'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli

  Рет қаралды 794,043

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 560
@mihayouziambasha5020
@mihayouziambasha5020 3 жыл бұрын
Waliokuja hapa baada ya kifo chake ngonga like
@drfrank512
@drfrank512 3 жыл бұрын
Shenzi sana
@ko3053
@ko3053 3 жыл бұрын
@@drfrank512 matusi tena ya nini?
@drfrank512
@drfrank512 3 жыл бұрын
samahani sana kaka ila hukubonga vizuri kwenye coment lako.Magufuli in shujaa achana na upinzani.
@drfrank512
@drfrank512 3 жыл бұрын
@@ko3053 bwana waishi wapi haswa?? Tena ningependa tubonge on WhatsApp if possible please. Thanks I see u are a man of your words.
@drfrank512
@drfrank512 3 жыл бұрын
Like ya nini tena..,?
@japhetmasunga6327
@japhetmasunga6327 5 жыл бұрын
kama unamkubali magufuli mpe like apaa mtu wa wanyonge big up wanaokuchukia hawajielewi hapa kazi tu🙏🙏🙏🙏
@TheLegend-qb9pm
@TheLegend-qb9pm 3 жыл бұрын
This Man to be Honest he was a Legend,,,,,Rest in peace baba😭😭😭😭
@jumaally9162
@jumaally9162 5 жыл бұрын
Safi sana Mh Raisi wetu, Dk john pombe Magufuli, Allaah! Akuongoze, pia tunashukuru kwa kukipa kipaumbele Lugha yetu ya Kiswahili kama wenzetu wanavyo thamini lugha zao, tuwe wazalendo na Lugha yetu na tujivunie nayo lugha yetu ya kiswahili na tuithamini.
@jamesezekiel2358
@jamesezekiel2358 4 жыл бұрын
gambos
@jamridiissa6549
@jamridiissa6549 5 жыл бұрын
Kama unakubali alichosema baba etu utanzania kwanza gonga like twenzetu 🙏🙏🙏🙏😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🔫
@stanleybupambambogo3334
@stanleybupambambogo3334 5 жыл бұрын
Siku zote mimi namkubali na kumthamini Rais wetu - JPM kwani ni mzalendo, mchapa kazi, mwenyewe dhamira njema kwa taifa, mwaadilifu, SIYO kigeugeu katika maamuzi na utendaji wake wa kulipeleka mbele taifa letu - Tanzania. Tumuungeni mkono.....
@ayubujackson5782
@ayubujackson5782 5 жыл бұрын
Jamridi Issa Huyu jamaa in bal@@@ kwa l@nguage
@chandesamsung7267
@chandesamsung7267 5 жыл бұрын
Baba yako mwenyeweee
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 5 жыл бұрын
Bado ICC haujafika. Umerudisha nchi nyuma sana. Tuelrze fedha za watu za korosho ziko wapi?. Una kesi 600 za kuwaua watu. Kila kichwa kesi moja Duh. Umeleta Wachina kazi zao kuiba tu na kutuletea samaki wenye sumu.Umeua Demokrasia Tanzania na kufilisi watu. Lazima tukufunge.
@bantuisolele2543
@bantuisolele2543 5 жыл бұрын
@@evansmlalo4049 mfunge sasa unasubiri nini kama uwezo unao na uchama unakusumbua wewe
@hechihechie5558
@hechihechie5558 5 жыл бұрын
Mh Magufuli anajua km za barabara karibia zote Tanzania ashindwe vip kujua kingereza ambayo ni lugha rahisi tuu.Mungu akubariki Rais wetu piga kaziI Baba
@japharyshayb2273
@japharyshayb2273 5 жыл бұрын
Asant mungu kwakutupa nguvu za kumchagu huyu big
@isacksamwel1769
@isacksamwel1769 5 жыл бұрын
Christina Msoka hhhhhhh huyu mzee ni genius.
