KWA HASIRA: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI KISOMI - "UNA STRESS za 2025, KELELE HAZINISHUGHULISHI"

  Рет қаралды 313,427

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

KWA HASIRA: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI KISOMI - "UNA STRESS za 2025, KELELE HAZINISHUGHULISHI"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Jumanne Januari 04, 2022 amepokea Taarifa ya Utekelezaji wa Matumizi ya Fedha za Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 266
@robsondalink6206
@robsondalink6206 2 жыл бұрын
Ndugai uko sahihi kabsa na hoja yako me nakuunga mkono✅✅✅✅✅✅
@marywakesho4887
@marywakesho4887 2 жыл бұрын
Ndugai kama ulidhani uko na mgao wako binafsi hapo ugua pole serikali ni ya wenye nchi wao ndio kusema sio wewe
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana sana yetu macho
@melevoriofficially9188
@melevoriofficially9188 2 жыл бұрын
Amnaga mkopo mzuri wakukusaidia akupe bureee
@odenymexon2319
@odenymexon2319 2 жыл бұрын
Binadamu anawaza miaka ya 2025 unajuaje utafika hata JPM alikuwa na mipango mikubwa lakini leo hayupo.
@brownkihanga688
@brownkihanga688 2 жыл бұрын
Mama humo ndani ccm wengi wanakupenda kinafiki kwaajiri ya matumbo yao tuu,huku ulaiyani watu wanakulaani sana maisha toka upokee kijiti maisha yanaxidi kuwa magumu bidha zote zipo juu ,hizi bidha siyo kwawapinzani tuu,hata ndugu zako ccm hili jito LA jua linsawakuta jitadhimini
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Unafiki mtupu, MAFISADI YAMERUDI in the white House.
@esthermwaibasa4778
@esthermwaibasa4778 2 жыл бұрын
Mama umejibu vizuri sanasana,ingekuwa ni nchi za wenzetu angejiuzulu tu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@husseinmalongwe2627
@husseinmalongwe2627 2 жыл бұрын
Mama umeongea vyema Sana,Kwa maoni yangu Speaker Ndugai na msimamizi mkuu wa shughuli za Bunge mheshimiwa waziri mkuu Kasim Majaliwa wanapaswa kujihuzuru Kwa hiari yso.maoni yangu tuu.
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 2 жыл бұрын
Ajiuzulu tu Kama ni muelewa
@shedrahabron7869
@shedrahabron7869 2 жыл бұрын
Kho mama ndo yuko vizur😂
@beatricenmarwa9745
@beatricenmarwa9745 2 жыл бұрын
Amina, mama chapa kazi Mungu anaiona na anaijua NIA na juhudi zako. Mungu akutie nguvu na wenye nia njema watakufuata. Jipe moyo mama. Tanzania hasa wanyonge ambao ni wengi wanakuangalia wewe. Usichoke wala usikate tamaa.
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 2 жыл бұрын
Sawasawa
@michaelsultan6505
@michaelsultan6505 2 жыл бұрын
Go ahead mama we are behind you
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mheshimiwa Samia
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 2 жыл бұрын
Ndugui ni muhimili wa 3 Nchi hii uwezo wa kumtoa hana ana kinga kubwa kwenye katiba la sivyo itamuwia kuvunja Bunge lakini je ataweza vunja Bunge ?
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
JPM pumzika kwa Amani uku CCM kumenogaaaaa😄😄😄😄😄🏃🏃🏃🏃🏃
@mkenyamzalendo254
@mkenyamzalendo254 2 жыл бұрын
Kumbe siasa za Tanzania bure kabisa. Kumbe Magufuli ndio alikuwa kidume hapa mama hamna kitu kabisa. Subiri sasa mama bado mambo!
