FAIDA 7 ZA VITUNGUU SAUMU KWA KUKU!!!

  Рет қаралды 211,386

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Wape kuku Vitunguu saumu mara kwa mara Uone maajabu haya kwa kuku wako👇
-Kuimarisha kinga dhidi ya magonjwa
-Kuingeza Uzarishaji wa mayai
-Upunguza harufu mbaya ya kinyesi
-Ufukuza wadudu
- Kuua bakteria wabaya

Пікірлер: 500
@monicamajebele9165
@monicamajebele9165 Ай бұрын
Mungu Baba wa Mbinguni akubariki mwanangu kwa mafundisho mazuri kwetu wafugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@EstaMakala
@EstaMakala Ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia
@neemamateru4249
@neemamateru4249 2 жыл бұрын
Naitwa neema materu napatikana Moshi vijijini nawashukuru Sana kwasomo lenu laufugaji wakuku nimenufaika Sana nilikuwa nafuga kwakukata tamaa lakini sasa nimekuwa mfugaji Bora nanimeweza kuzalisha vifaranga wengi ndani. Ya mwezi mmoja nakuvimudu navinakuwa vizuri ninafurahia ufugaji wakuku wakienyeji tuko pamoja katika ufugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙌 Mungu awe nawe🙏🙏🙏
@mariammnanka3404
@mariammnanka3404 Ай бұрын
Naitwa Mariam naomba kuuliza hata kuku wa mayai wale wa kizungu naweza kuwapa hivyo vitunguu swarm?
@nasseralkharusi2060
@nasseralkharusi2060 2 жыл бұрын
Asante kwa somo Je kitunguu maji najani yake naweza kuwapa na mara ngapi kwa wiki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana iko ni sumu usiwape fuayilia somo hili👇 kujua vyakula 10 vyenye sumu kwa kuku kzfaq.info/get/bejne/nuCjhbRyptrQl4k.html
@seydinekyiwera
@seydinekyiwera 15 күн бұрын
Asante sana ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 15 күн бұрын
Amina ndugu nawe pia
@pastorhenrymashiku4178
@pastorhenrymashiku4178 2 жыл бұрын
Asanteni sana kwa elimu hii Nzuri kwetu sisi wafugaji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina kaz njema🙏
@user-en7pg4ym5r
@user-en7pg4ym5r Ай бұрын
Ubarikiwe Sana ndugu yangu katika hili mungu akufungulie milango ya mafanikio
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 3 жыл бұрын
Asante kwa somo. Kama kitunguu saumu inafanya kazi kwa b'damu basi hata kuku. Big up!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa 1 sana🙏🤝🤝
@janetcosmas7282
@janetcosmas7282 2 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿✍️🤝
@user-dn2nr2gj7f
@user-dn2nr2gj7f 2 жыл бұрын
Josephine kemunto. Asante kwa somo nzuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌🙏
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u Ай бұрын
Asante SANA kwa faida hizi luluki, endelea kubarikiwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu .iwe heri pia kwako
@tulisamwel41
@tulisamwel41 2 жыл бұрын
Asante sana mwalimu kwa mafunzo yako.Hakika nimefaidika mno
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙏
@elizakabuka6040
@elizakabuka6040 Жыл бұрын
Asante sana mtaalamu kwa somo zuri na linaloeleweka
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu Sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Asante sana jaman tumepata faida nitawambia pia na ndugu zangu wanaofuga na mimi pia napenda ufugaj nikifuga nitawapa nakumbuka kuku walikuwa wakiumwa zaman tulikuwa tunawapa tetesaklini
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@DorinaGanshonga
@DorinaGanshonga Ай бұрын
Asante kwa Somo mungu akubariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu barikiwa pia
@alexndemo3020
@alexndemo3020 2 жыл бұрын
Asante kwa kibindi hiki ,kitunguu saumu upewa kuku sote za kienyeji na za kishungu na ikiwa unatumia hii kitunguu saumu ni vizuri kutumia dawa za agrovet ili kushuia magonjwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo sahihi🙏🙏
@BeatriceGodwin-op4ot
@BeatriceGodwin-op4ot Ай бұрын
Asante kwa mafundisho nami nitafanya hivyo,
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa
@jenifferkasuve5633
@jenifferkasuve5633 2 жыл бұрын
Asante sana, nimefuata polepole.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sawa Barikiwa🙌
@marthaokerio7336
@marthaokerio7336 2 жыл бұрын
Thank you for your encourage.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Welcome🙏
@mutumaromano2533
@mutumaromano2533 2 жыл бұрын
Asante kwa somo Big up
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@helgamasaki6239
@helgamasaki6239 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzur mnayoifanya,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina kubwa sana🙏🙏
@jumakivumbi-xs1of
@jumakivumbi-xs1of Ай бұрын
Somo zuri sana best , ubarikiwe ,ALLAH akuzishie kila heri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina ndugu.iwe heri na kwako
@ChristopherMkama-ud6ch
@ChristopherMkama-ud6ch Ай бұрын
Unafundisha vizuri sana.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tunashukuru kwa Hilo Mungu azidi kua NAWE pia iwe heri ktk kazi zako
@cathelinemutunga796
