BIBI AIBIWA LAKI TATU NA NUSU ''AMTAJA MJUKUU NA MTOTO WAKE''

  Рет қаралды 160,524

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 372
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Mzazi hauwi mtoto Ila mtoto anauwa mzazi mungu atupe mwisho mwema.
@samoy5481
@samoy5481 4 жыл бұрын
Point kabsa
@sharifamfaume9342
@sharifamfaume9342 4 жыл бұрын
Sana kabisa
@christayohanayohanangepe1625
@christayohanayohanangepe1625 4 жыл бұрын
Radhia mbwana amina amina
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Kweli
@oyay2821
@oyay2821 4 жыл бұрын
Amin
@shakila3982
@shakila3982 4 жыл бұрын
Mama hawezi singizia mtoto hivi vyote, huyu Anglican ni ukweli kamfukuza mamake, lakini Mwenyezi Mungu amemuaibisha, huyu bibi hafai kufanya kazi, mnafaa mumlee vizuri hili mpate baraka.
@joycemeki3176
@joycemeki3176 3 жыл бұрын
Kweli kabisa mwaya hawaijuwi sadmani yamama wangejua ss wengene tuna mlilia mama mungu awasamehe bure🙏🙏
@eddywinnie7539
@eddywinnie7539 4 жыл бұрын
Tunaawatamani bibi zetu warudi kuishi hii Dunia nyinyi wenu mnawatesa jamani 😭😭😭😭
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Kiswahili cha huyu bibi kimenivutia sana. Yaani hii ndio lugha nguri.
@officialifruit_x7549
@officialifruit_x7549 4 жыл бұрын
Uledi Mtumwa Kiswahili chake bibi kama cha senga
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
@@officialifruit_x7549 kimenyooka sawa.
@lucyshula5669
@lucyshula5669 4 жыл бұрын
Mlee mama yako ww watu wanamlilia mama hata Kama anakukosea mama yako huyo
@lucyshula5669
@lucyshula5669 4 жыл бұрын
Eti ukamuonea huruma sio huruma ni wajib wako huo
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 4 жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa, mungu akubariki sana. Huo ndo uongozi
@mahijamasukuzi9246
@mahijamasukuzi9246 4 жыл бұрын
Itakua wamemuibia kweli,ila wasije wakaanza kumnyanyasa kisa kashtaki
@fransisshirima4987
@fransisshirima4987 4 жыл бұрын
Bibi Atakuwa kaibiwa kweli mbona bibi anaongea vzr tu
@keisal3171
@keisal3171 4 жыл бұрын
Eeeeeee hlf wanajifanyanwakali ati
@shukurulusasi2572
@shukurulusasi2572 4 жыл бұрын
Huyo bint yake kamfukuza kweli hamuoni macho makavu kabisaa?
@shukurulusasi2572
@shukurulusasi2572 4 жыл бұрын
Na huyo mjukuu kweli kamuibia amlipe Bibi hela yake
@officialifruit_x7549
@officialifruit_x7549 4 жыл бұрын
Bibi yuko sahihi na hajachanganyikiwa kabisa ila wao ndio wanamuona kakorogeka ila bibi yuko very smart
@samsonmaliga3966
@samsonmaliga3966 4 жыл бұрын
mama na mtoto wake lao moja.bb kaibiwa kweli mheshimiwa
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
Uzee kweli kazi kazi Mungu tuhurumie
@sharoombay8997
@sharoombay8997 4 жыл бұрын
Kama hujawai ishi na wazee utaamini huu uongo wa huyu bibi. Dada Angelika Mungu atakusaidia. Mvumilie huyo ni mamaako, Mungu atakubarikiiii.
@rastokapunji7191
@rastokapunji7191 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Ali Hapi kazi nzuri tu.Nifikapo Iringa ningependa kuhudhuria mojawapo ya mikutano maana ina raha yake
@utapatatabusanautanyooka2600
@utapatatabusanautanyooka2600 4 жыл бұрын
Mama Leo hii waweza kumlipa mamaako uwezo huo uko nao umesahau yote Kama umesahau siujikumbushe uchugu uliopata wakat wakuzaa ongea namama ako vizur asife aka kuaachia laaana
@ernestlaiza3306
@ernestlaiza3306 4 жыл бұрын
Broo huyu bibi kisirani uuuu
@seciliabalama5533
@seciliabalama5533 4 жыл бұрын
Pili Omar huyu bibi ndio tatizo
@lovenessshekiiyo8567
@lovenessshekiiyo8567 4 жыл бұрын
Bibi kaibiwa kweli maana anavyoongea anaongea kwa kujiamini na maelezo yake yamenyooka hapindishi wamemwibia bibi na wanamtesa pia anajishuhurisha kujipatia kipato bado wanamwibia mungu ana waona kwa kweli .