@harrisonsalama3481
@harrisonsalama3481 4 жыл бұрын
KO mm xd
@frankngoloka8311
@frankngoloka8311 5 жыл бұрын
Tatizo wabongo tumezoea ukiongea kingereza eti ndiyo msomi,tudumishe lugha yetu watanzania
@maikotrinity4939
@maikotrinity4939 5 жыл бұрын
Frank Ngoloka acha umatako wewe udumishe nini wakati kila kitu kimeandikwa kingereza
@jacksonmbilinyi8019
@jacksonmbilinyi8019 5 жыл бұрын
We Mbeshi matako kabisa kwani unajua nn kuhusu ulimwengu huu. Nakupa mifano ya hoja North Korea most of them hawaongei English, China, Russia hawaongei na hata maraisi wao pia je hawana uchumi bora.????? Msipende kubishana vitu ambavyo hamvielewi bado.
@hamiyarsaid2844
@hamiyarsaid2844 4 жыл бұрын
@@jacksonmbilinyi8019 hayo uliyotaja ni mataifa makubw usilinganxh na tanzania, wao wna uwezo wa kujitgmea mambo yao mengi cc hpa mambo mengi tnatgmea nje ambako kiingrza ndo kmetawala uko,kiingereza kina nafas yke kw mataifa kma hya ya Tanzania sema kiswahili tusikidharau tu
@kelvinmahenge1228
@kelvinmahenge1228 4 жыл бұрын
@@maikotrinity4939 kumbe ww ndio kima unaeabudu matako ya wazungu hujui kama kiswahil inakua kupitia kuongezeka kwa watumiaj kwahiyo itumike ngel hata kwenye nchi yako maanake nn?kima usiye jitambua ww
@allysalim3534
@allysalim3534 4 жыл бұрын
Sasa ongeakiingeleza Na watoto wako Kama mtaelewana sisi tutaongea kisawahili
@bonniepeter9480
@bonniepeter9480 5 жыл бұрын
Kama na ww umeisikia hiyo your ohoong,'oooh ya mzee nipe ngonga like hapa
@aymansalmam4011
@aymansalmam4011 5 жыл бұрын
Bb achana nao so
@sebastianmasanja8864
@sebastianmasanja8864 5 жыл бұрын
Kbxa
@suzizuzulima2239
@suzizuzulima2239 5 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaaa
@josephatswai4628
@josephatswai4628 5 жыл бұрын
Ujue au usijue hilo ni jukumu lako alikuambi hujui ni nani?
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 5 жыл бұрын
Hajui!!! Usome kwa kiingereza mpaka phd kuongea kiingereza iwe shida!! Huobmfumo si unashida bado mwahitaji tochi!! Afu mifano ya china na korea msituletee!! Mfumo wao wa elimu ni kwa kugha zao !!!
@alfredscriptsforcheaperpri6918
@alfredscriptsforcheaperpri6918 5 жыл бұрын
Hahaha I just love this man from Kenya wapi likes zake
@ading9710
@ading9710 5 жыл бұрын
Nampenda na kumheshimu sanaa huyu Rais wa Tz🙏 daah..love 255💪
@majalaomari9305
@majalaomari9305 5 жыл бұрын
Mazishi ya mengi
@abuunomaz2323
@abuunomaz2323 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Mzee baba unanipaGa furaha sana #BigUp rais wngu
@chelsealisa1655
@chelsealisa1655 2 жыл бұрын
How can a single man do all this success by himself and I got the answer it's when you are with God that everything aligns itself. Magufuli's not just a great leader but he was a God fearing man as well RIP great man and may the Lord forgive where you went wrong and accept you in paradise
@ernestkaria5938
@ernestkaria5938 5 жыл бұрын
Wewe ni shujaa @magufuliTz Nakuelewa sana rais wangu
@jayblack4313
@jayblack4313 5 жыл бұрын
ernest karia big up mr maguful
@tadeimwaipaja1191
@tadeimwaipaja1191 5 жыл бұрын
