Magoli | Azam FC 4-1 Namungo FC | CRDB Bank Federation Cup 03/05/2024

  Рет қаралды 39,614

Azam TV

Azam TV

17 күн бұрын

Magoli matatu ndani ya dakika 20....lakini mwisho wa game ikawa ni 4-1, Azam FC wakiwatupa nje ya mashindano Namungo FC katika mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho la CRDB Bank uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi.
Wafungaji kwenye mchezo huu ni Kipre Junior dakika ya 10, Iddy Nado dakika ya 15, Feisal Salum dakika ya 19 na Gibril Sillah dakika ya 52, huku goli la kufutia machozi likifungwa na Ayoub Semtawa dakika ya 45+2.
Haya hapa magoli yote matano....

Пікірлер: 27
@mossesgadiye2200
@mossesgadiye2200 14 күн бұрын
Aliyeona msindo alichomfanyia manyanya baada ya fei kufunga gonga likes hapa
@mwakdesign_45
@mwakdesign_45 15 күн бұрын
Hii ndiyo azam fc 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 15 күн бұрын
Azam ni Moto 🔥🔥🔥
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 15 күн бұрын
Azam ni Moto 🔥🔥🔥
@joxamorekarisma
@joxamorekarisma 15 күн бұрын
Gibril sillah🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇🎇
@jossalkwitega9810
@jossalkwitega9810 14 күн бұрын
Asa msindo ndo amefanya nn wakati fei alivofunga goli la tatu😂😂😂😂😂 football with emotions 🔥🔥
@nelsonkawina8809
@nelsonkawina8809 14 күн бұрын
Uyu kipa atakua dida shaibu sio dida munish
@hvoicetz
@hvoicetz 14 күн бұрын
Kama unaitaji dube arudi azam weka like yako hapa❤
@ferouzfernandes3162
@ferouzfernandes3162 15 күн бұрын
Wa kwanza
@user-mc2oy5zu2n
@user-mc2oy5zu2n 15 күн бұрын
Tumefurai wanaazam wa ushindi mnono na tumefurai zaid beki wetu Fuentes Mendoza kw Assit yake
@officialsalim3955
@officialsalim3955 15 күн бұрын
Azam Tv Sinema Zetu. Tunaomba Tamthilia za Kiswahili zioneshwe kwa mda wa lisali 1 na sio dakika 30
@mrh2812
@mrh2812 15 күн бұрын
Ukitaka hivyo tafta dstv
@jaybee3429
@jaybee3429 15 күн бұрын
Sas wew huu ni mpira wew umeanza mambo ya movie.. are you mentally fit??
@user-ey4tb1sq7p
@user-ey4tb1sq7p 15 күн бұрын
Pascal msind mchokoz
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 14 күн бұрын
Yanga no 1. Azam no 2. Simba 3. Kwa msimu huu.
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 15 күн бұрын
hivi kuna watu wanashabikia Namungo😃😃
@user-bv7lx6vj8u
@user-bv7lx6vj8u 15 күн бұрын
Nipo mm,umesikia😊😊😊
@user-mu8ok5sw3w
@user-mu8ok5sw3w 15 күн бұрын
Kipa wa namungo achunguzwe vizuri kuna shida kama sio bahasha
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 15 күн бұрын
Huyu anayetangaza mechi ndo msemaji wa timu ya azam
@Kingsunnymusic
@Kingsunnymusic 15 күн бұрын
Naiona talehe 9 zuwena anakufa kifo cha mende
@maxpesa8811
@maxpesa8811 15 күн бұрын
Azam admin wenu sijui kachoka namungo kapata gori moja lakn nashangaa kaandika 4-0😄😄😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 15 күн бұрын
Duuh au wew kipofu? Au utakuwa umechanganikiwa uingi wa magoli ya AZAM?😂😂 mbona limo tu? Tazama tena
@ZaidyMussa-cz6ok
@ZaidyMussa-cz6ok 14 күн бұрын
Wametumia nguvu nying mech ya Simba mbwa hao
@amonhussein670
@amonhussein670 15 күн бұрын
Halafu aalifungwa na makolo
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 15 күн бұрын
Siku Ile walipanga bwana Maana Azam hawakucheza kabisa mpira Siku Ile
@saalimnyange4901
@saalimnyange4901 15 күн бұрын
😂😂...msindo amefanyaje palee....😂👐kijana wa hovyo kabis huyu
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 15 күн бұрын
Daaah 😂😂😂😂 anacheza kwa madoido
😱СНЯЛ СУПЕР КОТА НА КАМЕРУ⁉
00:37
OMG DEN
Рет қаралды 1,8 МЛН
когда одна дома // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 12 МЛН
【獨生子的日常】让小奶猫也体验一把鬼打墙#小奶喵 #铲屎官的乐趣
00:12
“獨生子的日常”YouTube官方頻道
Рет қаралды 110 МЛН
jua kali Leo usiku - Jumamosi 18/05/2024 HD (MaishaMagicBongo)
23:31
Theking Budwaka
Рет қаралды 29 М.
KIMEUMANAAA!!!..MBOWE Amchana Profesa KABUDI Hadi AIBUUU!!!
14:04
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 11 М.
Tragic Moments In Football 😭 #2
0:35
FMOOOD
Рет қаралды 29 МЛН
Muhammad Ali vs Chuck Wepner #shorts
1:00
FRIZALZ
Рет қаралды 4,6 МЛН
Mbappe vs Fastest Defenders in Football🥵⚡️
0:25
SkillerHome
Рет қаралды 12 МЛН
Xoakin Bakli g’alabadan so’ng Konir Makgregorni janga chorladi
0:24
Хук Джервонты #boxing
0:17
Эффект MMA
Рет қаралды 2,1 МЛН