JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN

  Рет қаралды 45,641

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

6 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #

Пікірлер: 252
@user-yl8ni9wn4t
@user-yl8ni9wn4t 4 күн бұрын
Nitaingia MBINGUNI kwa kishindo, hata Dunia nzima irudinyuma mimi siwezi...nampenda YESU KRISTO PEKEE ndani ya moyo wangu....kisu kipite shingoni, lakini MBINGUNI niingie...Dhambi ndiyo kizuizi cha Mwanadamu kwenda mbinguni, kuwa mtakatifu sana mpendwa ...1petro 1:15-16, waebrania 12:14...
@steveobwoge3315
@steveobwoge3315 4 күн бұрын
Yesu yupo enzini, kumshikililia tu
@ControlRoom-q1s
@ControlRoom-q1s 4 күн бұрын
Amina
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 2 күн бұрын
Mungu akubariki saana mtumishi, Baki na msimamo huo huo Yesu ndiye njia
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 Күн бұрын
Amen 🙏
@petermochengo8647
@petermochengo8647 3 күн бұрын
Unabii huu sio watumishi wengi wanauelewa Mungu akubariki sana bro this massage is so powerful
@AnjelaTemu
@AnjelaTemu Күн бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana sana unasaidia kuukomboa ulimwengu, watu tunapotoshwa na watumishi wa uongo paka tunakosa tumaini kabisa ila wewe ndie mtumishi wa Mungu wa kweli, unaesema ukweli na kufichua Siri nzito zilizifichika za manabii wa uongo nakupenda sana mtumishi na naikubali sana kazi Yako Mungu akuzidishie Maisha marefu yaliyojaa neema nyingi Ili uzidi kuikomboa Dunia 🙏🙏🙏
@Jacksonswai685
@Jacksonswai685 2 күн бұрын
Ukweli ni huu amini nawambia saut aitojirudia tena masikioni mwako usiposikia ujumbe huu ukaufanyia kazi utalia na kusaga meno, emen mungu akutie nguv mtumishi
@sianagodson3690
@sianagodson3690 4 күн бұрын
Mungu akutunze Mtumishi..nakufuatilia sn, mafundisho Yako,tunaomba Mungu akuwezeshe utuandalie Somo la Jinsi ya kulishinda Hilo pambano,tufanye nini kama wakristo,na ikitokea tangazo la dini Moja,tupo makanisani, tufanye nini?tutaabudu wap? tunaomba utuandalie Jinsi ya kulishinda Hilo pambano la mwisho. SoMo la la tangazo la kifo kwa Wacha Mungu limenifungua macho,kweli inaogopesha Mungu tusaidie tu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 4 күн бұрын
Mungu aturehemu sana. Tayari inaendelea na iko wasi ni Mungu atutie nguvu watakatifu wote duniani tusimame katika kweli yake tusimuasi Mungu. Yote aliyotabiri Bwana Yesu yametimia. Mungu awe pamoja nawe mtumishi kwa kazi hii nzuri.
