Daimond anamoyo msafi sana...alafu amejaaliwa mashalah..anapesa na anamoyo mzuli sana...na jux pia amejipata anapesa... mashalah vijana wamejaaliwa
@user-nv8rr7jq9jАй бұрын
Diamond is the best artist of Africa
@rajabdibwa6415Ай бұрын
Aaliyah ndio alikua anaiweza refresh
@user-nw1zn8pd2dАй бұрын
African bway ft simba 🦁❤
@RajiEmadakiАй бұрын
Refresh my mind❤
@user-jd6vr9xw1oАй бұрын
Safi sana Juma Jux nakukubali sana
@EspoirSamy-st5leАй бұрын
Simba ❤ umesema kwili kk
@Edgard_tzАй бұрын
Namimi piya nime ikubali❤
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Daimond sio mchoyo..na mtu ukiwa na pesa bwana na hasa ukiwa huna roho mbaya wala sio mchoyo ndomana watu wanamsifia sana ata jux pia amefanikiwa safi
@lyrics_forumАй бұрын
Ukiwa na Pesa hata roho mbaya inaondoka.
@bongodataАй бұрын
Like kwa diamond...afu njoo tuangalie Bongo Data
@user-pk1yl7zt8pАй бұрын
Haujui me Simba la masimba dangote
@Duanny-jm8frАй бұрын
💥
@storm_tzАй бұрын
Juma km jux
@prosperabison1368Ай бұрын
🔥🔥
@MasudiJuma-rs4gj9 күн бұрын
ukweri nimzuri sana
@lunangabenjamin3121Ай бұрын
Simba niya yake nikutaka wasinii wa bongo flava mushambuliye soko la muziki kimataifa zaidi sana nigeria.juu washaga mkwaza sana.ivi jux yule mshkaji wako kamikaze hamnaga ushkaji tena katambo sana.
@user-sn8zw9rn5xАй бұрын
Simba
@user-fx2wq2yx5rАй бұрын
Mavoko rudi wasafi upate ela
@tevaclasssicАй бұрын
SiO POA
@DedeDerrick-qm4lfАй бұрын
Yani Diamondi mnapatiya sifaaaa saaana,nyiye ndiye mnafanya asiende international
@user-pk1yl7zt8pАй бұрын
Kama ip ipo2 acha wampe maua aky bd yup hai
@waynetv8728Ай бұрын
International ipi
@moseslimonga2337Ай бұрын
Hahahahaha akati saiz komasava iko international we unatka ipi mzeee
@FatumaShabani-mp9vtАй бұрын
@@user-pk1yl7zt8pni kweri mtu asifiwe angalia Bado yupo hai sio kama kufa ndyo mnampa pongezi 😢😢