@penuelyolotu7113
@penuelyolotu7113 2 жыл бұрын
Saanaa
@shedrahabron7869
@shedrahabron7869 2 жыл бұрын
Yhaah
@angeluslijuja3408
@angeluslijuja3408 2 жыл бұрын
MAMA MAMBO MENGINE SIO YA KUPIGANA VIJEMBE KTK VYOMBO VYA ABALI MTAVULUGSNA ACHENI WATU WASEME UKWELI KISHA MAMA YAFANYIE KAZI KULIKO KUTUPIANA VIJEMBE MTAIKASITI CHAMA
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 жыл бұрын
Mama umefahamu sasa upepo unapoelekea, Adui wa Mtu ni wa nyumbani kwake, Lakini huo wimbo ni wa Lowasa leo umeimbiwa wewe, Lowasa aliishia wapi? Lakini elewa kuwa sio kila Makofi unayopigiwa ni ya Pongezi, Mengine yanakun'gon'ga tu.
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Ай бұрын
Unafiki wa hali juu sana
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 жыл бұрын
Mkubwa mungu,,sisi ni wanadamu thtaendelea kubak hivo
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 жыл бұрын
Ngoja wavurugane vurugane 😂😂😂
@Amylotu
@Amylotu 2 жыл бұрын
Pole Sana jamani raisi wetu mtukufu. Mungu aendelee kukubarkia na kukulinda.🙏🙏
@siloomar7699
@siloomar7699 2 жыл бұрын
Mama Mungu atakuonesha wanafiki hata Badoo ww muombe Mungu
@marywakesho4887
@marywakesho4887 2 жыл бұрын
Kawaida huwezi pendwa na kila mtu kunao watu wamezaliwa kuchukia tu....
@amohammed3390
@amohammed3390 2 жыл бұрын
Ndungai hoja wake ni nzuri na imeleta faida ya uwelewa wa madeni ya serikali. Tatizo ni mvurugano wa uchaguzi wa 2020 kuwatoa wapinzani. Hii ni kauli ambayo ilitarajiwa itolewe na wapinzani sasa hawamo kwenye bunge. Uharibifu wao unawaddhuru
@alicemwalimu8791
@alicemwalimu8791 2 жыл бұрын
Umeongea fact Sana bro
@khalidijohn890
@khalidijohn890 2 жыл бұрын
2025 ndo msema kweli
@josephmvwimi8904
@josephmvwimi8904 2 жыл бұрын
Upuuz mtupu
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 жыл бұрын
KAMA ULISHAURIWA WATAKAO KUSUMBUA NI CCM WENZAKO KWANINI UMEMSINGIZIA MBOWE KESI YA UGAIDI NA UNAMTESA GEREZANI KWANINI UMEWABANA UPINZANI WASIFANYE MIKUTANO KWA NINI UMEKATAA KULETA KATIBA MPYA..
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Mama huwez kazi
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 2 жыл бұрын
Kuwa mpole
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 2 жыл бұрын
Kwa sasa wananchi hawana maendeleo bali ni maumivu ya tozo na mikopo umiza. Viongozi wengi hawataki na hawapendi kukosolewa hasa wanapoambiwa ukweli,wanaona wao hawakosei. Wakikosolewa hukasirika na mara nyingine kulipa kisasi kwa sababu anayo mamlaka hayamzuii. Uchumi wa Kati Tanzania umeenda wapi. Tanzania ni tajiri siyo maskini...hizi kauli zimefia wapi au tulikuwa tunadanganywa?
@simonsamwel1756
@simonsamwel1756 2 жыл бұрын
Ndo umejua watu hawana shukrani
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Hufai kua rais bac tu we maliza kimda chako
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 2 жыл бұрын
Kama huna la kuchangia nyamaza
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 жыл бұрын
Anafaa na anastahili kuendelea
@tedymanula2544
@tedymanula2544 2 жыл бұрын
Mama Ubarikiwe Hakka
@gichonyachore9397
@gichonyachore9397 2 жыл бұрын
Umeongea maneno mazuri sana kweli moyo wako sio wa glass mungu akulinde
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
We mwenyewe unatamaa mbona ulipoapishwa na katiba mbovu ukaanza kuzungumzia urais 2025 ni zama ya wakinamama ulikosa maarifa huna lolote,Haifai kuongozwa na wakinamama hata biblia na Quran zinatuonesha ivo ww ni kama yule yezeber wa sedon
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Rais hapo anaongea kwa sauti ya kimamlaka na sauti ya kujiamini. Wajipange waliodhania watamchukulia poa.
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 2 жыл бұрын
Mama hata hao ulionao.hapo kwenye kutano lako unao maadui chungu tele. Ukweli ww kurudia urais ni kudra ya Mwenyezi Mungu, sasa nikuombe hayo umefaulu Mwachie Mbowe.sio.Gaidi. kwanini jambo hili umedanganyika kupita kimo chako. Mbona unamwogopa Mbowe hivyo?
@saidmnenuka7822
@saidmnenuka7822 2 жыл бұрын
Pole sana Mheshimiwa Samia naamini umemshika pabaya unaweweseka
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Duh! sasa najiuliza kwa mtaji huu watafanyaje kazi pamoja hawa mihimili wawili? Au hapo kuna haja ya kujiuzulu? Maana dah! haieleweki. Japo kutofautiana kimtizamo ni haki ya kila mtu. Kazi iko
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Duh, figa moja limeanguka. Pole Tanzania. Hii ni historia kwa taifa hili tangu uhuru spika kujiuzulu. Ama kweli siasa si mchezo wa kuchezea. Ama kweli aliye juu mngoje chini. Ama kweli kutangulia si kufika Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi Mungu atujalie uhai na maisha marefu tujionee mambo.
@fahmaali8945
@fahmaali8945 2 жыл бұрын
Mama hakuna mkamilifu umsamehe mungu anasemehe
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Good
@edsonmnego4030
@edsonmnego4030 2 жыл бұрын
Nyinyi kwa nyinyi sasa
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 2 жыл бұрын
Ndugai hamaanishe hayo ni mawazo yako hiyo tuu, usijifanye mwenye haki sababu tuu uko rais
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Kweli tukubali wanawake wasimamizi wetu wanaume.
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED
@ELBURLIZHOLDINGSLIMITED 2 жыл бұрын
Wewe na Nani??? .... Ongea kwa ajili yako mwenyewe, binafsi sihitaji kusimamiwa na mwanaume, wanawake Wanaojitambua ni wengi akiwemo HER EXCELLENCY MADAM PRESIDENT. Shinda hapo na fikira za kizamani, eti kusimamiwa na wanaume, pathetic!!!!!
@saidmakenya6855
@saidmakenya6855 2 жыл бұрын
Mi kwanza naona mbali 2025 mi hadi saiv najua rais wangu nimagufuli pekee
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Ndugai sio MTU mzuri, Safi Sana mama Kwa kumnyoosha
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 2 жыл бұрын
Anyooshwe TU.
@wilsonmkumbo9575
@wilsonmkumbo9575 2 жыл бұрын
Mama,waambie wanafiki,washenzi,wapo ndani ya CCM,hawana aibu,ndugai nguvu hizo anazipata wapi?eti ujanja WA siasa wapi,upo sahihi mama waambie ukweli,wapo wanajipaga
@frankmiyombo3349
@frankmiyombo3349 2 жыл бұрын
Mungu tulinde wananchi wa Tanzania
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Huyu mama wakiendelea kumchokonoa anaweza kuwa mkali kushinda jpm.
