MAHABA YA WANANCHI KWA MLEMAVU WA MACHO MBEYA/WANUNUA MIKEKA YAKE YOTE

  Рет қаралды 11,452

Yanga TV

Yanga TV

Ай бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 69
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Ahsante Yanga SC Ahsante wananchi Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 Ай бұрын
inapasua moyo asee😭😭😭,yote kwa yote 💚💛💚💛 U my team,my happiness YANGA Forever
@alfredkatuma426
@alfredkatuma426 Ай бұрын
Mungu ataendelea kuiinua hii club katika viwango vya juu sana! Ipo siri kubwa sana katika kutoa kwa wahitaji. Yanga wameona hili tangu mwanzo na huu ni mwaka nne wanashuhudia mambo makubwa sana kwenye club yetu. Mungu na aendelee kuibariki club yetu iwe juu juu zaidi.
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr 29 күн бұрын
The Club Above All 🎉🎉🎉🎉
@VaiEliass
@VaiEliass Ай бұрын
Mungu Urie juuu msaidie.ndugu yangu
@charlesmwaipasi2884
@charlesmwaipasi2884 29 күн бұрын
Hongereni sana ndugu zangu wananchi
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
That's why Yanga is a big team and its blessed to have trophies,God bless Yanga Africans and Wananch....
@jellymagawa2888
@jellymagawa2888 Ай бұрын
Hii ndo siri yanga, kwenye utoaji kuna siri kubwa sana 💛💛💛
@upendoluva2066
@upendoluva2066 Ай бұрын
Alikamwe mungu akutunze akupe makubwa zaidi ya haya .upendo mkuu❤
@LUGALILAISACK
@LUGALILAISACK 29 күн бұрын
Be blessed San kwa wote waliojitoa, maish marefu mama mung akulinde, ally kamwe uishi miaka ming🤲
@user-of9be9dj2k
@user-of9be9dj2k Ай бұрын
Allah ajalie wote waliechangia na inshallah awazidishie mlipotowa.
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 Ай бұрын
Maana ya uongozi bora ndiyo haya yanayonekana mawaliza watu kwa furaha sio kimpira tu.kweli hii timu ni wananchi hongereni sana.
@alikhamis8520
@alikhamis8520 Ай бұрын
Mashaalah, Allah akupeni kila la kheri .
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
😢😢😢asanteni wote mliotoa mwenyezi Mungu awabariki
@jacklinembuya2749
@jacklinembuya2749 Ай бұрын
Kwakweli mungu ibariki hii team! Zikumbuke sadaka za wana wako
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
This has made me cry! Mungu awabariki wanayanga! Makombe hayaji HIVI HIVI! Thank u Jesus,💚from UK
@VaiEliass
@VaiEliass Ай бұрын
Mungu akuponye wa kukaja
@user-ce2xg9wt4s
@user-ce2xg9wt4s Ай бұрын
Mungu ni mwema
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Ай бұрын
Hiiiii ndio maaaana halisi ya club ya wananchi!! Hongera Kamwe!!
@mohamedsaide3405
@mohamedsaide3405 Ай бұрын
Allah wafyie mepesi kwa yote mnayo hitaji❤
@user-lz8dx8df5b
@user-lz8dx8df5b Ай бұрын
❤Mungu hakupe kheri na weye
@ThomasJeremia-c9p
@ThomasJeremia-c9p Ай бұрын
Mungu awe nany nyote mlionunua mikeka kumsapot mama kipofu
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Ай бұрын
Kwa mliotoa mwenyenzi mungu awazidishie
@user-lr6kf6bf9l
@user-lr6kf6bf9l Ай бұрын
God bless you Wanainch
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Ай бұрын
Wengine dar tunaitaka sana mikeka ya asili jamani
@allykiduli2156
@allykiduli2156 Ай бұрын
HII NIMEIPENDA UDUMU UDUGU WA WANANCHIIIIIIIIIII
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Ай бұрын
Mashaallah namuomba M/Mungu awajaalie Viongozi wetu Neema kwenye maisha yenu Inshaallah
@hosea7919
@hosea7919 Ай бұрын
Daah nimeguswa sana Na huyu dada hongera zake nyingi kwakutokukata tamaa ya maisha lasivyo angekua ombaomba mtaani MUNGU azikdi kukubariki
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Mungu awazidishiye nyote mliotowq mola atawaongezeya
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Dah, Salome Mwakyusa amenitoa machozi. Yanga imfikirie, awe balozi wa Yanga.
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Hiyo imeenda,Kwa ALLY hakuna jambo dogo!! Mungu alibariki Yanga na mama huyu.one💚💛
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Ай бұрын
Hiiii clabu inaunganisha watu aiseeeee!!! Ndio maaaaaana ya club ya wananchi!
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah 😢😢nimeipenda iyo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Mungu akutiye nguvu dada inunuliwe tu Mike kama jamani tena yote tafadhali kamwe
