No video

"WACHINA WANAKUJA KAMA SHAMBA LA BIBI HAPA, KWAO WANAZUIA" - MBUNGE SHABIBY ACHARUKA

  Рет қаралды 38,918

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

"WACHINA WANAKUJA KAMA SHAMBA LA BIBI HAPA, KWAO WANAZUIA" - MBUNGE SHABIBY ACHARUKA
Mbunge Shabiby leo mei 31 amesimama bungeni na kuchangia hoja yake katika bajeti ya wizara ya mambo ya nje.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 170
@noelnoel4916
@noelnoel4916 2 жыл бұрын
Shabib Allah akulinde kwa uzalendo na ukweli mimi niko ulaya nimemjengea mama nyumba na waweka vizuri ndugu zangu na mimi huko Ndio nyumbani
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Mbunge ana uwezo mpana sana hawa wachina ni wabaguzi sana
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 2 жыл бұрын
Bro una roho safi ,Mungu azidi kukubariki.
@deohaule8161
@deohaule8161 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, Serikali ya Filipino ina train manesi alafu ina wapeleka nchi za ulaya kufanya kazi. Hakuna nchi inajali masilahi ya Tanzania na ndio maana tupo kama kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anajifunza kunyoa nywele. Serikali ya kichina ni baguzi kupindukia, wachina ndio waliosema corona ilisababishwa na watu weusi wa africa. Na tangia kipindi hicho ubaguzi ukawa mkali, na watu kutoka nchi za afrika waka katazwa kuingia. Kibaya zaidi bado tuna endelea kuwapa tenda za mikataba. Na hamna viongozi wanao kemea hili. Huu unaitwa ukoloni mambo leo (neocolonialism), viongozi wetu wana tuuza kwa mabeberu. Hawajui shida, hajawahi kubaguliwa pale waki enda kusaini hiyo mikataba, ila sisi wananchi wachini ndio tuna umizwa. Viongozi kuweni na uzalendo.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
hata wakenya wanajigunza kwenye kichwa cha Tanzania sio wachina tuu
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 жыл бұрын
Cc Africa hatuna uzalendo ndo maana tukakubali kugawanywa na kubaguana cc Kwa cc na Leo kuingia nchi nyingine za kiafrica au za nje ya Africa ni ngumu sana utaulizwa unaenda kufanya nn
@hansdedes1903
@hansdedes1903 2 жыл бұрын
Ndugu yangu mheshwimiwa mbunge nikopamoja wewe maneno yako kweli yanatija naumeona mbali kuhusu wachina wanajifanya wanaakili sana swala lako lichukuliwe maamuzi haraka iwezekanavyo mwenyezi mungu awenawe Shukrani Sana with peace ✌️ and love 💞💞 always 🇹🇿🇹🇿🇹🇿!!†
@oscarkasalile5058
@oscarkasalile5058 2 жыл бұрын
Mheshimiwa shabiby upo vizuri. Hawa wachina wanatuchezea akili
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
sio mnaambiwa nchi imefunguliwa sasa
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Magufuliiiiiiiiiiii🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭😭😭😭😭 wanyonge wanakulilia nchi Tz ni yao sasa wamefukuzwa,wametapakaa wachina wanauza vikombe,karanga kariakoo uwiiiiiiii
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
nchi imefunguliwa ndio tunaambiwa
@jumagitti7000
@jumagitti7000 Жыл бұрын
You're right shabiby. Kwenye construction industry wanajazana mpaka vibarua graduate wote wa Tanzania wanakuwa vibarua
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
Maneno ya kusikitisha sana , mbunge umeongea mambo ya kuumiza
@nassoroali7226
@nassoroali7226 2 жыл бұрын
Mh uko sahihi
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
sio mnaambiwa nchi imefungukiwa sasa 🤣🤣
@athumansangawe4165
@athumansangawe4165 Жыл бұрын
@@nassoroali7226 . Look. 😆 l.l..l my.o MO l
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 2 жыл бұрын
Shabby mmmh very intelligent 🙌🙌 madini tupuuu hayo Sasa uliowashauri mbumbuuuumbuu tuuu
@tuntulusekelo4191
@tuntulusekelo4191 2 жыл бұрын
Mbunge wa Taifa
@pascalgasper403
@pascalgasper403 2 жыл бұрын
Na sio wachina tuuh, mbwa wote wanaokuja kuja tuuh Wazingatiwe,🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@gracemzoo5015
@gracemzoo5015 2 жыл бұрын
Safi sana mbunge hilo umesema
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Mchango mzuri Mhe shabby, God bless more
@omarikessy2339
@omarikessy2339 2 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa kwa ujumbe huo ni huzuni kubwa sana
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Wenzio hlo hawalioni watakuambia unatengeneza ubaguz ,big up mzee
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤓🤔🙏🏃🇹🇿 umeona eeeh
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 2 жыл бұрын
Wabunge kama hawa wenye kuongea maisha halisi ya Mtanzania wamebaki wachache saana bungeni
@tamrikznz7583
@tamrikznz7583 2 жыл бұрын
UMEONGEYA POINT SANA MKUUU... SERIKALI YA VIPOFU HIYO NA VIZIWI .HATA UWAMBIYEE VIPI NIBURE.KIZIWI NIKIZIWITU WANABOWA KWELI BOBOTU JINGI.
