UKIOTA UNALIA JIANDAE NA MABADILIKO YAFUATAYO // SHEIKH ABUU JADAWI
Пікірлер: 9
@dorcassmarco342518 күн бұрын
Mimi niliota npo kanisani naombewa
@oman1oman1792 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh shekhe mimi huwa napenda kuota nalia ni kiamka ule mda wa kuswali kiamulele na jikuta usoni mwangu kumeja majonzi mengi
Sheikh ahasante mm nimeota jana nalia umenifafanulie
@jackykathule80785 ай бұрын
Asalam alaikum sheikh,,,mm nimeota nalia kwa uchungu sana kwa ajili ya mdogo wangu ameingia kisimani na kufa😢😢😢😢😢
@magdalenew.mwanyota59016 ай бұрын
Na je unapo Ota una sob 😭 😢 like vile mtoto anabembelezwq after kulia Ile sauti ya mwisho but hapohapo unabembelezwq na mtu unyamaze
@user-ko5bx6tr5v4 ай бұрын
Shekhe mimi niliota babangu mgonjwa na nikashikwa na huzuni ninamanisha nin
@brownnyau8252 ай бұрын
Mimi nimeota nimeenda nyumbani kwa marehemuu ma mkubwa nkamkuta kaaa aliponiona me ndo nkaanza kulia lkn yy aliendelea kula ugali wakati naanza kula ugali wakatokea dada zangu wawili mmoja mwanae yy marehemuu mwingine dada angu mimi ndo nkaliaa zaidiii
@elvisgeorge68935 ай бұрын
Nmeota nakimbia na baba nkamshinda kukimbia lakin kile KITENDO kikanipa huzun nkaanza kulia baba akaniulza unalia nn kamwambia nataman kama ungekua unakimbia kama zaman Akananjib kwamba (sio Mzee sana)akanishika mkono akanipa moyo nkanyamaza tukaondoka Naomba kujua maana yake