Baada ya miaka 30 Mama amuona tena mwanae | Nilimuacha mwanangu akiwa na miaka miwili

  Рет қаралды 15,135

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Ай бұрын

Miaka takribani 30 imepita toka Baba na Mama wapotezana na Baba kubaki na Rose na kumlea mwenyewe kwa miaka yote hiyo na leo wamekutana huku Mama akitambulishwa wajukuu zake wawili kutoka kwa binti yake.

Пікірлер: 44
@mpondamaliva7666
@mpondamaliva7666 Ай бұрын
Jamani Rose kafanana na mama yake sana Mungu ni mwema
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Huyu babu kiukweli hajamtendea haki huyu Bibi dah kuchukua mtoto wa miaka miwili alafu umekaa nae kimya mpaka Leo looh mshenzi Sana wewe
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d Ай бұрын
😂😂😂mama rose anakinyongo 😢
@JasmineMadaraka
@JasmineMadaraka Ай бұрын
Huyu mama anamaumivu sana moyoni kiasi kwamba ameshindwa kabisa kulificha maskini Mungu muongoze huyu mama kuna mambo yanauma sana
@user-sz7fj6ll5y
@user-sz7fj6ll5y Ай бұрын
Kweli kabisaa😢😢
@user-ku6sg1dm8i
@user-ku6sg1dm8i Ай бұрын
😂mziki uko juu sana punguza.
@michaelchiwalo8444
@michaelchiwalo8444 Ай бұрын
😂😂😂rose ana furaha haielezekii akiwaona baba rose na mama rose🌹
@jaziramwimbo9145
@jaziramwimbo9145 Ай бұрын
Mumeharibu furaha ya Mama Rose baada ya Babu kuja hapo. Mmemkumbusha machungu
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 Ай бұрын
Mama rose kachukia alivomuona huyuu baba jamani 😂😂😂😂 duuuh pole jamani
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Ila nimewapenda sana Leo tena
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 Ай бұрын
Jamani najikuta nalia namimi, Mungu awatunze wote.
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
Ameen
@HamisiForogo
@HamisiForogo Ай бұрын
Nikitaka kulia sanaaa naangalia hiki kipindi
@rahmaswale1671
@rahmaswale1671 Ай бұрын
Pole Sana mama inauma Sana Mimi nilikaa mwaka na nusu tu sijamiona mwanangu Kuna Sasa nilikuwa nashindwa hata kula
@shupanamugala6266
@shupanamugala6266 Ай бұрын
Inauma sana jamani
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 Ай бұрын
Mimi pia nimeungua mkono wa kushoto nilikua na miaka miwili hadi sasa nina miaka 28 lakin bado nina kovu halifutiki
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Ай бұрын
Jamani rose nakuomba umtunze mama wewe mdg wangu nimesikia mama akisema kisingida kinyiramba mpende sana mamako😢😢😢
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Mam kakasirika kamuon alie iba mtt wake mjinga san
@TabiaMbunju
@TabiaMbunju Ай бұрын
Ongeren sana mungu atawalipa
@alphoncekidyala6932
@alphoncekidyala6932 Ай бұрын
Kipindi kinarudiwa lini nicheki nilikua kazini
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 19 күн бұрын
Wamefanana
@navioma4882
@navioma4882 Ай бұрын
Dah😢😢
@MutoniAnge-pt4eg
@MutoniAnge-pt4eg Ай бұрын
Huu baba ni mtu mbaya
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Ай бұрын
Brayan Jina la mwanangu❤❤❤❤
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Ай бұрын
Kumbe ana haki huyu bibi kutoroka watu wa singida😂😂😂😢
@noelaayo7932
@noelaayo7932 Ай бұрын
😢😢❤
@ubongosahihi
@ubongosahihi Ай бұрын
Hakuna sauti 😢😢
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Ukimuangalia tu unajua rose ni yupi
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Mama katoka mbali Lunzewe ni mbali saana
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 Ай бұрын
Jmni mnatuliza huku mweeee ila ninafuraha sana
@ayshamohammed7106
@ayshamohammed7106 Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@missmoona4497
@missmoona4497 Ай бұрын
Gea 😂😂😂😂😂et mwamba huyu hapa
@RayChausa
@RayChausa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mamatriplee5638
@mamatriplee5638 Ай бұрын
Mimi bibi ningemnasa kibao kimoja kitakatifumtoto wangu miaka 30 yote jamani sijamuona mtt wangu
@hasanbakari7332
@hasanbakari7332 Ай бұрын
Nina ndugu yangu kapotea miaka 5 hivikweli nitakuja kumuona anaitwa shabani ramadhani ni mpare
@Sonia_abass
@Sonia_abass Ай бұрын
Mwakan tena uende clauds fm mwez Wa 5
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Ай бұрын
😪😪😪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎎
@SizzoSela29-sh8nz
@SizzoSela29-sh8nz Ай бұрын
bibi anakinyongo na babu
@EstherjamesAmrima
@EstherjamesAmrima Ай бұрын
Naitwa Esther James nawaomba kama uyu dada alivyopata mama yake na mm nawaomba munisaidie kumpata mama yangu anaitwa jurieta irick alituacha naipanga mm na mdogo wangu salvina frank nawaomb sana
@salmangwila8062
@salmangwila8062 Ай бұрын
jaribu kuwasiliana na gea
@happymchovu9023
@happymchovu9023 Ай бұрын
Naombeni namba zahiki kipindi nguguzangu
@user-nn5lv6nb6i
@user-nn5lv6nb6i Ай бұрын
Jmn mpk nimelia mima jmn
@jaziramwimbo9145
@jaziramwimbo9145 Ай бұрын
Watu tinaishi na makovu ya vitu vingi mno. Hongela Rose kwa hatua hii
@gambigambi7254
@gambigambi7254 Ай бұрын
Ni kweli kabisa trauma kila mtu ana pain yake kukosa mama niukiwa mzito
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 116 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 367 М.
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
UZIMA TV
Рет қаралды 3,4 М.
Didiya hume wo chidiya dila do na 🦜🦜 #shorts #comedy 😜
0:34
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 66 МЛН
Выглядит на 15, хотя ему 35. В чем СЕКРЕТ?
0:16
Собиратель новостей
Рет қаралды 4,9 МЛН
Fortunately I reacted quickly and ran out in time
0:11
昕昕
Рет қаралды 15 МЛН
育児6年目の韓国人父が娘と遊ぶ方法4 #shorts
0:11
ミョリムMyorimu
Рет қаралды 28 МЛН
КТО СОЖРАЛ АРБУЗ #cat #pets #топ
0:17
Лайки Like
Рет қаралды 709 М.