Magufuli - Kama kuna kiongozi yeyote maagizo yangu yanamkwamisha aache kazi, atoa kauli ya mwisho

  Рет қаралды 147,368

Dar24 Media

Dar24 Media

7 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ameonya kuwa kama kuna kiongozi yeyote ambaye hayupo tayari kutekeleza maagizo yake aachie ngazi mara moja na siyo kuendelea kufanya kazi kinyume na maagizo yake.
Kauli hiyo ya Rais Magufuli ni kufuatia baadhi ya Wakuu wa mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuendelea kuwasumbua wafanya biashara wadogo kwa kuwahamisha maeneo yao wanayofanyia bishara na kuwalekezea maeneo ambayo hayajaandaliwa kwa ajili yao.
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 256
@isaacandrew1039
@isaacandrew1039 2 жыл бұрын
Duuuh!! Aisee huyu rais wetu alikuwa mtu aisee!! Cjuw kwako mwenzangu!!!
@nizzogallaxy8086
@nizzogallaxy8086 2 жыл бұрын
Kama kuna kura zakupga ili mtu arudshwe duniani Tanzania ingesimama naingepiga kura hizzo urudi. wewe zaidi nazaidi Mungu akulinde na adhabu zote zakabuini.
@globalctvonline1562
@globalctvonline1562 6 жыл бұрын
ubarikiwe sana mh' wetu mie nakukubali sana 99% sema ukweli toka moyo. naimani mungu yuko pamoja na wewe mh'
@princekingson2888
@princekingson2888 2 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza NASAHA zako! Na hua zinanipa ujasiri mkubwa sana
@dianamkita6571
@dianamkita6571 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Prince,,hata Mimi kila Mara sichoki kumsikiliza Hayati JPM...
@amirimakorani8335
@amirimakorani8335 2 жыл бұрын
Me pia napenda sana
@muhidinally3753
@muhidinally3753 6 жыл бұрын
Rais wetu tunakuombea kwa Allah akupe Afya njema na Allah akuzidishie huruma kwa wanyonge. Hatuna cha kusema kwa namna unavyotafutia ufumbuzi katika changamoto zinazowahusu wanyonge. Tumekuona Rais kwa mifano jinsi unavyoishi katika kauli na ahadi zako. Kwa kweli tunakuelekezea dua zetu uendelee kututumikia.
@omarikessy2339
@omarikessy2339 6 жыл бұрын
Asante sana Raisi wangu Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na akulinde mimi binafsi nakuombea dua la ulinzi kwa ajili yako.mapolisi mzee wanafanya sisi vijana tunaishi kwa shida Hasa kesi za kubambikiwa hasa za biashara ya unga vijana tunakupenda sana ila ilo la kesi la unga kweli tunaumia
@nyabendasayumwe8514
@nyabendasayumwe8514 2 жыл бұрын
Kwaukweli Magufuli yuko mbinguni.
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 2 жыл бұрын
Huyu mtu alikuwa very intelligent dah !! Kweli wema hwaishi muda mrefu
@kimosamingwa3432
@kimosamingwa3432 2 жыл бұрын
Mungu akuludishe baba
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 2 жыл бұрын
Da! Yaani huyu jamaa anaongea kutoka ndani ya moyo yani, sio siasa. Jambo hili lizingatiwe milele Tanzania, I’m listening while I’m crying. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 2 жыл бұрын
Nakukumbuka daima Baba pumzika kwa amani
@willywaire50
@willywaire50 2 жыл бұрын
This was the true leadership you forever be in our hearts,we loved you Magufuli but God loved you most,,may your soul rest in peace🇹🇿🇰🇪
@gabrielmathias3382
@gabrielmathias3382 2 жыл бұрын
baba alikuwa akiongea unatingisha kichwa kuwa u mkalimu kwa wanyonge kumbe ulikuwa shetani wa kuwanyanyasa masikini mungu anakuona we we ulie dikteta was masikini
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 2 жыл бұрын
MUNGU anakuona bro
@shalomamani2670
@shalomamani2670 6 жыл бұрын
Umenena kweli mheshimiwa Ndiomaana ulipokuja Tunduma ukiwa waziri wa ujenzi baada Yakushuka kwenyegari nakutembea kwa miguu nilikwambia live kuwa wewe ndie raisi wetu ujaye baada ya kikwete kwa kazi nzuri ukiwa waziri WA ujenzi.penda Sana MAGUFULI mm
@nasorohamisi4401
@nasorohamisi4401 2 жыл бұрын
Tulikuelewa sana mkuu,
@chazyshadrack2558
@chazyshadrack2558 2 жыл бұрын
mungu aiweke roho yako mahali pema 👍👍
@isaackayayoo5410
@isaackayayoo5410 6 жыл бұрын
duuu hakika Leo raisi amezungumza ukweli jamani, congratulations to you ma president
@kelvinmulengo8555
@kelvinmulengo8555 2 жыл бұрын
I will always remember you sir your soul rest in peace
@daudhenry913
@daudhenry913 6 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana DR MAGUFULI
@kelvinchacha5557
@kelvinchacha5557 2 жыл бұрын
Leadership is a gift from God 🙏 and he is the one to take it too,,,,,RIP MR.PRESIDENT 🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿
@suleinahassan9925
@suleinahassan9925 2 жыл бұрын
Kweli tutakukumbuka kwa mengi mazuri!