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Mungu atasema kwako kijana kwa kazi nzuri sana ya kusaidia wanyonge jamani.
@phydiliahmwagodi2254
@phydiliahmwagodi2254 4 жыл бұрын
Elewa mama umri imemuzidi huwa wanarudi kama watoto na kusahau maneno. Watching from Nairobi Kenya.
@sadikkhamis2547
@sadikkhamis2547 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mh mkuu wa mkoa
@nailaomar2587
@nailaomar2587 4 жыл бұрын
Mjukuu kachukuwa pesa mama alivosikia kesi itapelekwa police kasema atalipa deni subhanaallah kamuogopea mwanawe kufungwa haki ya mtu haipotei muenzi mama ako upate baraka pesa uchafu wa dunia
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
We we mjukuu jaribu kuchunguza taratibu unaweza ukajuwa labda kaingia mtu hapo nyinyi hamjui ndio mnaingia lawamani poleni
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa,Sasa siyo kukaa ofisini,kazi ni wilaya kwa wilaya,Kijiji kwa Kijiji,mtaa kwa mtaa heeee HAPA KAZI TU
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Ohoo ishi hapa kazi tu
@lucyshula5669
@lucyshula5669 4 жыл бұрын
Ungeomba tu ulichukua ww mwee bibi mzee analima alaf mnachukulia
@rachellaizer941
@rachellaizer941 4 жыл бұрын
Huyo bibi ni mzee wew dada acha ubaya huyo ni Mamako muacheni Mungu atawalaani mjute muacheni mtumikieni mpaka Mungu atakapompumzisha msifanyie roho Mbaya
@sifasanga7866
@sifasanga7866 3 жыл бұрын
Huyu bibi akiri imeanza kurudi utotoni. Naamini Hawa hawajaiba
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 4 жыл бұрын
Huyu bibi ana akili timamu wamemuibiaa pesa zake . Wakesha wanamnyanyasa huyu mtoto anaonesha kua mkorofi na mjukuu kapiga hela huyo anajitetea tuu hapo. Eti anamwita huyo.bibi shenzi wewe huyo ni mama yako anaadhirika na kauli zake pia ataondoka mitoto mengine mishenzi kweli
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Kumpa nyumba akae sitatizo ASA pesa yake imeenda wp jmn mungu anawaona jmn kuzulumu wazee ni laana mbaya kuliko maelezo.
@annamwangaza605
@annamwangaza605 4 жыл бұрын
Mpeni mama pesa yake anajitambua Kukaa nae sio tatizo tatizo kumwibia
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Seleman Hemedi wameila pesa bibi huyu nimchapa kaz Ila wanamrudisha nyuma.
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Anna Mwangaza hii nyumba ndoinaowap kibur ndomana wanamfanyia ukali
@samoy5481
@samoy5481 4 жыл бұрын
Huyo mjukuu inaonekana aliipiga hela ya Bibi yake. Maana anajiumauma sana
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
Anaweza kuwa hakuchukua lkn anaogopa kuongea mbele ya mh si unajua kijijin
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 жыл бұрын
Jamani kuishi na tubibi ni kazi kweli inataka subra jamani
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Kabisaa
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 4 жыл бұрын
Kabisa Aiseeee
@mariummchuma6453
@mariummchuma6453 4 жыл бұрын
Unaposema tubibi jua na wewe nihapohapo utakua hivohivo
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 3 жыл бұрын
Kukaa na mamayataka subra
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 жыл бұрын
Smart granny i like her courage
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Ww huyo bibi anashi da Sema imekua mtiani kesi kama hizo zipo sana mjukuu a naiba kuku pesa. Za bibi yake alafu mama akiambiwa anakazilika anamwambia mamake kama una ibiwa ondoka hapa
@leylahley3542
@leylahley3542 4 жыл бұрын
Sure
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Kweli
@cockshublakisoma3655
@cockshublakisoma3655 4 жыл бұрын
Kuishi na wazee kama hawa ni hekima inahitajika sana...