@cathelinemutunga796 2 жыл бұрын
Shukrani sana kwa mafunzo.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌🙌
@user-yd4md4cw7q
@user-yd4md4cw7q 4 ай бұрын
Na shukuru kwa ushauri.ila ni nge pendelea kufahamu gisi ya kukuza vifaranga kupitia mfumo wa kisasa,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Fuatilila video ktk Chanel hii jinsi ya kulea vifaranga Andika jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV
@sophiamoshi4070
@sophiamoshi4070 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo zuri nimelielewa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu tupo pa1 🙏
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Asante sana Mungu akubariki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amina KUBWA🙏🙏✍️
@sarabendera7688
@sarabendera7688 2 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@user-wq9je9bl6v
@user-wq9je9bl6v 2 жыл бұрын
Asante sana somo nimelipenda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa
@salomelaizer8290
@salomelaizer8290 2 жыл бұрын
Ukwel nabarikiwa sana na somo la ufugaji Mungu na akubariki sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@carolinemuthoni6514
@carolinemuthoni6514 2 жыл бұрын
shukrani kwa huo ujumbe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa 🙌
@mwanaidigilla7583
@mwanaidigilla7583 2 жыл бұрын
Shukrani Kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝🤝Sana
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙌
@devothaonesmo8602
@devothaonesmo8602 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafunzo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@AlfredMaingi-mb3ch
@AlfredMaingi-mb3ch Ай бұрын
Nakupa bigup mwalimu kutupatia lulu.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia
@nurudinamchome6852
@nurudinamchome6852 2 жыл бұрын
Asante sana,
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@aminamooni1488
@aminamooni1488 2 жыл бұрын
Asante. Sana. Kk. Kutuelimisha
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝
@susanruhunga6373
@susanruhunga6373 2 жыл бұрын
shukran kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1 sana🤝
@victoriaisang6470
@victoriaisang6470 2 жыл бұрын
Asante nimependa somo hilo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1🤝🤝
@demetriangilwa2674
@demetriangilwa2674 2 жыл бұрын
Asante sana, ngoja kesho niwape
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok Kila la heri🙏
@user-de3cy1ub8d
@user-de3cy1ub8d 2 ай бұрын
Asante kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿
@FidesUlomi
@FidesUlomi Ай бұрын
Asante Kwa elim
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@AgnesMboma-zv4xx
@AgnesMboma-zv4xx Ай бұрын
We no mwalim mzr saana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa pia
@roselusenaka7548
@roselusenaka7548 2 жыл бұрын
Ahsante kwahilo somo.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌🙏
@beautykamaghe9778
@beautykamaghe9778 2 жыл бұрын
Asante Sikujua hili kuku wangu wanatokwa navidonda mdomon na kwenye macho has vifaranga je naweza kuwasaidiaje
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Iyo ni ndui kwangua vidonda paka alovera
@hagumandabateze5978
@hagumandabateze5978 5 ай бұрын
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Sawa ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia
@rozambuba
@rozambuba 21 күн бұрын
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 21 күн бұрын
Tupo pamoja ndugu
@sarahkaposwe7650
@sarahkaposwe7650 Ай бұрын
Asante sn kwa ushauri
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@paulinadeemay
@paulinadeemay 5 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Amina ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia
@user-wq9je9bl6v
@user-wq9je9bl6v 2 жыл бұрын
Shukran mpendwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@user-wq9je9bl6v
@user-wq9je9bl6v 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV Nawe pia mpendwa uenipa maarifa shukran
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1 🤝🤝🤝🙏🙏🙏
@EliaNyamajeje
@EliaNyamajeje Ай бұрын
Umenifumbua macho,nimepoteza hela sana kwa dawa za dukan lakin pia naomba kuelekezwa njia sahihi ya kienyeji ktk kutotoresha kuku wa kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Kupata kuku zaidi fuatilia video hii.kzfaq.info/get/bejne/idSciqh_mLTLg3U.html pia zingatia CHANJO
@teresamaina9700
@teresamaina9700 2 жыл бұрын
Thanks sana Kwa hayo masomo! Lakini yai haitanuka zaumu juu ata MTU akila hua nuka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana halitanuka
@monicanyinondi4871
@monicanyinondi4871 Ай бұрын
Naomba kujua majani yaliyo salama kuwapa kuku. Je naweza kuwapa majani ya mronge na ya mihogo. Monica
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Majani yapo mengi Sana ndugu. Andika you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja.
