MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

  Рет қаралды 973,229

Wasafi Media

Wasafi Media

3 жыл бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 494
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Allah azidi kukupa umri mrefu wenye manufaa Mh. RAIS WETU MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE, AAMIIN.
@modrikedward1779
@modrikedward1779 2 жыл бұрын
Amiina
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana Mzee Jakaya Kikwete tuendelee kushikamana ndugu zangu Watanzania
@michaeljuma9050
@michaeljuma9050 3 жыл бұрын
Oh good be with us
@samiridrisasimba4011
@samiridrisasimba4011 3 жыл бұрын
Mh Jakaya Mrisho kikwete Asante kwa hutuba yko nzuri zidumu fikra za Magufuli ,tusicheze na ngoma za maaduwi ,Watanzania tushikamane ,tumuunge mkono mh Samia Suluhu mwisho namuomba mh Samia asichoke kusimama barabarani nakusikiliza kero za wananchi pls masuala ya lockdown mwiko TUDUMISHE FIKRA ZA MH JOHN POMBE MAGUFULI
@davidjovinary4696
@davidjovinary4696 3 жыл бұрын
Mungu tu ndiye aliyebaki kutunusuru!
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 3 жыл бұрын
Kila siku maneno ya shetani Nitamu Sana kuliko ya mungu kifo cha Rais wetu Tunakuchuku Sana lakin mungu ndiyo ujibu yote hakuna Atakae ichi milele duniani
@francismaanga2242
@francismaanga2242 2 жыл бұрын
Nm
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 Жыл бұрын
Kabisa hujakosea
@meaa2262
@meaa2262 3 жыл бұрын
Rais Kikwete is very articulate 👌 RIP Rais magafuli ✝️🕊️🕊️🕊️till we meet again God willing
@deogratiustweve2611
@deogratiustweve2611 Жыл бұрын
Mbonaweweunatosha namamayetu Samia tunawaombea muishi miaka mingi
@jshshhhsywuuw6047
@jshshhhsywuuw6047 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Africa mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania wote mungu ibariki familia ya mzee kikwete'
@richardcharles6632
@richardcharles6632 2 жыл бұрын
Mungu ndio anajua
@zulfakassim7050
@zulfakassim7050 3 жыл бұрын
MH. JAKAYA MWENYEZI MUNGU Aendelee kukupa maisha marefu
@muhimbesingh4468
@muhimbesingh4468 3 жыл бұрын
Congratulations my former President Hon.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.💟💟💟👍👍👍
@khadujifuad9360
@khadujifuad9360 3 жыл бұрын
Kikwete i love you sooo much my dear father my x president.. busara zako nazipenda sanah Mwenyezi mungu akupe umri mrefy wenye afya njema Amin
@bizimunguadolphe1973
@bizimunguadolphe1973 3 жыл бұрын
Kwa kweli Mimi ni murwanda lkini Nilipenda sana raisi magufuri
@hindukassimu8401
@hindukassimu8401 Жыл бұрын
Yn inaniuma cn Kipind cha lais wet makufuli wat walikuwa wanaaman sana biashala kokote unafanya lakin sasaiv wat wanafukuzwa ovyoo amani akuna km kweli mlikuwa pamoja na lais wet makufuli faten alokuwa anafanya yy mbona kufa kwake km nifulah kwa watu kaliakooo wat wanafukuzwa Biashala azifanyik km kweli mnauchungu bc wachen watu wawe hulu katika mambo alotaka lais wet makufuli mungu amlaze mahali pema lais wet makufuli uko alip inaniuma cn asante laisi wetu Mstaafu jakaya km kweli mungu anakuon asant
@annakimaro7125
@annakimaro7125 3 жыл бұрын
Mungu anakuona ila hiyo safari ujue yakila mmoja sasa tunamwachia mungu atatenda kwawakati wake namajira yake Sisi Kama watanzania tumemkabidhi Mungu Kama kweli we...... Mungu akubariki Sana
@giztony2009
@giztony2009 7 ай бұрын
Acha ujinga usiongelee vitu bila data
@jumachristopher1399
@jumachristopher1399 3 жыл бұрын
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwete ubarikiwe kwa busara na hekima zako 🙏🏼🙏🏼😥
@mohdmohammed9238
@mohdmohammed9238 3 жыл бұрын
Pole Sana mstaafu, Mungu akupe siha njema na umri mrefu.Napenda Sana hikma zako.
