KWANINI MTU ALIYEOKOKA AISHI CHINI YA VIFUNGO VYA LAANA(Maagano)|Mch.Amiel Katekela | EAGT Matimira

  Рет қаралды 12,570

PROMOVER TV

PROMOVER TV

8 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 60
@JuniorWilliamsMsamo
@JuniorWilliamsMsamo Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi, nimeona nguvu ktk maombi ,kuna siku kuna bb akanijia amevaa kaniki nyeusi,nikamkemea kwa jina la yesu,akushindwa kuondoka akatoka njee kwa miguu yake,kuna siku nikaona maono nipo kwenye watu wananishambulia wananiuliza kwann nawafukuza, na yule bibi yupo,watu walikua wengi,nikaitia jina la yesu ,nikashituka ninahema kamq nilikua nakimbia,je mtumish hayo maroho yametuacgia au bado yapo
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 8 ай бұрын
Amen Asante kwa neno la mungu naomba nikafunguliwe kwa jina la yesu
@barakasegugu5494
@barakasegugu5494 8 ай бұрын
Balikiwa sana mtumishi kubwa tumshukulu Ili kuinuka ukuu wake
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 8 ай бұрын
Nawapata vema nikiwa bweni Dar es salaam Baba Mchungaji hongera kwa kz ya Bwana na kundi zima la promovo TV somo hilo imeenda na imeisha mpaka shetani aombe poo tuko pamoja watumishi wa Mungu
@StellahAmudavi-ko2pt
@StellahAmudavi-ko2pt 8 ай бұрын
Since I started following your preaching my life has changed an my faith towards God has been strengthen by your testimony God bless you man of God
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 8 ай бұрын
Laana za ukoo zinatusumbua wengi mtumishi wa Mungu ,hivyo tunaomba maombi na mafundisho ya kuondoa laana hizo baba,barikiwa saaana mtumishi wa YAWE
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 8 ай бұрын
ameen Bwana yesu nimweza sana 🙏
@naomiogonyo8378
@naomiogonyo8378 8 ай бұрын
sehemu ya tatu tusikose kusikia mafundisho yana fungua macho.tumekuwa na hizi shida karibu kila kitu mchungaji anasema maishani na tumetenda hizi dhambi kutojua na madhara yake tunayaona miaka baadaye na kweli ni mateso chungu mzima .Yesu aturehemu.
@jojinakuya3411
@jojinakuya3411 8 ай бұрын
Be blessed my pastor.. much love from kenya
@faithkavete2673
@faithkavete2673 8 ай бұрын
Yesu akubariki mchungaji.nimependa mahubiri.much Love from KENYA...ila,mchungaji nahitaji maombi Kwa anjili ya ndugu yangu.jana usiku alianguka na akaanza kutapika ndamu.kapelekwa hospitali wakamwongezea maji chupa nne.sielewi Nini kinachoendelea ila naskia kulikua na manzingaobwe nyumbani siku kadhaa zilizopita.mama alikufa Kwa manzingira hayaeleweki,baba naye Kwa manzingira pia hayaeleweki.kuna wachungaji walikua nyumbani kama wiki tatu zimepita.wakachinja mbuzi na kuku na kondoo halafu wakachanganya baadhi ya hizo nyama na wakaenda kuzizika juu ya kaburi la baba.sasa ndugu yangu ambaye ndie tulimuona kama tengemeo ya nyumba ameanza kupatwa na mambo hatuyaelewi....nikumbuke Kwa maombi....
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 ай бұрын
Chukka namba za katekelaa umtafutee
@faithkavete2673
@faithkavete2673 8 ай бұрын
@@LucyKapinga-fg4dk nisaidie na number yake tafadhali nimtafute tuongee WhatsApp.sijui nizipate wapi number zake.
@amosdaniel4596
@amosdaniel4596 8 ай бұрын
Wewe ndie unatakiwa kufunga n kuvunja hzo mihur y kichaw n utoe sadaks
@faithkavete2673
@faithkavete2673 8 ай бұрын
@@amosdaniel4596 Asante.
@joyprecious8822
@joyprecious8822 8 ай бұрын
Hao sio wachungaji,Hakuna Mchungaji atafanya ibada ya kama hiyo,Hao ni wachawi/waganga wa jadi wanaojificha katika uchungaji,Damu ya Yesu inatosha,.Ibada iliyofanywa kwa kuchija na zukika nyama kaburini ni ya kichawi.Uwe makini na matambiko Kama hayo ni uchawi
@user-gc9ee6ry1c
@user-gc9ee6ry1c 8 ай бұрын
Ubarikiwe pastor
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 8 ай бұрын
Mungu ni mwema❤
@teddymrina2259
@teddymrina2259 8 ай бұрын
I love it!
@failaprince9250
@failaprince9250 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchugaji
@StellahAmudavi-ko2pt
@StellahAmudavi-ko2pt 8 ай бұрын
And I believe that today I've come out of this bondage of poverty curse
@MaulaMpalanzi
@MaulaMpalanzi 2 ай бұрын
Ni Kwa neema tu kuijua sili hii.
@oliverbernad5570
@oliverbernad5570 8 ай бұрын
Kuna sehemu sauti ilikata ,fundi mitambo,kwa siku nyingine
@faithkavete2673
@faithkavete2673 8 ай бұрын
Naomba ushauri Kwa hii mchungaji.👇
@sarahkapange252
@sarahkapange252 8 ай бұрын
baba nikweli kabisa ninaomba maombi nasumbuliwa na vifungo vyalaana niko Msumbiji namungu akubaliki
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 8 ай бұрын
Amen
@annkim2690
@annkim2690 8 ай бұрын
Huyo Mzee alikua na nguvu kweli masaa 12 shambani
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 8 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥💪
@StellahAmudavi-ko2pt
@StellahAmudavi-ko2pt 8 ай бұрын
Aki huyu ni Mimi imagine I earn ksh 80k per month just the moment I receive the salary zinaishia hospitalini lakini nikiwa Sina pesa hapana mgonjwa
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 8 ай бұрын
Ha ha haaaaa! Mchungaji unaimba km ulishakuwa mwanakyaya hyo bhana
@DoricEverist
@DoricEverist 8 ай бұрын
Mchungaji kwaiyo miti shamba ni dhambi hatakama aliyeichimba sio mnganga wa kienyeji
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 8 ай бұрын
Ameeeeeeeen katika jina la YESU KRISTO
@gilbertbarandereka8653
@gilbertbarandereka8653 8 ай бұрын
anatenda wema
@richardmurokozi7875
@richardmurokozi7875 8 ай бұрын
Sijui Mimi Tatizo Langu Litapona Lini La Kufuatwa Na Inzi Kila Mahali Ninapokuwa Maana Nimemwambia Pastor Wangu Akaniambia inabidi Nifanyiwe Maombi ya ujazo Wa Roho Mtakatifu, Na Tatizo Litakimbia Lenyewe , Kwa Mwenye Kuweza Kunisaidia Naomba Anisaidie
@amosdaniel4596
@amosdaniel4596 8 ай бұрын
Sio kwel cha msingu fata maelekezo tu y katekrla
@richardmurokozi7875
@richardmurokozi7875 8 ай бұрын
Siyo maelekezo ya katekera ni Mchungaji Wangu
@BerylSeer1
@BerylSeer1 8 ай бұрын
Uchawi, funguliwa kwa Jina LA Yesu Christo... Enda kwa kanisa LA pastor Peter karimi
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 8 ай бұрын
Mungu ni yeye yule jana ,leo na hata milele, hivyo amini hata sasa anaponya kwa sababu yeye hashindwi na lolote mpendwa.Amini tu!na pokea kwa jina la YESU KRISTO
@user-ke1yn4lg7k
@user-ke1yn4lg7k 7 ай бұрын
Fuata mahubiri ya huyu mtumishi kwenye mafunzo ya kuivunja mihuri ya kichawa, utapata Hilo tatizo ulonalo, ambapo kulingana na mafunzo yake alisema kuwa ni mihuri wa maumbo na utajua jinsi ya kuuvunja huo mihuri wa kichawi na uwe free kwa jina la Yesu kristo aliye hai.
@failaprince9250
@failaprince9250 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchugaji
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,6 МЛН
UMEAMUA KUMILIKI HAMMER UWE KARIBU NA VITUO VYA MAFUTA "PASTOR MGOGO
31:50
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 12 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 366 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН