Story zinafurahisha na kufundisha at the same time ......
@BonPetro-kb6gfАй бұрын
Dah! Mzee yuko funny sana 🤣🤣🤣
@allahisone6386Ай бұрын
Ndiooo
@ntegamaherezovenuste13 күн бұрын
Nakupend mim ni munyarwanda nkupenda san
@user-bd6nt4yq3mАй бұрын
Huwa namuelewa sana huyu dereva mkongwe
@jwakoofficial1560Ай бұрын
Noma sana dereva
@ramadhanmnembuka1408Ай бұрын
Namwelewa Sana deleva mwenzangu tunapata tabu Sana
@user-jx8qj8gm5gАй бұрын
Noma sana
@aminaomary556729 күн бұрын
Mimi nampenda sana dereva mkongwe❤❤❤🎉🎉🎉baba🎉🎉🎉❤❤❤nassibu❤❤❤🎉🎉🎉
@abrahammichael642Ай бұрын
Huyu jamaa angepata nafasi cheka tu ingekuwa poa sana
@lenniefei6710Ай бұрын
Nimegundua waTz wengi wanapenda na kuzuzuliwa na mambo ya vituko na kipuzi.....Wanashabikia sana usanii kuliko mambo ya kimsingi maishani kama Elimu na utandawazi ! Abiria chungeni mizigo yenu !
@ashrafadam4629Ай бұрын
uko vizuri daddy
@halimaamini8015Ай бұрын
Huyu baba ana kitu mjue lamata amuangalie😂😂😂😂
@kabujeasukile5462Ай бұрын
Big up mzee nimependa story zako👏👏
@OfficialSamuel__MtuiАй бұрын
😂😂😂😂😂😂 ako angu uyo😂😂😂❤
@ShufainaAhmadАй бұрын
Baba levo anacheekaaaa😂😂😂
@hassankilonzo242023 күн бұрын
Mkongwe nakupenda lala nayo
@gaspeldaniel1140Ай бұрын
Dereva mkongwe
@user-ju3nm8oc1cАй бұрын
Daah! Kweli kazi.
@olemenye-jb8ywАй бұрын
wasafi wangempa kazi
@RichardDaniel-no5eu21 күн бұрын
Nakuelewa sana dereva
@josephmihayo6236Ай бұрын
Dereva mkongwe amenikumbusha kwetu Songea bana. Maeneo ya Igawisenga, Kifanya, Wino, Lilondo , Madaba nk.Dereva mkongwe amezunguka sana. Na Mimi pia nchi hii nimetembea sio kitoto, Kasumulu, Tunduma, Lusumo, Sirari, Horohoro, Namanga , Kiranje ranje, Mangaka, nakapanya, Masumbwe, Nyakanazi nk kote nimefika huko. Kwahiyo nikimsikilazaga ananipa burudani sana.
@AnnoyedSunlightForest-uv2cxАй бұрын
Hatari sana kk
@StephenJindwaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂Mkongweeeeeee.mimi hapa kutoka 254 nimecheka 😂😂😂😂
@kwizeralajoie3619Ай бұрын
Nakwambia dereva mkogwe atawakauche ❤❤❤nacheko
@amaninamfua8472Ай бұрын
🔥🔥
@mbaruksaid5775Ай бұрын
Hata sijategemea kama nitamkuta huku huyu mzee dereva mkongwe
@robertmasha173Ай бұрын
Lala nayo babu nakuaminiii
@samsonmuema21718 күн бұрын
Namuaminia sana , dereva mkogwe, , Mimi pia Niko katika hio sekta ya udereva
mshamba tu huyu mzee wala hana ukongwe wa kihiivyo..
@yahyaabdulrahman723526 күн бұрын
Acha roho mbaya bhn
@salumadam2862Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@SuleymaniBashiru-rq5hbАй бұрын
Kuchochola 😂😂😂😂😂
@davidpaul465511 күн бұрын
Muongo huyo anapiga vyombo
@stevenchami26Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@josephmihayo6236Ай бұрын
Kateshi Dareda Babati hiyo, Kuna down inaitwa Sigino kabla hujafika Njia panda ya Dodoma bonga huko
@JamilaSereriАй бұрын
Híyó bàlaàà
@eggysulle7988Ай бұрын
🔥😂
@chidykiwango139421 күн бұрын
😂😂😂😂😂❤
@bongelabwana7523Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@mariamrajabu7458Ай бұрын
😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Yaani nimecheka vibaya mni! Alafu mie sio mrahisi wa kucheka hua...ila huyu dereva amenikosha
@user-rk6sx2bw3eАй бұрын
Sasa kinachokufanya usiwe mrahisi wa kucheka kitu gani???bac itakua una shida ww......
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
@@user-rk6sx2bw3e wewe ndio inashida nikicheka nisipocheka inakuhusu nini? Hebu tuliza utoko na UTI sugu huko!! Hii comment haikua yako ama wewe ni Wasafi? Shenz kinuka mkojo wewe!!!! Hebu tuliza mshono....au ni fumage Kwa mshono tena!!! Ibilisi kasoro mkia!!!! Kinyago wa mwembe tayari
@joelmutunga819324 күн бұрын
Tafadhali mtu aniambie jina la zile mabasuli yalitumwa kuwachukua Burundi 😅😅😅
@tadeibongole4833Ай бұрын
Anaacha kuzungumza mambo ya msingi na changamoto za madereva anafanya comedy