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Kweli mumy na ukiweza kuishi nae kwawema nibaraka tele
@revinajimson5232
@revinajimson5232 4 жыл бұрын
sanaa,wanasumbua sanaa
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Mtu akizeka anakuwa kama mtoto yaani n Bibi yangu mwenyewe tunamlea kwa mbinde sana ukimkataza kulima yeye anataka kwenda shambani maneno anayoongea hayaeleweki, mara atakusa akuulize wewe nani mara umekuja lini hapa kwangu yaani wazee wana shida jamani tuwavumilie tu ni Wazazi wetu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
@@noxlosingida2369 kweli mtu akizeeka anakuwaga nashida
@sulaimanafrican8134
@sulaimanafrican8134 4 жыл бұрын
Mvumilie tu bibi
@estherjoachim9845
@estherjoachim9845 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 achen kutunyanyasia bibi zetu ..
@martindaudi8043
@martindaudi8043 4 жыл бұрын
Mmh
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f 4 ай бұрын
Mtoto mjinga kweli kweli navo mpenda mama yangu nauzee wake adi miguu namkanda nalala karibu Yake Adi raha nikienda kumtembelea eti leo nimnyanyase labda niwe chizi mtoto mjinga uyo 😂
@anthonyjoseph4979
@anthonyjoseph4979 4 жыл бұрын
Bibi Amekomaa ameibiwa Duuuuuuu..hahahahahaha
@ladiatsnzania4433
@ladiatsnzania4433 4 жыл бұрын
Kukaa na wazee jaman yataka moyo jmn mimi bibi yangu alikuwa ananisusia chakula
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Yataka subra haswa
@angelmhina5072
@angelmhina5072 4 жыл бұрын
Kwakwel akili zao zinarudi nyuma n uvumiliv tu
@joramnunu1449
@joramnunu1449 4 жыл бұрын
😂😂😂
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 жыл бұрын
Ladia Tsnzania huwa wanakuwa kama watoto lzm umvumilie.
@janekikoti2179
@janekikoti2179 4 жыл бұрын
@@radhiambwana8787 kabsa ni kazi sana kukaa na wazee kama hawa
@asnathasannhasannsalumshab327
@asnathasannhasannsalumshab327 4 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema na wazaz wet
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wewe ni mtumishi wa mungu kwa kuwaokoa hio familia hii kama kweli wamechukua watakufa kweli laana nimbaya
@futamathias8479
@futamathias8479 4 жыл бұрын
Jamani jamani mnamtendea hivyo mama huyo!!!! Mh waheshimu baba na mama mpate hero duniani na Sikh za kuishi ziongezwe
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Jamani hapo kajamtu anaekujuweni vizuri kawaviziya hampo kafunguwa kachukuwa pesazabibi ilimgombane nakuaibishana yupo mtuhapo mgombanishi poleni sana
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
utazipatata.wapi? ww mama umechukuwa hizo pesa unataka kurudisha badala ya kusikia polisi.
@yonahmbengale4156
@yonahmbengale4156 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa kuwa na busara, kesi kama hizo si za kuamua kwenye mkutano, na wewe si hakimu bali mpatanishi , sasa mbele za mkutano unaamua nini? Tumia akili sawasawa, waite faragha uwapatanishe, acha sifa za hovyo.
@aishawapalila8622
@aishawapalila8622 9 ай бұрын
daaa mungu nihurumie namkumbuka bibi yangu ereni salwiba kifoo hik jamani mwee 🎉
@sudymgeni701
@sudymgeni701 4 жыл бұрын
Wazee bana kazi kweli.mlipe tu akana jinsi.
@abubakarikisuju5374
@abubakarikisuju5374 4 жыл бұрын
Kwani wewe mkuu wa mkoa"umeshindwa kuonesha mfano kama mh.Rais"si ungeilipa wewe tu
@rahelgika3870
@rahelgika3870 4 жыл бұрын
Makorokoro😂😂😂😂 nacheka ingawa c mazuri.
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 4 жыл бұрын
Yani wewe kama mimi nacheka kama mazuri eti baada ya kuhuzunika mimi nacheka eti
@oiiii3898
@oiiii3898 4 жыл бұрын
Huyu bibi yupo na uhakika na kila anachisema na ana akili ya kuzungumza
@ernestlaiza3306
@ernestlaiza3306 4 жыл бұрын
mungu niepuahe familia kama hii duh huyu bibi ni hatar
@leonardsimon2148
@leonardsimon2148 4 жыл бұрын
Hizi ndo hekaya za Iringa😂😂😂
@galaxe4835
@galaxe4835 4 жыл бұрын
Kwakina MPULULE huko😃😃😃😃
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@samiramadenge953
@samiramadenge953 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 4 жыл бұрын
Huyu kijana kachukua kweli izo hela maelezo ya bibi yamenyooka ila mama anamuendekeza mtoto eti ntamlipa bibi
@queenhusna204
@queenhusna204 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa uyu kijana kachukua bibi yupo makini uyo
@swebemwalugala6871
@swebemwalugala6871 4 жыл бұрын
Jamani nimemkumbuka bibi yangu arisema nimeokota bunda rahera mama enu amenibia
@inongeinongee8289
@inongeinongee8289 4 жыл бұрын
o bibi yupo sahihii wamemuibia kweli huyo mtoto wake chuki kwa mamaake inaonyesha machoni kabisa
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Ndio Mimi nimepitia huko Sanaa kwahiyo Bibi kaibiwa haswa
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Jaman kweli kama n kweli wamemuibia huyu bibi Mungu ashuhulike nao
@madinamahuba
@madinamahuba Жыл бұрын
Hujawahi kukaa nawazee
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Siez kuwatetea hawa kaka na mama kutakuw kuna mtu aliingia akachukua hao wangechukua wangelipa maan hiyo ni aibu na huyo bibi anaeataj hao vile ana kaa nao
@alutoolifestyle9319
@alutoolifestyle9319 4 жыл бұрын
Inawezekana aliibiwa kweli lakini ndo hivo,uzee pia unachangia.usimchukie dada huyo ni mama yako .pole
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Kuna aliibiwa zaidi ya laki 7 na mjukuu wa kike. Kuna bibi wanateseka sana.
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 жыл бұрын
huyu mama ampendi mama ake eti huyu bibi wakati mama ake wa kumzaa anaoenesha tu awampendi wanao kama msumbufu wakati mwenyewe anafanya ya kulima mwenyewe jamani eti nitaondoka nimuachie nyumba jamani
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 4 жыл бұрын
Jaman tuwale hawa waze kama walivo tulea jaman
@hawa-luumiwrty3144
@hawa-luumiwrty3144 4 жыл бұрын
Nime Muoneya- Huruma Bibi
@otavinamsigala7004
@otavinamsigala7004 4 жыл бұрын
Mungu tupe neema anjelika usiwe na hasira hata yeye ulikuwa unamkosea ni uzeee tu pole Dada mtunze Mama upate radhi yake ngueliwe munuve wima rusungu nzao
@furahanyamba371
@furahanyamba371 4 жыл бұрын
Jamani tumeishi naakina bibi msisingizie uzee Akina bibi wako makini hasa hawa wafanyabiashara
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 4 жыл бұрын
Hata mm nakubaliana na ww huyu co mzee wa kupoteza kumbukumbu
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Maskin uyobibi😭😭😭😭
@mercynamusia622
@mercynamusia622 4 жыл бұрын
I think the old 🧓 woman she's saying the truth
@lissamsalu2179
@lissamsalu2179 4 жыл бұрын
Hahahahhah nikagutuka
@paradisefelix1218
@paradisefelix1218 4 жыл бұрын
Really Mercy?
@sabrinaislam4200
@sabrinaislam4200 4 жыл бұрын
Kachukuwa kweli bibi yuko sahihi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Bibi anamtesa mtoto wake aisee
@vumiliabakari6050
@vumiliabakari6050 3 жыл бұрын
Mama roho mbaya
@namwanjemariah1485
@namwanjemariah1485 4 жыл бұрын
Wamama wa kihehee hehe mtihani
@zillytash693
@zillytash693 4 жыл бұрын
Bibi yuko kweli kabisa kwa mtazamo wangu
@consolatablasi6212
@consolatablasi6212 4 жыл бұрын
Wamepiga hela ya bibi
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
ww jifunze kuongea huyo bibi sio unamuonea huruma bali umtunze kwa sababu ameanza kumzaa mama ako halafu ukazaliwa ww na yy akakulea.
@salamakombo3257
@salamakombo3257 4 жыл бұрын
Sawa sawa
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 4 жыл бұрын
Ni kweli wazee kama hawa huwa ni shida ila kwa maelezo ya huyu bibi kunakitu hapo wanamfanyia
@babyhussein6758
@babyhussein6758 4 жыл бұрын
Kikubwa wamstili mama yao jamani mama ni nuru hata awe namapungufu wahitaji kumvumilia inaumiza 😥
@fatumahirbotuke1663
@fatumahirbotuke1663 4 жыл бұрын
Uchungu wa mama ajuae ni mwenye ameondokewa na mama 😢 😢
@saidabdullah7273
@saidabdullah7273 4 жыл бұрын
Muheshimiwa muwaangalie hao wazee kuishi nao hawaishi visa lkn bibi anaonesha anamatunzo mazuri tu... mara nyingi wazee wanawachukia wanaokaa nao na kuwapa huduma..bibi anamatatizo pia
@piushappyness226
@piushappyness226 4 жыл бұрын
Hahahahha Bibi kapigwa
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Huyu Bibi hasemi uongo Ila wanamtaka Kwa sababu ya pesa zake na akirudi ndani watamkomesha kwa mateso kwani hakuna mtu wa kuona yatakayotokea.
@lilsome6331
@lilsome6331 4 жыл бұрын
Jamani uyo bb Hana uzee wakupoteza kumbukumbu izo hela zimechukuliw kweli .
@joachimjjoseph8863
@joachimjjoseph8863 4 жыл бұрын
Wameiba..Ukitazama mpangilio wa maneno hayo kwa kina Utagundua.
@sameeraidd2109
@sameeraidd2109 4 жыл бұрын
Bibi atakua Kuna aina ya maisha ya manyanyaso anayoishi ikiwa ni pamoja na kupuuzwa. Wazee niwakuthaminiwa Sana Kama watoto .
@sameeraidd2109
@sameeraidd2109 4 жыл бұрын
Ila anaeshindwa kueleza vizuli Ila Kuna Mambo anayapitia
@priskasantony5392
@priskasantony5392 4 жыл бұрын
Kumanina zake kijana huyo kama angekuwa mweri aaaaa sukuma ndani angesema tu washampiga bb hao mtu na mma ake ila pesa hiyo itawalani
@janeenock2370
@janeenock2370 4 жыл бұрын
Jaman wewe mama usimtendee hvo mama yako ...hyo no mungu wa pili kwako....pili wewe kaka mheshim bibi yako maana bila yeye usinge kuwa na mama na labda usinge zaliwa....jaman tuwalinde na tuwapende...siku zote mzazi hakose...mama na mwanao msijitafutie laana bureeee
@neemamahusho6193
@neemamahusho6193 4 жыл бұрын
😀😀😀😀jamni bibi huyu pole yake
@sheilahismail2698
@sheilahismail2698 4 жыл бұрын
Nimecheka Kama mazuri😅😅😅😅
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Sheilah Ismail siyo ya kucheka acha tu
@anithagilibert6808
@anithagilibert6808 4 жыл бұрын
Jamani hizo Hera wamazichukua Mama Na mtoto wake nawasipo zirudisha laana itawasumbua sana loooo!!!!
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 4 жыл бұрын
Mungu anaejua yaliyofichika sirini ndie ajuae yote,siku moja yatafichuka.
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r 8 ай бұрын
Ela zake
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Uyu bibi ni mkweri mwanae kaibaa
@evajohn7001
@evajohn7001 4 жыл бұрын
Huyo mama hamueshimu kabisa mama yake ila mama japo ni mzee ila anajitafutia bila tegemezi mungu yupo .