@veronicanangale4700
@veronicanangale4700 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Shabiby.
@bantononemmasy7862
@bantononemmasy7862 2 жыл бұрын
Mzee wangu nakuamini sana.
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 2 жыл бұрын
mim nalia huku jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@moriskelvin7865
@moriskelvin7865 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU aendelee kukuongoza Mh Shabib well said
@ramadhanijumakishai7783
@ramadhanijumakishai7783 2 жыл бұрын
Shabibi nakukubali sana unatufaa sana
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
Sema kiongozi hawa wa CHINA WAIZI SANA WANAIBA SANA MAPATO MIMI NINA USHAHIDI JINSI WANAVYO IBIA TRA
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 2 жыл бұрын
Naomba uniambie wanafanyaje nikaropoke Al Jazeera. Maana siwapendi wachina
@venancephilbert9397
@venancephilbert9397 2 жыл бұрын
Huu ndo upumbavu wa mwafrika eti nafungua nchi haya sasa na sisi tukawekeze huko yaani mpaka machoz yananitoka kwa upumbavu wetu
@shadrackmwakalinga6037
@shadrackmwakalinga6037 2 жыл бұрын
Uko vzr Mh. Shabiby keep it up 👨‍🏭
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
My,shabiby allah akusimamie kwa kweli wengine tupo Omani huku lakin hatuna hata mkataba wa wafanyakazi kwa sababu serikali mnatukataza kuja kujitafutia ridhiki ya harali mpk wengine wanachukua jukumu la kupita kwa njia za panda je kwa Tanzania 🇹🇿 mnanufaika na nini sasa ni Bora muingie nao mkataba hata majesty wawe Hutu na kazi zao
@raphaelsikumbi5517
@raphaelsikumbi5517 2 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa watanzania tunakuelewa sana wewe ni mzalendo
@ericapingi8354
@ericapingi8354 2 жыл бұрын
Ni Magufuli pekee ndio angeweza kuchukua maamuzi hayo.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
nchi imefunguliwa kwa wachina
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
JAMAN HAWA WACHINA HAPANA MIMI NIMEFANYA NAO KAZI KWA MIAKA 8 ILA HAO WATU WANAMATESO WALIOKUA WANATUPA MANYANYASO WAIZI WANAIBIA SERIKALI SANA HASA TRA 🙌🙌🙌 NILIWAI KUOMBA MSADA JUU YA MATESO WALIOKUA WANATUPA LAKINI WALIHONGA
@lotegeluakilengai5443
@lotegeluakilengai5443 2 жыл бұрын
Huyu mbunge ameongea ukweli mtupu. Diplomacy gani ambayo ni upande mmoja tu unafaidi.
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa ,huku tunajisifu wageni kwa sasa wanaingia huku nyie hamruhusiwi kwenda popote
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud Ай бұрын
Safi sana mh. Shabiby wachina wanachukuwa fulsa zote kariakoo. Sisi wa tz tuuze nini?
