Mambo ya kuzingatia kabla ya kusema ndio;- 1. Tambua thamani yako 2. Usiseme ndio kwa kinywa chako mahali ambapo moyo wako unasema hapana 3. Usikimbizane na rika(peer pressure),nenda kwa speed yako mwenyewe,usifanye haraka 4. Usiruhusu hisia zako ziharibu maisha yako NB:'Linda moyo wako kuliko vyote ulindavyo maana ndiko zitokako chemchemi za uzima'
@lestutamdota7154 ай бұрын
Ni kweli kabisa .Baada ya kuachwa na mtu nilikuwa nampenda nilipoteza mwelekeo kabisa wa maisha sikuwa natumaini tena. Nashukuru mungu nilibahatika kupata ebook yako ya Jinsi ya kupona na maumivu ya kuhisi ulikuwa mwanzo wa kubadilisha mtanzamo . Yalikuwa si maumivu ya kimapenzi tu nilikuwa namaumivu ya toka utotoni maisha niliyoyaishi lakini pia maumivu ya kunyanyaswa kazini . Shukrani sana 🙏🙏
@joelnanauka4 ай бұрын
Hongera sana kwa kufanikiwa kusimama tena🙏
@aminajuma11563 ай бұрын
Hicho kitabu kinapatikana wapi
@eliastanda98253 ай бұрын
Mimi ni muhanga wa mapenzi nilipata maumivu ya moyo mpk yakatokea kabisa physically Yan nyama za juu ya moyo zilikua zinauma sana ni kama moyo ulikua umejaa ni maumivu yasiyoelezeka nikaenda hospitali ila bado nikawa na maumivu hayo ila nilitafuta tafuta video za Joël nilikuta video moja inasema usinganganie mtu anayetaka kuondoka maisha mwako ilinitia sana moyo na kuinuka na maumivu yapo ila so kama mwanzo na pia nilinunua e book nikawa Bize na kujisomea saiv nashukuru Mungu sana nimebalikiwa maisha yanaenda so kama mwanzo ila yanaenda kwa namna yake ya kipekee nafurahia uwepo wangu apa duniani ushauli wangu kwako bro usiache hii kitu unaokoa watu wengi sana❤❤❤❤
@elishamwalongo30103 ай бұрын
@@joelnanauka ''????'
@magrethjohn49293 ай бұрын
Kama huna Imani na Mungu usiingie kabisa kwenye mapenzi ni hatari mno 😢
@aminajuma11563 ай бұрын
Kabisa unaweza kufa imenikuta😢
@timothykengere25353 ай бұрын
Ukweli 💯 Mtupu haya mapenzi ndio yameleta vita Duniani hata mahali tunafanya kazi,ukichunguza unapata hata chuki vitina watu wanakufsnyia hata kazini unapata chanzo ni, mapenzi true chain..........................
@fedrickmwinuka16563 ай бұрын
Selection ya mpenzi kwenye maisha ya Binadamu yanasehem kubwa san
@user-fu5wi1ez7e3 ай бұрын
Ahsante sana kaka sikutarajia kama nitakuja kupata haya mafunzo kwa sababu sitaki maumivu niliyoyapataga mpaka ikafikia uamuzi nikataka nishindwe kufanya mtihani wangu wa mwisho😢😢😭😭
@davielubuyih-yh7sx3 ай бұрын
Pole sana
@user-ts4jr7ok1e3 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa uishi miaka mingi sanaa
@carolinekalume9344 ай бұрын
Jamani nilikuwa nasubiri hii episode kwa hamu! Asante Joel
@joelnanauka4 ай бұрын
Hongera naaamini umejifunza
@VickyKijazi3 ай бұрын
Kweli moyo ni mdanganyifu, Mungu atusaidie nguvu za kuulinda. Barikiwa mwalm Mungu akutunze tuendelee kupona!
@gloriatoya724 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa somo hili
@DevothaJohnMagessa3 ай бұрын
Asante sana kaka nimejifunza sana juu somo hili,yaan umegusa maisha yangu ninayopitia kwa kipindi hiki..ubarikiwe sana
@LakinaneMuna3 ай бұрын
Ahsante sana Brother Joel hakika nimejifunza mengi kutoka kwako
@user-lj4pz4pv8o3 ай бұрын
Muungu akubariki sana mkuu wangu mungu akupe nguvu zaidi
@brackskinyozi32803 ай бұрын
Mr..top...haki ... doze yako...iko.. .sawa .... asante sana
@tarsisiamwalongo68193 ай бұрын
Ubarikiwe mno mtumishi ,japo hapo kwenye kumshirikisha mtu ni nje na mzazi au hata mzazi tu anatosha mshirikisha
@bernadetachari76483 ай бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu.penzi nikitu kinacho kufanya uinuke ama uanghamiye amaubaki kiwete
@KelendoLaizer-yf8jy3 ай бұрын
Asante kwa somo ubarikiwe
@KasimBadi3 ай бұрын
Thank you brother JOEL
@rosadamassawe80194 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka Joel, hakuna kitu naogopa kama kusema ndio nikiwa sina uhakika. Yesu aendelee kukutunza.
