TAJIRI ARUSHA AMSHANGAA MAKONDA - BILA WOGA AMUONESHA MADUDU ya KODI SERIKALINI - "MIMI ni BINADAMU"

  Рет қаралды 429,083

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

TAJIRI ARUSHA AMSHANGAA MAKONDA - BILA WOGA AMUONESHA MADUDU ya KODI SERIKALINI - "MIMI ni BINADAMU"
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amekutana na wadau wa utalii na watendaji Wakuu wa Sekta hiyo Mkoa wa Arusha na kufanya nao kikao chenye lengo la kusikiliza kero na changamoto zinazoikabili sekta hiyo. Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Aprili 13, 2014.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 258
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 2 ай бұрын
Acheni uongo basi wazee
@user-yi2hc2br3u
@user-yi2hc2br3u 2 ай бұрын
With Makonda kila kitu kita kuwa sawa. I believe
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 ай бұрын
We baba SIKUJUI ILA UMETUHESHIMISHA WAFANYA BIASHARA WOTEEEEE NCHI NZIMAAAA🎉
@Joery-pb5tz
@Joery-pb5tz Ай бұрын
Xafiii
@mwljosephmlitas
@mwljosephmlitas Ай бұрын
Makonda uko kiwango Sana,unarejesha matumaini yaliyokuwa yamepotea,big up.
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 2 ай бұрын
This business man is very bright person.
@andrewandrew7501
@andrewandrew7501 2 ай бұрын
Uko vizuri mkuu
@Mpakele
@Mpakele 2 ай бұрын
MAKONDA you will ALWAYS be higher. Mungu amekupa. Hakuna atakaenyang'anya.
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 2 ай бұрын
Safi sana Mweshimiwa Paul makonda piga kazi Baba Mungu yupo na wewe
@StephenMaduhu-sn2dl
@StephenMaduhu-sn2dl 2 ай бұрын
Broo makonda unaongoza vizuri sana one day iwishi uwe raisi wajamhuri , sipendi siasa lakini wanifanya nichome bando juu Yako, mungu akulinde.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 2 ай бұрын
Makonda amefanya watu huru,wanatiririka bila woga.big up makonda.ndio maana Rais kukupeleka arusha
@mconedimple5364
@mconedimple5364 2 ай бұрын
Namkubali sana makonda ni mchapa kazi kwa vitendo sio maneno manenoo,Mungu atulibdie makonda wetu
@amanikafonogo9695
@amanikafonogo9695 2 ай бұрын
ukipata mentor km uyu mbaba aise future yako n guarantee hongera mzee so smart
@peterkolam8193
@peterkolam8193 2 ай бұрын
its process, kafika hapo katengenezwa ila viajana kwa sasa ujuaji mwingi sana. yuko smart sana nakubaliana na wewe.
@user-kl5yn6tq1u
@user-kl5yn6tq1u 2 ай бұрын
dah hapo makonda umeongea nakubali kazi hii serikali inafukuza wawekezaji sanaa kwa njaa za wafanyakazi wa serikali
@user-zd9dh6ml4l
@user-zd9dh6ml4l 2 ай бұрын
Yupo sawa makonda simamiya hao watu wanajitambuwa
@neemacocorico2022
@neemacocorico2022 2 ай бұрын
Huyu Business man tuko vizuri Sana.Bravo makonda
@noelahmartine6625
@noelahmartine6625 2 ай бұрын
Arusha Kuna watu wanafaa kua Raisi km huyu mzee❤❤❤
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 2 ай бұрын
Safiii sana sema kaka usiogope majizi ni mengi sana huko serikalini
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 2 ай бұрын
😂😂😂Faza kiboko..yan anavielelezo vyote🔥🔥
@annakawage2136
@annakawage2136 2 ай бұрын
Ana Kahwaafe
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 ай бұрын
Mungu akuinue akulinde makonda
@kabletv
@kabletv 2 ай бұрын
Makonda ni future Vice PM halafu baaaaaaaaaaaaade huko Mr. Pres
@lucasmwiga2656
@lucasmwiga2656 2 ай бұрын
Tatizo kila sector n ccm hamuwez kutoboaa maana hamuwez kuchukuliana hatua , at de end of Time mtakufa vibaya sana kwa laana
@denisjoel1592
@denisjoel1592 2 ай бұрын
Nataman uwe rais wa hii nch kaka
@user-yr8er5fv6g
@user-yr8er5fv6g 2 ай бұрын
Asante sana mama kizi mkazi watu wanafaidika sana kwenye uongozi huu😢😢😢
@weslaus7750
@weslaus7750 2 ай бұрын
Kile kihoteli kidogo Kile 😂 Kweli Maisha hayana usawa
@njaujustin56
@njaujustin56 2 ай бұрын
Ahahaa Kibo et kihotel kidogo😂
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 2 ай бұрын
Hawezi kuji sifia nayo ni njia ya kuto pigwa kodi kubwa kubwa harafu pia wachaga huwa wasiri sana ila pesa huwa wanazo..kimya kimyaaa.😂😂
@abdihassan562
@abdihassan562 2 ай бұрын
Hehehehehe
@HassanHamza-qx9cm
@HassanHamza-qx9cm 2 ай бұрын
​Huyo Mzee mbona kama mzungu​@@jeremiapeter683
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 ай бұрын
Makonda mungu akuzidishie umri mlefu, nakupenda sana🌹
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 2 ай бұрын
Hii hati safi Arusha walipataje
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 29 күн бұрын
The guy can be termed as brilliance of the highest order🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-bs6os3yu4b
@user-bs6os3yu4b 27 күн бұрын
Mungu ututunzie huyu mtu kiongoz anayetetea haki za wananchi ndie kiongozi tunayemtaka.Mungu akutunze babaaa.
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 ай бұрын
Huyu nduguye tu safi kbsa alimshangaza hata Gavana
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 ай бұрын
Lifanyie kazi hilo mheshimiwa Makonda
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 2 ай бұрын
Duuuuh kazi ipo wapigaji wapo kila mahala bila juhudi binafsi Kwa uongozi wa namna hii kodi hazikusanywi Kwa uaminifu tutakaoumia ni wananchi Kwa TOZO na laini za simu ooooh nchi yangu Tanzania makonda pekeako utaweza? Hiyo ni arusha tu na mikoa mingine vipi?😢😢😢
@PETERSONMTEMBEI-wt6vx
@PETERSONMTEMBEI-wt6vx Ай бұрын
Nakuombea mhe, Mungu akupe Urais wa Tanzania
@fhugghi4109
@fhugghi4109 2 ай бұрын
Ila serikali yetu jaman
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Ila hii nchi yetu ina mifumo ya ulipaji kodi wenye masharti ya ajabu ni ya kichaa tu ndo anaweza kuyakubali
@user-px7ef5oc2x
@user-px7ef5oc2x 2 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU yu pamoja nawe namuona raisi wangu wa future una MUNGU hakika
@erefeconc
@erefeconc 2 ай бұрын
Nakubali baba makondaaa piga kaziiii🎉
@johnjohansen3073
@johnjohansen3073 Ай бұрын
Big up kaka chapa kaziiii. Uzidi kuwa juuuu kila siku
@user_asak2023
@user_asak2023 2 ай бұрын
4ever grateful to u makonda🎉
@yasinimalya4001
@yasinimalya4001 2 ай бұрын
Aisee mkuu pambania wananchi na mungu akusimamie
@user-lc2em8uz6z
@user-lc2em8uz6z 2 ай бұрын
Mchaga hadhulumiwi kabisa.
@officialshelomwangole256
@officialshelomwangole256 2 ай бұрын
Very friendly 🤗🤗
@user-xh3es4ws9w
@user-xh3es4ws9w 2 ай бұрын
Chambulo yuko vizuri anaga kona kona bos safi sana
@cosmasduxo7809
@cosmasduxo7809 2 ай бұрын
Ana uelewa mkubwa sana!!
