Nakukubali sana mzee wangu una Hekima Sana full respect
@DawsonKiwia-qt6zf6 ай бұрын
Safi sana mchungaji ukiwa borne town unakuwa mwerevu zaidi wa shamba hawatakuelewa. Umeongea vizuri inategemea watu wameudhuria kwenye dhehebu lingine wamefuata nini pia umehimiza watu kulima, kufanya kazi watanzania wengi wanapenda kudeka wanakwepa kuwajibika hayati Magufuli aliliona hilo akawapeleka msobe msobe vijana wengi wanapenda kujiremba na kutunzwa usichoke mwalimu.
@abdallahkikungulu91416 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana mchungaji
@Mtukazi986 ай бұрын
Allah akuoneshe haki mzee hananja, ukweli uko vizuri sana mzee wangu
@prochesernest54396 ай бұрын
Haki na uzima WA milele ni Kwa Yesu kristo alipo huyo mchungaji njoo kwenye kweli na uzima WA milele
@martinisadru98996 ай бұрын
Uslamu ni njia ya haki, na UKRISTO ni njia ya kweli,, kazi kwako kupambana haki na kweli.
@user-uf6qf9lx4y6 ай бұрын
Uislamu ni dini ya HAKI na yeyote atakae amua kufuata Dini isiyokua Uislamu aelewe kua Dini hiyo haitokubaliwa siku ya malipo .Nasaha zangu kwa ndugu zangu Wakristo SILIMUNI ili mpate SALAMA siku ya hukumu
@martinisadru98996 ай бұрын
@@user-uf6qf9lx4y je! Ukweli, na haki, ni kipi kisichoweza kupotezwa na wanadamu?
@fredrickgitonga19726 ай бұрын
Uko uwakika gani bila uislamu akuna salama siku ya kihama
@yusuphibrahim28506 ай бұрын
Mchungaji upo vzr mungu amekipa uwezo mkubwa mungu akubariki
@abasingaruka18726 ай бұрын
Hongera mchungaji uyasemayo Ni sahihi, , na wachache wanaoelewa hayo, ,baadhi ya waislamu wahamisjha ugomvi sio Amani,
@africaonechannel12896 ай бұрын
Huyu Mzee ANA AKILI!!!!!!! And Generally Speaking These Old Boys nitafauti sana na This New Generation!!!!.
@martinlema73286 ай бұрын
Amina... Namwomba Mungu akupatie hitaji la moyo wako.😊
@habibmohamed47286 ай бұрын
Majibu mazuri mtumishi wa Mungu ingawa anajaribu kukuchallenge hakupati Tena
@user-ve3wu5jn1l6 ай бұрын
Mzee wangu una busara sana mzee wangu Allah akujalie .
@rajabrwambow96606 ай бұрын
Hongera sana mchungaji❤❤❤
@ramadhanomar68056 ай бұрын
Hananja ni Genius anaelewka sana🎉
@user-qz2cs5wm5u6 ай бұрын
Uko vizuli sana mchungaji unaufaamu mkubwa sana mungu akubaliki sana
@hamsikrasheedi17966 ай бұрын
يَأَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُم مِّن ذَكَرٍ وَأُنثَى وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِندَ اللَّهِ أَنْقَنَكُمْ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ Enyi watu! Hakika tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni watu na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye khabari
@ibrahimally80736 ай бұрын
Mashallah.. maneno Yako yapo sahihi...
@hemedsimbaathwartv6 ай бұрын
Mashallah mi n muislam ktk kenya , huyu mzee ana busara xna
@user-zp3kw6rw1x5 ай бұрын
Mchungaji Hananja Mungu akupe afya na nguvu na maarifa zaidi. Ukweli nikua unaongea ukweli. Tuko pamoja!!
@Dulla_kite3 ай бұрын
Mashallh 🙏🏽☝🏽
@rahmahersi65846 ай бұрын
Hongera Mchungaji.....
@hilaliusjohn83866 ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini Nakubali kabisa Hananja alifanya vizuri Sana kuitika mwaliko
@user-bg1rr7if8k6 ай бұрын
Nakukubali baba❤❤❤❤
@fatmaalnabhani36096 ай бұрын
Leo umependeza mtoto wangu na hicho kilemba 💕💕
@user-zv2uh2ht7g6 ай бұрын
Safi sana wewe mzee ni mwamba sana aisee
@abubakarymaulidy56816 ай бұрын
Akili nyingi sana mzee nakibali
@mwinyimwinyimkadam99486 ай бұрын
Upo vzr Mzee
@kingdullah78436 ай бұрын
nakuelewa sana mzee wang
@user-eh1cu9st4t6 ай бұрын
Heshima yako bradha👏
@jumaomari38425 күн бұрын
Wewe kweli ni mtumishi nakusikiliza sana Yani una nimalizia bando
@ibrahimsaad6176 ай бұрын
Mwamba ❤Unajua
@user-pm6tb4yz9i6 ай бұрын
Nice
@joshuamunisi84616 ай бұрын
Fact mzee upo vizuli
@maskatifakii71076 ай бұрын
Safi sana..Hawana..Elimu!!!
