KUJIFUNZA KUPAMBA KEKI KWA URAHISI /SIMPLE CAKE

  Рет қаралды 8,548

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

2 жыл бұрын

Tujifunze Kupamba Keki Kwa Urahisi Kupitia Mziwanda Bakers
Karibu Sana
‪@mziwandabakers8297‬

Пікірлер: 29
@juliandolo8686
@juliandolo8686 7 ай бұрын
Kazi zako sana Mm nakwama kupamba tuu jaman naweza pika hata kwenye mkaaa ikachambuka lakini kupamba ndo shida
@zuhuraussi7904
@zuhuraussi7904 Жыл бұрын
Nataka darasa la keki kujiunga
@user-lo8hy4oi7f
@user-lo8hy4oi7f 9 ай бұрын
Naomba unisaidie kunionyesha jinsi ya kupamba Cake ya harusi
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah shukran da
@tyintanashertz784
@tyintanashertz784 2 жыл бұрын
Good job nimefurahi Sana na nimejifunza pia
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Karibu sana
@fakiduchu5065
@fakiduchu5065 2 жыл бұрын
Umepakaje keki yenyewe mbali na kupamba
@florencemanyanza3776
@florencemanyanza3776 2 жыл бұрын
So Awesome Asante sana but tunaomba uelekeze jinsi ya kuanza kabisa yanii baada ya keki kupoa Hadi kufikia hapo
@beatricemakule6340
@beatricemakule6340 2 жыл бұрын
Naomba kujua huwa naona nozzles kubwa na ndogo…zipi ni nzur kwa beginner kubwa au zile ndogo
@tamalijafari4305
@tamalijafari4305 2 жыл бұрын
Good job😍
@faridaabdallakombo8502
@faridaabdallakombo8502 2 жыл бұрын
Napata shida kupangilia maua ya butter
@bellakarim3186
@bellakarim3186 2 жыл бұрын
❤️
@grolybenson281
@grolybenson281 2 жыл бұрын
Me nataka dalasa nijifunze japo na jua kwa kiasi nataka kujua zaizi plz dada
@atulindabaisy5837
@atulindabaisy5837 2 жыл бұрын
Mi naomba kujua bei ya freezer la kusimama ,I mean standup freezer lita 225
@boazgunda5325
@boazgunda5325 2 жыл бұрын
Dada kwema hauna madarasa ya online hata kwa watsap naitaji sana kujfunza keki
@magrethmbaga1089
@magrethmbaga1089 2 жыл бұрын
Hbr mamy ahsante kutuelimisha. Mm mama naomba no yako ni bariadi
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
0768859358
@gracetelemako4701
@gracetelemako4701 2 жыл бұрын
Nataka kupamba keki na les nafanyaje?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Check jinsi YAKUTENGENEZA lace mziwanda Bakers
@christinamathias8453
@christinamathias8453 2 жыл бұрын
Shida yangu ni hapo kwenye kuandaa icing sijui nakwama wapi nafuata vipimo lakini najikuta icingi inakuwa haikauki na inachuruzika
@priskilapaul3126
@priskilapaul3126 2 жыл бұрын
Na mi pia inakuwa hivyo
@abdulkarimpazi371
@abdulkarimpazi371 2 жыл бұрын
Icing sugar yangu inakua na km vichenga chenga kwa nn
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
-Je unachekecha icing yako? -Pia hakikisha mkono unapamba chap chap ili kuepusha kukauka kabla hujamaliza kupamba
@joycchiwila8416
@joycchiwila8416 2 жыл бұрын
Shida yangu unielekeze jinsi ya kutumia ovena yangu,Kila nikioka keki inaunguza upande kabla yamda nainakuwa ngumu kwa nn?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Muite fundi abalance moto wa oven
@joycchiwila8416
@joycchiwila8416 2 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 asante
@priskilapaul3126
@priskilapaul3126 2 жыл бұрын
Mi nikipamba ising sugar inachuruzika dada sijui nakwama wapi pia keki yangu haikauki haraka maana sina friji
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Tengeneza icing nzuri,pia fridge Haisaidii kukauka
@priskilapaul3126
@priskilapaul3126 2 жыл бұрын
Sawa dada kama una darasa naomba kusajiliwa plz
ICING SUGAR RAHISI SANA/ICING BUTTER CREAM
8:55
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 267 М.
Jinsi Ya Kutengeneza Fondant Rahisi Sana
7:27
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 182 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 42 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,4 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 4,6 МЛН
butter cream cake decoration
0:30
fresh cakes muthu master vishwa
Рет қаралды 1 МЛН
Jinsi Ya Kuremba Keki Rahisi Sana/How To Decorate A Cake
9:55
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 48 М.
VIJUE VYOMBO NA INGREDIENTS ZAKE
7:07
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 19 М.
I was in tears after this order | #youtubeshorts
0:59
Sweet Dreams Bake Shoppe
Рет қаралды 5 МЛН
BAKING POWDER NA CHANGAMOTO @mziwandabakers8297
5:30
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 10 М.
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 42 МЛН