MIMI SIKUBEBWA NA MAGUFULI| NISIPOMTAJA DKT. SAMIA UNATAKA NIMTAJE NANI?| NI KUIKEJELI TU KATIBA.

  Рет қаралды 12,073

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 48
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Ай бұрын
Nyie kubalini tuu magufuli aliwaPitisha kwa nguvu sasa hivi mnamtukana magufuli nae alijichanganya kujaza ccm bungeni ona sasa bandari zetu zimeuzwa, MUNGU Tusaidie bunge letu la ovyo sana
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Ай бұрын
Magu 😂😂😂😂mshamba sana
@flavourboyke
@flavourboyke Ай бұрын
Kujeni huku kenya tuwafunze jinsi ya kupambana na bunge😂
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 Ай бұрын
Wananchi tutakuuliza umefanya nini ? Maana kila kitu Raisi
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Ай бұрын
Wewe kwenye Music uko Vzur. Ila kwenye Ubunge ww bado sana
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g Ай бұрын
Sahivi mnamkana mlipita Kwa mgongo wa Magufuli subrin awamu ijayo
@RabihuHussein
@RabihuHussein 19 күн бұрын
Hahahhaahaa! basi tuone kama safari hii utatoboa🤣🤣🤣🤣
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Ай бұрын
Body language yake inadhihirisha hayo. Tale huna sifa ya kuwa mbunge kama unabisha subiri 2025 utajua kama ulibebwa na Magu au la hasha.
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
HHHH Ndiooo_🤦🏿‍♀️
@mossessimon2493
@mossessimon2493 Ай бұрын
Jamaa anaonesha kuwa ni kiazi sana ukimsikiliza tu!
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 Ай бұрын
ama kweli tz tunamatatizo sana.
@abel_esam
@abel_esam Ай бұрын
Kazi ya Bunge pia ni kutunga sheria .Kwa zama hizi ni muhimu mbunge kua na elimu. Kujia kusoma na kuandika tu haitoshi
@robertmkude8234
@robertmkude8234 Ай бұрын
Nchi karibuni zote Duniani katiba zao zinasema hivo. Kuwa mwakilishi wa Wananchi unatakiwa uwe unajua kusoma na kuandika na umri sahihi ambao unaweza kuwa tofauti nchi na nchi. Nyie Wabongo mna shida sana na kufikiri Udaktari au Uprofesa ndio requirements. Ukiangalia matatizo mengi yanasababishwa na hao hao wasomi kwenye Wizara na Viongozi mbalimbali. Hebu angalieni uwezo wa watu kwenye nyanja tofauti tofauti,msiwe dick strong on Western education. Panapohitajika elimu basi na iwe hivo,lakini sio kila kitu.
@abumuhammad7802
@abumuhammad7802 29 күн бұрын
Kwetu Kenya elimu Kwa mbunge ni muhimu Kwa sababu Kuna book keeping. Ukiwa hujasoma utajikuta mahakamani Kwa maana waliosima wataina kutumia jina kako
@user-uk4he5gn1m
@user-uk4he5gn1m Ай бұрын
Magufuli ndo aliwaweka bungeni wamshukuru tyu waache uwongo😅
@lilhydon452
@lilhydon452 Ай бұрын
Hakukua na njia na vituo vya afya na cccm ndo walikua mamlakani 😂😂wewe huoni apa Kuna hatari?
@user-yx3ic8zy9e
@user-yx3ic8zy9e Ай бұрын
Osca umenikosha ati mbeleko ndo ile ile mama alivyotuweka mgongoni akatufunga mbeleko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋🤣🤣🤣
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
HHHH Ndiooo_🤦🏿‍♀️
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Ай бұрын
Hapo kwenye elimu nimependa alivyojibu ana hekima sana huyu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@azariamarembo3653
@azariamarembo3653 Ай бұрын
Sasa subiri 2025 ndio utajua ulibebwa inatakiwa umshukuru JPm
@issaakena1970
@issaakena1970 26 күн бұрын
Kweli ukifa wote wanakukataaaaa….😂😂😂😂😂😂
@Fred-Ma
@Fred-Ma 28 күн бұрын
Mnara unajengwa na Serikali? Asante nimejifunza.
@Darian2550
@Darian2550 Ай бұрын
30 kilomita kwenda shule asubuhi na 30km kurudi jioni....
