Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?

  Рет қаралды 24,760

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 82
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 Жыл бұрын
Ahsante sana brother
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Жыл бұрын
Joel sasa naweza sema ni hadhina ya nchi mungu ampe miaka 100+
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana Ramadhani🙏🏼🙏🏼
@huseinmlaponi674
@huseinmlaponi674 Жыл бұрын
Kaka Joel, mwalimu wangu ,mungu akupe maisha marefu maama umenifanya niwe mkuu kwenye ubongo wangu wewe ni zaidi ya motivation
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 Жыл бұрын
Ulianza TO saiv unakuja AO Kisha WO Mungu azidi kukujalia ndugu
@amostinga770
@amostinga770 Жыл бұрын
Katika kipindi cha muda ninao kufutilia napenda ile power of vision maana nimekua nikianguka kila mara kibiashara lakini najikuta napata nguvu ya kuinuka ndoto yangu siku moja nitakaa nawewe meza moja tukizungumza moja ya jambo
@omarjuma1794
@omarjuma1794 Жыл бұрын
#JoelNanauka Jenius by Discovery
@joramzakaria2994
@joramzakaria2994 Жыл бұрын
The greatest life coach of all time our almighty God bless you and your family
@saidijuma7372
@saidijuma7372 Жыл бұрын
Cc c b:-!
@abdulcharles3430
@abdulcharles3430 Жыл бұрын
ishi miaka mingi kaka joelnanauka jamii ipate faida kupitia mawazo yako mazuri mungu akubariki sana🙏
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen ahsante sana 🙏🏼
@patrickbatenga2645
@patrickbatenga2645 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Kwa namna nyingi umebadilisha namna ninavyoyaona mambo.
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ahsante sana🙏🏼
@user-ji8bw7jx6h
@user-ji8bw7jx6h 5 ай бұрын
Ni somo zuri, mnastahili pongezi
@musalwanzali1640
@musalwanzali1640 11 ай бұрын
Mungu akubariki.. Endelea kutoa elimu
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 Жыл бұрын
The powerful of mindset is everything 🙌
@ZIP255-j6r
@ZIP255-j6r Жыл бұрын
Brother ww saf sana genius
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Wewe ni muhim sana mwenye maisha yang mungu akupe hitaj la moyo wako
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Amina Salima, ahsante sana🙏🏼
@user-mh7su4sm5s
@user-mh7su4sm5s 5 ай бұрын
Thanks a lot brother Joel be blessed ✍✍✍🤝
@user-my9zn6sq6g
@user-my9zn6sq6g 5 ай бұрын
Ni kwel Kabisa nyakati ngumu inanisumbua Sana ila Kwa hii video nimepata nguvu ya kuendelea mbele mungu akubariki Sasa mkuu 👏👏
@habibua.saburi4283
@habibua.saburi4283 2 ай бұрын
Unaendeleaje kaka??
@patrickapolinary2949
@patrickapolinary2949 Жыл бұрын
Sauti yako pekee inatosha kunihamasisha ila natumai ipo siku nitaonana nawe ana kwa ana.See you at the top brother
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Tuombe uzima, naamini tutaonana🙏🏼
@pazetv5639
@pazetv5639 Жыл бұрын
Asante sana good discussion and with good impression
@user-ji8bw7jx6h
@user-ji8bw7jx6h 5 ай бұрын
Joel, I 'm impressed by your lessons, MUNGU akubariki sana . How can I see you personally ?
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚📚📚📚📚🎙️.............
@saidiseph1777
@saidiseph1777 Жыл бұрын
Kaka wewe ni wa muhimu sana kwenye jamii hii ya Tanzania kweli haya maisha wtu kama nyie ni muhimu hongera sana brother Joel mungu akubariki siku moja tuta meet kaka kwa umuhimu wako ni mkubwa sana kwangu kuonana na ww
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Nashukuru sana, naamini Mungu atajalia tutaonana. Nitaendelea kufanya sehemu yangu.
@mosechengo208
@mosechengo208 Жыл бұрын
Great discussion!!
@bensontemu9356
@bensontemu9356 Жыл бұрын
Ahsante Kwa Somo Zurii,, MUNGU Akubarikii Bro
@emanuelkinyamagoha7185
@emanuelkinyamagoha7185 14 күн бұрын
Thanks brother
@meshackadam5618
@meshackadam5618 Жыл бұрын
Samahani sana, kaka joel umezungumza vizuri sana, lakini naona kama vile mmeenda nnje ya mada nadhani tatizo limetokea kwa sababu ya kuulizwa maswali yalio nnje ya mada, mada ilikuwa ni "unafanya nini unapo pitia nyakati za changamoto" lakini nimefurahi sana kwa maelezo yako mazuri mungu akubaliki
@tsongokauta5911
@tsongokauta5911 Жыл бұрын
Great discussion Wondefull
@doreendinamica3473
@doreendinamica3473 10 ай бұрын
Kaka Joel is the Best.
