KUKAMATA UCHUMI KATIKA MAISHA YETU!

  Рет қаралды 38,108

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 84
@estherkusaga9181
@estherkusaga9181 2 жыл бұрын
Nimekusoma pastor nimebarikiwa sanaaaa namshukuru Mungu,nazidi kuwa na ujasiri wa kusonga mbele katika uchumi kwa neema ya Bwana.
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 жыл бұрын
Woiii pastor watoto wangu wote wanaanzaga tu kuumwa macho zinatoa machozi wakiwa shuleni kusoma ni tatizo eee Mungu wangu, pastor umesema kweli kabisa Yesu atusaidie na watoto wetu😢😢🙏
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 7 ай бұрын
Hakika mungu ni mwema kupitia mafundisho haya mazuri nazidii kumona Mungu akitenda mambo makuu na yaajabu mungu akubariki pastor
@greygoryhenry1969
@greygoryhenry1969 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi! Haya ndio mambo tunahitaji zile zama za kusema utajiri sio mzuri zimepitwa na wakati utajiri ni mzuri tena Mungu ndiye Aliyesema Vitu vyote vijazavyo Dunia Ni Mali Yangu! Kama Mungu ni Tajiri Hatuna budi kuwa Tajiri Uhuru wa Kifedha!
@halimaamuli1978
@halimaamuli1978 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu sana nimejifunza mengi kupitia kwa mafundisho yako, ubarikiwe sana Pastor Mmbaga.
@flaviandyamukama4010
@flaviandyamukama4010 2 жыл бұрын
Amen Amen hakika Mungu anakutumia kwa namna ya kipekee sana,,,Barikiwa mtumishi
@bonfaceshazy6218
@bonfaceshazy6218 2 жыл бұрын
Nakwambia ukwel mmbaga wew usinge kuwa paster bas ungekuwa tajr mkubwa sana koz una formula zote za kiuchuma ila mung ameamua kukutumia ili kukuza watu wake kiuchumi asnt
@gaspanpetro9483
@gaspanpetro9483 2 жыл бұрын
Amen , ubarikiwe sana kwa mafnzo yako pastor,
@francismaina8652
@francismaina8652 2 жыл бұрын
Sikujua haya mtu wa MUNGU, ufasiri wako wa kimaandiko ni wa hali ya juu sana na mwongozo wa Roho Mtakatifu u ndani yako Mchungaji. Kwa kweli umenigusa na kuamsha ubongo wangu kwa utukufu wake YESU KRISTO
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Amen
@maulinemasistsa1726
@maulinemasistsa1726 2 жыл бұрын
May the heavenly God bless you for a wornderful lesson.
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Pastor,nakuelewa sana
@brightonngerere5588
@brightonngerere5588 2 жыл бұрын
Pr unanibariki unahubiri Manisha halisi mungu wangu akubariki
@dottonsangalufu9530
@dottonsangalufu9530 2 жыл бұрын
Mafundisho yako yamenifanya niwe karibu na uwepo wa mungu! Hakika mungu akuongeze nguvu pia akupe kibar cha kusimama tena na tena!
@khadijakenga7382
@khadijakenga7382 2 жыл бұрын
Kwa kweli nmejifunza jambo Leo..Mungu akubariki sana pastor uzidi kutuelimisha
@petertimothy7882
@petertimothy7882 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saaaana Mchungaji Mbaga. Ni mojawapo ya masomo yaliyonibariki mno! Ni kweli, kukopa kwa ajili ya kununua gari la kutembelea ni ujinga kuliko. Bora kukopa kwa kuzalisha.
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@listerokemwa3948
@listerokemwa3948 2 жыл бұрын
A very good teaching Pastor,, I have learnt a lot and am blessed 🙏🙏
@verynicemkaro7116
@verynicemkaro7116 2 жыл бұрын
Yaani kuna watu hata biblia hawasomi lakini wana akili za maisha mpaka unamuuliza Mungu wana wa Mungu wanakosea wapi🤔🙌
@jimogelelameck3244
@jimogelelameck3244 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana kwa kweli nabarikiwa sana na masomo yako Mungu akutangulie
@asooraaasooraa4816
@asooraaasooraa4816 2 жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana na mahubiri mazuri Mungu akubariki pastor mbaga
@luciasteven6441
@luciasteven6441 2 жыл бұрын
mm kwa sasa nimechoka kusali.....kabisa......kusali makanisani ila nafuatilia saama MAHUBIRI TV....siend kanisani kweli ila mafundisho tu yananipa nguvu....y unyenyekevu......hata chizi barabarani anakusudi l Mungu ndio maana anaish Pst mbaga anasisitiza amejifunza kutikudharau mtu kutokuhukumu mtu kweli nimejifunza saan MUNGU .....AKULINDE DAIMA
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 9 ай бұрын
I love you Pastor Mbaga.
@adellahjonas7008
@adellahjonas7008 2 жыл бұрын
ka baba yani leo somo limenoga mungu akbariki
@taffarelmayama7517
@taffarelmayama7517 Ай бұрын
Amen pastor
@brightonngerere5588
@brightonngerere5588 2 жыл бұрын
Umenipa Vito kichwani mungu wangu azi kukubariki
@pendomkama9619
@pendomkama9619 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa na mahubiri haya nimejifunza kitu hapo Mungu atusaidie
@brynwalk4489
@brynwalk4489 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hubiri yako. Na omba unisaidie ku maombi nina changamoto kubwa kuhusu kijana wangu. Nisaidie kwa ma ombi.
@PhebiElias-rw9ns
@PhebiElias-rw9ns Жыл бұрын
Mungu akubalika pasta mbaga
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 2 жыл бұрын
Asante saaaaaana mchungaji!!! Ni kweli kunawatu wanaumizwa saaaaana kisa ya elimu yake!!!
@sinaisatson2139
@sinaisatson2139 2 жыл бұрын
Mungu akuinue zaidi na zaidi mchungaji.
@dottodaniel7535
@dottodaniel7535 2 жыл бұрын
Mungu akubariki,napata ujasiri wa kusonga mbele kiuchumi.
@marymaina6003
@marymaina6003 2 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌 👏
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 жыл бұрын
Amen Asante Sana
@judithmakoye6592
@judithmakoye6592 2 жыл бұрын
Amina, barikiwa pastor na mahubiritv
@emanuelsendeu6618
@emanuelsendeu6618 2 жыл бұрын
nimeza kukuelewa mchugaji kwenye biashra mungu akubàriki san asizidi kukupa kimbli ya Mungu
@froline5209
@froline5209 Жыл бұрын
So inspiring
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Ameeen nimebarikiwa sana
@neemamtoba2603
@neemamtoba2603 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa masomo unayotupatia
@felikitakilonzo6755
@felikitakilonzo6755 2 жыл бұрын
Hahaha 🤣 nimeipata hiyo.
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
Pastor Barikiwa Ujumbe Unatufikia
@bungayamayo7377
@bungayamayo7377 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa somo zuri
@alfredkenz380
@alfredkenz380 2 жыл бұрын
Mchugaji Asante sana kwasomo zuri sana
@user-kx6ss2vc8p
@user-kx6ss2vc8p Жыл бұрын
Nahitaji maombi yako yako mchungaji niweze kufanikisha nilichopanga kufanikisha amina
@danielikelya2075
@danielikelya2075 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@lydiahsarange7430
@lydiahsarange7430 2 жыл бұрын
Amana mchungaji kwa mafunzo mema na kutujenga kiuchumijina la mungu litukuzwe.
