🔴

  Рет қаралды 19,415

Wasafi Media

Wasafi Media

3 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 35
@Blacksamitz
@Blacksamitz 3 ай бұрын
Safiiiii sana makonda Mungu akuzidishie afya njema
@jafariramadhani3264
@jafariramadhani3264 3 ай бұрын
Kaka mungu akupe maisha marefu na uje kuwa raisi uongeze nchi hii
@user-nn7zp8dm5v
@user-nn7zp8dm5v 2 ай бұрын
Makonda mwanangu mungu akulide akujaze zaina zaidi ujasiri uliona mtumainie mungu Vita yako atapigana yeye kwa maana umekuwa mtetezi wa wanyonge pambana mpaka kieleweke mungu akufunike kwa damu ya yesu hongera sana mwanangu na kazi njema
@mussanchimwa9283
@mussanchimwa9283 3 ай бұрын
Ni lugha na sauti ya kiongozi bora🎉 Kesho yako ikawe takatifu Mh Makonda
@PavilionHospitalb
@PavilionHospitalb 2 ай бұрын
Kaka makonda mungu akuvushe ukawe kiongoz mkuu wa nchi hii maana wananchi wa mikoa yote Tanzania wanashida kibao ila hakuna wa kuwatatulia
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 3 ай бұрын
Mungu awatangulie katika kazi zako MAKONDA ❤❤❤
@johnnjiuka7510
@johnnjiuka7510 3 ай бұрын
Mh: makonda mungu awe pamoja nawe ktk safari ya kuwasaidia wananchi❤
@ProductionWinderBulyanhulu
@ProductionWinderBulyanhulu 3 ай бұрын
Da a ah!!! Huyu Ma konda aise, dina meno zaidi ya kusema Mungu ampe maisha marefu.
@PhillimoniMaliatabu
@PhillimoniMaliatabu 3 ай бұрын
Mungu wambinguni akulinde maana wema kamawewe wanapigwa vitana kuchukiwa mungu akulinde nakukutunza maadui wakashindwe kwadamu yayesu aliye hai alufa naumega
@mkombozifreshoil
@mkombozifreshoil 3 ай бұрын
Kwa kweli Makonda Mungu akubariki sana.
@CristinLyanga
@CristinLyanga 2 ай бұрын
Katiba mpya pekee ndio itakayoondoa huo udhalimu wa watumishi.
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 ай бұрын
Mungu akubariki Mh Makonda
@JoyceJoely
@JoyceJoely 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana makonda
@rehemaanderson832
@rehemaanderson832 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana Makonda ,
@SylvesterMayunga
@SylvesterMayunga 3 ай бұрын
Dar mungu akulinde
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 2 ай бұрын
👏👏👏
@CristinLyanga
@CristinLyanga 2 ай бұрын
Makonda wanyooshe has watumishi sio kabisa.
@azizigaston8631
@azizigaston8631 3 ай бұрын
Makonda umenifanya machozi yanitoke nakuona mbali sana hakika magufuli ajafa bado yupo ndani yako
@user-zl6mm1ch4h
@user-zl6mm1ch4h 2 ай бұрын
Kwa kweli,mh makonda amevaa viatu vya mfalme Daudi ktk Biblia
@KhanifaRaphaelMpagama
@KhanifaRaphaelMpagama 2 ай бұрын
Tafadhari mheshimiwa Paulo makonda popote ulipo mwanangu kaozwa na ako na miaka 13 tu na nibado mwanafunzi ako class 5 mwenye amefanya hiv ni Baba Ake Ana itwa Jafet Justine kumishiwa ngendo namtoto wangu Anaitwa Paulina Jafet Justine kumishiwa ngendo anapatikana Tanzania Tabora Igunga kijiji ussongo mtaa ikulusi familia ya Mzee katuli msaada jamani😭😭😭😭
@user-of5wc6vp2k
@user-of5wc6vp2k 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 3 ай бұрын
Tunashukuru kwa maono Yako kiongozi ila migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na watendaji wa serikali sio waadilifu
@ChamiKiondo
@ChamiKiondo 3 ай бұрын
Aiseee
@julianmsele3880
@julianmsele3880 3 ай бұрын
UKITAKA URAISI TUNAKUPAAA MKUUU , RAHA YA MWANANCHI NI KUSIKILIZWA
@saidimketo6708
@saidimketo6708 3 ай бұрын
Ndio maana wenzako Wanakuchukia wananunua timu tu za mipira wala hawana habari na wananchi
@JustineZepha
@JustineZepha 3 ай бұрын
Kiukweli Makonda unastahili kuitwa majina mazito ikiwemo PROFESSOR mtetea haki ya wanyonge si tu katika mkoa bali nchi nzima kwa maana hayo maneno siyo ya kawaida bali ni Mungu kupitia wew Mh. Paul.C.Makonda, binafsi Sina mengi zaidi tu nakuombea Mungu akulinde wew pamoja na familia yako yote na kukuzidishia wingi wa mafanikio na hata siku moja ukawe rais katika nchi hii ya Tanzania
@ShamilaJuma-ex1ml
@ShamilaJuma-ex1ml 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@IbraahAbeid-fz2ow
@IbraahAbeid-fz2ow 3 ай бұрын
Sana
@KhanifaRaphaelMpagama
@KhanifaRaphaelMpagama 2 ай бұрын
Makonda haki okoa doto za mwanangu kaozwa na ako na miaka 13 tu
@SanareLaizer-en5it
@SanareLaizer-en5it 3 ай бұрын
Mheshimiwa vijijini ndio zimesidi arusha
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 3 ай бұрын
Mimi nasema Arusha wamepata mkuu wa mkoa.sisi Dar bado tunamkumbuka na kumtamani
@romamhagama4816
@romamhagama4816 3 ай бұрын
Hatua zako zote mheshimiwa tupo pamoja
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 ай бұрын
Anza na Wamasai wa ngorongoro
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 ай бұрын
Hapa makonda anafanya jambo zuri kutatua KERO Lkn chanzo Cha hizo KERO ni Nini..? Kwann asipambane kuvunja vunja VYANZO vya KERO kuwepo nakatiba mpya ambapo raia watawateua wakuu wa WILAYA wakuu wa MIKOA,watendaji na watu wa ardhi
The Story Book: Ujambazi Wa Kutisha JFK Airport
50:42
Wasafi Media
Рет қаралды 374 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 20 МЛН
USIKU WA KWANZA NDANI YA KABRI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 373 М.
MALKIA SANURA | SEASON 1 | FULL MOVIE
2:20:52
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 414 М.
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1,7 МЛН
Заключенные сбежали от Китайцев 😨
0:57
TOP SCENE BLOG
Рет қаралды 1,1 МЛН
Медвежий папа
1:00
Timminator
Рет қаралды 8 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1,7 МЛН
#реальнаяистория
1:01
Доктор Фрог
Рет қаралды 3,2 МЛН