@kcgangfamily001
@kcgangfamily001 3 жыл бұрын
Poleni watanzania kwa msiba wenu ila Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@bizijustin9201
@bizijustin9201 3 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu watanzania. Tumepoteza kiongozi asiye was kawaida. Tulimupenda JPM ijapo sisi so watanzania. Nafurahia sana Tanzania kuwa na viongozi wenye nia nzuri.
@oneclick2023
@oneclick2023 3 жыл бұрын
mzee kwa speech ,huwa nakaa kwa kusikiliza sana busara zako since ukiwa Rais.
@mamayohana9461
@mamayohana9461 2 жыл бұрын
Mzoefu kweli ulichokifanya tunakiona nchi nzm na dunia yoote asante kikwete Mungu anakuina
@norbertchemiati4769
@norbertchemiati4769 3 жыл бұрын
This speech is lit 🔥 this Swahili is great
@JosephSOruko
@JosephSOruko 3 жыл бұрын
John Pombe, is a an outstanding leader that shall be remembered in East, central and southern Africa for being a worker for the nation of Tanzania.
@giftkobarogila3825
@giftkobarogila3825 3 жыл бұрын
z
@rashidibakari9855
@rashidibakari9855 2 жыл бұрын
L
@gilbertjoseph5539
@gilbertjoseph5539 3 жыл бұрын
Wisdom man I currently understand
@bintmailiga8184
@bintmailiga8184 3 жыл бұрын
Da inauzunisha kwa kweli mungu akuzidishie umri mrefu raisi wetu mstaafu mh kikwete il uendelee kuungana na rais wetu mh Samia tukiwa na watanzania tusiyumbe tusiiyumbishe Tanzania yetu Mana nyinyi ndio tegemezi letu na mungu yu pamoja nasi na mungu ilaze roho ya mpendwa wetu ,jembe letu ,mkombozi wetu J.P.Magufuli mahali pema pepon amii ama kweli ili pigo kwa watanzania
@happinesszabron6811
@happinesszabron6811 3 жыл бұрын
Haya sasa ndo washaungana na samia kinaendelea nn
@mohamediazizi3658
@mohamediazizi3658 3 жыл бұрын
Ila mzee wetu rais wetu mstaaf JK pls tunaombatu utaratibu aloweka huyu mdogo wako alotangulia mbele ya haki ungeni mkono utimizwe sio kafa na alivyotengeneza vife naomba zingatieni hilo napia muogopeni mungu wetu. Mungu mpumzishe pema aamen 😭😭😭😭
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 3 жыл бұрын
Wameshabadilika ndugu
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Unaongea najizi hilo
@ashamakwaiya8749
@ashamakwaiya8749 2 жыл бұрын
Nahasira sqna
@bakarimkwizu4335
@bakarimkwizu4335 10 ай бұрын
JK Mwenyezi MUNGU Akubarik sana ni watu wajinga wakiwango Cha juu Ambao hawakuelewi ,Mwamba sana JK
@edwinndirangu778
@edwinndirangu778 3 жыл бұрын
Am in Kenya Nyandarua county I love Kikwete
@kasililamecksatano7302
@kasililamecksatano7302 3 жыл бұрын
Huyu mzee safi sana
@issaibony3474
@issaibony3474 3 жыл бұрын
Hapa hukumumunya maneno mstaaf kikwete hengera Sana kwa hutuba nzur
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 жыл бұрын
From From 🇧🇮 Saudia sote njo jia bab yet
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Ushammaliza Sasa roho yako imetulia, nakama kweli we utatapa Sana, namwisho utakuja kuongea ukweli, mwanaume mmbaya we, halafu hata chembe ya aibu huna, tulia Sasa utachokitaka utakipata, nakama wekweli vile vile machozi wa baadhi ya watanzania hayatakuacha salama
@andersonmwenda6390
@andersonmwenda6390 2 жыл бұрын
Dua la kuku lisilompata mwewe
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@andersonmwenda6390 atakufa tu mbona kwani kuna atakaye dumu ety 🖕
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Жыл бұрын
Ogopa sn na nidhambi kubwa SN kumnenea mtu kitu sicho MUNGU YUPO YEYE NDO ANAJUA NANI
@abdallahmtale4060
@abdallahmtale4060 11 ай бұрын
@@hadijamagufuli2661 wewe ndio hutokufa?