Safi mnooo my presedent John Magufuri
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 жыл бұрын
Tadei Mwaipaja huyu ni rais jamani
@ausonjustinian4894
@ausonjustinian4894 5 жыл бұрын
Mzee uko sawa tu. Ao achana nao
@halidykilindo388
@halidykilindo388 5 жыл бұрын
nakubali sana rais wetu makufuli fanya kazi
@malamafyisamkanda5362
@malamafyisamkanda5362 5 жыл бұрын
Raise anayo ongea niyakwelii kabisa wala hajakosea
@arusha24macoligo
@arusha24macoligo 5 жыл бұрын
Baba LA baba 😂😂😂😂😂😂
@robyfabian9898
@robyfabian9898 5 жыл бұрын
Arusha 24 at
@malamafyisamkanda5362
@malamafyisamkanda5362 5 жыл бұрын
Dj Arusha We noma DJ ad uku upo hakija apo pamoja 👏👏
@allyhassan537
@allyhassan537 4 жыл бұрын
Ndio maana watanzania tunaelewana sana nyumba moja ya kupanga dini,itikadi ya vyama kabila na mengine mengi tu run as tofautiana lakini hakuna matatizo mkewangu ccm mimi chadema mwanangu act lakini tunaenda sawa
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 5 жыл бұрын
ņyumbani kwnza....pend sna rais wng mungu akuliňde
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
wanaompinga huyu mzee ni mazwazwa kama yule zwazwa alioko polisi mm nna mwamini JPM 100% kuwa ni ile 1st generation of leaders ile ya kina Jk nyerere. na Nkurumah maana ni mkweli JPM sio mnafiki
@franklinedward8123
@franklinedward8123 5 жыл бұрын
free huru PUMBAVU KABISA
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
@@franklinedward8123 pumbavu ni wewe mshenzi wa adabu usiyeona kinacho endelea wewe ni sawa na mlemavu wa akili au nyani ...ww ni mmoja wapo wa wale nyani mliotoroka porini.
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
ndugu yangu unakosea,hakuna aliyekamilika kwa kila jambo,penye kusemwa atasemwa ila si vema kuhukumu jambo usilolijua
@devidpanja115
@devidpanja115 5 жыл бұрын
mazwazwa walikuepo tangu enzi na hawataisha
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
@@imbatokamoyoni2209 wapo waliokamilika ndio.kama huamini wapo waliokamilika pole. 2+2=4 lakini sio lazima iwe nne inaweza kua ata 8 ukiamua so waliokamilika wapo toka hapa.
@shufaafarihya8674
@shufaafarihya8674 5 жыл бұрын
piga kazi baba wanaosema ujui kiingereza bora uongee kijita tu
@shau78
@shau78 5 жыл бұрын
wanaojua kiingereza walitusaidia nini? maneno matupuuuuu
@evammile7876
@evammile7876 5 жыл бұрын
Ndo Mana Nampenda sana huyu Mzee Ee M/Mungu Nakuomba umpe Maisha Marefu Mno JPM wetu
@abelmwashitete1531
@abelmwashitete1531 5 жыл бұрын
Hulijui ulitendalo!
@simiyudismas4780
@simiyudismas4780 5 жыл бұрын
Eva Mmile jtm
@simiyudismas4780
@simiyudismas4780 5 жыл бұрын
jtm
@harounjc6550
@harounjc6550 4 жыл бұрын
🤗🤗🤗
@neemapkawonga131
@neemapkawonga131 5 жыл бұрын
Kweli baba hata mm nitagonga kiswahili mwanzo mwisho lugha nyingine ni ziada tu
@abdulunika8577
@abdulunika8577 5 жыл бұрын
Mweshimiwa rais wangu magufur nakukubali sana mungu akusaidie katka uongoz ulio bora
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 жыл бұрын
Maana ya mzalendo ni mtu anayekitetea kitu chake hata kama kina madhaifu..