@user-ex8jm1wg6q
@user-ex8jm1wg6q 2 ай бұрын
Hofu ya mungu itawale ndani ya mioyo yenu
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa wangu huyu jamani❤❤
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 2 ай бұрын
Nchi yetu nawatu wanaimba Sana
@mc.dr.nnyaka
@mc.dr.nnyaka 2 ай бұрын
Piga kazi kaka songa mbele Mungu anakusudi na wewe
@yusuphbendera7544
@yusuphbendera7544 2 ай бұрын
Big up makonda
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 ай бұрын
Duuuu seeeee ih noma mpka cotrooo heeeee
@ayubzaka1598
@ayubzaka1598 2 ай бұрын
Hotel of owner is very bright person there very smart
@MohamedSalumMtumwene
@MohamedSalumMtumwene 2 ай бұрын
Great
@paschalsanya8339
@paschalsanya8339 2 ай бұрын
Mshua yuko very smart 🙏
@eddechriss2664
@eddechriss2664 2 ай бұрын
Huyu ni mtu mzuri sana, pole kwa changamoto zote
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 2 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde,mimi mu kongomani,lakini napenda kazi ukonafanya wewe JPM🇨🇩🇨🇩
@mbiu023
@mbiu023 2 ай бұрын
Hatari sana
@stevekayala6569
@stevekayala6569 2 ай бұрын
Hongera makonda
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 2 ай бұрын
Mwanaume yupo kazini 🙏🙏🙏
@saididodi3988
@saididodi3988 2 ай бұрын
Huyu brother yupo vizur sana
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 ай бұрын
Wezi sana
@user-ex8jm1wg6q
@user-ex8jm1wg6q 2 ай бұрын
Muogopeni mungu muwe na hofu yangu
@NeemaGirbert
@NeemaGirbert Ай бұрын
mungu akulinde makonda uonemwenyewe majizi
@ConsolataBageni-ir6mb
@ConsolataBageni-ir6mb 2 ай бұрын
Anaefanya kazi kwa haki hazibiwi,maana kazi zake zinaonekana na watu wanazifurahia,SI muda mrefu wasiotupenda walakahoi sisi, wataibua Mambo juu ya Makonda. Tunawaomba mpeni Makonda nafasi atuhudumie sisi wanyonge.
@frankahhm
@frankahhm 2 ай бұрын
Mkaburu mtu smart sana na haogopi 🙌🏽
@LugyPlan
@LugyPlan 2 ай бұрын
Et mkaburu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@upendotarimo2965
@upendotarimo2965 Ай бұрын
​@@LugyPlanNdo jina lake uku chuga wanamwita kabiru😅😅
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Ай бұрын
Huyu Baba safiii🤝
@user-lr7em1ch8g
@user-lr7em1ch8g 2 ай бұрын
Angalia 😢na njia ni mbovu na hospital zimejengwa na akuna huduma njoo kwaugoro mtoto anataka chanjo ya miezi mitatu mpaka anatembea nauli ya pkpk mpaka USA ni elfu kumi ana ata nauli akuna usafi wakufika
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 ай бұрын
Kazi mnayo
@mangimosha95
@mangimosha95 2 ай бұрын
Umepigwa men
@geofkabo7843
@geofkabo7843 2 ай бұрын
Tuwaombee viongozi woootee waadilifu mungu awalinde ila hawa wezi mungu atashughulika nao pia
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k Ай бұрын
Atari sana mama
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 ай бұрын
Wazirudishe pesa zako
@ChiristinaKapinga
@ChiristinaKapinga 2 ай бұрын
Mpaka hapo makonda nakupa bigap nyingi sana
@sirongamollel7032
@sirongamollel7032 2 ай бұрын
Kibooo
@PastormwangazaKelvinlaurian
@PastormwangazaKelvinlaurian Ай бұрын
Vizuri kabisa
@charzlyimo381
@charzlyimo381 2 ай бұрын
Safi sana tajiri
@JumaMasalu-cj9er
@JumaMasalu-cj9er 2 ай бұрын
Taji
@RamadhaniMgeta
@RamadhaniMgeta 2 ай бұрын
Nimefurahi kazinzito makonda piya ikumbushe serikari wilaya ya ukerewe mkowani mwanza wasanii tunateswa tunashindwa kuitangaza tz kupitia sanaa zetu
@user-hz7wp4kk7e
@user-hz7wp4kk7e 2 ай бұрын
Jamani! “We need more operator. We need more hotel….” Kiingereza kigumu sana.
@user-er4vg2tv3x
@user-er4vg2tv3x 2 ай бұрын
Mwamba unaweza sana makonda pambana kaka unajua kufanya kazi kwa kujitolea na ubunifu.