@aishaharuna4118
@aishaharuna4118 3 жыл бұрын
Mh kumbe mmependa kufa magufuli mungu atawaona
@shukranamos2699
@shukranamos2699 2 жыл бұрын
Daaaa! Mzee wetu umetoa maneno yenye busara mungu akuongezee miaka mingi
@agastokissatu2667
@agastokissatu2667 2 жыл бұрын
.....mm na magufuli wangu tuuu...pumzika magu wetu....
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 3 жыл бұрын
Allah saidia Tanzania yetu
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 3 жыл бұрын
Mungu ashambulie wote wasemao uongo.
@lovenesstweve8499
@lovenesstweve8499 Жыл бұрын
Hasa
@shadidumbaraka5589
@shadidumbaraka5589 3 жыл бұрын
Mungu akulinde atuzidishie amani tanzania
@halimajabiri6187
@halimajabiri6187 3 жыл бұрын
Badosana
@3wbz185
@3wbz185 3 жыл бұрын
phenomenal speech!
@rajabuamirijuma943
@rajabuamirijuma943 2 жыл бұрын
Nimeipenda hii xhukran mh rais mstaafu kwa ekma zako
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Sikulia kwa sauti ila nilijikuta machozi yananitoka, Asante mzee wangu
@respiciusjoseph2293
@respiciusjoseph2293 2 жыл бұрын
unachoongea na kilichokuwa kinaendelea havina ushirikiano nadhan umeshindwa mamna nzuri ya kupangilia nn cha kusema Mungu n mwema kakunyima maneno ya kuongea.. so everything was being put clear kwa hiyo siku... RIP JPM tutaonana baadae......
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Allah ampumzishe aliyekuwa Rais wetu Magufuli Mahali Pema Peponi, Aamiin.
@mpembafilmproduction2052
@mpembafilmproduction2052 3 жыл бұрын
Kumbe mzee wetu ndio ulimpendekeza Raisi wetu Jembe safi sana....na ajakuangusha pia pole sana kwa msiba
@wazirimwanazuoni5567
@wazirimwanazuoni5567 4 ай бұрын
Very nice speech kutoka kwa Dr. Kikwete
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 2 жыл бұрын
Nakumbuka ulimpenda Sana membe awe raisi nasiyo JPM mungu akasema huwasipangiwi Mambo nataka JPM awe raisi chini kwachini mtaftano ukaaza nidhambi Sana lakini tunahasira mioyoni mwetu
@lovenesstweve8499
@lovenesstweve8499 Жыл бұрын
Can u imagine hii nchi bwana tuna jificha uso ila moyo ni siri
@linaryugen6400
@linaryugen6400 3 жыл бұрын
Yaani. Nakuprndaga sana msaafu wetu
@andersonyshauri9220
@andersonyshauri9220 3 жыл бұрын
Yani kuongea kwako msitaafu huwa sichoki kukusilia umejariwa sana hekima na busara mungu akuweke na pole sana na kuumia
@shedrackmabanda8585
@shedrackmabanda8585 3 жыл бұрын
Pole Sanaa JK
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Unajikosha kwenye hiyo public...unajiuma umaa tu but damu hiyo ipo juu yenu..gonna payed but GOD
@wazirisaidi5116
@wazirisaidi5116 3 жыл бұрын
Namkubali sana Kikwete.
@user-rr7ij8pq9b
@user-rr7ij8pq9b 6 ай бұрын
Hayo maneno yanatoka moyoni haya bwana mungu anajua Kila kitu
@rosemarryjohn1376
@rosemarryjohn1376 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Mungu baridi familia ya magufuri
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Kikwete vumilia maneno ya wachache ambayo wanakuzushia bila wewe kuwajibu.. na Mkapa nani kamuua? Nyerere nani kamuua? Imani imekwisha na watu wamebakia na dhana tu
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 Жыл бұрын
Yeye turn.
@allyshija2613
@allyshija2613 Жыл бұрын
R I P JPM, mungu ibariki Tanzania hongera J m k kwa hotuba nzuri usia wangu Kwa wenye maneno yasio na ushahidi tumuogopeni mungu,
@user-ct2nw8br1o
@user-ct2nw8br1o 2 ай бұрын
Uyu mzee huwa akurupuki kijibu.
@patieangelyz4943
@patieangelyz4943 3 жыл бұрын
Outstanding speech ! 🙌
@salilamsigwa4323
@salilamsigwa4323 3 жыл бұрын
Ila huyu baba nampenda sana mzee wa hekima na tabasam tu
@swaleheally9814
@swaleheally9814 3 жыл бұрын
HATA MM NAMPENDA SANAA
@maryamibrahim4039
@maryamibrahim4039 3 жыл бұрын
Big up! Ww ni raisi, hotuba zako kwa kweli huchoki kuzisikiliza.
@mpembafilmproduction2052
@mpembafilmproduction2052 3 жыл бұрын
Pole sana Raisi mstaafu Kikwete..na asante kwa kumpigania mzee wetu Raisi wetu Magufuli na katuongoza mpk katuacha Salama
@khamikhan4805
@khamikhan4805 3 жыл бұрын
Nimejisahau muda wote najua namsikiliza Mr president JK daah huyu ana busara maneno yake huchoki kumsikiliza
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 5 ай бұрын
Pole Muheshimiwa Kikwete kwa kuondokewa na Hayati Magufuli apumzike kwa amani.
@geofreyeyakuze8583
@geofreyeyakuze8583 3 жыл бұрын
Huko vizuri mh jk
@lemondrizzle5658
@lemondrizzle5658 3 жыл бұрын
Kikwete still handsome 🤩🙌🏽
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 жыл бұрын
Yaa Sana handsome
@regankingdom2734
@regankingdom2734 3 жыл бұрын
Unaongea nn keba
@mzeeomary5780
@mzeeomary5780 2 жыл бұрын
Kenge mkubwa
@sabrinahussen7183
@sabrinahussen7183 3 жыл бұрын
Touched speech
@mwitawangwe7048
@mwitawangwe7048 3 жыл бұрын
Nilikupenda,nitakupenda daima kwa hekima na busara zako doctor JK
@MrLolipop6161
@MrLolipop6161 3 жыл бұрын
Poleni sana kwa msiba huo,mwenyezi Mungu awapeni farija.
@richardmichael1965
@richardmichael1965 2 жыл бұрын
Baaada ya kifo cha jpm na mienendo ya maneno yalivyo endelea inanipa mashaka saana uhai huuu tunaootumia ni wa mungu namachozi ya watanzania wengi mungu anayaona sizani Kama wanashiba yuda daada ya kumsaliti yesu kwa pesa aliona amefaulu kilichomfanya akajinyonga nn tena no comment
@nkyabosi4827
@nkyabosi4827 3 жыл бұрын
When it comes to a speech, EAC bows to JK
@salimajagodics6928
@salimajagodics6928 3 жыл бұрын
Makerere University Product🇺🇬
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Mama janet kama hakuskilizi hivi anakuona kabisa sio mtu mwema kwake
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 3 жыл бұрын
Waliopita walipita ktk kuongoza nchi hii ni safi sasa kama wataruhusiwa hawa watu tutarudi shidani hatupendi kurudi nyuma mambo mengi yalizorota yamewekwa sawa,sitegemei myachafue.
@liberatusmassawe5601
@liberatusmassawe5601 3 жыл бұрын
Wananyemelea
@joyceomondi7276
@joyceomondi7276 3 жыл бұрын
Great speech ....