@chazp6436
@chazp6436 Ай бұрын
Big club ..Big events
@Bquality
@Bquality Ай бұрын
Dah nmejikuta nmelia nmejisikia faraja sana
@lamama.
@lamama. Ай бұрын
daaaaaa mimi sina neno! ila sijawahi juta kuwa yanga
@aminakhamis2276
@aminakhamis2276 Ай бұрын
Laitani km ningekuwa karibu ningeinunuwa namie
@boscombuba6824
@boscombuba6824 Ай бұрын
Upendo mkubwa Sana Huu
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Ай бұрын
Allah Akbar
@kaseja
@kaseja Ай бұрын
MashaAllah.
@allankashoro2077
@allankashoro2077 Ай бұрын
Aisee furaha imezidi mpaka machozi yanatoka tu Mungu awabariki wote mliomshika mkono Salome Mwa....
@upendoluva2066
@upendoluva2066 Ай бұрын
Mliotoa wote mkaongenzewe mlipo toa na kutuwakilisha wana yanga wote.
@kalikenechota8606
@kalikenechota8606 Ай бұрын
🙏🙏
@mosesmulashani5124
@mosesmulashani5124 Ай бұрын
Nice
@baltasartemu2153
@baltasartemu2153 Ай бұрын
Nimejilia bure hapa.
@furahamoja6582
@furahamoja6582 Ай бұрын
😂😂😂😂 yaaan madunduka yamekalia kulogwa tu akili hamna niumaskini huo wa akili
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza Ай бұрын
Hiyo ndio maana ya timu ya wananchi
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Ай бұрын
Aly kamwe mm nataka mkeke anisukie na upata nje
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 Ай бұрын
Hii ndo sababu ya kuipenda yanga
@ramadhanikuchuna5410
@ramadhanikuchuna5410 Ай бұрын
Ndiyo maana Yanga inafanikiwa
@WestChoma01
@WestChoma01 Ай бұрын
Nmetokwa machozi😭😭
@nurdinmgohashowyakibabekwe6382
@nurdinmgohashowyakibabekwe6382 29 күн бұрын
Mimi nataka miwili napataje namba zake wanayanga wezangu iyo mikeka
@jescaodingo9564
@jescaodingo9564 Ай бұрын
Yaani yanga Mungu awabariki sana 😭😭😭😭😭
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Na bado hawaamini kwa mungu wanaamini uchawi
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 Ай бұрын
Na mchawi wetu ameccoment hapa
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh Ай бұрын
MASHAA ALLAH HADI MACHOZI YAMENITOKA 😢😢😢
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Pole na mimi pia
@user-fl4jy5zj3v
@user-fl4jy5zj3v Ай бұрын
Kwa kweli nimejikuta machozi yananitoka wakati huyo mama mlemavu wa macho anashukuru hizi sadaka ni baraka kubwa mbele ya mwenyezi mungu
@AbelMwakilembembwate
@AbelMwakilembembwate Ай бұрын
Thank you. Wananchi kwa uwezesshaji huo
@jumasango9793
@jumasango9793 Ай бұрын
Amina Yanga yangu
@abcdoman8739
@abcdoman8739 29 күн бұрын
Naomba namba ya uho mama naitaji mikeka
@AbassiBaro-jc3il
@AbassiBaro-jc3il Ай бұрын
Mashaallah ❤️😘
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Ndizo baraka hizo, wengine wamekalia wachezaji wao wanalogwa na yanga, wenzenu kabla ya michezo yao, wanatoa sadaka kwa walemavu, watoto yatima nk, nyie hamtaki kufanya hivyo, mwogopeni Mungu.
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi Ай бұрын
Kwa kweli yaani wamekalia ushirikina
@alfredkatuma426
@alfredkatuma426 Ай бұрын
Makolo timu nzima yamejaa machawi ya kutupwa. Mchawi siku zote akikuloga akashindwa atakuita wewe ndo mchawi, sasa makolo yameloga yamegonga mwamba ndo maana kila siku yanatoa milio tu.
@MATHIASMARKO
@MATHIASMARKO Ай бұрын
Mmetoa kwa moyo wa upendo Wala hamtapungukiwa Bali mtaongezewa mbarikiwe mpaka mshangae
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb 28 күн бұрын
𝚍𝚊𝚊𝚑 𝚊𝚕𝚏𝚞 𝚞𝚝𝚊𝚜𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚘𝚘𝚑 𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚕𝚘𝚐𝚊 𝚓𝚊𝚖𝚗 𝚍𝚞𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚣 𝚔𝚠𝚎𝚕 𝚞𝚝𝚊𝚔𝚘𝚜𝚊 kubarikiwa
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 Ай бұрын
inapasua moyo asee😭😭😭,yote kwa yote 💚💛💚💛 U my team,my happiness YANGA Forever
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 33 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 118 МЛН
ALLY KAMWE, MANARA WALIVYONOGESHA UZINDUZI WA TAWI LA WASANII
17:46
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
Узбекский тренер растрогал кыргызстанцев
0:21
Кыргызстан сегодня
Рет қаралды 329 М.