WAZIRI NDUMBARO KATIBU MKUU MICHEZO KUSHUHUDIA DAR BOXING DERBY

  Рет қаралды 19

JEMEDARI TV

JEMEDARI TV

5 күн бұрын

Katibu Mkuu Wa Wizara ya Michezo Gerson Msigwa ameahidi kuungana Na Waziri Wa Michezo DK Damas Ndumbaro kushuhudia pambano la ngumi la Dar Boxing Derby Jumamosi Juni 29 Jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza Na Wanahabari Msigwa amesema kumekuwa Na jitihada kubwa Katika kuendeleza mchezo Wa Ngumi hivyo jitihada hizo hazitakiwi kupuuzwa .
Kwa Upande Wake Meya Wa Jiji la Dar es Salaam Mh Omari Kumbilamoto amesema licha ya yeye kushiri kutazama lakini hata maandali atashiriki pale penye mapungufu.
Mabondia watakaocheza pambano la Dar Boxing Derby Watapima Uzito Siku Ya Ijumaa Juni 28,2024 kuanzia Saa nne Asubui kwenye Viwanja vya Posta Kijito Nyama Jijini Dar es salaam.

Пікірлер
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 72 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 21 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 85 МЛН
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 83 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 72 МЛН