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Acha MUNGU aitwe MUNGU kweli😭😭😭😭🇹🇿💔🕯️ tuta'kukumbuka baba JPM 🇹🇿tutaku'enzii daima
@dennystarvevo9894
@dennystarvevo9894 3 жыл бұрын
R.I.P baba
@kalufunyangenyakinyungu5087
@kalufunyangenyakinyungu5087 4 жыл бұрын
😂😂😂 nimerudia tena 2020 kwa ajili ya lile neno alilosema " You ng'ooo" kati hata uingereza hujawahi kufika.😂😂😂
@davidobonyo7558
@davidobonyo7558 3 жыл бұрын
Asante sana Rais JPM kwa kuacha Legacy tanzania kwanza pumzika kwa amani shujaa wetu
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 5 жыл бұрын
Kabisa mzee baba kiswahili kitamu,nipo Muscat nimefurahi juzi kusikia moja kt ya redio wanaitagaza kwa kiswahili
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 4 жыл бұрын
Safi
@fadhilrashid4175
@fadhilrashid4175 5 жыл бұрын
Africans shud be proud of their language Swahili infact measures shud be put in place to ensure every foreigners coming to Africa shud undergo 5 months Swahili classes to get a visa
@Watema23
@Watema23 5 жыл бұрын
Ni kweli Kiswahili kinakuja na kasi sana. Hata hapa Marekani bahazi ya vyuoo vikuu vina somo ya Kiswahili.
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Safi
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 5 жыл бұрын
Asilimia 90 ya walimu wa kiswahili waliopo ulaya wanatokea kenya
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Kwel kabisa... Watanzania bado tupo nyuma kwenye kuchangamkia fursa.
@anetikapami4228
@anetikapami4228 5 жыл бұрын
watema emmanuel, ndugu mwnzetu uko malekani. Niajili hata kazi za ndani kwako
@jacksonmbilinyi8019
@jacksonmbilinyi8019 5 жыл бұрын
Kiswahili ni lugha tamu sana kuliko zote duniani. Ninafanya kazi na watu wa mataifa mengi duniani ninajua lugha taño za mataifa mageni ikiwemo Russian. Cha ajabu hao wazungu na watu wa mataifa mengine wakija huku wanatamani kiswahili. Halafu mtanzania anakibeza na ni lugha yake
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Rest in peace uncle Magufuli i miss you badly
@kimsash_
@kimsash_ 5 жыл бұрын
Taratibu wataelewa tu hao wala usijikaushe uzazi bure 🤣
@rosemassawe4033
@rosemassawe4033 5 жыл бұрын
Hahaaa
@mayusahussein4721
@mayusahussein4721 5 жыл бұрын
Hahaaa
@timemajestically
@timemajestically 4 жыл бұрын
Ndg zang watanzania, ifike wakati wa sisi kuwa na sauti moja katika kuipai lugha yetu nzuri na yenye radha yake duniani....!!
@songorojafari9208
@songorojafari9208 5 жыл бұрын
Mungu yupo na wewe kwa kila jambo.. Nakuelewa nakukubali sana piga kazi
@mikidadiligogi4311
@mikidadiligogi4311 5 жыл бұрын
watapata tabu Sana juu yako
@mosesmkoma6882
@mosesmkoma6882 5 жыл бұрын
Kweli utanzania kwanza siyo you know you know hata uingereza ujafika😂😂😂
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 5 жыл бұрын
Tuko Pamoja mzee
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
Yaan kwa hili kama unamkubali rais magufuli acha majungu yaan anajua kiingereza vizuri kuliko hata waingereza wenyewe kama umemuelewa MPE like zake please
@goldendesertmrgolden5976
@goldendesertmrgolden5976 5 жыл бұрын
Mh raisi kaongea point kubwa sana kuna bazi ya watanzania ni wapumbavu kwanza nikiswahili Motherlanguage harifu uonge hicho kingereza chako unachokijuwa wewe na mkeo Pumbavu big up mr president
@sadaabdallah1641
@sadaabdallah1641 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mueshimiwa rais wetu
@explorelondon3695
@explorelondon3695 3 жыл бұрын
I will miss him terribly..
@explorelondon3695
@explorelondon3695 11 ай бұрын
Still missing him in August 2023, when the world is so much in need of human leaders. Kweli kifo hauna huruma😢❤
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
LEGENDS NEVER DIE
@devothalyimo29
@devothalyimo29 5 жыл бұрын
🙌🙌🙌UTANZANIA Kwanzaa
@kulwaclassic6363
@kulwaclassic6363 5 жыл бұрын
Ooooyi!!!!!!!!???