@peterswai391
@peterswai391 Жыл бұрын
Nice fact kaka God bless more brother
@eliethaudax9360
@eliethaudax9360 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka,wish you everlasting life
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 Жыл бұрын
Upo sahii sana, ujumbe umetufkia mungu akubaliki sana
@mohamedyusuph890
@mohamedyusuph890 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana naamini sana nam ntafanikiwa
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Thank you for your couches sir
@AfiSoul103
@AfiSoul103 Жыл бұрын
I pray this conversation will help Me and all the viewers around ,,,to grow up our mind set
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Жыл бұрын
Mungu akutunze Kaka, maana toka nimeanza kufuatilia Kuna mabadiliko yametokea kwangu
@christopherkalolo1805
@christopherkalolo1805 Жыл бұрын
Significance vs Popularity 🤝🏾✍🏽👌🏾🙏🏾
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Ahsante sana kakaangu hii ni Kweli kabisa yaan Dah
@neemamsaki1111
@neemamsaki1111 Жыл бұрын
Thank you Coach.
@bullychandy6509
@bullychandy6509 Жыл бұрын
WISE MAN
@aminamohammed7662
@aminamohammed7662 Жыл бұрын
Nakupata nikiwa 254
@amanishuklani4581
@amanishuklani4581 Жыл бұрын
Your the best,🙏👍
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 8 ай бұрын
Napona kupitia ww bro❤❤❤👏👏Enx's bro
@mcchilo13
@mcchilo13 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amazing 🙌
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 Жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@pallonetz7603
@pallonetz7603 Жыл бұрын
Well said brother
@costabreezy374
@costabreezy374 Жыл бұрын
Akili nyingi sana bro
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Hii kitu nikeipenda, kwa uchunguzi wangu nimethibitisha kweli watu wengi wasiona akili ni wale wanaopenda kupata thamani kupotia watu wengine.
@rubenverratti6140
@rubenverratti6140 Жыл бұрын
Stay bless brother this is too big👊🏽
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante
@yusuphvicenti8858
@yusuphvicenti8858 Жыл бұрын
Apoo kwel nimekupat my brother
@bensontemu9356
@bensontemu9356 Жыл бұрын
Umeongea Ukweli Halisi Bro,, Kila La Kheriiii Endelea Kutuelimisha
@sahachi397
@sahachi397 Жыл бұрын
Yaana wewe ni wa muhimu kwa maisha ya sasa Tokea nikutane wewe na kushikana mikono nimejifunza kitu kikubwa sana sasa Nina nguvu mpya
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mrejesho wako
@sahachi397
@sahachi397 Жыл бұрын
Na vitabu vyako vinaendelea kunifua zaidi aijalishi Nina wakati mgumu kiasi gani kuna nguvu inanijia kutoka kwako mkuu.
@soulhealingpropheticminist4192
@soulhealingpropheticminist4192 Жыл бұрын
Umenena kweli Joel, natamani sana nipate namba zako.
@jofreyjovinary375
@jofreyjovinary375 Жыл бұрын
ugonjwa wa afya ya akili hauna elimu ya kutosha katika jamii yetu hivy jamii haiwezi kubali kuwa tatizo hilo likoje
@elizaaleni6541
@elizaaleni6541 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@AfiSoul103
@AfiSoul103 Жыл бұрын
🤗
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔😘
@nairobifly5524
@nairobifly5524 Жыл бұрын
Mbona kama nikweli
@yohanageorgekika2240
@yohanageorgekika2240 Жыл бұрын
Nc
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 4 ай бұрын
Kk nakukubali mafundisho yako,naomba namba yako pls
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nifuraha yetu kuwa. Na. Watu. Kama wewe
@francismtaki5979
@francismtaki5979 Жыл бұрын
Ujawahi niacha nyuma🙏
@abelamos8941
@abelamos8941 Жыл бұрын
Kaka Joel nahitaji mungu anikutanishe na ww🙏🏿
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen nami nitafurahi tuonane Abel
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Brother mchango wako ni mkubwa sana kwenye Nchi Yetu, na upo kwenye Nyakati sahihi ambazo vijana wengi tunakabiliwa na Tatizo la kiuchumi.
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana samwel, tuendelee kujifunza.
@isayasemwali671
@isayasemwali671 Жыл бұрын
Kiongozi anaangalia wakati ujao na vizazi vijavyo mwanasiasa anaangalia uchaguzi ujao!!!
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
@ramadhaniparis8108
@ramadhaniparis8108 Жыл бұрын
Kiongozi, naomba kujua hizo tafiti nazipataje ili nijifunze na mimi
@gabrielmkojera1570
@gabrielmkojera1570 Жыл бұрын
Mtu asiongelee mafanikio kwa njia nyepes akat ameptiaa mazngra magumu anatoka kwnye mada yakuinuana analeta mada zembe Haina msaada ktk jamiii
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 118 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 92 МЛН
JINSI YA KUTUNZA MAHUSIANO NA WATU - JOEL NANAUKA
9:16
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
AINA YA PILI (3) YA WATU UNAOWAHITAJI KATIKA MAISHA YAKO
19:37
Pastor Gregory Daud
Рет қаралды 984
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 45 М.
Kutawala Hisia Zako - Joel Nanauka
11:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 99 М.