Ni historia inayoelezea kutokea kwa ziwa kisiba ziwa dogo kuliko yote duniani linalopatikana katika mkoa wa Mbeya wilaya ya rungwe eneo la masoko Tukuyu
Пікірлер: 30
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Rungwe ni Sehemu pekee yenye vivitio vya Asili,isiyotangazwa sana,
@rasnonoregekiswahili47996 ай бұрын
Sehemu ya kienyeji ni muhimu kuliko uongo wa wanasayansi wazungu.
@Ipyanamwakipesile Жыл бұрын
R.I.P mjomba joshwa mungu akupunguzie adhabu ya kaburi story nzuri kama izi tutapata wapi sisi
@balozionlinetv52575 ай бұрын
Huyu Uncle kafariki 😭😭
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Inaaminuka ni ya kwanza kuwa na vivutio vingi zaidi vya Asili,
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Hilo eneo ni Rungwe Yetu ila Nilikuwa tunatiswa tusiende,
@mwasisobajohan76413 жыл бұрын
simuliz nzur sana toka kwa Mwakipesile
@hannampuya51052 жыл бұрын
Waoo💃🌹😘jmn baloz
@bundukitv13223 жыл бұрын
Safi sana mtangazaji. Rekebisha tu L na R
@lidyamensah1743 жыл бұрын
Ooh mjomba hyo DJ😉😉
@hellenmwansasu27804 жыл бұрын
Kwetu jam
@mwasisobajohan76413 жыл бұрын
watching from Bunda Mara Tanzania I wish to visit there ...ndagha fijo
@tusajigwekanemela47844 жыл бұрын
najivunia kwetuuu
@balozionlinetv52574 жыл бұрын
Ongera Sana
@tusajigwe74916 ай бұрын
Kumyetu mu landani tughelilee fijho apo
@ordainedkikiwa31974 жыл бұрын
Tam Sana
@AizackKalenge-ro5rc5 ай бұрын
Nimevutiwa Kwenda Kisibha
@barakjohanna55812 жыл бұрын
Unajua wanyakyusa ffetyfdgh😁😁🤣🤣 huyu mzee bhana
@nancewanu97543 жыл бұрын
Nimempenda sana mzee huyu
@atufigwegeizilael55583 жыл бұрын
Ugweeeeeeeeee namkumb san lamso malongo
@lusajokafuko3450 Жыл бұрын
Kumyitu kubhununu!!
@sebastianmichael40312 жыл бұрын
Hapo ni nyumbani kwetu kanisa.
@bupemwakibete413 жыл бұрын
Mwe Kukaja.
@tugesyegemwakatumbula97603 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@balozionlinetv52573 жыл бұрын
Asante
@chrismbut49903 жыл бұрын
Dogo unasauti ya utangazaji binafsi nakufananisha na salim kikeke wa bbc kaza