Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza

  Рет қаралды 13,000

Azam TV

Azam TV

10 күн бұрын

Tazama tukio lote la dua kwa jili ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga SC, Yusuf Manji iliyofanyika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete azungumza ukaribu wake na Manji.

Пікірлер: 17
@andrewjosephhezron23
@andrewjosephhezron23 8 күн бұрын
I am Roman Catholic but I love this mufti.
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 8 күн бұрын
... I was very young when everything was happening ... Huo mstari uzingatie sana.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 8 күн бұрын
Waislam ni harum kufanya haya matatu: a). kumdhuru mtu b). Kufanya dhuluma c). Kumvunjia mtu heshima (disrepect) kasema huyu mufti 9:09-12:42
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 8 күн бұрын
Mufti Allah akuhifadhi naningekuwa karibu yako ningekuja kusoma kwako umeongea maneno mazito sana kwa mtu mwenye akili.mwanadamu ni hasidi mbaya sana kwani Allah s.w. kujaalia masikini na tajiri yeye ni mjinga? Wewe mwanadamu unataka wote wawe sawa hizo mali unagawa wewe?huo ni ujinga!mufti ameongea maneno ya hekima kwa mwenye akili na mwerevu ameelewa. Allah s.w tunamuomba awahifadhi watoto na hao watoto Bado ni wadogo hizo ninyama tu.wasipowahurumiwa watapoteza maisha kama baba yao .sote tupokee dua ya mufti Aaaamin yarabbil aalamina.
@shutheprincess4633
@shutheprincess4633 8 күн бұрын
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 8 күн бұрын
Azimio la arusha linakinzana na uislamu
@hilarymark7583
@hilarymark7583 8 күн бұрын
Mehbub wewe utaweza kuvaa vizuri viatu vya mzee wako. Inaonekana
@SamwelMwakasaka-yu7hi
@SamwelMwakasaka-yu7hi 8 күн бұрын
Kabisa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
Kweli aisee
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 8 күн бұрын
Ya Allah tusamehe makosa yetu, tupe subra na nguvu
@husseynomar9523
@husseynomar9523 8 күн бұрын
1:13 🙌
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 күн бұрын
✌️👍🙏.
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 8 күн бұрын
Waislamu sisi tumezoea kudhalilishana nakutiana aibu kila siku muislamu mwenzako kakosea muite mueleze mkosoe pale alikokosea siyo lazima mpaka umpekeke polisi akae lokap kitu kidogo tu unamdhalilisha muislam mwenzie mpaka mwisho ushushe heshima yake mpaka mali aione chungu mangapi tunamkosea mungu kama hamna toba na msamaha hakuna mtu angeingia peponi .mtu akikosea kidogo tu tayari kwenye vyombo vya habari na polisi .unaambiwa ukihifadhi aibu ya mwenzako nawewe mungu atahifadhi yakwako wewe huna aibu? Mueleze mtu umekisea hapa rekebisha pale huo ndiyo ubinadamu .yusufu manji asikosee kwani yeye mungu? Mungu peke yake ndiye hakosei na ndiye kakamilika .ridhika na mungu alichokukadiria.sasa hivi watu walivyomahasidi wataanza kuwasakama watoto nakuwawekea vikwazo.ombi langu kwa watu wote pawe toba na msamaha na huruma pia iwepo.huwezi kuwaridhisha binadamu wote.hata mungu pia baadhi yao hawaridhiki nae pamoja nakuwaumba nakuwapa kila kitu bado wengine wanamuabudu asiyekuwa mungu.
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 8 күн бұрын
Wahindi ni watu wa kimkakati sana kuwasimamisha hawa watoto lipo kusudi lao.
@khatimabdallah8143
@khatimabdallah8143 7 күн бұрын
sasa hii dua ya kumrehem au mkutano
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 7 күн бұрын
Toeni ktk mali yake kidogo mumjengee mskiti hapo mbagala kuu iwe sadaka yake marehemu inaitwa sadakatul jaria. Mskiti uitwe yusuph manji masjid
@hamidashaban1203
@hamidashaban1203 8 күн бұрын
Mufti amesema hapa hadithi ya mtume s.a.w msidhuriane msidhulumu msitiane aibu mimi nawewe tujiangalie sifa hizi tatu hatuna? Umesikia mwenzako amekufa ni meseji hiyo kwamba nawewe ujipange utaondokaje? Unakwenda nanini?haowatakaokupokea watakupokea kwa mapokezi gani?na mola wako atakutizamaje au atakuhukumu vipi?motoni au peponi ? mwenzako anakufa unamjadili na kumsema vibaya unajua nawewe utasemwa vipi?usipoteze muda kila mtu ajiandae na safari hiyo unamsema mwenzako vibaya kumbe kesho nawewe unazikwa .
Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
9:02
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 24 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 14 МЛН
RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji
12:34
Millard Ayo
Рет қаралды 74 М.
WAING'ALULA BON KALINDO LERO PA 16 July 2024
13:28
HOT 265
Рет қаралды 941
Tribute to Marhum Yusuf Manji at HIC Orlando July 2 2024
3:42
Bachupira
Рет қаралды 3,3 М.
Georgina & Ronaldo Rare Moments ❤️ #3
0:31
Score 90 Shorts
Рет қаралды 120 МЛН
Rank Battle Under The Water Ronaldo vs Messi ! Who is GOAT ?
0:36
Sky Football
Рет қаралды 2,5 МЛН
I saw Messi
0:10
ARGEN
Рет қаралды 1,4 МЛН
RATE THE TOUCH vs JUVENTUS ACADEMY 🙈
0:35
Celine Dept
Рет қаралды 7 МЛН