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Fucken SPEECH
@jacquelinemwakapola7959
@jacquelinemwakapola7959 3 жыл бұрын
Wakati mwingine hata shetani hugeuka kua malaika😷
@al-miskrychannel478
@al-miskrychannel478 3 жыл бұрын
Huyu ndo kikwete bhana 🔥
@byamukamawilliam760
@byamukamawilliam760 3 жыл бұрын
Rest in internal peace magufuli
@antonynyaulingo8359
@antonynyaulingo8359 2 жыл бұрын
Mungu ndiye anayejuwa kilichomkuta.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Huyo magufuli atakumbukwa daima pamoja mlikuwa mnampiga vita maneno yote aliyokuwa amesema mama samia kwenye grip zake wala hatukutegemea mungu amlaze mahali pema peponi hayati magufuli
@mikenjoro8197
@mikenjoro8197 3 жыл бұрын
Hotuba faridi, pevu na yenye uchanganuzi mwafaka. Kongole Rais Mstaafu JK. Buriani Rais JPM...lala salama Jembe
@robertigohe9338
@robertigohe9338 3 жыл бұрын
Wape pole wafiwa tu, mengine siyo sehemu na wakati wake
@amonamiri4487
@amonamiri4487 3 жыл бұрын
Kweli
@khadijahilal3016
@khadijahilal3016 3 жыл бұрын
Dah!! Nashindwa kuyazuia machozi yangu 😭😭😭😭😭😭
@dorahy1579
@dorahy1579 3 жыл бұрын
Aliyatimiza aliyoyakusudia. Sasa alifariki tarehe 15/03 au alifariki tarehe 17/03. Ulijua nini kilichokuwa kinaendelea
@praizematagi7818
@praizematagi7818 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka dady jpm!!!!!!
@deodatusbernad9323
@deodatusbernad9323 2 жыл бұрын
Kweli baba we we ni mzalendo wa kweli
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 3 жыл бұрын
Huyu jamaa kwenye hotuba amebarikiwa! Na anaonekana ni mtu mnyenyekevu.
@saimonsimon9446
@saimonsimon9446 2 жыл бұрын
Kukaa na rafiki asiye na faida Ni sawa na kukaa na adui asiye kudhuru
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 3 жыл бұрын
Napenda hotuba zako bure
@kelvinwilbroad8706
@kelvinwilbroad8706 3 жыл бұрын
Kikwete is still a best president in providing speechs in this country
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Kikwete mda wote wakulaumiwa, mbona na yeye hammlaumu? Kikwete ni mtu mtulivu sana.
@IssackMaingu-ng5lk
@IssackMaingu-ng5lk 8 ай бұрын
Nilichojivunza kutoka kwa Rais kikwete tangu 2013 alisemwa kutoka kila kona ya Tanzania ila aliwajibu kwa kutabasamu tu.
@ramadhanmasanja8546
@ramadhanmasanja8546 2 жыл бұрын
Daaaaah yaani mungu atatutuliza na kutusahaulisha
@emmanuelmgaya6078
@emmanuelmgaya6078 3 жыл бұрын
Mzee wa tabasam nakupenda sana raisi wetu
@mayungabarnaba7395
@mayungabarnaba7395 3 жыл бұрын
Manenoyakoyananitia moyo
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 жыл бұрын
Watanzania wanaumia sana kila cku bila kupumua😭😭😭😭
@aboyfromtangatz5126
@aboyfromtangatz5126 3 жыл бұрын
Appreciate
@happyalbert5089
@happyalbert5089 3 жыл бұрын
Nice!!