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
Kumbe kenya imeshitua game kipindi hiiki cha Wasafi watu wengi walikua awafatilii ata comment walikua awa comment ila mambo ya kenya naona comment ni nyingi ongereni wanaichi kwa kushituka kwenye usingizi😂😂
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 Ай бұрын
Nmepoteza muda wangu kusikiliza hii kitu ,Ovyoo kabisa 😢😢 hawa ndo watu tunawategemea kuleta mapinduzi kwemye hii nchi kweli ?? Hawa ndo viongozi tegemezi kweli ?? Tz ploen 😢😢 2025 ndo utaelewa kama ulibebwa au la !!
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Mnamtaja magufuli nyinyi ,mwacheni apumzike msiokuwa na shukrani
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Ай бұрын
Una uhakika uko amepumzika?
@aloycekomba1
@aloycekomba1 Ай бұрын
Toka zako wew muongo mkubwa
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 26 күн бұрын
Kilaza tu ww hakuna unachongea bungeni
@erickrichard3134
@erickrichard3134 Ай бұрын
Oscaosca utafika mbali maswali yako so poa ume pita mle mle
@youngyayoo2805
@youngyayoo2805 Ай бұрын
Tale sio mwanasiasa,ulipewa ww,pesa inatolewa na serikali ama rais?
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 Ай бұрын
Kura 80 mmmhh..? Subirin 2025 mpambane wenyewe tuone
@user-xm2wm2oc5w
@user-xm2wm2oc5w Ай бұрын
uyu ndio mbunge wetu wa morogoro kusini mashariki m
@MauBonde
@MauBonde Ай бұрын
Kiukweli kipindi cha magufuli kulikua hakuna demokrasia huru kuna mambo mengi tuliyaona ila tunaipenda amani ,na tunataka viongozi wote siasa na uzalendo na uchungu wa nchi kwa maslahi ya wananchi....tukitaka maendeleo tukitaka ubepari endeleeni na huo mfumo.....
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Magu ukimbeza tu basi wananchi wanakusubiri 2025
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 26 күн бұрын
Wakuu acheni hzo roho,,, mwendazake ndo aliyewaweka kazn, acheni hizo bhana
@abdallahngoe
@abdallahngoe Ай бұрын
Kampeni za mapema mapema hizi...
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 Ай бұрын
Kiazi 😂😂😂
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 Ай бұрын
Wewe una sifa ulipewa ubunge kwa uchawa na uchafuzi wa dickteta uchwara hakuna mwenye akili timamu akuchague kama mbunge
@mossessimon2493
@mossessimon2493 Ай бұрын
Hamna mtu humo kwa kwelii!
@IddiMaya
@IddiMaya Ай бұрын
Unaweza kufeli jimboni kwako kwa mdomo wako mwenyewe jifunze sana kushukur
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w 26 күн бұрын
Huyu tale mpumbavu, utakataaje kuwa hukubebwa na magu? Acha uongo magu kawapa saport sana
@erickrichard3134
@erickrichard3134 Ай бұрын
Subiri 2025 uli bebwa
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 24 күн бұрын
Bado hujasema! Wabunge bado hamuoneshi mikakati yenu katika kufungua fursa za makundi makuu kama vijana, wazee, walemavu na wanawake. kwenye jimbo kama hatuwezi kupambana na changamoto zao bado huoneshi uwezo wao wa kuweka mazingira ya wanachi wako kujiletea maendeleo, -
@IddiMaya
@IddiMaya Ай бұрын
C
@drallan6879
@drallan6879 Ай бұрын
sasa wewe ni std 7? wabunge Kama nyie mmepitwa na wakati
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p Ай бұрын
Magufuli anatumika nawatu wamesoma huyo kasomea wapi kwan 😅 machawa hao magufuli anatumika namajeshi uyo unamuonaj taweza wauza sura hao acha kelele wanashindwa kuwapa kazi vijana wamesoma wanawapa nyie akuna lolote wizi tu kweny serekali munakula mosaada ya wana inchi kenge nyiyee
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 194 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
Wanaume wa Sishikiki hawa hapa/matiti yake hatarini/PART ONE
9:50
Dizzim Online
Рет қаралды 8 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 121 М.
Neden yüzünü saklıyor
0:19
H. DANIŞIK
Рет қаралды 35 МЛН
Самый Лучший Дедушка ❤️
0:15
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,3 МЛН
小丑与白天使遇见丧尸?#short #angel #clown
0:32
Super Beauty team
Рет қаралды 26 МЛН