@kevinolome8852
@kevinolome8852 3 жыл бұрын
You will be remembered sir
@ligmmohd8112
@ligmmohd8112 5 жыл бұрын
Kifanyeni basi kiwe kinatumika kwenye ujifunzaji mashuleni,laiti tungekuwa tunatumia kiswahili mashuleni watu tungetusua sana!
@damianmakala2913
@damianmakala2913 5 жыл бұрын
Hahahaha nimeipenda hiyo
@paulmaziku240
@paulmaziku240 5 жыл бұрын
Saidi Amiri sidhani kama ungeweza kuelewa.
@bulikidittu3361
@bulikidittu3361 5 жыл бұрын
kufeli kupo tu
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
kufeli au kufaulu ni uelewa wa mtu,kuna somo la kiswahili sidhani kama ndio somo linaongoza kufaulisha ,kama huelewi ni haulewi hata iweje
@joramjames2121
@joramjames2121 5 жыл бұрын
Hahaha nimeipenda upo sawa ndg
@abuudhurkarnayn8833
@abuudhurkarnayn8833 5 жыл бұрын
Tatiz mikataba iko kingereza nenda tanesko.bado karatasi ni kingereza usome yaaani inatakiwa kuvujwa mikataba yote ya kingereza ibaki ya kiswahil hao.wakija watasoma mbon.sie tunSoma.chao
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
MTEI TV c nd apo ss
@husseinkulumbiza8894
@husseinkulumbiza8894 5 жыл бұрын
Safi sana!,mimi nakuelewaga sana,Pambana mkuu tupo pamoja sana,tunaendelea kukuombea Mungu Akutie nguvu.
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa!
@nahimanahussein707
@nahimanahussein707 2 жыл бұрын
:YES YES
@mgallason...5686
@mgallason...5686 2 жыл бұрын
Thank you Brother
@jamalsalimalmahry6878
@jamalsalimalmahry6878 5 жыл бұрын
Mashaallah rais wetu tunakugubali sana😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
sasa nyie mnaombishia hajui kingereza mtuhakikishie nakutupatia ushahidi kwamba hajui,maana naona watu povu linawatoka hapa
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 жыл бұрын
Tafufa utube xlip yake akijojiwa na mzungu lugha kuhusu rushwa mbona mseveni ndio alikua anamjibia. haaaaa
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 жыл бұрын
au ushahidi gani tena unataka, we tafuta utube kuna video imeandikwa raisi akiongea kiingereza mbona huruma
@mohammedally1108
@mohammedally1108 5 жыл бұрын
Vivian Dada yangu sio utube night KZfaq,,,,,, kithungu buana 😅😅😅
@siracosmas3326
@siracosmas3326 5 жыл бұрын
umaskini mambo leo wako
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Vivian Lenard duuuh tafufa tn?
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu
@yohanamsengi3396
@yohanamsengi3396 5 жыл бұрын
Safi sana Rais wetu, hahahh nakukubali mzee ! Unajuaaa , waache mbwembwe!
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 5 жыл бұрын
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV .MAGUFULI ana himiiza kusoma
@jongojongo9388
@jongojongo9388 5 жыл бұрын
Leo nimekuerewa xn msukuma
@edinachami1754
@edinachami1754 5 жыл бұрын
safi sana raisi wetu waonye nawasanii watzd waache mathis is kwenye intavyuu zao
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
Mungu akulinde baba Magufuli. ur the best President
@patientlazaro6930
@patientlazaro6930 2 жыл бұрын
Huyu ndio raisi peke wa Tz mwenye ako na uzalendo na kujali wananchi wake... I wish miracle hapen again in Tz 2025 tupate mtu kama huyu. Mungu ibariki Tz.
@kaundandimila5807
@kaundandimila5807 5 жыл бұрын
Mzee anajua Lugha nyingi sana
@eliudymhapu1750
@eliudymhapu1750 4 жыл бұрын
Ha00000000
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
mungu akujalie raisi wetu hakuna mkemia asiejua kingeleza lengo lao kukukejeli mungu akusaidie sanasana natutafika
@kitokisospeter7247
@kitokisospeter7247 4 жыл бұрын
Hata Rwanda,Burundi,wanaongea lugha yao,na sio kiingereza.MKUU upo vizuri sana.Utanzania kwanza.