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 2 жыл бұрын
God bless you
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 2 жыл бұрын
Thank you
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
wabunge wote wangekuwa kama shabiby waray tz tungesonga mbele tz imekuwa shamba ra bbi kabsaa sisi wa tz haturusiwi lkn wao wapo kibaho wanauza biashara lkn ssi wenyewe wenye nchi hatuna hajila na ukifanya tunafukuzwa tu nch yetu hatuna huru na nch za wezetu pya hatuna huru
@chakulachaleo
@chakulachaleo 2 жыл бұрын
big point, i like person like this
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 2 жыл бұрын
Shabibu siku zote anaongea point sana
@fredgonga
@fredgonga 2 жыл бұрын
Mbunge ukiwa na hela utachangia chochote na usifanywe kitu. siyo wale kila siku "ameupiga mwingi" shabiby safi sana Wachina ni Mavi kabisa huwa nawachukia kutoka moyoni.. Wanawaita watanzania wenzetu nguruwe wanapojenga barabara..
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 2 жыл бұрын
Ndo anayoyataka mama anaupga mwingi 😂😂😂 kutembea miji ya watu ili waje nchin Mambo ya ajab kwer
@seiflugendo5043
@seiflugendo5043 2 жыл бұрын
Ongea bro hili kweli ni shamba lqbibi na hata sikumoja haitachukuliwa hatua kurekebisha hili mtazungumza sana Ila ukweli utabaki kwamba Tanzania tunawawakilishi ila viongozi hatuna huo ndioukweli mchina anakuja mpaka kuendesha magari(dereva)
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
YAANI ni TZ tu bado malimbukeni,duo citizenship in manufaa saana kwenye nchi..Niko UK,nina passport ya hapa,inasikitisha kuona unakuja nchini kwako kama mgeni..tunashindwa hata kuinvest kwa sababu ya mlomlongo wa mashart kama FOREIGNER!!!! Tanzania in mamilion in DIASAPORA,ILA hatuna hamu kuwekeza,lakini TUNGEKUA NA PASSPORT ZA KIBONGO PIA,WHICH IS OUR RIGHTS,WATANZANIA TULIOKO HUKU PESA TUNAZO,MAWAZO TUNAYO TENA MORDEN ,KWASABABU TUNAONA MENGI AMBAYO TUNAWEZA YA COPY KWA MANUFAA YA NCHI YETU...Ukitaka kununua nyumba,kiwanja,mashamba,either ohonge au utumie ndugu! ukitumia majina yako watakuomba vitambulisho...hapa shida ndo inapoanzia..sioni shida yoyo kuwa na duo,kwani sisi ni wazaliwa wa Tanzania,huku tumekuja kutafuta tu...BUT,i can tell u,hii ni kwetu sisi wa kuwaida tu,matajiri eg wahindi,wana passport zao na za bongo!!!
@TEMBAANICETUS1
@TEMBAANICETUS1 2 жыл бұрын
Tatizo hapa ni watanzania hawaelishwi faida ya watanzania wanaoishi nchi za nje: Faida Kubwa ni Elimu na ufumbuzi wa vitu kwenye nchi wanayo ishi kuleta nyumbani. Nakubaliana na wewe kabisa.
@sarahmackenga3868
@sarahmackenga3868 2 жыл бұрын
Point sana
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Oooo eti kaupiga mwingi huku mnajaza wageni,wenyeji Watanzania mnawafukuza
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Nchi ya wakubwa nenepa wadogo konda
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 жыл бұрын
nakukubari sana man
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Viongozi dhaifu, wasio na maono wanaliletea taifa fadhaa kubwa.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
wapo wapo tuu wala hawajui walifanyalo
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Tunauza utanzania wetu tiliojaliwa
@jumaramadhanirajabu1938
@jumaramadhanirajabu1938 2 жыл бұрын
Wachina hawafai kbsa lazima na wao wasiingie kwani sio lazima kuchukuwa vitu huko ..mbunge yupo sahihi hatua za haraka zichukuliwe ubaguzi huo
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Yaaani
@yohanathadeo1447
@yohanathadeo1447 2 жыл бұрын
Shabibu upo vizuri sana
@joachimandrea7641
@joachimandrea7641 2 жыл бұрын
Mwenye nchi yake amekufa
@goalpost6753
@goalpost6753 2 жыл бұрын
Hamna mwenye nchi boya
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 жыл бұрын
Unapofungua milango kwa pupa, bila kuweka uangalizi wa kutosha huingia hewa,mbu,na inzi.
@zaipazzi9490
@zaipazzi9490 2 жыл бұрын
Lazima tuamka wa Africa nina mengi moyoni lakini siwezi kuyazungumza umu sio mahala pale. Tunanyasika sana
@jeremiamakungu6047
@jeremiamakungu6047 Жыл бұрын
nakuombea uchukue urais mheshimiwa wangu
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 2 жыл бұрын
Huyu mheshimiwa yuko vzr sana
@kdloon2030
@kdloon2030 2 жыл бұрын
Jamaa anaongea point
@rehemaa597
@rehemaa597 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa wafilipino wanathaminiwa saana inchi za waarabu kwa sababu serikali yao inawalinda wanaingia kwa mikataba sio sisi tunauzwa na maajenti wanachukua pesa kibao ukimwelezea shida unayopata hakusaidii
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Pia nchi yao inauchumi mkubwa alafu mwarabu mtu mweusi unauona kikalagosi yani si chochote
@kulwamussa3612
@kulwamussa3612 2 жыл бұрын
Wachina wabaguzi sana wanaubaguzi moubwa sana hilinalo mliangalie kwaumakini hapa tunawafanyia kazi lakini washenzi
@mbojesalumsalumneema3659
@mbojesalumsalumneema3659 2 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@antonynyaulingo8359
@antonynyaulingo8359 2 жыл бұрын
Huyo ndiyo mzalendo
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 2 жыл бұрын
Dharau sana sema is too much
@mrsnam6897
@mrsnam6897 2 жыл бұрын
Akili mingi sana
@geey7893
@geey7893 2 жыл бұрын
Haya mambo ya upumbavu kuwanyenyekea Watu JPM alikataa. Alipokufa haya mamtu maoga yakatuvua nguo zote sahiz wazungu na wachina wanatugonga bila kutumia nguvu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Hao Wachina kiburi wanapata wapi? Ukipata jibu ndio tutaweza kudhibiti yote yanayojiri ambayo hayana maslahi Kwa Taifa wala Wananchi Mmoja Mmoja
@amenipasanga9865
@amenipasanga9865 2 жыл бұрын
Mtu mmoja anafanya taifa Zima tunaonekana vilaza jmn, ww unafungueje mipaka kwa wanaokufukuza? Mungu atunusuru tupate kiongozi mwenye akili na mzalendo
@benitopilla3145
@benitopilla3145 2 жыл бұрын
Du safisana mbungewa taífa
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 жыл бұрын
SHABIBI UMESEMA UKWELI KUHUSU BIASHARA NA CHINA. KAULI YAKO ITAFANYIWA KAZI?
@miketzee806
@miketzee806 2 жыл бұрын
Kiti:Asante lol
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 2 жыл бұрын
Ameongea point sana
@abdallahally842
@abdallahally842 2 жыл бұрын
Mama.amkaaa wameshauri vyemaa
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 2 жыл бұрын
Viongozi watanzania tumelogwa kusimamia sera zetu zanje tumekuwa vipofu
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 2 жыл бұрын
🙏🙏kwa wanaohusika wafanyie kazi ushauri wa mbunge huyo vinginevyo kizazi cha mwafrika kitapotea kwasababu roho za watu wa nje kwa mwafrica mngekuwa mnaziona ndani mwao nadhani msingukuwa mnawasalimia😔😔
@yusuphmpando9900
@yusuphmpando9900 Жыл бұрын
Huyu mzee nimkweli nandomaana kafanikiaa ameongeza kwelitupu
@personpeter2221
@personpeter2221 2 жыл бұрын
Shabb anafaa kuwa rais wa tz anamaono makubwa
@jumafundi2871
@jumafundi2871 2 жыл бұрын
Sisi huju wametupokonya mashambayetu kisha eti wanataka kupanda mpunga huu unafika mwaka bila kupanda chochote ,na sisi hatunatena sehem zakulima tena wanalindwa na polic utazani wao ndio wanomiliki hii nchi dah shida kwakweli.
@yahayahussein-fh2tq
@yahayahussein-fh2tq Жыл бұрын
Kaka yangu shabibi nakuunga mkono hiyo hoja kaka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Shabiby sema usiogope sema
@immathebonga5164
@immathebonga5164 2 жыл бұрын
Shida sis ni tegemez hay muwakataze wachina na wao wagome kuleta bizaa zao
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 жыл бұрын
Duh 🙄🤯😇😇kwakweli ulifaa ata kua raisi kweli tatizo nyota umeongea vzr baba umeona mbali 🤔🤔🤔
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 2 жыл бұрын
mh anaakil sana
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 2 жыл бұрын
Huu ndio upumbavu wetu wa bara langu Africa tukiongea wanyonge utaambiwa wakukute kituo cha police ila kiukweli naumia sana kuiona Tanzania yangu inakuwa kichwa cha Mwenda Wazimu kwa hisani yenu mliopata dhamna itendeeni mema hii nchi
@simasima8084
@simasima8084 2 жыл бұрын
Na hao wachina wasije tz watume mizigo na wao mbav sana
@Princewaweru
@Princewaweru 2 жыл бұрын
Huyu baba yetu Shabiby awekewe ulizi wa kutosha nna mafuzo ya kutosha ukinipa idhini ntakulinda mkuu
@mkomwambezi8829
@mkomwambezi8829 2 жыл бұрын
huyu ugomvi wake sio kariakoo bali ni inshu ya mabasi new force
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 2 жыл бұрын
Swadakta
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 2 жыл бұрын
Wananchi wa E.A wanapata wanaingia Tanzania wakati wanaishi nje ya nchi Hizo na ni raia pacha ktk nchi za E.A
@samirazuberi186
@samirazuberi186 2 жыл бұрын
Kaongea sawa kabisa lakni mhmh
@mariampazi8753
@mariampazi8753 2 жыл бұрын
Unaongeaga vitu vizuri san
@salcle9702
@salcle9702 2 жыл бұрын
Wachina kweli wamejaa huku Tz kama mapopo mpaka vijijini na ndo wamejaza mabonanza kama utitiri pia haya mabonanza yaishie kwenye makasino yanaharibu watoto.
@longinemuhumba3804
@longinemuhumba3804 2 жыл бұрын
Bobo from China 🇨🇳 to Tanzania 🇹🇿
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
🤝🤝🤝🤝🤝🤝💪💪👍👍
@kasakealex5444
@kasakealex5444 2 жыл бұрын
Mh.Shabiby umenena vyema wachina ni watu wa hovyo sana tunasumbuana sana hata makazini ni mijitu ya ajabu
@mnyamatv505
@mnyamatv505 2 жыл бұрын
@ UTAMU WA KUIKATIKIA !!!!!! YA MPENZI WAKO
@dazandavie9466
@dazandavie9466 2 жыл бұрын
Magufuli tutamlilia mpaka tufe
@mangobase
@mangobase 2 жыл бұрын
JPM alisema mkamuona ujinga
@charlesmathayo893
@charlesmathayo893 Жыл бұрын
Wachina wabaguzi sana kaliakoo wamejazana utafikili tanzia imekuwa China
@Fundi12345
@Fundi12345 Жыл бұрын
Tupo kwa jili ya ya kipigwa a china tu wanaojiita wasomi hakuna kitu wasomi hapo wapo wapigaji tumombe mama atoe vizuizi vya ajabu hivo toka chini
@petermsangi2701
@petermsangi2701 2 жыл бұрын
Serekali ifanyie kaz huu ushaur jaman
@mohamedschaeublin7374
@mohamedschaeublin7374 2 жыл бұрын
Kuhusu China hamtafaidika Sababu Tanzania Govement haina control over China, TZ Gov mtaleta njaa kwa wananchi, nafasi za kazi biashara ndogo ndogo zipo kwa Wachina pia, Future ya watanzania ipo Hatarini,
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 2 жыл бұрын
Tena wanaroho mbaya sana wapuuzi hao
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 жыл бұрын
Yan Tanzania kwenda nje ni shda sjui tunashda gani
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Uchumi haupo vizuri na serikal pia haijajipanga sawa sawa
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
DC GAIRO WATOLEANA MANENO NA MBUNGE SHABIBY MBELE YA NAIBU WAZIRI
3:13
Gangana Info Channel
Рет қаралды 88 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 281 М.
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 111 МЛН