@neemapaul6085
@neemapaul6085 25 күн бұрын
Aina aja ya chanjo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 25 күн бұрын
Chanjo ni muhimu sana ndugu. Maana magonjwa ya chanjo mengi ni ya virusi.
@felistusmuthio1266
@felistusmuthio1266 2 жыл бұрын
Asante Sana kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@graceswai9166
@graceswai9166 2 жыл бұрын
Asante saaana..
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@happyhaule9003
@happyhaule9003 2 жыл бұрын
Kuku wangu wanakula mayai nifanyeje ili kukomesha ilo tatizo?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Wape madini ya chokaa na mifupa au DCP zipo madukani 🙏
@ChristopherMkama-ud6ch
@ChristopherMkama-ud6ch Ай бұрын
Amina.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
🤝
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 жыл бұрын
Asanteeeeee
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
🙏🤝🤝
@umandejuma5798
@umandejuma5798 2 жыл бұрын
Somos nzuri tafata ushauri wako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sawa
@nandagohadijah6180
@nandagohadijah6180 2 жыл бұрын
Shukuran kabisa Akuvarik Mola
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amin🙏🙏Kubwa
@user-zt4cx6ig3s
@user-zt4cx6ig3s Ай бұрын
Mm ninafuga kuku wamayai Ila wanadonoana mpaka kutoana utumbo nisaidie wamepunguza production Sana wanakufa karibuni kilasiku kwa issue ya kudonoana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Pole Sana ndugu. Chakula unafanyaje yaan unachanganya AU kununua? Mboga mboga AU majani. Upungufu wa protini ktk mwili w kuku upelekea ivyo
@davidshekighenda5206
@davidshekighenda5206 2 жыл бұрын
Nimelipenda somo Sana!!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu sana na ubarikiwe🙏
@LangoniHassanMohamed
@LangoniHassanMohamed 15 күн бұрын
Mm Niko kenya,jee hiki kitunguu Saumu Kitasaidia kwa Bata au nikwa kuku tu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 15 күн бұрын
Ata kwa bata Sawa tu
@abdallahomary5782
@abdallahomary5782 Ай бұрын
Ndugu yangu sijui nimekosea au nimezidisha kuna kuku mmoja alikua analea nikamuekea asubuh kufika jion amekufa ila vifaranga havijafa ila wala kuku wengine hawajafa sasa sijui shida nn
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Tuzid fuatilila zaidi shida itakua ni nini
@salamamulonganile1618
@salamamulonganile1618 2 жыл бұрын
Asantee
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana🙌
@khadujifuad9360
@khadujifuad9360 3 жыл бұрын
I'll try this method
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Welcome, 🙏
@nyerioduong8369
@nyerioduong8369 3 жыл бұрын
It is so helpful my little brother used to solve much problems facing his chicks
@josephjoseph4586
@josephjoseph4586 2 жыл бұрын
Ahsante kaka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
PA moja ndugu, 🙏🙏
@kiliankatabazi5353
@kiliankatabazi5353 2 жыл бұрын
Katabazi killian kaka asante kwa shulen
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1 sana🤝🤝
@aminajum1655
@aminajum1655 2 жыл бұрын
Na mm vifaranga wanakufa sana na kuku wanaharisha sana naweza kuwapa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Wape tu itawasaidia
@laulymo2063
@laulymo2063 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Amina ✍️ Nawe pia ndugu 🙏🏿
@eddahmwinzi
@eddahmwinzi 2 жыл бұрын
Thanks
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Welcome🙏
@janesalama2165
@janesalama2165 2 жыл бұрын
Asante sana kwani hata nami niko na kuku lakini hawaongezeki,lakini nimejua wapi nilikua nakosea mungu akubariki.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@estherokumu8927
@estherokumu8927 Ай бұрын
Asanti Sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Barikiwa
