Zebra Cake Kwenye Jiko la Gas Hii Ni Mara Yetu Ya Kwanza Kubake Keki Kwenye Jiko La Gas.. Imekuwa Nzuri Sana Tutafanya Madarasa Mengi Zaidi Kupitia Channel Yetu @mziwandabakers8297
Пікірлер: 30
@twalibusamsung4892 Жыл бұрын
Asante sn napenda unachofanya
@pendopatrokil5620 Жыл бұрын
Hongeraa sanaa dada najifunzaa vitu vingi kupitaa channel yako, MUNGU akubariki.
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Amiin
@olivercharles122 Жыл бұрын
Hello dada mziwanda...naweza kuweka maji hapo ulipoweka maziwa!!?
@benadetamasanja39667 ай бұрын
Mami siagi ni kiasi gani. ? Naona kweny vipimo hukuandik kiasi Cha siagi
@vivianrobert71362 жыл бұрын
Ahsante kwa somo, ntajaribu na mie
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu sana
@hafsahassan15482 жыл бұрын
unaweza kuweka maji ktk cake badala ya maziwa
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Zipo keki za maji pia
@peninashungu66332 жыл бұрын
Nakupenda bure
@adidjaniyonsaba63272 жыл бұрын
asate sana nakufatilia nikiwa Burundi napenda sana masomo yako
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Shukran karibu sana
@renathajames25402 жыл бұрын
Naomba namba ya kwa mawadiliano whatsup, asante!
@siriyangu47242 жыл бұрын
Mashaallah shukran da naomba ututengezee donuts 🍩 za machines insha'Allah
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Okay dear
@yasintamtui86092 жыл бұрын
Thanks dear.
@gracesimon84662 жыл бұрын
😄😄haina haja ya kushikiwa bastola uambiwe kama umekua povu😁😁😁ni macho Tu !
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@Tedy19942 жыл бұрын
TUNAOMBA UTUELEKEZE KUTENGENEZA KEKI ZA HERUFI , NDO STYLE INAYO TREND KWA SASA
@maotv88842 жыл бұрын
Shukran nmejfunza,,,, dada ukiwek mayai mengi kwenye cake ndo inakuw spongesponge ivyo au😋😋
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Recipe yote adi maziwa inasababisha
@sheillahkikoko50282 жыл бұрын
Pan nchi ngap madam
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
10 kwa 6
@kudralyimo73212 жыл бұрын
Nimefanya vipimo hivi imetoka vizur lakin mimi nimepikia kwenye oven ila aijakuwa kubwa.
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Angalia moto huenda ulikuwa mkubwa sana
@Tedy19942 жыл бұрын
Sikuhizi amuandiki receip kwa chini ya comment sijui kwanini jamani sisi biginners tunapata shida mnooo😭😭😭