mtumishi, ibada zetu za jumapili zinakuwa live kuanzia saa1:00 asubuhi, hapahapa UDSM CCT MEDIA.
@consolathacolnely972 Жыл бұрын
Amen mchungaji nimebarikiwa San na neno lako mungu azid kukuweka dunian ili uzid kuwafundisha watu kwl ya Mungu
@MiriamandrewmkukiMiriama-zx8cl Жыл бұрын
Duh sipati picha enzi izo
@deohngalo7894 Жыл бұрын
Duuh kipawa Cha kipekee.Ungana na joti tucheke zaidi.Ndugu yetu unatuchekesha kiphilosopia na Kibiblia.Mungu akubariki Sana.
@sabrinaandrew4245 Жыл бұрын
Bwana yesu Asifiwe.Baba umenifariji Sana.Naomba no zako za cm mchungaji.
@praisefap7810 ай бұрын
Ur preaching mean a lot to my life😭🤲❤️
@magrethSeth-dl2nm9 ай бұрын
Barikiwa sanaa baba mungu azindi kukupa afya njema Kila sku.
@jescakonyanza2726 Жыл бұрын
Ameen,,nmebarikiwa na mafundisho,,be blessed pastor 🙏🥰
@watamuclasictairsmoviebank4155 Жыл бұрын
Jescaas
@gabrielnyambu27442 жыл бұрын
Mchungaji mubarikiwe sana wewe Hanaya pamoja na Mgogo.
@taucyjoseph82742 жыл бұрын
Yani na mgogo wanaongea kweli tu
@johnmbungo19717 ай бұрын
I have been loving this pastor and his teachings ever since i stumbled on one of his many podcasts, a gifted pastor in reciting scriptures without looking at the bible, every thing he says is anchored on the biblical verse, a rare thing to find in these last days,most men of God preach without proping up their preaching with bibiblical verses you would think they are reciting their own story.
@LemidiusiVenanti17 күн бұрын
Mungu akubaliki muchungaji❤❤❤
@NkikiKileo3 ай бұрын
Mungu ampe miaka ya kutosha azidi kutuelimisha kumjuwa Munguuu
@mcmasaitv9491 Жыл бұрын
baba mungu akuweke na akupe afyasana, unafanya kazi ambayo akuna anaeweza kufanya vyote hilo kwapamoja. baba, mimi ni mwaandishi wa habari na mtangazaji wa radio kili fm moshi mkoani kilimanjaro, baba hukupia kunazo changamoto kubwa mkuu.
@primchuwa3318 Жыл бұрын
Jaman nakupenda Sana my pastor KANISA LAKO lipo WAP
@udsmcctmedia7708 Жыл бұрын
Karibu Katika Kanisa la Umoja La Chuo kikuu cha Dar es Salaam. (Ni kanisa linalounganisha makanisa 12 yaliyo chini ya CCT na kufanya ibada Moja)
@LauranceStephenSasita2 ай бұрын
Pamoja sana mchungaji umetisha
@olivermloso21572 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nimebarikiwa
@joycemeyerpreachingsuppote4520 Жыл бұрын
Amin
@estherlabanghuliku4668 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sn Mchungaji Hananja
@marybaranga7218 Жыл бұрын
God bless you baba mchungaji
@marysaituni4584 Жыл бұрын
Nimeenjoy sana kusikiliza neno la mungu ubarikiwe Sana mtumishi 🙏🙏
@omaryjuma72682 жыл бұрын
Dah nimekuelewa mchungaji nice sana uko vizuri mno sadaka inaenda halali
@JuliasPaskali7 ай бұрын
Kuna wakati upate Ujumbe na unasahau kama ulikua na shida Barikiwa sana Mchungaji
@salomemueni1002 жыл бұрын
Asante mtumishi wa kweli wa mungu..
@emanuelywilson9477Ай бұрын
Bongo ukifanastress umependa mch barikiwa❤
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Uyu mchungaji nampenda saana ❤❤kwa mashekhe ni kama shekhe kipozeo❤❤❤
@emanuelywilson9477Ай бұрын
😂
@SafinaAthumani-t8z18 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wake
@christinakiula37432 жыл бұрын
Haleluyaaa Mch. Hananja Mungu akubariki sana
@abduljuma7807 Жыл бұрын
Asante mchugaji Inshallah ikosiku Mungu atatawala maisha yetu endelea kuhubur mchungaji
@reganclarence4657 Жыл бұрын
Mi nampenda huyu mchungaji ni mcheshi sana....hinatufanya wachungaji washirika kupenda kanisa.....🙌🙌