@joelnanauka4 ай бұрын
Amen Rosada, ni kweli inahitaji muda🙏
@Abdulrahmanhassan183 ай бұрын
Hayaa ni zaidi ya maarifa
@user-er2if3dl9d3 ай бұрын
Kweriii aise mapenzi hayana utani kabsa usisemee kwamba natembea naye tu basi baadaye inaweza kuktuse kabsa yan,,
@Elishanabagingisemvayle-ob4cmАй бұрын
Ubarikiwe Sana daima, ningeli penda sana nipata kuzungumza nawe kwenye WhatsApp kama itakupendeza lakini.
@peacennko20033 ай бұрын
Nondo hizi ✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨
@isacksolomon53093 ай бұрын
Asante sana mwlm.
@EMMANUELJOELLUHERA-lh6um3 ай бұрын
Ubarikiwe san
@naomitheobald1253 ай бұрын
Be blessed brother J.nanauka
@Tonga9942 ай бұрын
Ahsante kwa Elimu hii kaka
@alexlucas15713 ай бұрын
Daaah episode hii nzuri sana
@goldiegranted55014 ай бұрын
Somo🙌🔥👏🏆
@fawziyahassan57143 ай бұрын
Asante sana Kaka JOEL
@user-td8zl2jd7r3 ай бұрын
Ahsante kwa somo
@user-jx7nr7ll3x4 ай бұрын
Mungu akubariki my Brother❤
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameen Ameeen
@user-ms3gw9if4h3 ай бұрын
Mungu akutunze na baraka zake ziwe juu yako Milele Amina
@user-qv3eo5pb3g4 ай бұрын
Shukran joel ❤❤❤
@user-sp1ig8ul2s3 ай бұрын
Nanauka kwenye line
@user-bq7ym3tv1h4 ай бұрын
Napitia wakati mgumu kwenye ndoa ya miezi mitano tu najuta kusema ndiyo kaka Joel
@joelnanauka4 ай бұрын
Pole sana, tafuta ushauri mapema. Unaweza kuongea na msimamizi wako au kiongozi wako wa imani kwa kuanzia
@user-bq7ym3tv1h4 ай бұрын
@@joelnanauka ahsante kaka
@user-zf1sp9ez4v3 ай бұрын
Expensive pain bro😢 shukran kaka we from far😢😢😢😢
@saidalhabsi92574 ай бұрын
😢😢😢 umeniponya Asante sana kaka Joel
@joelnanauka4 ай бұрын
Nashukuru kwa Mrejesho 🙏
@user-bi7hz1mu7p3 ай бұрын
Thanks bro.. your biggest fan froma fb salma said.❤
@eliasmugume2544 ай бұрын
Mungu awabariki Sana tena Sana
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameen Ameen Ameen
@kuruthumukondo71494 ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@user-dy6mx4yc6y4 ай бұрын
Sijatoka bure Shukran sana sana kaka Joel Allah akubariki
@joelnanauka4 ай бұрын
Nashukuru sana sana
@ZubedaVicent3 ай бұрын
@@joelnanaukaMm cna amani na mmewangu ambae tumezaa nae tumefunga ndoa lakin nimeishi nae bila amani mwaka1 uliopita je mm nifanyeje pastor
@johnwangubo33424 ай бұрын
Asante sana kaka joel nimejifunza kitu
@joelnanauka4 ай бұрын
Karibu tuendelee kujifunza🙏
@LeahLuhwavi-pd6cz4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana ujumbe huu ni mzuri Sana.🙏
@joelnanauka4 ай бұрын
Nashukuru sana tuendelee kujifunza
@ZubedaVicent3 ай бұрын
@jpoelnanauka please help me
@user-gz1cd6kn5j4 ай бұрын
Amna kitu kigumu kama kupata mwenza sahihi kuishi ndoto zako na kupata rafiki sahihi
@user-ds2em7or1w3 ай бұрын
Asante kaka
@user-jx7nr7ll3x4 ай бұрын
Mimi mwenyewe tangu nilipokubali napitia mateso na nimepoteza thamani na kukata tamaa kabisa
Niliwahi kupenda mtu mpk tukapata mtoto ila hakuwahi kunijali wala kunithamini kwenye maisha yake ila mtoto akafanyika baraka na kunifungulia milango mingi sana ila mpk sasa naogopa kupenda, nimeshamsahau nalea mtoto wangu hayupo kwenye akili moyo wala maisha yangu ila sijawahi kupenda tena wala kuingia kwenye mahusiano, Ee Mungu nisaidie nipate mtu sahihi atakayenipenda Mimi na mwanangu kama nitakavyompenda yeye
@samwelimwanja41053 ай бұрын
Pole sana betric
@priscusaugust72513 ай бұрын
Nan wa kukupenda wew na mwanao?