@roneyvangajanga1426
@roneyvangajanga1426 4 жыл бұрын
Bibi wachaaaa weeeeeee weeeeee weeeeeee weweeeee, dar mambo ya hela bib unaakaza sana pesa ukatumie wap hizo pesaa dah
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 4 жыл бұрын
Halafu amefanana kweli na Mama yake...halafu wabibi hawa mara nyingine wanasemaga kitu kisichokuwa cha kweli..yaani ukabaki unashangaa.
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
Jamanichangeni kidogo kidogo mumlipe muishi vizuri. Dada
@elizabethebambo6286
@elizabethebambo6286 4 жыл бұрын
Bibi kaibiwaaa kweliiii
@wendyeliezer6419
@wendyeliezer6419 4 жыл бұрын
Kweli kabisa kaibiwa
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Bibi kaharibu pakulala
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
😀 😀
@maulidibulaheze8723
@maulidibulaheze8723 4 жыл бұрын
Hahaha
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Mungu tusaidie
@yahyadaudi7734
@yahyadaudi7734 3 жыл бұрын
Jamani hii familia ni yetu.huyu Kijana toka utoto wake anaishi na bibi yake.wanalima wote viazi.huyu bibi ni MTU mzima.Kwa jinsi alivyo mama Msafiri hawezi kumuibia mama yake jamani.amemlea mwenyewe .utu uzima huo.
@lucymacha1853
@lucymacha1853 4 жыл бұрын
Mmechukua bibi anajieleza vizuri
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Ila hapo Kuna shida uzee mbaya alisema Bibi angu Mimi mbona Bibi angu nae alikuwa anaibiwa wazee vihela vyao tunakulaga Ila hapo mbele ya kadamnasi hawawezi kusema kweli
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
Yaani wewe dada mungu anakuona
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Pole bibi
@praxedadominic9864
@praxedadominic9864 4 жыл бұрын
Mlipeni bibi ela zake 😩😩😩😩
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 жыл бұрын
nimeumia sana kwa huyu bibi yani roho inaniuma sana yani daaah pole bibi huyu mama anamfichia tu mwanae mama kitu chengine jamani tunatamani mama zetu wange kuwa hai arafu bibi ana akili zake vizuri
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Wewe dada una roho.mbaya umlipe alafu uondoke umuache peke.yake. kweli mnamfukuza na mmeiba pesa zake.
@aminafesali5817
@aminafesali5817 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂bibi yuko sahihi warejeshe pesa za bibi
@consolatablasi6212
@consolatablasi6212 4 жыл бұрын
Haswaaa
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 жыл бұрын
Ukitaka kujua Kama hao watu hawana upendo kwa mama na Bibi yao angalia kwa utu uzima huo anafanya kulima Hadi leo kweli huyu mama kashindwa kumlea mama ake
@sadikisadikikalinga3630
@sadikisadikikalinga3630 4 жыл бұрын
Bibi anajieliza vzurii daah
@asifamwenga5310
@asifamwenga5310 4 жыл бұрын
Mzazi amekuvumilia mengi jtahdi kumvumilia Kama alivyokuvumilia
@thomasysanga2420
@thomasysanga2420 4 жыл бұрын
Wahehe bwana
@mwawezajemedari
@mwawezajemedari Жыл бұрын
Ammaamam inaweZekana kwamaneno ya bibi mwanzo nikaona pengine niuzee2 kumbe yupo siriasi😲
@silyadamian5708
@silyadamian5708 4 жыл бұрын
Some time wakizeeka hurudi utotoni mm nlikuwa na bibiyangu akimaliza kula anapiga nduru et hajala au anataja mtu kweny familia na kusema anamtenga au amefariki ,,,,,,dunia mapito.
''PENGO'' AKIONA CHA MOTO, ''LETA HIYO BARUA HAPA''
24:49
Millard Ayo
Рет қаралды 98 М.
BIBI ALIETUMIA 'MAAJABU' KUZUIA BASI ARUSHA AHOJIWA
10:53
Millard Ayo
Рет қаралды 766 М.
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 46 МЛН
Duh! Barakah Magufuli AMVUNJA MBAVU Rais MAGUFULI, Amwagiwa PESA..
5:08
Global TV Online
Рет қаралды 586 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
UVCCM WACHARUKA "GAMBO AMETUDHALILISHA"
12:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 29 М.
Haha😂 Power💪 #trending #funny #viral #shorts
00:18
Reaction Station TV
Рет қаралды 16 МЛН