@user-xs8td7ec1e
@user-xs8td7ec1e 9 ай бұрын
Kuku wangu wanapenda sana vitunguu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 9 ай бұрын
Ni vizuri wape tu
@jackSwai-gd7hh
@jackSwai-gd7hh 26 күн бұрын
Nawapa Mara ngapi kw wiki
@AGALUSTV
@AGALUSTV 26 күн бұрын
Mara moja
@user-xu7yr4iv6y
@user-xu7yr4iv6y Ай бұрын
Barikiwa
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Amina .Tupo PAMOJA NDUGU
@sheilajepkosgei2848
@sheilajepkosgei2848 2 жыл бұрын
Thank you for your advice
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Welcome🙏🙏
@issakiagati4649
@issakiagati4649 2 жыл бұрын
Vitunguu swaumu nisalama kwa vifalanga nakama nisalama nimalangapi kwa mwezi peter mafuru kutoka mwanza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni salama tena sana kwa vifaranga. Wape tu kuku wako angalau Mara 2 kwa wiki
@user-hj1ju3kv4s
@user-hj1ju3kv4s 11 ай бұрын
thanx
@AGALUSTV
@AGALUSTV 10 ай бұрын
Welcome
@neemapaul6085
@neemapaul6085 Ай бұрын
Kuku wangu nawawekea vitunguu swaumu kwenye maji nashukuru wana endelea vizuri ila mimi nawawekea kila siku je niendelee kuwawekea au niache.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Angalau kwa wiki Mara 2
@JastineMfumbuzi
@JastineMfumbuzi 4 ай бұрын
Tunashukur kwa somo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@DottoLiguluka
@DottoLiguluka Ай бұрын
Naomba ushaur kuku wangu wanaacha mayai bila kutotoa akitotoa mawili mengine anabakiza nifanyeje?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Zijue sababu za kuku kushindwa kutotoa mayai kzfaq.info/get/bejne/o5ZkY8-YsdPUXZs.html
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Kitunguu saumu kizuri paka kwa binadamu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
Oooh kumbe
@nyerioduong8369
@nyerioduong8369 3 жыл бұрын
I LIKE THIS TV
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Welcome🙏
@eradolyamuya3929
@eradolyamuya3929 2 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu kwa Somo zuri,naomba kuuliza je kwa kuku wa mayai wa kisasa,yaani layers inafaa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Nzuri pia ukitumia
@leahwamono3277
@leahwamono3277 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa mada
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@najmadada6878
@najmadada6878 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV hbr yko Mimi kuku wangu mwezi wa 7 huu hawajawahi kutaga hata siku 1 nifanye nn naomba unisaidie
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ni wa aina gani kisasa au kienyeji kwa maelezo zaidi wasap+255765467484
@saadaali9892
@saadaali9892 2 жыл бұрын
Asante nimefaidika naomba kukuuliza je naweza kutumia kwa broilers
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Yaaah unaweza ni kuwa zoesha tu
@doricemachumu8485
@doricemachumu8485 2 жыл бұрын
Duu Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@phinamagezi4313
@phinamagezi4313 2 жыл бұрын
Nko vzr
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@janewanjira7401
@janewanjira7401 2 жыл бұрын
Mnaenda mbali
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa1🤝🤝
@happyjimmy7361
@happyjimmy7361 2 жыл бұрын
Ngoja nijaribu kwa vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Fanya ivyo🙏
@happyjimmy7361
@happyjimmy7361 2 жыл бұрын
Ilawenyew nisaso
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Sawa tu wape kila mwez angalau mara 1 mfurulizo siku 5/7
@mariammnanka3404
@mariammnanka3404 Ай бұрын
Samahani nataka kujuwa ni kuku wote hata wale.wa kizungu au ni kienyeji tu,by Mariam
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Wote ndugu
@wilsonmatunda4937
@wilsonmatunda4937 2 жыл бұрын
Safi sana! Mwalimu mzuri! Nimeamua kusubscribe!
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Asante sana🙏
@user-rq6ok5ru9p
@user-rq6ok5ru9p 2 ай бұрын
Asante kwa somo zuri kumbe dawa tunazo nyumbani lakini hatujui napiga hatua mbele kwa somo hili. Swali Kuna vitunguu vya kienyeji na vya kisasa je vyote vinafaa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 ай бұрын
Hakika ndugu. Ila vitunguu vyote vinatumika tu
@dominaamadeus6665
@dominaamadeus6665 2 жыл бұрын
Asante kwa madam je unaposema kuku anaongeza utagaji , anaweza Taga mayai mawili kwa siku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hapana kuku hawez taga mayai 2 kwa siku. Mzunguko w kutengeneza yai ni masaa 23 hadi 26 kwa iyo hakuna kw siku kuku ni yai 1 tu. Hii inasaidia kuku kutoruka siku kwnye kutaga unauhakika kila cku kupata yai🙏🙏
@xxtasisters1352
@xxtasisters1352 2 жыл бұрын
🙏🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pa 1 sana🤝
@KakoziAsumani
@KakoziAsumani 5 күн бұрын
Nauliza vitunguhu ivyo tunawapa kuku wa umri gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Kuanzia wik ya 4++
@tatukarata6072
@tatukarata6072 2 жыл бұрын
Uko vizur mwalim
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu🙏🤝
@tatukarata6072
@tatukarata6072 2 жыл бұрын
Kuku anatoa kinyes kinaMaj maji meng samahani shida
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Rangi gani? Kama cha kawida angalia chakula chako
@tatukarata6072
@tatukarata6072 2 жыл бұрын
Chakul sijachangany nimenunua kiwandani muda mwingin maji Maj ya kawaida muda rang ya tofal so wot
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok ni dalili ya coccidiosis. Apo kachukue tu dawa dukani Zipo nyingi kama vile Amprolium n.k mwambie kuku wangu wanatoa kinyesi cha rangi ya tofari. Kuna somo hili kuhusu kila ugonjwa na dawa zake🙏👇👇 kzfaq.info/get/bejne/es93aM9y2ce-aGw.html
@annaaligawesa8446
@annaaligawesa8446 Ай бұрын
Asante kwa masomo mazuri na ya kelimisha. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, naomba namba ya simu kwa mawasiliano.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Sawa ndugu tutakutumia
@neemapaul6085
@neemapaul6085 Ай бұрын
Wanatumia siku ngapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV Ай бұрын
Kama tiba wanatumia mfululizo kwa siku 3 hadi 5 kama Kinga angalau kila wiki Mara 1 AU 2
@carolinemrinji9605
@carolinemrinji9605 Жыл бұрын
Kuku wangu wako na vidudu wausi kwenye mzunguko wa macho
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Utitiri uo waweza tumia mafuta y taa kwa kuchua AU kupaka sehemu za jicho pia uwe una weka dawa za utitiri bandani
@raibashaha8816
@raibashaha8816 Жыл бұрын
Kuku wangu wanakula mayai nifanyeje
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Apo ni lishe mbovu, hasa Madini fuatilila video hii sababu na tiba ya kuku kula mayai kzfaq.info/get/bejne/nZxgn7eekq_OhGQ.html
Jinsi  ya kupata kuku  wengi wa kienyeji
10:46
AGALUS TV
Рет қаралды 332 М.
TIBA ASILI KWA KUKU:  MIMEA. 12 KAMA KINGA NA. TIBA KWA KUKU
14:12
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
SABABU 4 ZA VIFARANGA KUFA
9:21
AGALUS TV
Рет қаралды 28 М.
FAIDA 8 ZA  MKAA KWA KUKU
8:27
AGALUS TV
Рет қаралды 203 М.
Ayam Lohmann Brown Penelur Hebat
10:26
Norridzuan Farm
Рет қаралды 1,1 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Changamkia Fursa
Рет қаралды 235 М.
VYAKULA (10) VYENYE  SUMU KWA KUKU:!!!
6:03
AGALUS TV
Рет қаралды 122 М.
MAAJABU YA MKAA Katika Kutibu KUKU Wa KIENYEJI
8:07
Kuku Village
Рет қаралды 171 М.
How I keep 200 Chicken in a Small space#chicken coop
6:16
Nyambura Simiyu
Рет қаралды 413 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 121 М.
FAIDA 8 ZA TANGAWIZI KWA KUKU
8:05
AGALUS TV
Рет қаралды 33 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН