No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 2,939

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Takwimu zinaonyesha kwamba kwa kipindi muongo mmoja serikali ya Tanzania kupitia mamlaka ya EPZA iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ilifanya uwekezaji wa jumla ya Tsh Bil 35 katika kituo cha Benjamini Mkapa Processing Zone kilichopo Mabibo External Jijini Dar es Salaam.
Uwekezaji huu ulilenga kuchochea kiwango cha mauzo ya bidhaa zilizoongezwa thamani kutoka Tanzania katika mataifa ya Nje.
Ni uwekezaji ambao matokeo yake yamekua na tija kiasi cha kutengeneza jumla ya Ajira Rasmi 3117 katika kituo hiko, sambamba na kuchochea kiwango cha uuzaji bidhaa nje wenye kufikia hadi Dola za Kimarekani Milioni 122 kwa mwaka na kuvutia mitaji yenye thamani ya Zaidi ya Million 62.
Hii ni Exclusive Interview na Mr. John Maziku, Mkurugenzi wa Uwekezaji na Promotion wa EPZA.
_______________________________________________________________________________
FOR PRODUCTION AND PROMOTION INQUIRY
T: +255 222 780 366
M: +255 782 094 628
P. O. Box 33775
Plot No. 26 - Block C
Mikocheni B, Dar es Salaam Tanzania
_______________________________________________________________________________
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 8
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 4 жыл бұрын
Magufuli jembe fanyamambo Tanzania Yetu Ya viwanda watanzania wote Tuishio South Africa tutudi bongo
@surusuru1994
@surusuru1994 2 жыл бұрын
Kabisa bro🔥🔥🔥🔥👏👏
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 4 жыл бұрын
Acheni Magufuli Aendelee kuwa Rais Wetu siunaona Mambo Ya viwanda jamani , muda Si mrefu hata wa Malawi wataacha kwenda south Africa kutafuta Kazi waanza kuulizia Kali kama bongo Kazi zinapatikana ,Wacongo bongo Ndiyo ltakuwa kama Nyumbani kwao
@AIG7187
@AIG7187 4 жыл бұрын
Our Tanzania #Africa #World Vijana twenzetu
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 4 жыл бұрын
Rais gani Umeshawahi kumsikia Anasema nichagueni nitaifanya Tanzania lwe kama Ulaya, JPM Wewe Ni Rais mzalendo
@mavuzijiwe6805
@mavuzijiwe6805 4 жыл бұрын
Hayo Maeneo ya kiwanda utafikiri south Africa
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 4 жыл бұрын
Vijana tuchangamkie fursa. Tuache kulalamika tu. Ukipoteza muda utakuta mwana sio wako
@Burner_Acc
@Burner_Acc 4 жыл бұрын
Sound quality mbovu hasa ya host.
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 1]
35:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
JKLIVE | Lee Njiru: Ears of Power [Part 2]
48:18
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,1 М.
Gavana Kawira Mwangaza abanduliwa
5:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 92 М.
Safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020
22:47
Xtreme Media
Рет қаралды 1,1 М.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 19 М.