No video

Mama Amwaga Machozi , Baada ya Miaka 29 Amekutana na Mtoto Wake

  Рет қаралды 15,497

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Kma ww umelia kama mm weka like nimelia kma ni mm aise maisha hya
@ahlamkilema1787
@ahlamkilema1787 Жыл бұрын
macho yamevimba mm
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Yaani acha tuu
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
@@khadijahali4837 mtihani khadija
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@Rizikialiamechannel763 kbs
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 Жыл бұрын
Tena sana hd nimpta mafua
@FatumaBundallah-tn6fo
@FatumaBundallah-tn6fo Жыл бұрын
Clouds nzima kuanzia mwanzilidhi wake hadi crew nzima m'barikiwe sana kwa haya mnayotufanyia, siwezi kusema mengi mungu awabariki sana, mmenipa mwanangu tuliyepotezana miaka 28 iliyopita 🙏leo nimempata akiwa na mke na watoto 2 , mungu akupeni baraka inshallah ♥️💯💯💯
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwakweli kurudisha furaha ya mtu iyopotea miaka mingi sana ni kazi ya mungu
@LeonaSwai-lc7uv
@LeonaSwai-lc7uv Жыл бұрын
Hakika mmefungua dunia tunawapenda Sana Leo Tena Mbarikiwe sana
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 Жыл бұрын
Tunazaa na watu wasiojielewa wanatuweka mbali na watoto wetu
@hildahtemu
@hildahtemu Жыл бұрын
Nashukulu mungu angu kwa kua na mama❤.mungu angu naomba tena nami nionane na baba angu❤ .....daaah
@kissageorge3987
@kissageorge3987 Жыл бұрын
Mbaya sana hii tunatakiwa tubadilike mwisho wa wtt wanataguta wazazi wao
@happyjustine6187
@happyjustine6187 Жыл бұрын
Jaman mimi naombeni namba zenu kuna kaka yetu mtoto wa mama yetu mkbwa alipotea na mama yake alisgakufa aliletwa mama nyumbani akiwa mgojwa sana akamuacha mtoto Tanga mpka leo miaka hatujui aliko
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Жыл бұрын
Jamaniii hichi kipindi huwa kinaniliza saaana mara nyingi huwa nawalaumu wanaume ndiyo chanzo Cha maisha magumu ya watoto wao tunawatengenezea machungu watoto
@tato8979
@tato8979 Жыл бұрын
Hatari nimelia😢😢
@salamakahindi3038
@salamakahindi3038 Жыл бұрын
❤❤❤hiki kipindi nikiangalia nalia Mimi 2 hakuna kama mama kwwl 😅😅
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 8 ай бұрын
Dah ,nakumbuka wakubwa zangu watatu walilia baada ya kukutana na mama daada ya miaka 29
@NaifatFahad-ko8yu
@NaifatFahad-ko8yu Жыл бұрын
Jamani inauma sana
@KulwaSangija-te9kk
@KulwaSangija-te9kk Жыл бұрын
Mama kama dada yake yaaani
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Жыл бұрын
Jamani mwenyezimunguakuzidishieni kilalaheli
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Wame fananaaaaa sana 🌹
@happymanyama-ub5kc
@happymanyama-ub5kc Жыл бұрын
Naombeni mamba zenu mm ninamtoto wa marehemu dada angu natamani sana kumweleza hapo ili aweze kuonana na ndugu zake baba yake alisha fariki laki hamfahamu baba zake wadogo na hata ndugu yake mmoja wa upande wa baba yake
@ashamaneno9819
@ashamaneno9819 Жыл бұрын
Unawez zan movie. Nawaombea n wengine wazid kupat wazaz wao naamn ipo siku watafurah nawao pia.
@VeronicajTemba
@VeronicajTemba Жыл бұрын
Jaman na mm nilipotelewa na mtoto wangu namtafuta nipen namba za Clouds
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Mama kijana 🌹
@elmeldahendrish9055
@elmeldahendrish9055 Жыл бұрын
Yaani mimi machozi yanatiririka yenyewe tu kiukweli mna zawadi yenu mbinguni
@tricemollel6739
@tricemollel6739 Жыл бұрын
Clouds muishi mileleeeeeee🙏
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Clouds mnatakiwa muwe na boks la tishu
@user-kk7lc5ss7i
@user-kk7lc5ss7i Жыл бұрын
Jamn baba atafutwi jaman
@priscamakendi2239
@priscamakendi2239 Жыл бұрын
Na wamefanana😢 jamani
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 12 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 21 МЛН
KAPU LA MAMA LATOA ZAWADI ZA VIWANGO KWELI KWELI AMWAGA MACHOZI SHUHUDUA
2:02
Waliniambia Mama Amefariki | nimefurahi Kumuona Mwanangu
8:08
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 29 М.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 151 М.
Leo Tena: Mama Akutana na Mwanae Baada ya Kupotezana kwa Miaka 35
19:26
Miaka 15 Hajamuona Mama Yake | Naomba Unisamehe Mwanangu
7:41
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 31 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 41 МЛН