@abdulrahmanhassan3825
@abdulrahmanhassan3825 4 жыл бұрын
Kuna baadhi ya watu wanadhani kujuwa kingereza ni usomi ndio unaonekana umesoma Sana'a
@Da_Gee
@Da_Gee 3 жыл бұрын
1:26 -1:29 Danke schön, Auf wiedersehen🤩 Mzee ulikuwa vizuri, hadi kijerumani dah!
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 3 жыл бұрын
Baba jamani you're kind and lovely. RIP DAD
@susansamson1099
@susansamson1099 5 жыл бұрын
I hate the comparison with China na Russia. hixo nchi wanstumia hixo lugha zao. sip Tz maofosini kizungu hospital . barua za kazi. Aache kupoteza watu
@stevenpaul4818
@stevenpaul4818 5 жыл бұрын
Safi sana
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Jesus is good ooh and JPM.
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 3 жыл бұрын
He's makes me laugh my ass off, wa Tanzania Kwanza
@kwesinjoku8940
@kwesinjoku8940 3 жыл бұрын
NImefurahi sana na hili neno Rais wa Muungano waTanzania alichosema. Inabidi tu linde luga yetu ya kiswahili.
@kibonerose2470
@kibonerose2470 3 жыл бұрын
I can't believe you left us papa 💔, may you rest in peace papa we will always remember you in history 🙏🙏🙏
@kensongodfrey1876
@kensongodfrey1876 2 жыл бұрын
Rearly
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
I miss this person dearly,rip jpm
@bibieismaily5761
@bibieismaily5761 2 жыл бұрын
@@kensongodfrey1876 ....Kaka huu no msiba Tena cjui Kama tutapata wakufananaye!
@ikramhambo1158
@ikramhambo1158 2 жыл бұрын
Daaah mekukumbuka sana we mzee magufuli aisee hakika hakuna kama wewe
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 5 жыл бұрын
Asanteeeeee
@nativeson1559
@nativeson1559 3 жыл бұрын
Rest In Peace gentleman. As a Kenya, I agre with you whole heartedly. Lazima tujifunze na tukitumie Kiswahili. AMA na na Agni Jameni?
@ibrahimjoseph2789
@ibrahimjoseph2789 3 жыл бұрын
Daaaaa umetutoka baba MUNGU akulehemu, umetufunza mengi ndani ya miaka5 tu daaa siamini, nitajivunia wewe milele nakupenda Tanzania 🇹🇿🇹🇿 na wananchi tunakupenda Magufuli tutaendelea kukuombea,
@niyimpumurizamoise2256
@niyimpumurizamoise2256 4 жыл бұрын
Hilo tatizo siyo Tanzania tu.huku Burundi wengine wakienda ufaransa wa kikaa kule week mbili wanajifanya eti wamesahau kirundi.kama hujui kirundi manayake wew ndo msomi.
@chriskalega4348
@chriskalega4348 5 жыл бұрын
Nakukubali miaka yote
@bornmazungu9325
@bornmazungu9325 5 жыл бұрын
Kama unabishana na jpm ww ni zuzuu!!!
@leonardshija3398
@leonardshija3398 5 жыл бұрын
Wapashe mkuu
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 2 жыл бұрын
Lala salama baba yetu😭😭😭😭
@placidvenance9665
@placidvenance9665 5 жыл бұрын
kingereza sio ugaliii wa watanzania kama umependa maneno ya mzee wa kazi gonga like hapa
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 жыл бұрын
Mtanzania akiongea kizungu yani ajiona ndio msomi watu watamjuaje kama kasoma au anajua kizungu ushamba huo bado tunao anazungumza na watu ambao hawajui kizungu basi ndipo ña yy anachanganya kiswahl na kizungu maana kuna maneno mengine ajifanya kwa kiswahili hawezi kusema au kulitafasiri
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Kiswahili Kwanza 🇹🇿👏🏻👏🏻👏🏻❤️
@oswardmpaly4981
@oswardmpaly4981 5 жыл бұрын
exactly kabxaa Mr rais wetu
@jenniferwekesa1425
@jenniferwekesa1425 3 жыл бұрын
He was a good leader by stopping corruption in tanzania
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 5 жыл бұрын
Katika swala la lugha hapa ni muhimu sana raisi ,kaongea vema sana,halikwepeki,ila tatizo kasumba zimetujaa,miongoni mwetu watanzania,kujua lugha au kutojua ni swala la mapenzi tu,isiwe kigezo cha kusemana vibaya,ila binafsi naona lugha zote mbili kwa mazingira tuliyonayo zinafaa,WATANZANIA TUNAKOSA FURSA NYINGI SANA HUMU MITANDAONI SABABU YA LUGHA,, KISWAHILI MUHIMU ILA ENGLISH PIA SIO YA KUBEZA,, AHSANTE
@saidikambi9597
@saidikambi9597 4 жыл бұрын
Nakupenda Raisi wangu mpaka Nikilala usiku naota nimekaa na wewe tunapiga stori wewe sio rais wa miaka kumi tawala hii Tanzania miaka zaidi ya 30 kama allah atakupa uhai mashaallah.
@bakalikitambazi9215
@bakalikitambazi9215 4 жыл бұрын
Waoooo
@jeronkabinda6885
@jeronkabinda6885 4 жыл бұрын
I love your statements
@osmanali6112
@osmanali6112 4 жыл бұрын
Ukuweli muhish miwa mugufuli tuna kupenda sana ni musomali kutoka muqdisho
@peterkaling2826
@peterkaling2826 5 жыл бұрын
Utanzania kwanza Mungu ibariki Tanzania
@sakinafredy3653
@sakinafredy3653 2 жыл бұрын
I miss him so much❤️😥
@kiruakip6380
@kiruakip6380 5 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini napenda uelewavyo undani waulimwengu hata ukienda UN ama ulaya ongea kwa kiswahili rais wenyewe watafte wagalimani aka translator kama wafanyavyo wachina WA Russia hata na waarabu ...jenga lugha yetu.tutaanza kumaliza ukoloni kwakua no lugha yetu kama waafrica
@fatmanasornasor9047
@fatmanasornasor9047 4 жыл бұрын
Watanzania Kwa pamoja tunakuomba raisi magufuli peleka ndege kule sauz afrika ukawachukue watanzania wenzetu wana zalilika kule kama engekua ni wazungu egekua washachukua RAIA wao zamani nasisi msituzarau nasisi pia ni watu au mnasemaje watanzania wenzangu ?
@joharijumajohari6417
@joharijumajohari6417 4 жыл бұрын
vizuri kabisaaaaa mzee baba unakuta hata wasani anaongea maneno machache sana kwenye interview ya kiswahili english ndio sana tupende lugha yetu tuache ulimbukeni
@steveswakei9600
@steveswakei9600 5 жыл бұрын
kiswahili kitukuzwe. napenda sana mtindo huu wa kitaanzania wa kuzingatia lugha yetu ya aafrika. kenya tuchunge sana tumeingia utumwani mwa lugha za kikoloni
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 жыл бұрын
Hahahahahaha Nakukubali we baba mpaka bac
@daudimasebo4073
@daudimasebo4073 2 жыл бұрын
We sio baba yangu lakn Mungu akulaze mahala pema pepon ,nataman nije kuwa Kama ww
@kimtv.ubuyuonline7853
@kimtv.ubuyuonline7853 5 жыл бұрын
safi sana baba wambiye hao watumwa wamkoloni sisi tunapenda luga yetu kiswihili kitukuzwe tanzania bila kingeleza inawezekana🇹🇿🇹🇿
@japhetmkondya2795
@japhetmkondya2795 4 жыл бұрын
Nipo ujerumani. Ni Mtanzania ninampenda Rais wangu wengi hawawezi kuelewa kitu anachokifanya Rais lakini huo ndio ukweli Ujerumani watu asilimia 80 hawejui kingereza na wanaongea kijerumani tu na unapokuja nchini kwao unalazimika kujifunza kijerumani nadhani ifike hatua watanzania tuelewe juhudi za mheshimiwa rais juu ya Taifa la Tanzania na tuondoke kwenye maisha ya kufuata upepo wa wana siasa nadhani huyu ndiye rais ambaye Tanzania ilikuwa inamuhitaji kwa miaka mingi sana huwezi amini ninekutana na Nyimbo kwenye kanisa katoliki wanaimba kiswahili hapa ujerumani alafu watanzania tunakazana kutafuta sana kuzungumza kingereza naamini huu ndio wakati wa Tanzania kuamua kutembea na kuondoka kwenye utumwa uliofungwa kwenye fikra kwani kiukweli nimegundua hawa Jamaa wanahitaji msaada kuliko sisi tunavyohitaji sema tu fikra za watanzania zinaamini ulaya ni kila kitu Majuzi nilikwenda Nedherland nimekuta jinsi Taifa linavyowekeza nguvu nyingi kupambana na maji yasiendeele kutafuna sehemu ya ardhi kwa kujenga kuta na miinuko sehemu za pembezoni mwa bahari lakini Tanzania hatuna majanga wala makazi mazito kama hayo na bado tunaona tunahitaji msaada kutoka ulaya kiukweli ulaya wanafanya kazi sana pamoja na maendeleo tunayoyaona lakini kwa mwendo wa watanzania kila siku kutaka selikari ibadilishe maisha yao ikiwa Ardhi ya Tanzania bado ni kubwa vijana wanaweza kujishughulisha na kilimo na wakapata kazi za kufanya, natamani watanzania tufahamu kuwa ulaya pia kuna masikini wengi tu na wapo wasio kuwa na nyumba wanalala nje pia na wapo pia omba omba hivyo unaweza kufanikiwa ukiwa Tanzania lakini ukiamua. Jumla ya yote mimi sio mwana siasa na sitarajii kuja kuwa mwana siasa lakini nina uzalendo na nchi yangu japo nipo nchinza watu natamani watanzania tutambue juhudi za raisi magufuli maana tusipoelewa sasa itatugharimu sana baadae.
@mayalakatema2576
@mayalakatema2576 2 жыл бұрын
Rest In Peace I appreciated ur paths✊✊✊
@paiwanjara3502
@paiwanjara3502 5 жыл бұрын
hapo sawa lugha yetu ya kiswahili tuitangaze siyo tunaongea vilugha vya ajabu ajabu big up mheshimiwa
@payasbadman5533
@payasbadman5533 2 жыл бұрын
Rest in peace 🕊️❤️
@damianmakala2913
@damianmakala2913 5 жыл бұрын
Safi sana kiswahili lazima tukienzi japo si dhambi napo kutumia kiingereza maana kiingereza ndio lugha ya dunia kwa sasa !
@herykauli1004
@herykauli1004 5 жыл бұрын
Tutumie kiingereza Pale kiñapohitajika na du kila mahala ni pakuongea kingereza. Kiswahili kwanza.
@goldendesertmrgolden5976
@goldendesertmrgolden5976 5 жыл бұрын
Kingereza ogea na mumeo kwanza kiswahili
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
New Song Celebration kbs hajitambui
@captainabdul1194
@captainabdul1194 4 жыл бұрын
Masters ya thermal decomposition kinetics za nini???
@colorwhitetv7026
@colorwhitetv7026 5 жыл бұрын
Wanasema sijui kingeleza gonga like
@hodkutaruta8823
@hodkutaruta8823 3 жыл бұрын
Utanzania kwanza....nakubali baba
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 22 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 82 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 105 М.
Duh! ASKARI KIBURI Abishana na MAGUFULI Mbele ya RPC - "AMENIINUA"
2:53
Global TV Online
Рет қаралды 683 М.
John Magufuli interview on Tanzania infrastructure
2:32
Benjamin Leers
Рет қаралды 355 М.