Mtanda ataka haki sakata la kutajwa kumkingia kifua Dk Nawanda

  Рет қаралды 10,198

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

8 күн бұрын

Siku moja baada ya Tumsime Ngemela kutoka hadharani akiziomba mamlaka za haki kumfikisha mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda akidai alimlawiti, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema anaviachia vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tuhuma za yeye kuhusika kwenye sakata hilo.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Tumsime ambaye ni mwanafunzi wa chuo kimoja jijini Mwanza, amedai baada ya tukio la kulawitiwa lililotokea Juni 2, 2024 lililotokea kwenye gari dogo alilodai ni la Dk Nawanda, alitoa taarifa polisi.
Hata hivyo, amesema kiongozi mmoja mkoani Mwanza alimtaka kufuta kesi hiyo ili suala hilo limalizwe kifamilia.
Kufuatia madai hayo, Mtanda ameibuka leo Jumamosi Julai 6, 2024 kwenye hafla ya kutoa zawadi kwa wakaguzi na askari polisi waliofanya vizuri mwaka 2024, akidai amekuwa mvumilivu baada ya kusikia watu wakimsema vibaya mtandaoni.
Huku, akiitaja falsafa ya Rais ya 4R, Mtanda amesema kwa kuwa yeye ni mstahimilivu wa kisiasa hana haja ya kumjibu kila mtu, kwa kuwa anajua tayari vyombo vya usalama vinafanya kazi yake, huku akitaka viachwe vitimize wajibu wake bila kuingiliwa.

Пікірлер: 31
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 10 сағат бұрын
Huyu mkuu wa mkoa wa mwanza mbona hajiuzulu?? Hii ni kashfa😅
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 4 сағат бұрын
Kwa maelezo ya mlalamikaji mtendwa akiwa na TLS inastaili huyo mheshimiwa akae pembeni atumbuliwe kabisa ili apishe ivyo vyombo anavyovitaja vifanye kazi yake vzr na Kwa vile Kasi hii ipo mahakamani nafikiri Mama mzazi anafatria ni swara la mda tu yoyote atakaye bainika kashirik Kwa njia yoyote hile achukuliwe atua... Dah viongizi umma jamani turudi na ss Kwa Mungu
@ericfelician7996
@ericfelician7996 4 сағат бұрын
Mtoto huyu mjinga
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 12 сағат бұрын
R4 ziendelee kutawala maisha na tabia za wanasiasa awamu hii 6. Bila viongozi kuziishi R4 kwa vitemdo hamumtendei haki Mh Rais wa URT kipindi chake cha uongozi.
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 12 сағат бұрын
The poor girl is fighting hard to be understood and to get justice against super sirikali bullies! Mungu amsaidie!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 12 сағат бұрын
Kumbe wafiraji ni wanasiasa ila hii nchi
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 12 сағат бұрын
Mfiraji namba 2 samia timua hawa wanakutia aibu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 14 сағат бұрын
Kumbe uchaguzi una ongozwa na Maelekezo ya juu siyo katiba
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 14 сағат бұрын
Wana tetea ujinga hawa watu hakuna kesi apo
@Kabwela776
@Kabwela776 14 сағат бұрын
Mnafiki huyu kichefuchefu asitaje jina la Samia ni kutumbuliwa tu
@Kabwela776
@Kabwela776 14 сағат бұрын
Alikuwa anamtetea mfiraji mwenzake viongozi wapenda mavi 😅hii nchi ni ze ikulu comedy inabidi afunguliwe kesi na atumbuliwe ukuu wa mkoa!
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 14 сағат бұрын
aliamua kum support mbakaji badala ya victim huyu ni wa ajabu sana lazima awajibike. alikuwa anamlazimisha mzazi afute kesi polisi iili kumuokoa mwana Lindi mwenzie
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 14 сағат бұрын
Umevaa kanzu ya heshima kumbe ni majanga.Ngozi ngumu kweli,huoni kuwa unatakiwa kujiingiza kwenye matatizo? Kesi mbaya hiyo,muachie Yahaya. X mh..
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 14 сағат бұрын
Usijiteteee,,,,,,
@George-jz3jg
@George-jz3jg 14 сағат бұрын
Nilishasema mungu hamfichi mnafiki ukweli utajulikana tu yule binti ukimsikiluza na kumtazama vizuri muonekano wake anapolielezea hili jambo huwezi muelewa nikama yupo na ukweli na pia nikama anaongea mambo ya kutengenezwa lakini mimi nasema kwanini haya sasa? lipo jambo mungu anataka liwe wazi utawala huu unaojiita wa awamu ya sita
@user-tb8zb4rv6h
@user-tb8zb4rv6h 14 сағат бұрын
Maerezo ya huyo mwanafunzi ya kutaka kurawitiwa ni yamchongo
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 14 сағат бұрын
Hawa wanaojidai niwaislamu wanapenda kufira sana
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 14 сағат бұрын
Mzee usishbikie nawe pi yatakukuta
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 14 сағат бұрын
ACHANA NAE HILO KAHABA ANATAFUTA CHAKA LA KUJIFICHIA TU
@TzTimes
@TzTimes 14 сағат бұрын
Uchaguzi huru kwa sababu ni maelekezo ya Rais!!!!!. Hilo ni takwa la kikatiba, ni vile viongozi wamekuwa wanakanyaga katiba tu.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 108 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 128 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 34 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 108 МЛН