'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW

  Рет қаралды 757,166

DW Kiswahili

DW Kiswahili

5 жыл бұрын

Adam Mohamed Bakari, mtu anayefikiriwa kuwa shahidi muhimu kwenye mkasa wa kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki nchini Tanzania, Tundu Lissu, amekuwa kimya tangu Septemba 2017 hadi alipozungumza na DW kwa mara ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, zaidi ya mwaka mmoja na nusu tangu kutokea kwa mashambulizi hayo.

Пікірлер: 679
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Pole sana dereva na hongera kwa kushiriki kumnusuru Tndu Lissu. Mungu akusaidie ili siku moja uwe dereva wa rais Tundu Lissu
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Adam mpe Yesu maisha yako umeokoka kwenye tundu la simba okoka YESU atawale maisha yk
@mashindanolivinus
@mashindanolivinus Жыл бұрын
1. Tumeanza kufuatiliwa toka tunatoka bungeni.. kila tukipiga kona magari mawili yanatufuatilia, ila sikumuambia bosi. 2. Tunaingia getini gari moja inaingia na sisi na kupaki nyuma yetu, namuambia bosi asishuke ila kwa dakika zaidi ya kumi hata hatupigi simu kuomba msaada kwa kuhisi hatari. 3. Gari inageuzwa kuelekea ilipoingilia (getini) anashuka mtu wanaongea tena kwa dakika kadhaa kisha gari inarudishwa rivasi na kupaki nyuma ya gari yetu. 4. Zinapigwa risasi upande wa abiria (bosi) inamaana kushoto kwake lakini anajeruhiwa mguu wa kulia. 5. Anasema hakupaniki kabisa aliposikia mlio wa bunduki maana ni muda walishajua wanafuatiliwa. (MLIO WA SMG!!!??) Mungu endelea kutulinda sisi na nchi yetu!!!
@ismailzakayo1139
@ismailzakayo1139 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana ni mlinzi wa maisha yetu anatupigania
@mussaharun7257
@mussaharun7257 3 жыл бұрын
Mungu anajua zaidi
@jastinistivini9687
@jastinistivini9687 2 жыл бұрын
Poleni Sana tufungeni siku mtu mungu atajibu
@humaidalnaamani4183
@humaidalnaamani4183 3 жыл бұрын
Daah gari ulikuwa nyuma ya gari yao kisha wanapigwa na risasi tokea nyuma ya gari inampiga mshambuliwa kwenye paja hii kali
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 4 жыл бұрын
Naomba ahojiwe vzuri atakuwa anajuwa kwann. Hakumwambia boss wake mapema ili atoe taarifa police anasubiri mpaka avamiwe hapo naona kuna alama ya kuuliza hatakama sijasoma
@ramadhannjuch9549
@ramadhannjuch9549 3 жыл бұрын
Kwanini walitoa Camera
@franknamkoko8228
@franknamkoko8228 3 жыл бұрын
Polis gani tena ushaambiwa walitoa taarifa mapema saan na hakuna kilichofanyikaa
@zuhurageyash3519
@zuhurageyash3519 3 жыл бұрын
Dereva anahusika kwanini. Ashuke wakati aliona hatari? Na kwanini asimwambie boss kuna watu wanatuatilia? Ili achukue tahadhari? Akafanya siri kisha akashuka ili risasi zisimpate? Hao waliofanya kitendo hicho ni wafuasi wa chadema wameona tundu lisu kimbelembele hataki wenzake washike nafasi ya urais maana mbowe alitaka awe rais Dr silaa Sharif hamad na pro lipumba wote walitaka wagombee sasa jamaa kagoma hapo ukawa na ukuta ikafa hivyo ni visasi vyao tu na dereva anajua yote lakini mjue kikulacho kinguoni mwako
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Kabisa kwanin yeye hajapata majeruhi
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Hawa wanasinema wazur sana, huyu jamaa nafsi yake inamambo mengi juu ya hili..... Ni serikali ya wapi itumie mateja au walevi kufanya ambush kama hiyo? Maana mtu aliyempiga hizo bastola za kupigia njiwa pori anaonekana kbsa ni kilaza tu, mm naamini asingetoka mtu hapo, 32 bullets 🙄🙄🙄. CCTV gn kwan mtu akisema umeng'oa kigingi hata kama hakikuwepo mdomo wake utabambika?
@tegamaduhu5204
@tegamaduhu5204 5 жыл бұрын
Pole baba ugua pole
@sadikirajabu6806
@sadikirajabu6806 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@johanesjohn8471
@johanesjohn8471 4 жыл бұрын
Mission impossible....Mungu mwema
@immailecx5355
@immailecx5355 Жыл бұрын
Dereva. Ausik .kwaniangeshindwa kumalZ. WEWENIMTUMUNGU NAMUNGUAKULIND UWENAMOYO UWO UW
@jumaally4215
@jumaally4215 3 жыл бұрын
La pole mwenye ,zmungu akulinde zaid
@jasonhiphop2589
@jasonhiphop2589 5 жыл бұрын
Waliopotea tu inatosha kutohowa nakupata Lugha kamili yawalio husika.Mungu ndie muweza wayote hakuna atakaeishi milele.Mungu atukuzwe kwakuwaponya.
@deogratius1790
@deogratius1790 Жыл бұрын
Tf brtteyy
@pauldavid5141
@pauldavid5141 5 жыл бұрын
Utungaji.
@dinahnyagosaima1259
@dinahnyagosaima1259 3 жыл бұрын
Jina jingine ufahamu
@PaulJimora
@PaulJimora 5 ай бұрын
Pole kaka
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Pole sana
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
Mungu Ndo shaidi pekee🙏
@robertnsambila7354
@robertnsambila7354 3 жыл бұрын
Mungu mwema na ndio mana kawanusuru hamkuwa na hatia tunawaombea sana
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
Mimi siandamani tena
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 3 жыл бұрын
P0le
@mclangutut5912
@mclangutut5912 8 ай бұрын
Pole sana kaka Lisu tunakupenda Mungu wako yupo hai. Jipe moyo
@mzafaludauda5342
@mzafaludauda5342 4 жыл бұрын
mmh namwachia mungu
@privatuswapeter4457
@privatuswapeter4457 5 жыл бұрын
Uko poa bro
@rashadallamki8862
@rashadallamki8862 3 жыл бұрын
Adam Asante kwa wako ukweli na Mungu atakuhifadhini wewe na Muhishimiwa Ameen
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Ukweli aupeleke police kesi ianze waache mambo ya kihuni huyu ni shahidi number moja
@pundatr8103
@pundatr8103 Жыл бұрын
Adam aje tz mbona lisu kalud ajeahojiwe napols muuaj skatangulia
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Жыл бұрын
@@pundatr8103 lissu si victim aende akafungue mashtaka alafu aje na huyo Adam atoe ushahidi lissu mwenyewe hata hana uhakika kwa sasa nani alimfanyia tukio
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 Жыл бұрын
We love you dear
@erastoonesmo6109
@erastoonesmo6109 3 жыл бұрын
Kiuhakisia izo risasi zingemjeruhi na yeye picha LA kihindi ili😂😂😂
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
acha ukuma wewe, mbn ushangai walinzi wa hapo walikuwa wap!!!???
@daudidarabo3311
@daudidarabo3311 3 жыл бұрын
@@bennymochiwa4800Asanteee benny
@joyceshile6322
@joyceshile6322 3 жыл бұрын
Hiyo hotuba ya RAIS WETU INAITWAJE KZfaq, ALIYOTAMKA MANENO HAYO ILI TUSIKIE ACHENI KUTUFANYA MAZOBA
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Siasa nimchezo mchafu sana mtajuana wenyewe huko siasa nikama ugonjwa
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y Күн бұрын
Poleni mungu atajibu
@elishangomele9937
@elishangomele9937 3 жыл бұрын
Shida ipo kwenye kuumia mguu wa kulia alihari umekaa upande wa kushoto ya mungu mengi
@emanueldunia0014
@emanueldunia0014 Жыл бұрын
Kwahiyo amejipiga risasi au??? Wewe unaweza?
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo 2 ай бұрын
Kawaida ya risasi ukipigwa kushoto hutokea kulia.
@AnneNdabila-uv2qh
@AnneNdabila-uv2qh 4 ай бұрын
Asante kwa kuokoa maisha ya lissu Mungu atakulipa
@Kiswahili
@Kiswahili 4 ай бұрын
🙏
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 3 жыл бұрын
Yaan ulipiga mlango ukatoka. Afu nani akaufunga? Maana umesema uliufungua tena ukakuta bos wako ameumizwa baada ya tukio. Huon kama unadanganya waziwaz?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu polis nani aliwatoa au unajisahaulisha serikali kama hawajampiga wao waseme polisi ambao huwa wanalinda masaa 24 siku zote walitolewa na nani
@joyceshile6322
@joyceshile6322 3 жыл бұрын
HAHAAAAAA! ANAFIKIRIA WOTE TULIZIMIA SIKU HIYO, KUMBE ALIZIMIA BOSS WAKE KIMAWAZO? TUNAWACHEKIIII TU😳( steven), SWALI LAKO ni Babu KUBWAAAAA. HUYU DEREVAAA WA LISU HUYUUUU🤣🤣🤣🤐🤐🤐🤐🤐
@muhdsseif5785
@muhdsseif5785 3 жыл бұрын
Eee ndugu hakuna asiejua risasi zile ilikuwa mkono wa serikali. Sasa unapojaribu kusema dereva ni mjinga, unazidi kumpaka mavi Magufuli. Maana masaa mawili kabla ya risasi alitoa tishio la kumuua Lissu. Na hiyo hutuba imo youtube hadi leo
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Acheni usanii wewe dereva na huyo tindulisu wako,kama risasi ni wewe ndie ulie mpiga huyo bwana wako,,tena kwa kuona mtaumbuka mkambilia huko ubeligiji,
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
@@muhdsseif5785 mwenyezi mungu alimuonesha magufuli uwezo wake WA kiungu ili ajitambue kibri chake hakiseidii kitu hao wanaosema sijui dereva sijui nani wote wanajuwa mpango WA kumuuwa lissu ni amri ya magufuli na mpangaji mkuu ni makonda alikueko Dodoma kisiri waliompiga risasi ni walinzi WA Rais na usalama WA taifa simu ya makonda mawasiliano walivokuwa wakipanga yako alipoekewa vikwazo na amerika sababu ni utekaji na utesaji
@elliottrahema
@elliottrahema 3 жыл бұрын
Jamani siku zote kwenye ukweli uongo hujitenga, Huyu fala ni muongo mkavu sijui umelipwa kiasi gani phuu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 жыл бұрын
Si kweli.
@daudisebastian4935
@daudisebastian4935 2 жыл бұрын
Amina
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 3 жыл бұрын
YAANI KAMA UNGEMUACHIA ASHUKE ANGEPIGWA ZA KICHWA DOH! UMEMSEVU KUMUAMBIA ASISHUKE
@danielmarunda153
@danielmarunda153 3 жыл бұрын
Hilal Alhabsi Ungepata faida gani Kama angepigwa za kichwa? Acha ujinga wewe unashabikia upumbavu
@mariamichael3088
@mariamichael3088 3 жыл бұрын
Polen sana
@neemakrekamoo4789
@neemakrekamoo4789 Жыл бұрын
Very smart and honest guy👏
@AD-qi3wb
@AD-qi3wb 4 ай бұрын
How? wewe watu wakifuata ,utawapeleka mpka kwako na na kusubili nje?
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 5 жыл бұрын
Mungu yupo na yeye anajua hawa jamaa wasiojulikana
@YudaMatesie80
@YudaMatesie80 4 жыл бұрын
Kama Lisu hakufariki bado ni shahidi siyo akomaliwe dereva tu hii ni move ya kucreat
@mfaumehseyyid9750
@mfaumehseyyid9750 3 жыл бұрын
Hongera wewe hukuumia
@yagwishaheke6930
@yagwishaheke6930 5 жыл бұрын
This guy having something
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
acha uzuzu wewe mbn ushangai walinzi kutokuwepo, alafu mbn footage za cctv zimetoroshwa!!!??
@bishirashaka1556
@bishirashaka1556 3 жыл бұрын
Pole saana
@ramanizetu_blog5973
@ramanizetu_blog5973 4 жыл бұрын
hivi dakika zote hizo mnashangaa lile gari na hadi linageuza mmeshindwaje kuchukua namba za gari? plate no.? dakika 10 mmeshindwa kuchukua hata picha? hata kupiga simu kwa ndugu wa karibu?
@ibrahimrobart38
@ibrahimrobart38 3 жыл бұрын
Mungu ni wetu sisi sote wala hana chamaaa
@joelcassian2388
@joelcassian2388 4 жыл бұрын
Gari imetobolewa mala 32 lisu risasi 16 wewe ujaguswa hata kidogo ww ni zaidi ya malaika .....pili risas zmepigwa upande wako wa kushoto lisu amepigwa mguu wa kulia hizo zilizompiga lisu kulia zilitoka wapi na ww ulikua kulia hukuguswa kabisa tatu Kama risas zilipigwa kiholela ilikuwaje zilenge mguu tu ...kk tunaomba uhojiwe ilitupate majibu yaliyonyooka
@benjaminsimon3715
@benjaminsimon3715 3 жыл бұрын
Kabisa hatamimi wananichanganya
@gelardanyasi919
@gelardanyasi919 Жыл бұрын
Pole kmnd tuko pamoja nawe
@mustafajumajuma2226
@mustafajumajuma2226 3 жыл бұрын
Wewe ni Mjeshi safi kabisa
@user-cr1ft3xe4h
@user-cr1ft3xe4h 2 ай бұрын
😢😢😢😢
@AbelMwakilembembwate
@AbelMwakilembembwate Ай бұрын
Kwa maelezo ya awali na unayotoa kuna tofauti
@d_ramir5689
@d_ramir5689 5 жыл бұрын
Wenye imani usema bora useme mungu yupo uende ukamkosa kuliko kusema mungu ayupo uende ukamkuta
@onesmominga844
@onesmominga844 3 жыл бұрын
Hawa walikuwa wakisubiria ashuke I li wammalizie kabisa mungu mwema ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
@yagwishaheke6930
@yagwishaheke6930 5 жыл бұрын
Kwa mtu mwenye akili timamu ukisikiliza tu maelezo ya dreva inatosha kuonyesha kuwa dreva alijua shambulizi 100% believe me
@NeemaMedia
@NeemaMedia 5 жыл бұрын
Mimi nadhani yeye aliwaona na aliwajuwa ila anashindwa kutaja hadharani ni vyema vyombo vya usalama kukaa nae na kuongea nae vizuri
@franceobed7463
@franceobed7463 5 жыл бұрын
Uyu jamaa maelezo yake duh nina was2
@maselejacob8370
@maselejacob8370 5 жыл бұрын
Dereva alinunuliwa huyo
@YudaMatesie80
@YudaMatesie80 4 жыл бұрын
Alijua na ndo maana Lisu alipona
@frankjohn8570
@frankjohn8570 4 жыл бұрын
Wote walijua kuwa wanafuatiliwa hata kuna wkt Lissu aliomba ulonzi je wote wanapaswa kutiwa hatiani kutokana na tukio hilo? Na kama risasi zilipigwa kutokea nje ya gari je alishuka mtu katiyao kupiga risasi? Na vipi risasi zisichunguzwe kujua in bunduki gani inamilikiwa na nani.....
@projestusbernad3813
@projestusbernad3813 3 жыл бұрын
Nimashaka wakati unaona watu wanafatilia nyuma kwanini haukumwambia naye akajiwekatayari aidha kuitaji msaada wa rafiki au majirani kuwa tunafutiliwa nyuma kitakachotokea mjue kuna watu. Sababu ya kuwa watu wawili nini sasa kama boss wako hautaki kuongea naye pale penye mashaka.
@suzymwageni7228
@suzymwageni7228 4 жыл бұрын
Mungu anawaona wtz mnaye amini dereva alihusika lakini amini nawaambieni lisu ni mtu ambaye Mungu amempa Karama ya kuongoza watu yote hiyo mlitaka afe Mungu kuzuia kajiinua mumjue mungu hakika naamini kwa kilicho tokea kwa tundu lisu Mungu atatufundisha na hatuta amini lakini tutaelewa kuwa Mungu alisimama kwa ajiri ya taifa la Tanzania sio kila magumu tunasema shetani amejiinua mungu anaruhusu tujifunze watanzania yatakapo timia lisu atakumbukwa na watanzania wote asante .
@pundatr8103
@pundatr8103 Жыл бұрын
Huyo chiba mpiga dili jibo lilimshinda amuongoze nan
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Pole pole ila YESU anaokoa Yesu aliwaokoa wewe na bosi wako mpeni Yesu maisha yenu mmeongezewa siku
@andrewemilly2890
@andrewemilly2890 5 жыл бұрын
Ulitakiwa na police kwa nn umegoma kuja
@dullahabdul6191
@dullahabdul6191 5 жыл бұрын
Unaielewa vizur selikal ya tz au unaropoka
@manasengobei9968
@manasengobei9968 3 жыл бұрын
Huyu jamaa si mnzima!
@lauriankajugusi5225
@lauriankajugusi5225 5 жыл бұрын
Sasa naamini kuwa huyu dereva ni wa mhimu ktk sakata hili.Hebu tuangalie kwa pamoja, dereva kwa taratibu za kupaki gari huwa ni kushoto kwake,akiiacha nafasi ya mpitaji mwingine Julia kwake.Kwa maelezo yake,gari LA washambuliaji, ghafla lilirudi reverse na kuwashambulia kwa ubavuni.Hapa mhanga wa kwanza alipaswa kuwa yeye.Wataalam wakimpata huyu bwana, ukweli utapatikana kiurahisi.
@roseesospeter1792
@roseesospeter1792 4 жыл бұрын
Uposahihi kabisa bado hawajasema me niliomba tu wawe nahofu ya mungu ndipo watasema ukweli
@ruthmsumari5255
@ruthmsumari5255 3 жыл бұрын
Ahhh
@leinaamos
@leinaamos 3 жыл бұрын
Iv lisasi zote hizo walinzi hawakusikia?
@nujakaambari5599
@nujakaambari5599 5 жыл бұрын
Bosi wako ktk ziara zake katamka ya kuwa kuna gari zilikuwa zinawafuata tangu mlipotoka bungeni. Na amedhihilisha kuwa mlikuwa kwenye hali ya tahadhali. Wewe unasema ya kuwa mlipotoka bungeni mlikuwa mnafuatiliwa na magari mawili,ukapunguza mwendo,baadae ukaongeza mwendo,na kipindi unafanya hivyo hukumwambia boss wako. Hapo ni kauli mbili tata. Kwa maoni yangu Dereva aliamua kuto kumweleza boss wake ili apate fulsa ya kumseti ilii washambulizi watimize lengo lao. Dereva anajua kila kitu Umekwisha broo
@nuranzubail1240
@nuranzubail1240 5 жыл бұрын
Hujui kusikiliza vizuri . Au unasikiliza kwa upendeleo bias listening unachagua ya kusikiliza au unapenda kusikiliza unayoyataka . Walipofika nyumbani pale lissu alitaka kushuka kwenye gari lakin alimwambia usishuke kwanza kuna hayo magari yametufatilia toka tuko bungeni. Mwanzo hakumwambia wakati wanaenda lakin walipofika alimkataza kushuka walikaaa km dk 10 hizi ndo alimwambia so Lissu nae akajua kumbe walifuatiliwa tangu bungeni .
@Ba63828
@Ba63828 5 жыл бұрын
MUHIMU SANA HILI TUKIO LICHUNGUZWE KIKAMILIFU. INASHANGAZA UKAKASI UNATOKA WAPI.
@monicaotieno9761
@monicaotieno9761 4 жыл бұрын
Mmm
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 5 жыл бұрын
Hao watu walikuwa pembeni yenu kwa zaidi ya dakika SITA-6.. MLIKUWA MNASUBIRI FILAMU IANZE.!
@yassiniferuzi2867
@yassiniferuzi2867 3 жыл бұрын
Wewe linda tu Nyumba huyo bosi wako atarudi tu kwani Urais hawezi kupata nani atampa kuwadi wa Mabeberu na Ushoga akapige pasi tu
@zawadmsalilwamsalilwa3973
@zawadmsalilwamsalilwa3973 3 жыл бұрын
Hata wewe kuwadi ndio maana umemjua kuwadi mwenzio punda wewe
@tadeusitemba5152
@tadeusitemba5152 3 жыл бұрын
Mtazamo finyu
@leonardfrancisco7877
@leonardfrancisco7877 3 жыл бұрын
Ww ni muongo sana huo ni mchezo
@bulubamabelele2311
@bulubamabelele2311 5 жыл бұрын
Contradictions
@frankanold9803
@frankanold9803 3 жыл бұрын
NAKUSHUKURU SANA MUNGU TUNDULISSU AMEPONA.HATIMAYE ALIYETAKA UFE AMEKUFA YEYE NA WEWE NDIYE ULIYEIAMBIA DUNIA KUHUSU UGONJWA WAKE
@zulekhasaidmohamed4043
@zulekhasaidmohamed4043 5 жыл бұрын
Mungu yuko nawawo watakufa
@christinamtenga4479
@christinamtenga4479 4 жыл бұрын
Kwani amekufa..?
@abubakaryomary3985
@abubakaryomary3985 4 жыл бұрын
Acha kuwaombea mabaya siyo vizuri mungu anakuwona
@ezekiamwashemele2073
@ezekiamwashemele2073 3 жыл бұрын
Mungu amependa lisu aishi ila ushoga noma
@shabanikidenge3925
@shabanikidenge3925 5 жыл бұрын
Kilosa
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 жыл бұрын
POLISI WA TANZANIA NENDENI SHULE MKAJIFUNZE UPELELEZI. KAZI YENU ILIKUWA TAYARI IMEKWISHA KAMA MSINGEIBA MASHINE ZA CCTV. MUMETUMA WATU WAFUNGUE MASHINE ZA CCTV MKIJUA USHAHIDI UMEPOTEA. JESHI LA POLISI NI JESHI LA KIHUNI LINALOFANYA KAZI CHINI YA CCM.
@kelvinibrahim1828
@kelvinibrahim1828 3 жыл бұрын
poresana mungumwema
@godisgreat1845
@godisgreat1845 3 жыл бұрын
Kuna clip ulisema ulilaza kiti ndio. Maana risasi hazikumpata hapa unasema ulilaza kwenye kiti chako
@dawillygene
@dawillygene 5 жыл бұрын
Mmmmm, acha nipite nisije kukufuru bure , huyu dereva na maongezi ya Lisu yanapishana ni bora hata asingeongea maana wanapozidi kujichanganya mnapoteza hata maana .
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 5 жыл бұрын
babyee Da love hawana utofauti wowote ila siasa tu ndo zinazowatoa roho kwa iyo ht mukiambiwa mutasema uongo
@NeemaMedia
@NeemaMedia 5 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 yes ni kweli
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 3 жыл бұрын
Maelezo yao yapo sawa kabisa ila wewe ndio chenga
@kaniogachief6151
@kaniogachief6151 5 жыл бұрын
Police lisu alijipiga mwenyee nyie fanyeni kazi zingine upuuzi hatutaki Sisi wasitufanye wajinga hao
@simonetz7036
@simonetz7036 5 жыл бұрын
nadhani mbugila lilianzia kwenu
@simonetz7036
@simonetz7036 5 жыл бұрын
nadhani mbugila lilianzia kwenu
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 3 жыл бұрын
Nikwer kabisa hatamie hua ninamashaka makubwa sana juu ya lisu kupigwa lisasi kwa hivi wangekua ni jambazi kabisa kwann walishindwa kushot la kwenye moyo? Mie nahisi ni njama zake tu ili ajizolee umalufu😏😏😏🤣🤣
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 3 жыл бұрын
Memory yako nahisi haifanction very well
@tiktoktdmdynamo3100
@tiktoktdmdynamo3100 3 жыл бұрын
@@rahmaoman5122 kwa haya mawazo yako tanzania tuna safari ndefu
@christopherjimmy8925
@christopherjimmy8925 5 жыл бұрын
Taratibu kisheria mtu wa kwanza kumhoji Ni Yule aliyekuopo kwenye tukio ndipo upelelez mwngn unaendelea sasa ninyi wote mko ulaya sasa nani atafungua kesi nani atatoa maelezo ili kusaidia police. Leo naamin wana macho lkn hawaon wana masikio hawasikii.
@simonshitindi6242
@simonshitindi6242 5 жыл бұрын
Brother we umeongea kitu chamsingi sana
@jonijojoss9181
@jonijojoss9181 5 жыл бұрын
Moo Roma walitekwa na mpaka Leo unataarifa gan maana wao walitwa polis na wakahojiwa hebu tupe mwendelezo wa ni kwanini walitekwa
@hemedmteza6956
@hemedmteza6956 5 жыл бұрын
Christopher Jimmy wangekufa je?
@fredymachumu1631
@fredymachumu1631 5 жыл бұрын
@@jonijojoss9181 we ni ndezi kweli
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 5 жыл бұрын
Wangekufa wote miili yao ingefanyiwa uchunguzi.
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 3 жыл бұрын
Mhhhhhh
@prospermbatha5976
@prospermbatha5976 3 жыл бұрын
Honestly speaking These something somewhere Hardin, how come a drive who drives such a Big person like Mr Lisu, Umehona Gari zimekufata Na umekaha kimia Bila kumuhusisha boss wako? Second je Ahukufanya advance driving?
@nassoraltamimi6695
@nassoraltamimi6695 2 жыл бұрын
nnnnmnnnnnmjjkjjk¹nnn
@sitisuleiman7889
@sitisuleiman7889 4 жыл бұрын
Dah huyu dereva kaonesha uzembe kabisa angeona wanavofuatiliwa angetoa taarifa polisi au wangerudi bungeni 🤔
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Polisi wa wapi hao wenu wanaibeba ccm khhaa usichafuwe hali ya hewa hapa
@yohanatanu1239
@yohanatanu1239 3 жыл бұрын
Dunia kuna mambo
@ShukuruKojaboy
@ShukuruKojaboy 5 жыл бұрын
Namba za gari
@jumaabdallah3495
@jumaabdallah3495 3 жыл бұрын
Kama cctv camera zimetolewa waliozitoa ndo washiriki wa tukio, huwa kuna walinzi, siku hyo hawakuwepo,, aliewaondoa anaujua mchongo full stop
@stephentossi2626
@stephentossi2626 Жыл бұрын
Hawa watu mlianza kuwatilia mashaka umbali mrefu hivyo hadi wasiwasi uliendelea hadi nyumbani ulikuwa na sababu gani kuendelea unashangaa wakati ulishaona hakuna walinzi. Pili wakati mashambulizi hayo yanaendelea kwanini hukuomba msaada kwa majirani. Naomba Watanzania tuwe makini
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Жыл бұрын
Huyu ni mwislam Lissu ni mkristo angalia walivyokuwa wakiishi vizuri tunatakiwa tuwe hivo kulikoni shetani aliyepanga mauaji naye Mungu akawanusuru wote wawili Mungu ni mkubwa
@johanesdeocles6337
@johanesdeocles6337 3 жыл бұрын
Unajua kuna watu wanadhani labda wataishi milele malipo hapa hapa duniani
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Жыл бұрын
Hilo ndilo lilifyatua risasi kwann yeye asijeruhiwe hata chembe...macho tu yanaonyesha no muhusika no 1
@pundatr8103
@pundatr8103 Жыл бұрын
Tundulisu au chiba mpigadili nawewe adam njoo ujiwe nawanaume
@zulekhasaidmohamed4043
@zulekhasaidmohamed4043 5 жыл бұрын
Malipo hapahapa lisu hakuuwamtu uko sahihi chuga ukirudi utapoteza ndiyo TZ iliwatu waogopi kupiga chochote mungu atawalani
@ayubuluka5740
@ayubuluka5740 3 жыл бұрын
Kweli kaka ujasomea ujeshi
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Ulikuwa unajua kila kitu wew acha kudanganya
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Haya Mambo hayaishi tyuuu jamani
@d_ramir5689
@d_ramir5689 5 жыл бұрын
Binahadam bhana ivi mnais amfi syo nataman palapanda lilie Leo tukajionee mazambi yetu pesa mwanahalam sana
@simonetz7036
@simonetz7036 5 жыл бұрын
nimependa sana iyo comment
@adamabdull3789
@adamabdull3789 3 жыл бұрын
Ilikuaje.wewe.upunguze.mwendo.haliunajua.kunamagari.²yankufuàtilia,nausimwambie.Boss.mpakatukio.limetokea.
@AnneNdabila-uv2qh
@AnneNdabila-uv2qh 4 ай бұрын
Pole sana lissu wote waliohusika kukupiga lisasi watakufa watakuacha naamini
@Kiswahili
@Kiswahili 4 ай бұрын
🙏
@arunamwaholi1351
@arunamwaholi1351 5 жыл бұрын
Hapa kira mtu atachangia anachojuwa yy cha msingi dereva usirudi huku mpaka mlud wote cku ikifika ya kulud
@charlesnoafekwalipibayaali2662
@charlesnoafekwalipibayaali2662 3 жыл бұрын
Aruna bado upo hai moshi au umekufa au mzima? Kama mzima powa dereva wako yupo wapi? Tulijuwa uliwaza nini? hapo longolongo tu ila kwa sababu kama unapenda ushoga utabisha tu
@jacksonjoakim4115
@jacksonjoakim4115 4 жыл бұрын
uuni mpango wa risu mwenyewe kwanini haukupiga sm police umeona unafatatiliwa haukupiga sm
@danielichuwa3747
@danielichuwa3747 4 жыл бұрын
Jackson Joakim wakati mwengine unapo toa maoni yako tambua kwanza unacho taka kuongea ama kusema
@roseesospeter1792
@roseesospeter1792 4 жыл бұрын
@@danielichuwa3747 kwani kakosea Nini ndyo alipaswa kupiga c
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 3 жыл бұрын
@@roseesospeter1792 kasema kajipiga mwenyewe au umesoma ya sm tuu🤔
@emmashayo8774
@emmashayo8774 3 жыл бұрын
Mungu anakuona
@hassansamata5995
@hassansamata5995 4 жыл бұрын
Mbona gari imeshambuliwa kushoto mguu wakulia ndio unavyuma..dereva ulikua upande gani
@neemajohn754
@neemajohn754 3 жыл бұрын
Kwahiyo we unaona ni mazingaumbwe au?kwenye hatari hasa risasi inaweza kulenga popote hasa mtu anapojigeuzageuza kwa kukwepa au kuugulia majeraha .kwani mguu wa kulia si sehemu ya mwili?au Lisu ni gogo na huwa hajigusi hata kwenye hatari?comment yako haina mashiko. Au kusema hivyo yaweza ashiria ulikuwa na washambuliaji na mnajua risasi mlikoelekeza na pengine hamkupanga kulenga mguu wa kulia..Kasaidie polis na wewe
@midumbiojijo8126
@midumbiojijo8126 3 жыл бұрын
Ww acha ushamba magar za serikali V8 zinakua na Sterling Kushoto Ili kuwezesha kutembea nchi yoyote
@JEMBEKALI
@JEMBEKALI 3 жыл бұрын
@@midumbiojijo8126 umesikiliza vizuri maelezo ya dereva? Anasema alikuwa upande wa kulia wa Lisu. Ona gari lilivyo shambuliwa - Risasi kutoka kushoto zilipiga kona? Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!!
@JEMBEKALI
@JEMBEKALI 3 жыл бұрын
@@neemajohn754 Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!! Risasi hazipindi kona - research ukweli
@mauldikaunde5849
@mauldikaunde5849 3 жыл бұрын
Ni
@rashidikilolo3032
@rashidikilolo3032 3 жыл бұрын
ok
@ijsound5149
@ijsound5149 5 жыл бұрын
?
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Ukiangalia kwa undani zaidi unaona kabisa hii ilikuwa ni tamthilia kabisa! Hizi zilikuwa Kiki za siasa kutaka kuivuruga serikali! Kama uliona Kuna dalili hizo za mwanzo za kufuatiliwa kwa nn hamkupiga cm polisi kabla hata hamjafika sehemu ya nyumbani? Huyu dereva bhana alikuwa anajua kinachoendelea muda wote alishindwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama? Na kwa nn hakumwambia bosi wake muda wote huo huenda angemshauri kuwa toa taarifa popote! Hii ilikuwa move tu!
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 жыл бұрын
Wewe jifanye kutabasam tu macho kumesa mesa na kuyakaza tumeelewa kitu
@doreenmsafiri8349
@doreenmsafiri8349 3 жыл бұрын
Dereva huyu msenge tu anafilwa
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 3 жыл бұрын
Mwongo 100%
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 3 жыл бұрын
Wewe unajua
@jumaabdallah3495
@jumaabdallah3495 3 жыл бұрын
Kama cctv camera zimetolewa waliozitoa ndo washiriki wa tukio, huwa kuna walinzi, siku hyo hawakuwepo,, aliewaondoa anaujua mchongo full stop
@sememakolo9360
@sememakolo9360 4 жыл бұрын
Mbona upotee usiende kwenye vombo vya usalama, nakwanini uende arusha kulala huko wakati tukio lometokea Dom?
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 300 М.
Mahojiano kamili na Balozi Masilingi na Mbunge Tundu Lissu
8:42
VOA Swahili
Рет қаралды 389 М.
Tundu Lissu- ccm ni Fashist
8:22
el battawy
Рет қаралды 64 М.
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47