@saidipara4134
@saidipara4134 2 жыл бұрын
Baba lait ungejua hao waliokuzunguka hapo ni majini usingeongea nao.maana yute uliyo ongea hapo wenzako wapepindua pindua hovyo hovyo.
@hamisimkopoka1533
@hamisimkopoka1533 2 жыл бұрын
Daah! Uyu alikua mwamba kwelikweli
@mwambodzemwangongo3884
@mwambodzemwangongo3884 2 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi" ww ulitangulia sisi tuko nyuma..nani anamkubali marehemu gonga like nkuoni 2021
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee wetu MAGUFULI..nafika Mahala namwaga Machozi kwa ajili yako Pumzika salama MAGUFULI
@simonitolya8029
@simonitolya8029 2 жыл бұрын
R.I.P Sir,You will always be remembered,You have been playing the best always😭
@alibinusiyasini9884
@alibinusiyasini9884 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ailaze roho ya huyu mzee mahari pema peponi
@neziaosena6381
@neziaosena6381 2 жыл бұрын
Duh! Kweli mauti imevikwa taji dhidi ya maombi yetu kwako
@rafaeltilia562
@rafaeltilia562 2 жыл бұрын
Aiseee nadhan soon atatokea mwingine kama wew wale ambao walikusema kwa ubaya nadhan sasa wanakukumbuka pumzika kwa aman
@magdalenapeter419
@magdalenapeter419 2 жыл бұрын
Wa kwanza mume wangu alikua hampendi ila leo anasema yule alikua jembe
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 Жыл бұрын
Mungu akupe raha ya milele jpm upumzike kwa aman hakika ungetukomboa sana baba basi tu ni siri kubwa mno iliopo kwenye kifo chako
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 6 жыл бұрын
Mungu,akupe uzima ,Baba ,,,ili tufike pale unapotaka kutufikisha,
@vailethobedi4723
@vailethobedi4723 2 жыл бұрын
Sitachoka kukulilia hayati Magufuli uliongea ya maana sana baba 😭😭😭😭😭😭😭😫😭😭. Ila tunamwachia Mungu kwa yaliyopo sasa.
@feetynanyangwe8599
@feetynanyangwe8599 2 жыл бұрын
Uyu mama alikua mnafiki kwa magu leo kasema awalipi kodi awomachinga sawa mama mungu anakuona
@allymamba8215
@allymamba8215 7 жыл бұрын
Ni Rais tuliopewa na mungu kuwa sauti ya wanyonge.mungu akuzdishie amiri jeshi wetu
@johaashura9958
@johaashura9958 6 жыл бұрын
Mungu asimamie nawe baba yetu yaani kweli Mungu ametuckiza kilio chetu Mungu akupe uimara zaid rais wa Mimi mnyonge love u sana Mr msukuma uko vzur mmno
@ezekiellondrot338
@ezekiellondrot338 6 жыл бұрын
Asante sana Rais wangu kwa Uwongozi wako wa haki, Mungu azidi Kukupa uzima Uwendelee Kutuongoza. Lakini pia Mweshimiwa nikuombe jambo moja?