@beatricemwita43803 ай бұрын
@@priscusaugust7251 atakayenipenda dear na sio lazima sababu nimeshamchagua mwanangu kama chaguo la kwanza hivyo hata asipopatikana Haina tatizo ndugu
@beatricemwita43803 ай бұрын
@@samwelimwanja4105 ahsante ndugu
@FilbertHabashi-zn1qu3 ай бұрын
@@priscusaugust7251 Priscus August, ongeza sauti kidgo. Kiukwel kwa maisha ya sasa hakuna mtu wa kumpenda mtu na mwanae, na isitoshe mtoto atakuwa hyo kuna siku atamfata babake, so ni ngumu upate mwananume wa kuwapenda ivo. Kikubwa mtoto akifikia wakat wa kuish na baba, itakuwa rahis utafute mwanaume wa kukupenda wwe.
@edommdende43094 ай бұрын
❤️🙏
@niriacatering1723 ай бұрын
Asante sana
@everose2764 ай бұрын
Kaka sisi tuliokwisha ingia sasa na kifungo cha ndoa ndio balaa sasa jinsi ya kutoka 😊
@vanessasalema60873 ай бұрын
Noted.
@Yonzomc014 ай бұрын
Hasante sana kaka nimejifunza kitu ambacho skuwai kujua.
@ahz69074 ай бұрын
Hongera....Kila siku tunajifunza.😊
@joelnanauka4 ай бұрын
Shukrani sana, tuendelee kujifunza🙏
@stanleyandrea51534 ай бұрын
AHSANTE
@abdulfatahjuma31054 ай бұрын
More blessing
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏🙏
@joelnanauka4 ай бұрын
Ameenn
@righitkileo3 ай бұрын
❤❤Joel Nanauka.❤❤❤Nakupenda sana❤unajua kufundisha❤Aisee Munqu akupe muda mrefu hapa dunian❤❤❤❤❤❤❤
@rebeccakisale4 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾
@nasha_593 ай бұрын
Asant sna kwa darasan hil naomb uwek namna yakupony maumiv ya muda mref plz tlishafany makos tnatak kupiny mioyo yet ili tusj tkafany tna makos
@tumainichanya32684 ай бұрын
Ila kuhusu mapenzi dah! anyway ninaujasili wa kusema mzizi wa mapenzi kwangu uling'oka tangu nikiwa na 36year mpaka sasa namshukuru Mungu nina 46 cjawahi fikili kutamani tena kitu mapenzi au mahusiano ,nimegundua kitu mapenzi bora ni wewe mwenyewe kujipenda na kujikubali ,nilisoma kwenye biblia nafikili wimbo ulio bora imeandikwa kabisa usiyachokoze mapenzi mpaka yatakapoamua yenyewe.
@shukranjulius95263 ай бұрын
Kaka Joel barikiwa zaidi, mimi maumivu ya mapenzi yalinipa changamoto ilifika kipindi nilitamani kujiua,ila kwasasa nimepona ninapambania maisha yangu,nanimeamua kujipenda mapenzi kwa sasa hayana nafasi bado natafuta naamini ipo siku nitapata mwanaume sahihi
@user-ql5vl1rf4l3 ай бұрын
Pole sana dear
@FrancisTossy-zy2tu3 ай бұрын
Nakuombbea upate alie sahihi
@jamilaathumani54814 ай бұрын
Kaka Joel sikuiz husem chochote kwenye komenti,,hulaik why?
@joelnanauka4 ай бұрын
Najitahidi ila kuna wakati nashindwa mambo yanakuwa mengi
@paulmayombe43363 ай бұрын
Mapenzi ni kama gemu flani iv jmn mtu akishajua umemp3nda ndo anaanza kukufanya anavotaka
@FrancisTossy-zy2tu3 ай бұрын
Acha tu aise
@jkifutu79364 ай бұрын
Absolutely 💯 💯 💯
@bonifaceferdinand5663 ай бұрын
All in all Don't allow your emotion to destroy your life 😂😂😂
@damariszuckschwert94893 ай бұрын
Uko na copy za vitabu kwa lugha ya Kiingereza?
@user-fo8pd3cx9h3 ай бұрын
Umetisha sana asante.ukweli mtupu. 4:01
@user-dg7wf6fg2j4 ай бұрын
Boss kuna namba umetoa napiga hupokei hata msg sijajua tatizo nini
@joelnanauka4 ай бұрын
Karibu sana 0756-094875/ 0762 31 21 71 / 0745 25 26 70