ASKOFU MWAMAKULA AMVAA MCH DKT KIMARO "ANAPOTOSHA IMANI/ANGETAJA WASHIRIKA WAKE SIO WAKRISTO WOTE"

  Рет қаралды 114,047

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Жыл бұрын

ASKOFU MWAMAKULA AMVAA MCH DKT KIMARO "ANAPOTOSHA IMANI/ANGETAJA WASHIRIKA WAKE SIO WAKRISTO WOTE"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 472
@dodoted5033
@dodoted5033 Жыл бұрын
Sasa nimeelewa chanzo cha hoja.
@nelsonsape2809
@nelsonsape2809 Жыл бұрын
Ukristo ndiyo Imani sahihi duniani.mch.kimalo atubu hata hao wanao andamana nimatapeli.nikwel mapungufu yapo lakin kanisa haliwezi kufa kwamaneno ya kimalo....
@christinakazare5194
@christinakazare5194 Жыл бұрын
Tunapaswa kumuogopa Mungu sana na tujue kila jaribu hua Mungu anaweka njia ya kutokea
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 Жыл бұрын
Kauli ya Mchungaji ni sahihi kabisa, kwa sababu Mchungaji alikuwa anakemea, Wakristo tunatosa riba lakini waislamu hawapokei riba. Waumini wa kikristo wengi uaminivu ni sifuri. Neno la Mungu lazima liwabadilishe waumini. Kama hawabadiliki lazima kukemea UOVU. Tusilee UOVU madabahuni. Tuukemee UOVU.
@sarafinamlomo8132
@sarafinamlomo8132 Жыл бұрын
Hata mafarisayo walimuhukumu Yesu eti anakula na wenye dhambi! Na walimuhukumu kwa maneno yake!! Kutokana kushikiria sheria za dini yao! Ninyi ni washika sheria siyo washika Yesu na njia zake!!!!
@geofreyuswege9148
@geofreyuswege9148 Жыл бұрын
Baba askofu Mwamakula nimekuelewa vizuri sana , nineona hekima yako ya kunena , na Mungu atusaidiye kanisa kwa yaliyo wazi hata ya sirini Mungu akutunze sana
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Bibilia ni nzuri nyinyi munao isimamia na kuihubili ndiyo munaikosea kwa kuielezea
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 Жыл бұрын
Watumishi wa mishahara ....kazi ya Mungu imeifanya kama kazi yakuwaingizia kipato ....hamlindi maisha ya wokovu,mnatetea matumbo yenu
@stevennjingo5262
@stevennjingo5262 Жыл бұрын
Maarifa juu ya Neno la Mungu ni kitu Mungu Sana( tunaangamizwa kwa kukosa maarifa)
@agnesmangale3163
@agnesmangale3163 Жыл бұрын
Mungu akupigania Mchungaji..Wacha mapenzi ya Mungu yatimie kwako in Jesus Name
@pendosamwel1682
@pendosamwel1682 Жыл бұрын
You are very right Bishop. Eliona Kimaro has terribly messed up. He was insulting even his congregants and himself. He pretends to be wise but he is not. He has contradicted himself.
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Mungu Ndo Anaye jua Zaidi
@atuganile08
@atuganile08 Жыл бұрын
Ukweli upo na utakuwepo
@joeaub2185
@joeaub2185 Жыл бұрын
Mm niulize pale Yesu aliposema mnanya hekalu la Baba yangu kuwa pango la wezi....inamaan tumtafsiri yesu amekosea...!!Pale aliwaponya kwa kufanya vile ni dhambi mbele za mungu...
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Pamoja na ushauri wako Askofu Mwamakula. lakini wewe mwenyewe unaligawa Kanisa lako la Moroviani kuwalazimisha waumini wako wawe chadema.Kwa utashi wako huo unapaswa kuchagua siasa au dini. Kanisa lako limechelewa sana kukufukuza Uaskofu ili uendelee na maandamano yako ya siasa.Bwana Yesu alisema " Hakuna awezaye kutumikia mabwana wawili atampenda huyu na kumchukia huyu" Kama umeipenda siasa nenda katika siasa ache kuligawa kanisa.
@opvet6
@opvet6 Жыл бұрын
Ni sawa kama alikiuka maadili aina hiyo, kwa kusema tu hivyo, je ,kwa nn asingeitwa kiofisi na kuonywa kiofisi na yakaishia kiofisi na tena akakumbuka kuwa kufanya ivyo ni kukiuka maadili hadi ifikie kuleta taharuki kwa waumini na wafuasi wengine wa Mch. Dr Eliona Kimaro?
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w
Ukristor unaheshima yake❤🎉
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Жыл бұрын
Mch.Kimaro anaweza kuwa sahihi kwa utafiti wake. Ebu turudi huku mitaani tuone vijana wa kikikristo waume kwa wake tizama mavazi yao, matendo yao, huko vyuoni angalia mienendo yao, uzinzi na utoaji mimba ni sehemu ya maisha yao. Hali ni mbaya mch.kasema juu ya ufa huu kanisa halitaki kukubali na kujitafakari kuandaa mafunzo bora na endelevu kwa watoto na vijana juu ya kuhofia dhambi. Taasisi nyingi za umma na za sekta binafsi zinaongozwa au zina watumishi wengi wakristo ila rushwa na dhuruma juu ya haki vimetawala nenda mahakama ni, polisi, hospitalini, na ofisi nyinginezo nyingi tu. KKT ibebe hili kama wazo na kutafuta njia za kuijenga KKT ya kesho na hatimaye kuipeleka mpaka jumuia ya kikristo ili madhehebu yote yachukue hatua juu ya ustawi wa kanisa la kristo.
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Жыл бұрын
Mtangazaji mwache Askofu azingumze akupe busara hicho unachohoji ni suala la imani siyo huo ujinga wenu wa kujifanya wadadisi uwe positive katika namna ya mahojiano yako nimebaini unaendeshwa na upepo wa hao vijana waliokwngeuka bila ya kuwasikiliza Wazee wao wa imani
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 Жыл бұрын
Hapa sasa askofu anatupa Historia ya kanisa. Tutafute Suluhu ya wakristo kumuwakilisha kristo katika maisha yetu na nafasi zetu huko mahakamani kwenye dhuluma, polisi, taasisi za kibenki, viwanda, makampuni yaliyo mengi.
MASKANI | Gumzo au mazungumzo? (Part 3)
28:07
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,6 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 37 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 537 М.
SAKATA LA UAMSHO: SHEIKH PONDA AMTEGA RAIS SAMIA/AMTAJA PROF. KABUDI
27:25
TUNDU LISSU AMUWEKEA VIGINGI HALIMA MDEE: UCHAGUZI 2025 'HAIWEZEKANI'
5:43
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41