Wanao sema candy ameingia Cha kiume munipe like zangu😂❤
@VickyFrancis-eb2vp10 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@JustinFuraha-gr2lk10 күн бұрын
❤
@bintrashid510810 күн бұрын
Na lazima asimame😂😂
@EmJesho10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-dn4no6eb1p10 күн бұрын
Iachiliwe Kwa siku vipande viwili
@AffectionateDinosaur-pn6pw10 күн бұрын
wangap mmefurah zuu na Kai kupona dondosha like za kutosha
@user-pt6nl5vt2g9 күн бұрын
Nikefurahi
@user-pt6nl5vt2g9 күн бұрын
Nimefurahi
@Mercyatieno-tx6zf9 күн бұрын
Nimefurahi pia
@Franciscah-ks5zq10 күн бұрын
Watu wa zuu mko wapi nipeni like zangu
@khadijastambuli454010 күн бұрын
Kai kapona candy atakoma jamn nipen like zanu Toka naanza kuifatiliya sijawahi kukoment
@mohamedlopa841010 күн бұрын
Kama unamkubali bib zuuh Ngonga like nyingi kwa bb zuuh kwa mpigania mjuu wake apone,,,,,,❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😢
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😮😮
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😅😅
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😅😅😅
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😅😅
@user-qd7ey5cp5s10 күн бұрын
Team Gen_z gonga like tukisonga..alafu kama unapenda vile shosh ameanza kuteza kendy gather here🎉😂😂😂😂😂😂😂😂
@Johar90310 күн бұрын
❤❤❤❤safi sana Mungu kajibu 36 inatoka lini
@user-wv4xs2tn4m10 күн бұрын
naona sasa move imeanza kunoga jamani apo patamu
@user-ys3wz1sf7s10 күн бұрын
Leo nnafuraa kweli kuina mambo yamekua sawa
@user-ob8lz4eg2k10 күн бұрын
Asnte mungu
@user-tj9gk6rr8w10 күн бұрын
😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝🤝🤝
@maryamt59410 күн бұрын
Leo nitalala vizul kuona kai ikosawa kwagupata hakiri mitangu nianze kuyifatiria sijapata like hata moja munipeye basi❤❤❤
@user-hq8gf9hv2nКүн бұрын
😂😂😂
@ElizabettEmanuel10 күн бұрын
Jamani kwenyee hizi ndoa tuwe waaaminifuuu kwakweli natumtegeemee mungu napia wewe mwenye mdadaa wa kazi mpende Kama mwanao ukimnyanyapaa kumbuka unawatoto unamuachia nyumbni je yeye ata wafanya nini 🙏🙏🙏🙏 kumladh kwasababu Kila kitu duniani kinategemeana. Nipe nikupe 💕💕💕💕
@user-zj1qj1ux7o9 күн бұрын
Kweli kabisa
@johariabdalla309910 күн бұрын
Wa 6 😢😢kazi ya bibi iendelee 😅nipeni basi like hata 3
@CATHERINESAMKI-cl6sq10 күн бұрын
Sawa
@user-ck7gb7rf2b10 күн бұрын
Mashallah hii filamu yapendwa dakika Tano Iko n koment mia uwii ila yote tiss nipen like plz team zibala🤣😊
@Zenabeby10 күн бұрын
Team hamam tuko mamii 😂😂🎉🎉🎉
@IteritekakellyKelly10 күн бұрын
Team matbka😂😂😂
@besuramahenge603210 күн бұрын
Nimefungia nimekuwa wa mwisho like hata moja tu
@LinaLina-uu5pw10 күн бұрын
Team zuu gonga likes hapa tukingojea kutetwa kwa cendy na bibi zuu
@ministerlightnessrobert534210 күн бұрын
Tunae omba iwe inaachiliwa vipande viwili kwa siku like apa
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee10 күн бұрын
Kabsa ❤❤
@LydiaSaimon10 күн бұрын
kwel coz kimoja hskitoshii
@hajimwendo10 күн бұрын
Pamoja sana
@ministerlightnessrobert534210 күн бұрын
@@LydiaSaimon ewa