@universitylink
@universitylink 2 ай бұрын
Mwehishimuwa rahisi hajakosea kukutuma Arusha pambana mweshimiwa
@charlesmoshi1983
@charlesmoshi1983 2 ай бұрын
Inamaana mzigo unalipia kwa Control no na unachengeshwa vile vile ..jamaa kaona isiwe tabu au niwadai
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 ай бұрын
Wanaweka control no zao
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 2 ай бұрын
Hao wezi ndo wamekamatwa mbeya, Njombe na iringa wanakua na mashine feki
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 ай бұрын
@@tinejuxfrancis729 yes
@donatusngowi2267
@donatusngowi2267 2 ай бұрын
Mazingira ya rushwa
@gloryedson9311
@gloryedson9311 2 ай бұрын
❤❤
@Qtep-eb3og
@Qtep-eb3og 2 ай бұрын
Is not a problem makonda aah boss😂😂😂😂😂😂
@hamisimtaki5680
@hamisimtaki5680 2 ай бұрын
Makonda 🎉🎉🎉🎉🎉
@timothkatwela
@timothkatwela 2 ай бұрын
Machawa kwenye ubora😢😢
@BarakaBaraka-wm9ok
@BarakaBaraka-wm9ok 2 ай бұрын
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 2 ай бұрын
hahahaha kigugumizi chamoto ndiyo izoo unaletewa uzitatuwe
@husseinbongo7447
@husseinbongo7447 2 ай бұрын
Hiii nchi ngumu sana, kutoka kwenye umasikini labda miaka 500 ijayo ndo
@LucasMasalu-pn3ls
@LucasMasalu-pn3ls 2 ай бұрын
Opera Sana mkuu
@TengejaJames
@TengejaJames Ай бұрын
Shughulika mzee tumbua Kuna jipu hapo litafutie majani ya mnavu litumbuke haraka😮😮
@MbozyoEntertainment
@MbozyoEntertainment 2 ай бұрын
Wajipange vizuri😅
@RehemaMrope-fw1zy
@RehemaMrope-fw1zy Ай бұрын
😢😮
@DavidEmilian-r6g
@DavidEmilian-r6g 14 сағат бұрын
Yaani hayo mambo ndogo wanayo tuumiza raia wapo wengi Sana wanakula pesa za serikali hawafanyiwi kazi mwisho serikali inazidi kukopa tuuu hii inauma Sana jamani
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
😂😂😂kimeumana
@emmanuelzao
@emmanuelzao 2 ай бұрын
😎
@simiyujustuswafula337
@simiyujustuswafula337 2 ай бұрын
Online
@salummhina4857
@salummhina4857 2 ай бұрын
Huyu jamaaa anawasomesha sana serikali lakini hawamuelewi sababu walio wengi vilaza.Sorry to say that.Don’t mind my language!! Alimpitisha gavana wa benki Kuu njia hizo hizo!!! Babu yupo smart msikilizeni
@husseinbongo7447
@husseinbongo7447 2 ай бұрын
Wala sio vilaza ndugu. Wanajua Sana wanachokifanya
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 2 ай бұрын
Arusha Kwa mafisadi ni kibokoo mdo
@SamwelMeyasi
@SamwelMeyasi 2 ай бұрын
Ata control no tuseme ni geresha 😂😂
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 ай бұрын
watu wanachekecha Sana
@jeremiapeter683
@jeremiapeter683 2 ай бұрын
Sasa si wana tengeneza wenyewe Hizo number..yaani mbongo huwa hashindwi kitu.ume zuia cash Ana kwenda kuiba kwa Control number..😂😂
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 2 ай бұрын
Dah 😂😂😂 nacheka lakini
@kabwela2859
@kabwela2859 2 ай бұрын
Neno unalolitafuta Bwana Makonda linaitwa "TRANPARENCY". Uwazi wa bei elekezi na gharama za kodi kwa kila mfanyabiashara. Mzee analalamika gharama za kodi ni tofauti kwa wafanyabiashara tofauti ambao wanafanya biashara ya aina moja. Possibility ya favourism kwenye kitengo. Haiwezekani kumkata mmoja kodi kwenye GROSS wakati mwingine anakatwa kwenye NET, hiyo lazima itamnyonya mmoja.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 2 ай бұрын
Makonda angepewa mwenge angemlika sana
@PatriceSobera
@PatriceSobera 2 ай бұрын
Heko
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 2 ай бұрын
Makonda njoo Moshono eneo moja linaitwa kiseriani madukani kuna wakata ushuru wa mchanga wapo chini ya madini hawakati ushuru kwenye malori lakini pia wao niwafanya biashara wa mchanga( conflict of interest) lakini cha ajaabu zaidi ni magari ya mchanga yanabeba kupita kiasi yana haribu barabara ya east afrika,lakini pia wao ndiyo waizi wamafuta ya serikali karibu kiseriani madukani ujionee serikali inavyopoteza mapato
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 67 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,5 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,9 МЛН