@ismailmasagasimjilima3319
@ismailmasagasimjilima3319 2 жыл бұрын
Sitochoka kutizama hutuba zako mana nakuelewaga vizur sana malengo uliokua nayo enzi za uhai wako mwenyez mungu akulehem na akupunguzie azabu za kabuli
@matinmwal1622
@matinmwal1622 2 жыл бұрын
You will be remembered for years and years to come. Death is so cruel R.I.P JPM
@williamsadick9157
@williamsadick9157 6 жыл бұрын
Sitakusahau Rais wewe upo sahihi asilimia 100%
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 2 жыл бұрын
Utu, ubinadamu Kama Upo 😂😂😂😂😂 makini Sanaaaaaa
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 6 жыл бұрын
Mungu tunakuomba utulindie huyu rais wetu,anayosema ni kweli kabisa ukikumbuka enzi zile maganzo wachimbaji waliteswa sana na mashamba ni yao. Eti eneo la muwekezaji hii viongozi wabaya ndiyo wanafanya watu waichukie ccm.
@johnkavishe2645
@johnkavishe2645 2 жыл бұрын
Dh Rais wetuu pumzika kwa aman Mungu akupokee vyema😢😰
@manstiko5890
@manstiko5890 2 жыл бұрын
Uyu mama anajifanya anachangia mada kumbe mnafiki mkubwa 😭😭😢
@eugenmgaya6623
@eugenmgaya6623 6 жыл бұрын
Safi sana.....!!!!
@osgentertainmentdancers8924
@osgentertainmentdancers8924 2 жыл бұрын
Safi sana maelekezo ya msingi sana haya mh Rais
@davidmaginga9562
@davidmaginga9562 6 жыл бұрын
Mungu awape nini watanzania Mungu kawapendelea Rais Mwenye Hekima Tunataman awe Rais wa kenya
@tonyi6807
@tonyi6807 2 жыл бұрын
Kaka David maginga...#
@dominickndomba4474
@dominickndomba4474 2 жыл бұрын
Hivi viongozi mlio baki kwanini hamjifunzi toka kwa magufuli wetu?
@peterjohn1969
@peterjohn1969 6 жыл бұрын
Raisi mungu akulinde sikuzote umeonge mpaka nime sikia uchungu moyoni mwanga nauzuni ndani yangu
@evalinnkumbi4139
@evalinnkumbi4139 6 жыл бұрын
mungu akulinde baba.
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 2 жыл бұрын
Kifo chako kime pelekea sis tuteseke 😭😭😭
@ancomagu8531
@ancomagu8531 6 жыл бұрын
Nakuelewa balaaah 😍😍😍😍😍😍😀😀😀😀
@jumaagugu1012
@jumaagugu1012 2 жыл бұрын
Ndio utajua ukitaka kujua tabia ya mtu mpaka apate cheo ama pesa mama samia hapa alikua mnyenyekevu kumbe ni nyoka mkubwa
@zahordida6034
@zahordida6034 2 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢ipo siku mungu atatupa kama weww
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Inshallah
@mkurutomwaipha5241
@mkurutomwaipha5241 2 жыл бұрын
Allah amjalie kauli thabiti na amrehemu amsamehe madhambi ya Siri na dhahiri kiumbe chake amjalie Pepo yake tukufu
@mansourmkanakuta6641
@mansourmkanakuta6641 2 жыл бұрын
Hayatiii Rip president wetu mungu akulaze pema peponi
@josphatbayyo1926
@josphatbayyo1926 6 жыл бұрын
Asantee sana mhe. Rais ww ndiye Rais halali tuliyekutafuta kwa mda mrefu uongoze Taifa letu, Mungu akulinde daima,!!!
@salumramso1657
@salumramso1657 2 жыл бұрын
Inauma Ila bas tu
@simonmartinekombe7031
@simonmartinekombe7031 2 жыл бұрын
Siamin km kwel haupo na cc baba mzazi daaaah.......,,
@peterisaya3863
@peterisaya3863 2 жыл бұрын
Mnayaskia hayo
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie rais wangu magufuli👂👈
@patricklembeli8523
@patricklembeli8523 2 жыл бұрын
Hili jembe arolitoa uhai mungu atashugulika nae ,Kama ni mungu basi tunashukulu kwake mungu ila ila Kama nihujuma za watu wachache kwa faida zao hiiiiiiii
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 2 жыл бұрын
Mama alivyokuw anasikiliza vizuri na kusaport utafikiri anaelewa, kumbe ndo kawa wakwanza kumgeuka na kunyanyasa raia wake😢😢 R.i.p magufuli hakika ulikuwa raisi wa wote😭😭
@mangeo2562
@mangeo2562 2 жыл бұрын
Bi mkubwa mnafiki sana
@masudmuhidini600
@masudmuhidini600 2 жыл бұрын
Huyu mama mdangaji
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 2 жыл бұрын
Mama kwann hufati hizi nyayo za hayati jpm
@horizongroup-tanzania6363
@horizongroup-tanzania6363 2 жыл бұрын
Hakika tulikuhitaji kwa miaka mingi zaidi.! Mungu akulaze mahali pema peponi
@jpocherehani3498
@jpocherehani3498 2 жыл бұрын
Yaani mi sichokagi kumsikiliza mzee wetu Dah, pole kwa kw Tanzania
@Sebastian-to4qd
@Sebastian-to4qd 2 жыл бұрын
R.I.P Tunakukumbuka, najua najua hatutaweza kumpata wa kufanana nawe JPM. Asante kwa Maisha Yako
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
Aiseee mm naumia Sana Ila kazi ya mungu haina makosa
@ramasanyiwa1690
@ramasanyiwa1690 2 жыл бұрын
Daaaa mwamba
@eliakimchaiikobellah358
@eliakimchaiikobellah358 2 жыл бұрын
Daaah utazan mama hakuwa yeye
@dikodikson559
@dikodikson559 2 жыл бұрын
R.I.p my president ❤️❤️❤️❤️❤️
@patricklembeli8523
@patricklembeli8523 2 жыл бұрын
Alimasi inazungumza wakati wa uhai wake
@eliaslenchekee1602
@eliaslenchekee1602 6 жыл бұрын
I support your
@dismasalex5064
@dismasalex5064 6 жыл бұрын
Good. President
@husseinally3681
@husseinally3681 2 жыл бұрын
Daaaa
@shabihasaid5111
@shabihasaid5111 6 жыл бұрын
Asiekuelewa jua KUNA alivyo...
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 2 жыл бұрын
MUNGU wangu sifai kukuuliza maswali, Ila kifo cha MAGUFULI watanzania wanyoge imetuumiza tu Sana, 😭 😭😭😭😭😭😭 kwa uyu RAISI wetu MAGUFULI alitujali Sana watanzania bila ya kutubagua,kero zetu aliyasikiliza vyema,tulimwona Kama roho yako MUNGU ikokwake kutuurumia sisi Waafrica,Mpumzishe kwa Amani Raisi wetu kipenzi chetu MAGUFULI 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏 sitachoka kuziangalia video zako baba JPM
@masigomhoja5182
@masigomhoja5182 6 жыл бұрын
nimekuelewa sana unkle komaa nao hata ukiwa unabadili wakuu wa mikoa kila baada ya mwaka mmoja watakuelewa tuu nadhani makonda alishakusoma toka mwanzo na baadhi ya wakuu wa mikoa lakini wengine bado sana mkuu
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 6 жыл бұрын
Baba.Mungu akukumbuke,daima,
@ngoshanyanda1065
@ngoshanyanda1065 2 жыл бұрын
tutakukumbuka milele watanzania
@ngoshanyanda1065
@ngoshanyanda1065 2 жыл бұрын
umefanya kazi muda mfupi 2 tukakupeda sana ila MUNGU kakupeda zaidi
@mjunimpemuluke7440
@mjunimpemuluke7440 2 жыл бұрын
Sawa baba pumzika kwa aman
@anthonytadeowangao1358
@anthonytadeowangao1358 6 жыл бұрын
baba mimi uwanakukubari sana lakini nikwambie baba vijijini tunateseka sana kama kijiji mabuye kiko wilaya ya missenyi mkoa wa kagera mtendaji anatunyanyasa sana pamoja na diwani mpka tunakosa maendeleo baba fatiria hili hutapa jibu ahsante baba mpendamaendeleo
@bernadphilipo1013
@bernadphilipo1013 2 жыл бұрын
Daar mzee sasa Mama kaanza kuwatimua machingaa
@peterphilipo4152
@peterphilipo4152 2 жыл бұрын
Huyu mama hivi huwa haangalii hizi video
@selinamatola4080
@selinamatola4080 2 жыл бұрын
Ama kweli dunia ni mapito,tunakumiss sana baba yetu kipenzi chetu,kimwil hauko nasi lakini kiroho tuko nawe pumzika kwa amani shujaa wetu,chuma chetu mwamba wetu.
@maheligati2936
@maheligati2936 6 жыл бұрын
watanzania mungu atupe nini? jamani hii ni neema mungu mbariki baba wa wanyonge rais wetu Joseph john pombe magufuri
@amolonyogea8686
@amolonyogea8686 2 жыл бұрын
Mama kasha kugeuka kwa Sasa pumzika kwa amani JPM
@thekingcr7365
@thekingcr7365 2 жыл бұрын
Kazi Mhh!! Mhh!! Kama unaelewa unayoambiwa, kumbe hamna kitu.
@stevenhassan269
@stevenhassan269 2 жыл бұрын
Kizuri hakidumu jamani
@marykilasi6248
@marykilasi6248 2 жыл бұрын
Kpenz tumekumiss sana jaman
@onesmomashembo4123
@onesmomashembo4123 2 жыл бұрын
Tanzania haitokusahau bado tunakulilia ona bado tunamuuliza mungu kwanini ulimchukua Rais wetu?😭😭😭😭
@marciannchimbi9392
@marciannchimbi9392 6 жыл бұрын
songea pia ongelea Mzee kimya sana
@nicklassshaypanga8794
@nicklassshaypanga8794 2 жыл бұрын
R.I.P shujaaa wetuu chuma hakuna kama ww mungu akupunzishe katika pepo la milele rest in peace baba🙏🙏🙏
@dorcasmaunganya6207
@dorcasmaunganya6207 2 жыл бұрын
Ndo bas tenaa
@milyalemukinga590
@milyalemukinga590 6 жыл бұрын
Mungu akupe ekima tuna shukuru umekuja kurudisha jina ya ichietu ilikua tayari inapotea usijali maneno piga kasi weni chaguo lamungu saluti sanah
@abduhamisi7620
@abduhamisi7620 2 жыл бұрын
A man with no speechless yan kila neno Jiwe@ huwezi futika kwenye vichwa vya Minority people kwa sabbu ww ulikuwa ni Rais wa watu wasiokuwa na sauti kwenye nchi hii, yenye utajiri wa kutupa na umasikini wa kunuka
@masudmuhidini600
@masudmuhidini600 2 жыл бұрын
Nilikupenda kwa misimamo yako ila dah! Kifo ni fumbo
@khalidjimmy5774
@khalidjimmy5774 2 жыл бұрын
Mungu mpe pepo yenye heli rais wetu uko aloko
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 6 жыл бұрын
great,,
@catherinechizii3584
@catherinechizii3584 2 жыл бұрын
Duh yani uncle Magu nitakukumbuka daima jamani mioyo bado inauma!!R.I.P
@josephatbahakaso1183
@josephatbahakaso1183 2 жыл бұрын
Du!! Rip anko
@deniszimbihile2505
@deniszimbihile2505 2 жыл бұрын
R. I. P magufuli
@benardmathayo8290
@benardmathayo8290 6 жыл бұрын
tunaomba mweshimiwa mkurugenzi wa igunga umtimue anatukataza kupaki magari igunga
@fredkyara.babamunguwambing482
@fredkyara.babamunguwambing482 6 жыл бұрын
Naimani Mungu ni kwema kwa kuipendelea nchi yetu Tanzania kwa kutupa Rais mwenye dhamira ya dhat. Uwezo na nia
@georgemashauri4657
@georgemashauri4657 6 жыл бұрын
hiki kichwa huwa nakikubali sana mungu akupe maisha marefu.
@allysalehe9362
@allysalehe9362 6 жыл бұрын
kweli kabisa
@jemedarikalimas7788
@jemedarikalimas7788 2 жыл бұрын
Rip jpm always we should remember you rest in piece
@tsarkabuche9494
@tsarkabuche9494 6 жыл бұрын
gud
@thobiaskatoyo8622
@thobiaskatoyo8622 2 жыл бұрын
#Mungu yupo
@thobiaskatoyo8622
@thobiaskatoyo8622 2 жыл бұрын
Maneno yako yanatosha kutuongoza umepotea na mtazamo wako umepotea eeeh Mungu mlaxe maala pema aman
Magufuli: Marais wa EAC wamefanya kosa sana kunichagua mwenyekiti
12:08
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 14 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 13 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 51 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 102 М.
| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 1]
29:22
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 565 М.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 2]
28:12
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
1:08:30
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Mwananchi Digital
Рет қаралды 293 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 14 МЛН