@user-ym8tg2rq6k10 күн бұрын
Kweliiii😂😂😂
@Scolayusuph55810 күн бұрын
Jaman mtuongezee dakika ata 30 mnao taka tyuongezewe dakika tyujuane kwa like ❤
@user-zm8wo1ue7e10 күн бұрын
Jamn movie imeshutiwa kwamwalabu hadi nawaona majiran zang had job kwang napaona❤❤❤❤❤
@SophieAbel-vu6hv10 күн бұрын
Nilikuwa mnyonge kumuona kai anavyoendesha na kandri sasa nimekuwa na fraha kumuona kai anajitambua anachofanya👏👏
@SikudhaniSalimu10 күн бұрын
Wee mm apa miguu juu Kwa furah
@SophieAbel-vu6hv7 күн бұрын
😁😁😁😁😁😁👍💕
@OliverLeonard-dp8kz10 күн бұрын
Jamn Kila nikiingia hum ndan naona wanaomba like na me naomba leo na me hata moja
@user-pp3vo8rw5j10 күн бұрын
Huyo ni zuu kama hatakua zuu mninyime like ikirushwa hewani part 36 sawa ila huyo zuu ndie kakamata mkono wa kai ❤❤❤❤❤❤saii wale wafuasi wa candy wanatamani kulia au vip ❤❤❤❤❤
@eliewahamsophe997210 күн бұрын
Bodaboda wake
@user-pp3vo8rw5j10 күн бұрын
@@eliewahamsophe9972 huo mkono ni wakike nawe sie bodaboda huyo
@user-zv1pp3yn1d10 күн бұрын
Daaah yaan natamani Ata 36 watoe Sasa ivi
@HusnahMariam9 күн бұрын
Watalia sana tena
@HusnahMariam9 күн бұрын
Nakwambia ni yeye
@JulianaEmanuel-jn3yo10 күн бұрын
Wow ndy tulikuwa tunapatak hpa patamu team oyee🥰
@haluarahma307110 күн бұрын
Waaaah huu ni moto kweli nani amerudi raudi 2 kama Mimi,hongereni nyote kwa kazi nzuri,am from 🇰🇪🥰 kenya 🇰🇪🇰🇪❤❤❤
@mohamedlopa841010 күн бұрын
Tunaomin zuuh anakwenda kupona soon karibun tujuane kwa like zakutisha,,,,😂😂😂😂❤❤❤
@mohamedlopa841010 күн бұрын
😢
@mohamedlopa841010 күн бұрын
❤
@mohamedlopa841010 күн бұрын
❤
@user-iq6fz6uw7x10 күн бұрын
🎉🎉🎉@@mohamedlopa8410
@JacklineMazonge10 күн бұрын
Waungwana tumuombee zuuh wetu 🎉like kwa zuuh wake
@user-xo7ns7bc8c10 күн бұрын
Yaani nmefurahi kumuona Kai karudi kuwa sawa Candy kwisha ww
@QudrahFelix-qf9my10 күн бұрын
Saizi kunanoga ila plz mungekua munaweka hata mb ili❤❤❤
@user-cg8ti1re1t10 күн бұрын
sahii candy atapatikana kwel aibu inamfata .🎉🎉munipee like bx
@Saada-ze1kl10 күн бұрын
Kwa mpigo nshafika hapa❤ Bibi weldone. Atleast Kuna nuru sasa
@oman1oman17910 күн бұрын
Leo mambo ni moto❤❤❤❤❤
@kalamapendo270110 күн бұрын
Leo patamu hapa 😂😂😂😂💃💃💃 baada yakuomboleza our fall gen z tunafuta machozi na house girl ❤
@clarasada994110 күн бұрын
tuko pamoja 7/7 watanzania mtusaidie
@HadijaHamisi-yt3pn10 күн бұрын
Mwalala you tube Kwan watu jman daah Aya nipeni like hata 2 jman❤❤❤❤
@Edoublej4_tz10 күн бұрын
Sania na mwenzako mliokuwepo maeneo ya mlimani me shabiki yenu nawaita mnajikuta mmesha jipata.., 👍
@BettyShabbyWey-to6cf9 күн бұрын
naomba utusamehe sana hatukusikia wito wako
@Zainabu-xn3vd10 күн бұрын
Wenye tunaminii zuu atapona na kai gonga like hapa,alafu watuekee vipande viwili kwa siku please ❤❤❤❤❤❤❤❤
@PriscillahOchalu10 күн бұрын
𝑀𝑖𝑚𝑖 𝑙𝑒𝑜 𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑛𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑚𝑠𝑖𝑛𝑖𝑛𝑦𝑖𝑚𝑒 𝑙𝑖𝑘𝑒𝑠
@zulekha-jv9rn10 күн бұрын
Jamani Leo Niko nafuraha Kai kapona waaaah🎉🎉🎉😂❤❤big up inanonga sana
@heliethilomo655310 күн бұрын
Hakuna chanel inayonipa rahaa kama busati tv,,stress zotee kwishaaaaa 🤣🤣
@GraceJulius-kv3rz10 күн бұрын
Leo nimewahi naomba like 10 tuu
@haythammohd559910 күн бұрын
Amkeeni jamaniii busati washafanya mambo hukuuuu
@VgmukomboziOficiel9 күн бұрын
CANDY amepata homa kinamwanzo kinamwisho team zuuuu muko apa tuna tobowa Kai kapona nilingojeya sana
@user-ks9ui8td7y10 күн бұрын
Waa nimefurahi San kwasabab zuu amepatikana na Kai amelundi kwenye hali yake
@user-lu7vs8wd8v10 күн бұрын
Timu zuuu oyeee
@ZainabuAlly-lm1lg10 күн бұрын
Wakwanza leo naomben laik zang
@LovenessNgonela10 күн бұрын
Wanaoanini kai ndie atakae Fanya zuu apone like tafadhali ❤❤
@hlimaa518210 күн бұрын
Jamani yaani furaha nilionayo acha Allah awe shahidi wa hilo zuu kaingia mikoni mwa bb kai nae kazinduka nyinyi kina masozi endeeni kupanga mipango feck ila nime cheka BB 😂😂😂eti kanda au kande😂😂😂😂 Busati tv kila ninapo angalia tanfilia hii hujikuta nafuraha sana mbarikiwe hadi mshangae❤❤❤❤❤❤❤
@MamoDhaMacho10 күн бұрын
Nipen like zangu nimekuwa wa kwanza leo
@RatifaSekamba10 күн бұрын
Naombeni likes zangu wakwanza leo
@AngelStiven-l8q10 күн бұрын
Unazipeleka wapi
@ChristianRugenge-kd1xh10 күн бұрын
Busati Tv ina tuburudisha kabisa na tena ata niwe na stress muki posty iyi movie Na stress yote inafika na Isha like apa kama una mpenda kayi ❤❤❤
@catherinemnyani7810 күн бұрын
Nyie cjawai kukoment ila Leo daah ni moto 🎉🎉🎉 umewaka shel candy kula chuma icho 36 ischelewee
@user-qv7dm4ok6g10 күн бұрын
Tupo ama tuko buys muniachi likes wapenzi tujuwane
@GRACEGWEMERA10 күн бұрын
Nimeipenda sana iyoooo ❤❤❤
@GRACEGWEMERA10 күн бұрын
Jamani tupo pamoja sana aiseeeeh 😊😊😊❤
@Lovekidoti3210 күн бұрын
Kai amepona sasa movie ichangamke😊
@user-ie8cu9vm6p10 күн бұрын
Kaz nzuri sana yan hamna shoo mbovu mungu awazidishie❤❤❤❤❤❤
@lydiahnyongesa6910 күн бұрын
Tuliofurahi kai kurejesha fahamu 😅😅👍
@NduwimanaRehema-qi4hc10 күн бұрын
Nawapenda sana❤🇧🇮🇴🇲
@user-tq7gp3ue7g10 күн бұрын
Mbio karibu nianguke aya mkuje vizur msinikanyage😂😂😂
@user-bo5qp9gz8m10 күн бұрын
Kila dakika naangalia kama imetoka duh 😂😂😂
@marthanassari35248 күн бұрын
😂😂😂
@user-su5oi5wb6c10 күн бұрын
😂😂😂😂 leo nacheka coz kaka kai amerudi sawa na zuu atapona kilicho baki ni candy bomu litamlipukia mwenyewe wp like za bibi jaman mwenye anamkubali bibi like hapa plz 🙏🏼 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-gs3hx3kd3r10 күн бұрын
Yaaan hapo batamu xaxa twende naloo wana family ❤❤🎉🎉oyeee oyeee hongera ziende kwa bib zuuh umeupiga mwigi 🥰🥰💗 bora kai kapona Alhamdulillah Allah awazindixhie kipaji inshaAllah 🤲
@momkhan-hc7zh10 күн бұрын
tupo hapa
@user-wk1zu4hl2x10 күн бұрын
Duuh iki kipande kimenikosha kinyama congrats to BUSATI TV
@HillarySendeu-ht3lj10 күн бұрын
Hatimaye zuu kapatikana like kwa bi zuu kapambana kwa ajili ya kai na mjukuu wake
@dinah930310 күн бұрын
Yaah nikama mm ndio nilirokwa sinaka amani sasa sai nko n amani wee Asante mungu 🙏🙏🙏❤❤
Mambo ni 🔥🔥 aya naombe like hata moja leo jomony😢😊
@SaadaHaroun10 күн бұрын
Watu hata hamjaangalia mnaomba like t mxieeeew
@HappyJohn-zw5lu10 күн бұрын
Wananikera xana badala waangalie had mwisho watoe maoni wako kuomba like
@AnnaKinyana10 күн бұрын
@@HappyJohn-zw5lumi ndo wananiuzi Sana
@neemakoi663510 күн бұрын
Waaah yaleo m9tom9to hongereni sana ama kweli hakuna useful usio na icha alihamdulilah hatimae imani inaenda kurudi kwa family ya ko kai 🎉🎉🎉❤❤❤pongezi zimfikie bb yake zuu next please 🙏 😘
@Asha-xc1nc10 күн бұрын
Wapi likes za bibi zuu jaman 🎉🎉❤❤
@BukuluFelix10 күн бұрын
Kai baba umefunguliwa ooh. Asnte MUNGU
@DaisyNyabuto10 күн бұрын
Akh wenye tumeanza na comment nipeeni likes akh ....team zuuu forever❤❤ this ...candy ushafeli😢
@user-yi6xp4my6w10 күн бұрын
wuuuwi nimejifunza uongo hahudumi na cha uchawi huponywa na uchawi na cha maombi na maombi kazi nzuri sana hongera
@busatitv10 күн бұрын
Asante sana🙏
@CarolyneNyanchama-yk1gf9 күн бұрын
Wuee kai❤❤❤ wenzangu movie imefanya chai imemwagika kwa gas😂😂😂 jamani nawapenda sana kutoka 🇰🇪👈 weny wanasema mjuane kwa likes ndo sielewi
@Nailaty56410 күн бұрын
Kai kai unastahili tuzo asante sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@GeoffreyNyachae-gj1eg10 күн бұрын
kazi nzuri tuko hadi mwisho .
@user-yw9tb6vl9g10 күн бұрын
Waaau hii episode ni nzuri sana❤❤naomba kesho muajilie ep36mapema sana much love🎉🎉🎉
@salosalo-w8i10 күн бұрын
good work ❤❤❤nawapenda Sana naomba like Ni mm kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MupaMumbo-fi4gu10 күн бұрын
Namna hio BB zuuh
@sifamaureen279210 күн бұрын
Zuuu ,kai,baba kai,uzima mumeupata kupitia shoshi zuuu,zuuu lazima aoleke na kai
@user-ub9py1np4o10 күн бұрын
Mbn tamu jamn msikawie bs episode 36❤❤❤❤
@Rachel-94tz9 күн бұрын
Masha Allah,,ila Kai umekasirika mpaka aiiiiii,,yaan mpaka jasho kisa Zuu,, inshallah usiwe hivo kweny reality 😊,maan waweza mmeza mtu 😂😂,tunaokubaliana na Hilo tujitokeze hapa chapu
@YusuphLichela10 күн бұрын
Nyinyi munaomba like wakati me naumia walipo malizia ep 35
@RahimaMct-ik8mr10 күн бұрын
Wakwanza mie jaman Leo ❤❤❤ nilikuwa naiwaza hii muvi😊😊😊
@tinahminja24529 күн бұрын
Candy kishakuramba polee😂😂
@user-xh5mr8pj5g10 күн бұрын
Naombeni like zenu TM zuu jaman
@Phoebenafula10 күн бұрын
Watu wa Gen_z mshafika😂😂 , candy ndo Bado ni mwanzo tu mpaka kieleweke zuu lazima aoleke na Kai upende usipende
@sbdennovevo-zoukstar10 күн бұрын
Waaah movie ndo inaanza patamu sasa jamani❤❤
@JackyMuthoni10 күн бұрын
Waah 🤔 nilikuwa nimewagojea sana😜
@IshakaMachanoMakame-sb2xx10 күн бұрын
Jamani mim ndio wakwanza leo like bas jamani
@hutahuta117010 күн бұрын
Safi sana kai dawa zimetoka 😂😂😂😂
@user-lu1xx3wp5j10 күн бұрын
Daah, mnanifurahisha sana mjitaidi basi kwa siku mtutoleee angalao mbili,
@busatitv10 күн бұрын
Kwani tokea jana tunatoa ngapi Mpenzi?
@zaharahamadi378410 күн бұрын
Leo acha niwape ma love love mmenifurahisha sana kazi zuri sana mbarikiwe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@busatitv10 күн бұрын
Asante sana🙏🙏
@Chebaibaiever10 күн бұрын
33 minutes mmewasili mara 😂😂 okey chagua character between Kai na shosh 😂😂