@GustaveAbedi-td9yv
@GustaveAbedi-td9yv 2 күн бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu au nom de Jésus Christ de Nazareth 🇨🇩🇨🇩
@emmanuelmataro4273
@emmanuelmataro4273 Күн бұрын
Ni vizur usimame kwenye kweli ingia sabato ili uwe sawa na mitume na mtumishi halali wa mungu
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 4 күн бұрын
Mwenyezi mungu akutunze mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili,❤
@luciadominik1626
@luciadominik1626 4 күн бұрын
Sasa mtumishi umesema utatuambia wanatukamataje lakini hujaseama sabb tumejisajili mtandaoni
@SophiaThadei-hx4wd
@SophiaThadei-hx4wd Күн бұрын
Mungu akubariki Sana kwakusema ukweli, uwe na umli mlefu Mungu akutumie zaidi
@user-ep9by3ui1v
@user-ep9by3ui1v Күн бұрын
Piga kelele askari wa bwana ❤❤🙏🙏🤝
@JohnAmani-f1y
@JohnAmani-f1y Сағат бұрын
Neema ya mungu iwe juu yako mtumishi wa mungu tupo vijana tunao tamaani kuwelewa haya mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 4 күн бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili ya kweli, mwenyezi mungu akutunze Amina
@jamesmgonda
@jamesmgonda Күн бұрын
Safi Sanamu ya mnyama -umoja au muunganiko wa makanisa Alama ya mnyama-jumapili
@Jesusisaking1
@Jesusisaking1 4 күн бұрын
Nakupenda kaka Yangu ,God bless you❤
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 2 күн бұрын
Akuowe bc
@JohnAmani-f1y
@JohnAmani-f1y 57 минут бұрын
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@mako331
@mako331 2 күн бұрын
Ndio maana ninapoona wakristo wamejazana kwenye mikutano ya kina Mwamposa ninalia kwamba njaa ya neno ni kubwa sana. Watu wanafuata udanganyifu wa miujuza, njia ya upotevu ni pana na ni wengi waipitayo njia ya mbinguni ni nyembamba waipitao ni wachache
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa kweli hizi ipo vita ya ibaada nani aabudiwe kati ya Mungu na. Shetani Tunakoelekea na harakati zishaanza ni kwamba jumapili inaenda kutangazwa kuwa siku maalum ya ibaada na ni lazima ukibisha kifo kinakuhusu Kwann ni lazima: kuna siku ya ibaada ambayo Mungu aliiweka kwetu sisi wanadamu nayo bili kuficha ni jumamos ndiyo siku inayomtukuza Mungu wa mbinguni na kumtambulisha kuwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi Kwa sababu ibilis naye anataka aabudiwe ameweka siku yake kwa wanadamu ambayo ni jumapili na mpaka sasa taratibu zinaendelea jumapili kuwekwa rasmi ni lazima uabudu katika siku hiyo hutaki kifo Lengo ni kuitoa sabato ya kweli inayomtukuza mungu na kubakiza inayomtukuza ibilisi Hizi agenda sasa ni kutafuta sababu mfano kuna agenda juu ya uchumi Kwamba eti watu wanakuwa na siku nyingi za kupumzika hawafanyi kazi hivyo uchumi unashuka iwekwe sasa siku moja ili watu wafanye kazi Ila ukweli sio hoja ni namna tu wapate kukubalika na habari yao ya kusimika jumapili kama siku ya ibaada na nyuma ya hili yupo ibilisi mwenyewe kwa kutumia mawakala wake hasa kanisa katoliki kwa uongozi wa papa.
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 4 күн бұрын
inambindi tukae kwa maombi na tuwe na Imani na tumutumikie muumba wetu
@user-id1cg8ik1d
@user-id1cg8ik1d 2 күн бұрын
Mungu nirehemu mimi ,,niweze kukukuta mbingun
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 3 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki.ayo njo mahubiri tunayo itaji kwa sasa. Abari za baraka zinesha tuchosha🙏🙏
@user-no2tw5vb8j
@user-no2tw5vb8j 4 күн бұрын
Mimi ninacho kijuwa ni tunaisha nyakati za mwisho. Yesu christo yu mlangoni
@TujifunzeWote.-zq9nz
@TujifunzeWote.-zq9nz Күн бұрын
Sasa kama unayajua hayo mzee sasa kwanini umefungua kanisa lako wakati sanamu ya mnyama ni jumapili alafu bado na wewe umefungua kanisa lako, tafikili na ni Mungu, nenda sabato kwa mujibu ya ufunuo, nenda kwa wasabato ndio utapona, acha unafki wakati unajua unachokifanya na kijacho unakijua sababu umesoma ufunuo au kanisa lako ndio la masalia na utume wao.