@ashahaji6786
@ashahaji6786 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@shabandamas1759
@shabandamas1759 2 жыл бұрын
Wajiangalie
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 жыл бұрын
Leo kaongea ukweli ndugai anaudhi na huyu mama wameanza kumstua mapema kwahiyo atawapanga watu wake
@adinanitandalah7178
@adinanitandalah7178 2 жыл бұрын
naomba sana kwa mungu mama asiruhusu sipika ajiuzulu alikiri amekosea jitahidi sana kukaa chini mzungumuze nyinyi ndio tegemeo letu kitaifa inshaalla
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Hivi aliyetangaza kugombea ni nani? Mbona hyu mama ndo alitangaza kugombea mda mrefu sana!! Au anaogopa wagombea wenzake kwani ni vibaya kutangaza ni M nafikili mwenye matatzo ni huyu mama ( ata urais haiku pandezi )
@jacklinethomas110
@jacklinethomas110 2 жыл бұрын
Ee mwenyezi munqu nakushukuru. kwariziki unazonijaali ata ktk maqumu ninayopitia nakushukuru munqu mana bila wewe mimi siwezi,naomba usinipe utajiri mkubwa nikasahau akhera yako.
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 2 жыл бұрын
Mama piga kazi achana na kelele za chura hizo,tupo pamoja na wewe,mpaka mwisho,hapo ndo pakujua kikulacho kinguoni mwako ,kazi iendelee 2030💪🏿💪🏿👋🏿👋🏿maendeleo kwa wa Tz
@hassankhamis4117
@hassankhamis4117 2 жыл бұрын
Dah mama jamaa umemchapa sana.pole yake
@abedkirway8668
@abedkirway8668 2 жыл бұрын
kwa asilimia 100 tunakumini ila usimwamini mtu yeyote aliye wahikunyanyasa watu uko nyuma kwa serikal zilozopita kama mwenez yule spika wakuu wa wilaya wale na wa mikoa wale bila kusaahau mawaziri wale ukiwaamini walishaonja laana ya unyanyasaji hawataacha sisem walimnyanyasa mpinzan tu ila hata cctu ukiwapa ikubwa hawatakuwa na 2 moja tu ubaya hata ww hawatakuangalia usiwaamini mh
@alicemwalimu8791
@alicemwalimu8791 2 жыл бұрын
Sema unamuamini
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 2 жыл бұрын
Huyu analeta mvurugano sasa, ngoja tuone nini kinakuja😀😀
@asiaboniface207
@asiaboniface207 2 жыл бұрын
Adui mwombee njaa washaanza kugeukana nabado mungu atawapiga sana
@gichonyachore9397
@gichonyachore9397 2 жыл бұрын
Safi sana rahisi samia fanya kazi tumikia watanzania achana na wasaka tonge timua wanaokusumbua maendeleo kwanza
@yasintajohn1189
@yasintajohn1189 2 жыл бұрын
Nchi iko hovyo gombaneni nyinyi kwa nyinyi huko huko msi haribu aman tulio nayo period
@kisengoabdallah1366
@kisengoabdallah1366 2 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA ILI TRELA TU MBONA MAPEMA TUTASIKIA MENGI TU.. R.I.P SHUJAA
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Yapi yanatokea zaidi ya ujambazi tu
@georgebillu2019
@georgebillu2019 2 жыл бұрын
Hakuna alichokiongea hapo,tangia aingie huyo mama mambo ni magumu tu ngoja amalize haka ka awamu hakuna wa kumchagua
@omarrajab2395
@omarrajab2395 2 жыл бұрын
Thanks you mama twenda pamoja mie mwanao nipo mbali lakini nakuwamini mama wa Tanzania 🇹🇿
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 жыл бұрын
Tunaomba tu mambo yapungue. Nmeshachoka
@kassebo
@kassebo 2 жыл бұрын
This is🇹🇿 kikubwa uzima 2
@rajabuhamisihasanisanda3317
@rajabuhamisihasanisanda3317 2 жыл бұрын
Mashalah mama sema ukweli
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Wengine yetu Machooo zutaona mengiiiii
@chandemacheleking
@chandemacheleking Ай бұрын
Njaa kari sana
@rukiasalum5320
@rukiasalum5320 2 жыл бұрын
Jamani inchi sio mali yenu mtawajibika mbele ya mungu
@abdulhafidhkamugisha1429
@abdulhafidhkamugisha1429 2 жыл бұрын
Daah! Mama huku tunaumia japokua unaendelea kujisifu
@mwigaramadhani3687
@mwigaramadhani3687 2 жыл бұрын
Mama fanya hima Hao wote wenye viashiria vya kukukatisha tamaa uwatumbue maana watatuchelewesha kimaendeleo 🙌🙌🙌😃🙆
@hassansuleiman4139
@hassansuleiman4139 2 жыл бұрын
Nchi imekushinda wew mama jihuzuru ukalee wajukuu ndugai anajua ni mkongwe
@ayshaaisha7630
@ayshaaisha7630 2 жыл бұрын
Usomeki mwanamke mwenzangu chukua unachotaka tuachie nchi yetu tukiwa salam
@fatmasoud
@fatmasoud 2 жыл бұрын
Hashuolo
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 жыл бұрын
Zanzibar's tuna kukubali fumbo umfumbiye mjinga asiyejijua piga kazi mama usirudi nyuma muda wetu hawa
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Tatizo ni moja tu. Samia ameamuwa kuipa Zanzibar haki yake ya 0.4% ambayo ni gaio la mapato ya Muungano. Ambayo Zanzibar imekuwa ikinyimwa miaka yote tokea muungano huu uasisiwe Tukumbuke gaio hilo limepigiwa kelele miaka 50 sasa likiwa ni moja ya kero kubwa za muungano. Sasaivi kila mkopo wa Tanzania lazima Zanzibar wapatiwe 11.1% lakini ilikataliwa na watanganyika kupitia bu geni wakaiwrka 4.0% sasa anaipatia Zanzibar akona Ndugai hawakufurahi. Hivo tayizo la kero zamuungano wanaolikaæia tayizo ni wana ccm wa ngazi za juu wa ccm. Ndigai anataka hela yakwenda matibabu wakati alimyima Lissu haki hio
@istambuliahmedi8203
@istambuliahmedi8203 2 жыл бұрын
Nimekuelewa
@sultaniramadhani890
@sultaniramadhani890 2 жыл бұрын
KWA HIYO mkopo ndo umefanya wamachinga wakonde na njaa mgambo wa city wanenepeane kwa kuwadhibiti wamachinga wasifanye biashara 2025 c mbali kitaeleweka tu mtaziona kijani km zitafutuka
@kaimuulongo8203
@kaimuulongo8203 2 жыл бұрын
Ilo sio tatizo siinusu kwa nusu
@mussaali4342
@mussaali4342 2 жыл бұрын
Q
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 2 жыл бұрын
Kama mpinzani siye anayekusumbua mtoe jela Mbowe.
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 жыл бұрын
Wapashe Mama ongea ongea,piga wanafiki wote
@leonardlukindobinafsisitoc5785
@leonardlukindobinafsisitoc5785 2 жыл бұрын
Lazima watu waseme haiwezekani vitu vinavyotokea.alaf watu wake kimya.
@danieljs4285
@danieljs4285 2 жыл бұрын
Tangu Raisi wangu magu afe naichukia Sana CCM
@hawachilemba2562
@hawachilemba2562 2 жыл бұрын
Hata mm.achayalumbane yenyewe
@mabele5554
@mabele5554 2 жыл бұрын
Ongea mama njoo home zenji
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Unicode pesa ???
@mahmoodsurour9265
@mahmoodsurour9265 2 жыл бұрын
Chapa kazi mamaaaaaaaaaaaa hakuna 2025 Wala nini roho mbovu tu
@misanamaige490
@misanamaige490 2 жыл бұрын
Hongera mama. Uko sawa Watanzania tuko nyuma yako. Tunakupenda sana. Wewe ni mama kwelikweli.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 жыл бұрын
Hivi ndugai alikuwepo hapa?!!!😎🙆
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 2 жыл бұрын
Atakuwa alikificha chooni maana mwanzo wa mkutano alikuwepo
@saviorhk3387
@saviorhk3387 2 жыл бұрын
Ndugai Tuko Pamoja
@tedymanula2544
@tedymanula2544 2 жыл бұрын
Tunakuamini Watumishi
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
👍🙏🙏🙏
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 2 жыл бұрын
Ndugai asipojiuzuru afukuzwe hafai atatuharibia nchi ,huyu ni kiongozi lakiñi mtangulizi wake ndiye aliyeunda makundi haya Chapa kazi mama na futa kesi ya MBOWE ,wanataka kukupaka matope ,,Ndugai ajiwajibike kwa kuwalipa wabunge 19 wasio na chama
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 2 жыл бұрын
Mama Samia ndiyo ajiuzulu Nchi imemshinda hawezi kuiongoza.
@salehekanyama5333
@salehekanyama5333 2 жыл бұрын
Haya yetu macho
@masanjalameck2409
@masanjalameck2409 2 жыл бұрын
Mpasuko ndani ya chama nimkubwa sana fanyeni namna kuwa wamoja mnalipoteza taifa
@johakushoka5629
@johakushoka5629 2 жыл бұрын
Hongera sana mama lazima uwe na uchungu na ss wanao Tunamuombea Dua kwa mwenyez mungu Akutangulie katka kuijenga Tanzania tunahitaji maendeleo mama
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
We ulimsAliti jpm tunakujua
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
JPM ndo mzumu Gani huyo
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 2 жыл бұрын
@@kingkendrickk Mama Samia ajiuzulu tu Urais hawezi.
@fatumasamiasuluhuog8696
@fatumasamiasuluhuog8696 2 жыл бұрын
Mama samia sisi wengine tuko nyuma yako uliko tupo na Mungu atakusimamia wanawake jeshi kubwa tuko na wewe achana na vidudu mtu hawakosekanagi wasikusumbue wanafki hao nahawatakuweza ngoooo
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Mama waangalie na watumishi wananyimwa haki zao za uhamisho (Ummy Mwalimu kwa sasa anaongoza kwa mazoea wala si kwa haki) huku baadhi wana hama kwa chinichini
@jamesmkwabi8895
@jamesmkwabi8895 2 жыл бұрын
Mbona ndugai hatetei hoja yake,kumbe alikuwa Kiki nilitegemea ataitetea.
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 2 жыл бұрын
maza kamind 😁😁
@mgandajames8615
@mgandajames8615 2 жыл бұрын
Yupo sahii kujiudhuru unapo ipeleka nchi sio ame kataa lawama huyo kajiongeza Tanzania😭😭
@jacksondioniz3452
@jacksondioniz3452 2 жыл бұрын
👀👀sisi tunaangalia 2 nchi iende na imeenda
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
Me bado MIKOPO haingii hakilini kabisa mama .... Bado unafeli palefu sana
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 2 жыл бұрын
Mama piga kazi tupo na wewe daima mungu akutangulie
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Kwenye hao mawazili mtoe makamba
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 2 жыл бұрын
Hatamtowa huyo mama utashuhudia !!!! Huyu mama wa ajabu sana madhaifu yake hayaoni kbsaaa!!!
@asiaboniface207
@asiaboniface207 2 жыл бұрын
haaa haya
@kililikiharata3089
@kililikiharata3089 2 жыл бұрын
Shujaa ndugai
@siloomar7699
@siloomar7699 2 жыл бұрын
Mama endelea kuwa na subra cc tunajua kuna wanafiki wengi hiiii nchi
@ashamsuya5833
@ashamsuya5833 2 жыл бұрын
Kuna Mungu ww mama atakuhukumu
@hezekiahamoss696
@hezekiahamoss696 2 жыл бұрын
Pambana mama
@robertndalu7228
@robertndalu7228 2 жыл бұрын
Yetu macho kwani tukisema mtasema tuna gubu tunasubiri 2025
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 50 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 568 М.
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 50 МЛН