@rebeccaonyando7214
@rebeccaonyando7214 Жыл бұрын
Amen and Amen
@anacretsindabaha9395
@anacretsindabaha9395 2 жыл бұрын
Family Gospel ndio habari ya mjini kwa sasa
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
Dah!!! Hakika Unatufungua Akili
@josephjames2296
@josephjames2296 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako
@brynwalk4489
@brynwalk4489 2 жыл бұрын
Amen amen
@amozmwaz1494
@amozmwaz1494 Жыл бұрын
Ameeen
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🥰💗❤️💓♥️
@winnabely4189
@winnabely4189 2 жыл бұрын
Ameen
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Mungu wetu tusaidie
@armanmsemo7739
@armanmsemo7739 2 жыл бұрын
Kwa nn nimechelewa kukusikiliza?
@ellenmasatu560
@ellenmasatu560 2 жыл бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana.
@shazzysymon6835
@shazzysymon6835 2 жыл бұрын
Asante Asante
@eunicenasimiyu4256
@eunicenasimiyu4256 2 жыл бұрын
Amina na amina
@kitumbui_nancy
@kitumbui_nancy Жыл бұрын
Amina Amina Amina
@azizyannelly5199
@azizyannelly5199 2 жыл бұрын
Amina
@josephmbembe3424
@josephmbembe3424 2 жыл бұрын
Amen
@starsmondiale1686
@starsmondiale1686 2 жыл бұрын
Pasta mimi ni mu congomani lakini nina shida niki amua ku soma biblia napata vi zuizi uvivu na kuto ku elewa
@rehabokaya2232
@rehabokaya2232 2 жыл бұрын
Amina Amina be blessed kwa marifa hayo
@jemimakengia7308
@jemimakengia7308 2 жыл бұрын
Asant paster
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Hapa nimeguswa nalifanyia kazi
@happinessjohn3705
@happinessjohn3705 2 жыл бұрын
Hubiri la pekee sana.
@prosperpaschal929
@prosperpaschal929 2 жыл бұрын
Asate mtumishi
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 2 жыл бұрын
Amina nnaposikia mahubiri yako nafarijika napata nguvu utukufu wa mungu uwe pamoja nawe
@nehemiahstephanotukopamoja8364
@nehemiahstephanotukopamoja8364 2 жыл бұрын
Barikiwa
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 жыл бұрын
Ameeeeen
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
Ushuhuda Ushuda Mpe Maiki,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
AMINA
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 2 жыл бұрын
Ua utapika🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@adventinantungweli1945
@adventinantungweli1945 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sanaa pastor
@mechakenya6522
@mechakenya6522 2 жыл бұрын
Kuchimba dawa
@bensonjohn5400
@bensonjohn5400 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@joelysaid7417
@joelysaid7417 2 жыл бұрын
Old
@emanuelsendeu6618
@emanuelsendeu6618 2 жыл бұрын
amina mchugaji mungu akubàriki san asizidi kukupa ekima
@melvinnakhungu2504
@melvinnakhungu2504 2 жыл бұрын
Amen
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Amen
HAYA NDIO MADHARA YA KUKOSA IMANI (PR DAVID MMBAGA)
1:10:16
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 36 М.
MAMBO MATATU MUHIMU KATIKA MAWASILIANO YA ULIMWENGU WA KIROHO!
1:06:47
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 49 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 30 МЛН
JINSI MUNGU ANAVYOKOMBOA UCHUMI WAKO  || PASTOR GEORGE MUKABWA || 10-08-2023
1:43:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 22 М.
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 2,4 М.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 14 М.
Vipaombele katika kujenga uchumi binafsi na Emilian Busara
58:00
The Gates Media
Рет қаралды 15 М.
KWANINI UNAPITIA VITA KIASI HIKI? ( OFFICIAL VIDEO)
58:25
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 87 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 366 М.
BADILI FIKRA!! MAJIBU YA SHIDA ZAKO HAYA HAPA!!!!
39:28
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 152 М.
КОНЕЦ АЛЬЯНСА | Сюжет skibidi toilet 76 (part 2)
10:13