@mumtazsamma9096
@mumtazsamma9096 3 жыл бұрын
This speech❤️
@godwinndaki666
@godwinndaki666 3 жыл бұрын
Mungu amlaze maaalapema popon amen
@user-ed8vi4mz5x
@user-ed8vi4mz5x 11 ай бұрын
Mungu.amlaze.mahalapema.amina
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 3 жыл бұрын
Mh kikwete nakuelewa sana ktk speech zako magufuri itakuwa kuna kitu tumemkosea mungu sio hv hv tu jaman taa hiyo imezima gafla sana
@philipoelikana7096
@philipoelikana7096 3 жыл бұрын
Jk wa pili mkwere wa chalinze msoga mlima mananas mtan wangu umeronga byeeeee kweli wew ni mzee wa hekima
@stanslauslupelele5726
@stanslauslupelele5726 Жыл бұрын
.mmmhhhhh Mungu kweli ulituficha sana kuona ya moyoni ya mtuuu
@hamsodadyhamso
@hamsodadyhamso Жыл бұрын
Daha kwa kweli imeniuma sana
@eveassey5162
@eveassey5162 3 жыл бұрын
JK haya bhana !!! Tanzania tuimbe tumwimbie mungu
@ksnjos001
@ksnjos001 3 жыл бұрын
Kama angekuwa hamtaki asingeweza kukaa uwaziri muda wa miaka kumi... wadangaji njaa wengi sana duniani Kweli mzee wangu JK
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 2 жыл бұрын
Kweli kaka
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 3 жыл бұрын
me nakuchukia sana kikwete nakuchukia sana,haiwezekani baada ya kifo cha mpendwa wetu jpm maneno yanazagaa mitandaoni kwamba ww ndo unahusika asilimia 100,lisemwalo lipo kwa nini asisemwe mwinyi,ujue kama unahusika basi umetengeneza vita na MUNGU machozi y watanzania masikini yatakulilia daima.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Namie nasema kama kweli, kwakweli amelia watu nawengine kupoteza ndugu zao wakati wakiaga mwili wa magu, kwahyo kama kweli ameuwa mpaka was na hatua huyu baba da acha 😭😭
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 жыл бұрын
Tatizo ukweli ulitakiwa kuhusema wakati akiwa Hai.kinacho tupa mashaka,JPM aliongea hivi,wewe lazima umpinge.mpaka JPM aliwambia wazee wastaafu,kaeni kimya.wakati mnatawala hakuna aliye waingilia.mikataba iliyo sainiwa kwenye ndege,......TUTAMKUMBUKA JPM DAIMA.
@safielimjema4593
@safielimjema4593 Жыл бұрын
Great speech 👊
@kassimloav2402
@kassimloav2402 2 жыл бұрын
Tutamkumbuka alisema namkumbuka na Nina muombea am week pena pepon mungu wewe ndiio kimbilio
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Umefanya mazuri Mno J Kikwete na hata Wafanyakazi wanakukumbuka Mno kwa kuwajali na kuwasaidia na umekua mvumilivu .. Mungu atakusafisha kwa yote wanayokusingizia
@ibrahimjuma6075
@ibrahimjuma6075 2 жыл бұрын
MH Aisee naomba uvunje kauli yako
@athumanyusuph1099
@athumanyusuph1099 2 жыл бұрын
Mtu mkubwa kama wew huwez kutuambia hukuwa na habari juu ya kifo cha mdogo wako...mim nnachojua akiondoka duniani taarifa zinapelekwa kwanza kwa watu wakubwa then ndo zinasambazwa kwa ndugu na majiran
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 3 жыл бұрын
Watoto wenu wanasoma shule za kingereza ulaya wakati watoto wa watanzania hata shule za kata hawakuenda ila magufuli ndio aliyeona umuhimu wa watanzania wanyonge hamna kama magufuli wengine maneno laini kumbe wapigaji2
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
Duh! Usilolijua ni usiku wa giza.... Nimekuelewa JK nimechagua kuyaamini maneno ya kinywa chako kuliko kuyaamini maneno yasiyo yako....REST IN PEACE JPM
@mainguali6046
@mainguali6046 4 ай бұрын
Very interesting protocol.Retired president pia hakupewa tanzia rasmi
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 40 МЛН
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Azam TV
Рет қаралды 586 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 281 М.
🔴LIVE: SPORTS COURT NDANI YA WASAFI FM 06-08-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 237
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
HOTUBA YA KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MKAPA
17:28
Mtanzania Digital
Рет қаралды 23 М.
🤣🤣❤️
0:26
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 2 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1 МЛН
MAGIC FINGER TRICK TUTORIAL 😱😳
0:11
Milaad K
Рет қаралды 10 МЛН
Они так быстро убрались!
1:00
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
УЙЛАНМАГАН БОЛАР ОГОХ БУЛИНГ БУНИ КУРИМ #трент #тренды
0:13
ОНЛАЙН ТИК ТОК БАТИЛ
Рет қаралды 2,5 МЛН