@JohnAmani-f1y
@JohnAmani-f1y 55 минут бұрын
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu 22:36
@user-iv9yc8hl7n
@user-iv9yc8hl7n 4 күн бұрын
Nakuelewa sana mtumish wa Mungu,Ubarikiwe Kwa ujumbe huuu
@user-um5rh8ov7b
@user-um5rh8ov7b Күн бұрын
Tuamke jamni , tuwaombee Watumishi wa Mungu kama hawa wanatufungua sana
@OmarKhairalla-tx6sv
@OmarKhairalla-tx6sv 2 күн бұрын
Amen be blessed man of God
@DainesKanenile
@DainesKanenile Күн бұрын
Barikiwa Sana Mungu tuhurumie
@BenardPaul-t4x
@BenardPaul-t4x 2 күн бұрын
Mungu wa mbingu na nchi akutuze ili uendelee kupiga kazi ya mhubiri
@elishampoki8751
@elishampoki8751 4 күн бұрын
Unachoongea nisahihi niliona watoto wa Mungu wanakataliwa kuingia sokoni, kupata maitaji nikaona watoto wa Mungu wanakamatwa na kutiwa jela ,hiyo kitu nikweli mtu wa Mungu maono hayo nilionyeshwa Mwaka 1998,
@MarthaJoy-lx2qk
@MarthaJoy-lx2qk Күн бұрын
Ni myaka mingi sana nitafuta mtu waku nihubiriya maubiri yakusisimuwa ❤❤
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Күн бұрын
Mpango wa ibilisi ni kutaka aabudiwe hivyo anaenda kinyume na Mungu kwa kila jambo Mungu alisema ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke Shetan yeye hata mme na mme wanaweza oana Mungu alisema ibaada ni siku ya saba Shetani yeye hata siku ya kwanza ya juma ni sawa tu So tuko vitani na vita ni kati ya wema na uovu ni kuchagua upande ni wapi usimame kwa Mungu au kwa shetani
@user-em1ui1xi2d
@user-em1ui1xi2d 3 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 12 сағат бұрын
Mjue Allah msitukufurishe mnaona mmetufikisha hapa tulipo mnampenda mdomoni lakini moyoni mwenu hamnae mnawapoteza hata waliowalokole
@user-ne1cd7oq4z
@user-ne1cd7oq4z Күн бұрын
Mungu a kubariki mtumishi wa mungu,huu ni ukweli mtupu.aliye na sikio na asikie
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 күн бұрын
KAMWE ROBOT HALITAFANANA NA MWANADAMU. ROBOT MBAKA ULIPTOGRAM, LAKINI MWANADAMU HANA LIMITI. YU HURU KWA LOLOTE
@weremamediaproduction8583
@weremamediaproduction8583 2 сағат бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu
@MichaelWallace-sz7mu
@MichaelWallace-sz7mu 3 күн бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,nakuelewa unacho hubiri.Hakika mwisho ndio huu.
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 2 күн бұрын
Kama sisi ni viumbe wa Mungu na tumeubwa na Mungu hatutaweza kuweka hofu juu ya maroboti maana tunajua kua Mungu alietuumba ndie anaetuongoza juu ya rizki zetu.
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 4 күн бұрын
Hii tumesoma chuo kabksa tena ilkuwa second Year first semester 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@gwamakamwakalonge
@gwamakamwakalonge 13 сағат бұрын
Kaza buti mwanaumeeeeeee tuko pamoja nawewe kumsujudu mwanaume yesu
@mtemikana6714
@mtemikana6714 16 сағат бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu
@laurentbulabo5002
@laurentbulabo5002 3 күн бұрын
Mtumishi huyu anaifundisha iliyokweli, neno halisi la Mungu, Mungu peekee anamlinda
@DismondIsmael
@DismondIsmael 4 күн бұрын
Eee Mungu uturehemu Na umlinde mtumishiwako na mabaya yote na umpeujasiri wa kufunua sirihiii iliwatu watubu Na kukujua Yesu,uliyeMungu.
@sss3s867
@sss3s867 23 сағат бұрын
mimi naona wanaokamatwa na kuteswa kwa watu wa mungu kwa kisingizio cha ugaidi. ni waislamu. sasa hawa waislamu ndio watumishi wa haki wanaomkubali yesu bila shaka ni hivyo.
@ezekielmathia1004
@ezekielmathia1004 12 сағат бұрын
Ukweri mimi ninavyo penda mahubiri yako natamani siku moja kuimba na wewe . Nimechukiwa na watu kisa ukweri wa Mungu wengi ikiwa niwa chungaji lakini naamini Mungu atanilinda.
@DominicaUggy-em8vc
@DominicaUggy-em8vc 4 күн бұрын
Jamani! Mungu akulinde kaka angu. Nakufatilia tangu BSS 2009. Lkn Mungu amekuinua kwa namna ya ajabu sana.
@RaphaelSiwale
@RaphaelSiwale Күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@KolestaMkamati
@KolestaMkamati 4 күн бұрын
Asante sana kwamahubili mazur waliompaya kristo nadhani mnselewa
@MeshackKayuni
@MeshackKayuni 4 күн бұрын
MUNGU akusaidie Mtumishi tupo pamoja
@Blessing_uk
@Blessing_uk Күн бұрын
Samahani..mtumishi wa mungu nisamehe kama ntakukosea niushauritu na pia mungu naomba anisamehe pia .unajua kunawachungaji feki wanatumia lugha yaupole hadi wanajikta wamejaza watu kwenye makanisa yao..unaonaje mtumishi wa mungu ukipungza ukali fanya kama unazngmza kwa lugha ya upole nahsi itakuwa njia nzri yakuwaenezea watu ukwer wa mungu wetu alie hai maan naona manabii wauongo wanatumia lugha laini kuwashawishi watu nahsi na ww ungetumia hyo lugha lain nahsi wengi ujumbe ungefka kwa watu weng zaid..nisamehe lkn kama ntakua nimekukosea mtumishi nia yngu nataka huu ukwer uwafkie watu weng kwa haraka..niushauritu mtumishi wangu..
@ConfusedFrog-lc9db
@ConfusedFrog-lc9db Күн бұрын
Wewe shidaako ni nini,unasikiliza sauti ama unasikiliza ujumbe?
@ONGEZATHAMANI
@ONGEZATHAMANI Күн бұрын
Yeye ni mwinjilisti,wao ni wachungaji.Na isitoshe Kila Mtu anawito wake
@AnaMeshack
@AnaMeshack Күн бұрын
Hakuna ulele mama kwenye kazi ya Mungu kwa nyakati hizo ni za mwisho bro tumefika mbali 😢😢
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 4 күн бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie tunapoishi katika hii dunia ya dhiki. Mungu azidi kukutumia ili kufanyika jicho pevu kuerevusha ulimwengu.
@FrolaRobinson
@FrolaRobinson 4 күн бұрын
God bless you
@user-nu4ct7yc9o
@user-nu4ct7yc9o 4 күн бұрын
Glória Deus!, estamos juntos servo de Jesus amém 🎉🎉🎉.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 13 сағат бұрын
NIMEPENDA UJUMBE WAKO. NIMEONA KUNA KITU. IBARIKIWE SANA.
@AnjendileKilemile
@AnjendileKilemile Күн бұрын
Cha msingi tuamke maana tunaishi majibu ya Yesu kristo kuhusu ujio wake Jesus is coming very soon
@user-cn6nk8fd8q
@user-cn6nk8fd8q Күн бұрын
Huyu ni kanisa gni mbona Kam msabato
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 5 сағат бұрын
wewe una angalia kanisa badala ya kuangalia ukweli anao usema kanisa halikusaidii kitu
@nestorypesambili7341
@nestorypesambili7341 4 күн бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv 3 күн бұрын
twambie baba tupone🎉 Mungu azidi kukuimalisha kwa mafundisho mazuri🎉🎉
@Pendopasilika
@Pendopasilika 4 күн бұрын
Ee BWANA YESU tuhurumie turehemu MUNGU wetu maana dunia Sasa imekwisha we MUNGU BABA twende wapi Wana wako na watoto wetu uliotupa😢😢😢😢😢😢😢 heeeeee!!! Ni wakati wa kuchangamka usichoke mtumishi wa BWANA SEMA watu wafunguliwe
@user-iv9yc8hl7n
@user-iv9yc8hl7n 4 күн бұрын
Amina
@Pendopasilika
@Pendopasilika 4 күн бұрын
@@user-iv9yc8hl7n barikiwa mtumishi
@angelitapaulo
@angelitapaulo 9 сағат бұрын
Kitu cha muhimu sana kulinda moyo wako na tukiacha yale yote ya Dunia
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 3 күн бұрын
Kamanda wayesu hongera sana nakuelewa
@yongoyongo3055
@yongoyongo3055 3 күн бұрын
Tunamutegemea Allah ambaye hafi na wala hana wa kumuadvice
@tonymwiti1445
@tonymwiti1445 2 күн бұрын
Yesu anajulikana Ni nani na mwanzo wake ,,,,,na je Allah niambie Ni nani anaishi wapi na na mwanzo wake Ni upi
@user-lq6kr2gl7n
@user-lq6kr2gl7n Күн бұрын
🤔🤔Mmmmh hatar
@sss3s867
@sss3s867 17 сағат бұрын
NDIO MAANA MRUSI ANAWANYOSHA POLEPOLE MAANA WAMEPINDA. NA HUYO PAPA ANAJIFANYA KAMA MAMBO YA UKRAIN HAYAMKUNI SANA. AMEONGEA MARA 1 TU KTK OPARATION YA KIVITA YA URUSI HUKO IKRAIN. KUMBE PEMBE ZINAMKUNA
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 4 күн бұрын
Ni kweli Balaza la Makanisa ulimwenguni EKUMEN ni Sanamu ya Mnyama kwa hiyo ni Ufunuo 13:11-16imeanzishwa Marekani tangu mwaka 1946. mungu mwenye Nafsi tatu ni alama ya Mnyama Ufunuo 16:13-14 Ni fundisho lililotoka Rumi likipi amri ya kwanza, Likipi Biblia Waebrania 6:13:Isaya 42:1: Isaya 43:21 Isaya 45:23. Hiyo inapingana na Mathayo 28:19 mkabatize kwa jina (moja) Siyo majina (wingi) Inapingana Matendo 2:38 Kwa jina la Yesu Kristo siyo majina. Matendo 10:48.Matendo 19:5.Hayoni ni baadhi ya mafundisho ya meshika jamii za watu wanajihita Wakristo. Hao Dini nyingine azijui ABC.
@MaryHhary
@MaryHhary 3 күн бұрын
Ndgu
@MaryHhary
@MaryHhary 3 күн бұрын
Hata huyu anayehubir kamegew ufunuo kidogo tu hajui bibiarus hayo hayamkuti
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 2 күн бұрын
​@@MaryHhary Bwana Yesu Kristo akubariki.
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 4 күн бұрын
Eeee Yesu shuka upesi utuone waja wako tunapotea😢
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 3 күн бұрын
Mungu akubariki niwachache wakuongoza ninekuelewa bro
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 4 күн бұрын
Nikweli umehubiri ukweli kabisa. Lskini papa analenga. Kuziangusha. Amri yasabato ya mungu. Ndyo maana jumapili ndoameiweka iwe ibada yake. Kwahyo waeleze watu jumapili niarlama ya mnyama. Usifumbie hilo watu waondoke babeli.
@sarahmaro215
@sarahmaro215 4 күн бұрын
Shenanigans hasumbuliwi na siku, anachotafta shetani ni kumuangusha mtu yule ambaye anamwabudu MUNGU ktk roho na kweli tu.
@sarahmaro215
@sarahmaro215 4 күн бұрын
Shetatani hasumbuliwi......
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 4 күн бұрын
@@sarahmaro215 pengine kwa mtazamo wako ndoulivyo. Ilashetani anaakili kuliko ujuavyo. Hujiulizi kwa Nini kanisa katholiki. Liko juu kuliko biblia. Kanisa ndolinaamri. Kuliko amri za MUNGU. Hamjiulizi. Hamuoni. Ebu fungueni. Macho wapndwa. Kama mtasari jumapili. Hamtakua natatizo. Lakini wake watakao ikataa hyo jumapili. Watauwawa. Kwanini iwelazima jumapili nasi jumatatu. Hujiulizi?
@christopherkaroli9365
@christopherkaroli9365 4 күн бұрын
Ninyi mna shida kwani siku ina shida gani? Siku zote ni za Mungu hatuzuiliwi kumwomba Mungu siku yoyote isipokuwa tu awe Mungu wa kweli na kubudu katika roho
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 күн бұрын
Biblia inasema kwenye mathayo 5:8-10 "wenye moyo safi watamuona Mungu", na si watakao abudu siku ya jumapili au jumamosi. Hali yako ya moyoni ya kumuamini Yesu kristo na hali yako ya utakatifu ndo itakayo kupeleka Mbinguni.
@vivianalute644
@vivianalute644 4 күн бұрын
Mungu MUNGU akubariki sana
@MakaliusNgua-vb5sb
@MakaliusNgua-vb5sb 4 күн бұрын
Hapo yatupasa tuinue macho yetu kwa kristo ndiye msaada pekee
@FrankiAndrew
@FrankiAndrew 4 күн бұрын
Amina Amina Amina
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 12 сағат бұрын
Yesu si mungu wala mtoto wa mungu msiwapoteze hata waliowalokole ndugu zangu kibindamu someni bibilia wenyewe msisubiri kusomewa mpate kujua ukweli au tafuta clip za Imani Petro utafanikiwa
@angelitapaulo
@angelitapaulo 8 сағат бұрын
Wewe ndio unahitaji usome Biblia ili ujue YESU ndio MUNGU mwenye, ndio maana yupo mpinga Kristo yaani mpinga Kristo amemjua YESU NDIE MUNGU MWENYEWE, ndio maana hakuna mpinga Mohamedy, wala mpinga hindu, buda, waabudu ng'ombe hakuna kwa sababu hizo imani zote hakuna yeye ukweli, ila ile ya YESU aliyetufundisha, kama hujui tayari waislam washaunganishwa kwenye dini moja, makao makuu yako abudhabi Dubai, Saudi Arabia ishasaini makubaliano ya dini moja ambayo Saudi Arabia hatakiwi kutoa siraha yoyote wala kuchangia chochote watu watapigana katika ya Israel nusu ya watu duniani itapotea, makubaliano ya kusaini dini moja inawafanya waislam kujiunganisha na mpinga Kristo na kwamba hao sio watu wa YESU, kubari kumjua YESU utamjua kwa nini ana pingwa YEYE na sio mtume mwenye waislam wengi Duniani
@user-ef7pn5wt7g
@user-ef7pn5wt7g 4 күн бұрын
Mungu akulinde❤
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 күн бұрын
Hata baideni hana tofauti na robotic inayokontroliwa
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 күн бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 4 күн бұрын
Mungu utusayidiye tumarize safari ya ya kwenda mbinguni salama🎉🎉🎉
@EricMurhula
@EricMurhula 3 күн бұрын
Mungu aku jaze upako papa
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 3 күн бұрын
Mungu anisaidie mtumishi
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 4 күн бұрын
Mungu Atusaidie sana
@AsiaAsia-v6h
@AsiaAsia-v6h Күн бұрын
Asthafirullah yarabi Allah atusaidie waislamu sote kwa ujumla inshallah nilailaha ilallah Muhammad rasulallah pekeake hakuna mwengine na Muhammad ndo mjumbe wake
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Күн бұрын
Unaupinga ushetani na wew umo ndani umo umo, Mnyama ni utawala wa 4 ktk Dunia, na ndio hao waliowaletea ukiristo
@EmanuelSolomon-ij1is
@EmanuelSolomon-ij1is 3 күн бұрын
Vema
@SalimaJuma-en8km
@SalimaJuma-en8km 2 күн бұрын
Mungu atupe hamu ya kutafuta kwa zati ubarikiwe kaka
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 12 сағат бұрын
Mwisho wa dunia dini utakuwa moja tu duniani kote na sinyengine ila ni ileile ya nabii wa mwanzo baba yetu Adam nayo ni yamanabii wotemtajijua mlokuwa hamuijui dini halisi ya kweli na ya haki poleni Sana wakristo Allah atupe hatma njema .
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 12 сағат бұрын
Maneno yako ni sadakta na huko ulikosiko
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 4 күн бұрын
Yehova yupo upande wetu. Tutashinda. Kifo chetu ni ushindi. Hatuwezi kuyakwepa. Nirazima yatimie. Kikubwa. Nikusimama imara na YESU ameahidi hatatutupa kamwe
@YuenPonsiano
@YuenPonsiano 4 күн бұрын
Ubarikiwe na MUNGU
@user-ko5it5hz6b
@user-ko5it5hz6b 4 күн бұрын
Asante Mungu kwa mtumishi wako
@JanetRuwa-t9j
@JanetRuwa-t9j 12 сағат бұрын
Ukweli kabisa mchungaji
@mako331
@mako331 2 күн бұрын
Kama kuna kanisa linalotumika kishetani ni catholic, na ndio maana hawaruhusu waumini wao wasome biblia
@gidongailo7174
@gidongailo7174 4 күн бұрын
Mateso yameshaanza ndani ya Kanisa lenyewe la Rumi. Wale viongozi waaminifu kwa Neno la Mungu wanafukuzwa kazi na kutengwa. Ili wabaki wale wanaoungana na sera za kumwasi Mungu
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 4 күн бұрын
Acha kudanganya wewe
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 күн бұрын
​@@venancenkoronko9250Kweli, amka
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 2 күн бұрын
Acha bangi
@EricMurhula
@EricMurhula 3 күн бұрын
Je ! Yesu ata kapo kuja , ata ikuta imani y'a kweli?
@FaithHozza
@FaithHozza 4 күн бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 4 күн бұрын
Mhubiri sijui kama wanakusikia, lakini watu hawajui kwamba kanisa ndiyo mpinga Kristo, Mungu alililaani taifa la Israel lakini Wa Kristo wanalibariki taifa la Israel. Israel ya leo ndiyo inayo inayo simamia Uovu Duniani wakishirikiana na Marekani na mataifa ya Ulaya, Vita, Ushoga na Usagaji Israel, Marekani na mataifa ya Ulaya wamo, Family planning, Marekani na Israel wamo, Watengenezaji Nyama za Kula za Maabara Israel na Marekani wamo, Watengenezaji wa Roboti za Akili mnembo Marekani na Israel wamo. Lakini mataifa haya ndiyo wanalo libeba Kanisa. Kwamfano Italy ndilo Taifa pekee lililo kuwa na maabara ya Kuzarisha Nyama ambalo hivi karibuni limetangaza kuachana nao mpango huo. Maabara hiyo mmilki na mfadhili Mkuu ni Marekani. Hawa wote ni wapinga Kristo na ndiyo wanao licontrol Kanisa (Ukristo).
@ngipetojoseph2637
@ngipetojoseph2637 Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ Amen 🙏 UNITUMIE
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 4 күн бұрын
Namwagia Damu ya YESU KRISTO
@elishampoki8751
@elishampoki8751 4 күн бұрын
Mtumishi hiyo kitu nimeona , Mungu hataacha kuwafunulia sili wateule wake, hiyo,unachokisema nisahihi,kabisa,
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 4 күн бұрын
Amina mtumishi wa mungu akujariki
@Mjakazisafi8361
@Mjakazisafi8361 4 күн бұрын
Mungu ama MUNGU c mungu huyo ni miungu soma Zaburi 81:9 ujue utofauti wa MUNGU muumba mbingu na nchi na mungu Amen
@Revelation1412.
@Revelation1412. 4 күн бұрын
HUU NDO UJUMBE 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@paskalilameki9568
@paskalilameki9568 4 күн бұрын
Mungu.haku.baliki
@mako331
@mako331 2 күн бұрын
Mtumishi mbona huelezi vizuri hiyo alama ya mnyama ni nini? Kuna swala la siku ya kuabudu watalazimisha watu waabudu jumapili siku ya kwanza ya juma badala ya jumamosi hilo ndilo lengo kuu, ila wengi waabuduo jumapili kwa sasa wamo ndani ya alama ya mnyama tayari hawatakuwa na shida; Wasabato ndio wanatafutwa hapo
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 57 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 36 М.
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 33 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 14 МЛН
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 34 М.
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 16 М.
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 406 М.
RUTO KUPINGA USHOGA NDIO CHAZO CHA MADAMANO  EV PASCHAL CASSIAN
39:17
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 8 М.
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
0:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
Зря они облили полицейскую водой...😂
0:25
Heavy package 🤭🤣 #demariki
0:25
Demariki
Рет қаралды 3,6 МЛН
СРОЧНО ДОМОЙ! Эта НЕ КОНФЕТА!
0:21
Клаунхаус Kids
Рет қаралды 1,2 МЛН
Сын вернулся с войны и сделал сюрприз 🤯
0:17
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 4 МЛН