@rashid35626 ай бұрын
Genius
@sostentulian94626 ай бұрын
Natamani ningekuwa na ubongo ka mzee hananja
@allyfutto87636 ай бұрын
Somo zuri kuhusu utumishi wa Mungu 🕌⛪️☝🏿
@umazisalim80706 ай бұрын
Baba nakupenda buri
@nassormohamed65206 ай бұрын
Nmekuelewa sana mchungajii
@KABIBIPETER22 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@user-cz7kz7cj9v6 ай бұрын
Apana ,Mtumishi uko katika kweli. Mtu awezi kukataa mwalimo,pili Dini zote anaye juwa ni Mungu. Zidi ya yote, Dini mbaya ni ile yenye kuhuwa na kuaribu.
@francoulanga6 ай бұрын
❤❤
@jumasungula85106 ай бұрын
Mzee unaakili sana
@IsackTheonest5 ай бұрын
Uko vzr mchg, ss sote ni wamoja
@rayisadesigns26466 ай бұрын
HONGERA MTUMUSHI, AKILI KUBWA SANA. ILA HATA WAISLAM NAO WANAAMINI SULEIMAN NI NABII LAKINI PIA NI MFALME. KWA HIYO KWENYE UFALME WAISLAM NA WAKRISTO KWA MUJIBU WA MFUNDISHO YA VITABU VYAO WOTE WANAAMINI SAWA KUWA SULEIMAN ALIKUWA MFALME.
@farajifundi11606 ай бұрын
Saf sana mzee
@user-ui1qs9yl1n2 ай бұрын
HUYU BABA ANA MADINI ADIMU SANA
@kasimkassam95656 ай бұрын
Huyu mzee akili nyingi sanaaa
@mashramadhani19896 ай бұрын
UMEONGEA VZR SANA NA HUYU DADA ATAFANYA KAZI NZR SANA YAANI MUANDISHI WA HABARI
@elmes093 ай бұрын
Una baya 🙏🏻
@user-eq2wg9hx6o6 ай бұрын
Uko vizuri baba!
@MwanaidMagasa6 ай бұрын
Mungu akulipe maneno yako ukweli kabisa
@user-nb6tq8tf7c6 ай бұрын
Ni Bakwata jamani msimlaum mzee hananja
@user-tt8fe5xs6t6 ай бұрын
Uko sahihi mchungaji
@omarmohamed3126 ай бұрын
mzee hananja ni mtu wa busara sana na ni mtu anaesema ukweli sana. sisi waislamu wengi tumetokea kumkubali na tunamuombea Allah amfungue zaidi aone haki ipo wapi. hachukii uislamu.
@RamadanPaul6 ай бұрын
Amini
@fredrickgitonga19726 ай бұрын
Haki iko kw YESU KRISTO tu, Wala kwingine apana
@omarmohamed3126 ай бұрын
@@fredrickgitonga1972 nendeni na wakati someni kitabu chenu. mitaona munakoelekea.
@RamadanPaul6 ай бұрын
@@fredrickgitonga1972 .... Ni kweli haki ipo kwa Yesu ila sio kumuabudu, Yesu mwenyewe alikuwa anaabudu, leo watu wanamuabudu yesu....😂😂
@zainabzanzibar151819 күн бұрын
@@RamadanPaulna wemekwenda mbali zaidi kwa sasa hawamuabudu yesu bali wanamuabudu yele mcheza filam wanasema ndio yesu
@RamadanPaul6 ай бұрын
Hananja tunakupenda sana waislam....
@VeronicaRugoyi6 ай бұрын
Baba umetisha❤❤
@stanleyjohn29296 ай бұрын
Kabisa
@user-tx5sx1wu6l3 ай бұрын
Mzee wabusala
@tinnahagustinolyelu42476 ай бұрын
🎉una upeo saana baba mtumishi
@alzawahirabdallah22996 ай бұрын
Kesho kutwa wakristo wenzake watamkata
@SmilingPlanets-yx9rm6 ай бұрын
On point
@ramadhanihafidh77326 ай бұрын
😂 6:55 wewe ni mtu wa hekima kama najash wa Ethiopia
@abuubakar75946 ай бұрын
Kweli wata wa zamani walikua na masuria na c vibaya wake wa4 kafundixa mtume muhammad (SAW) alivyopewa Quran mathnaa wa thulatha warubaa
@jpmanotaofficial6396 ай бұрын
Muhamad kaingiaje hapo anaongelea mfalme sulemani au muhamad nae alikuwa mfalme duh!
@abuubakar75946 ай бұрын
@@jpmanotaofficial639 Muhammad (SAW) unamjua kwanza?
@border2bordercuisine1685 ай бұрын
Hawa ndio viongozi wa dini tunaowahitaji Tanzania
@AssumaneDaniel-yz7co6 ай бұрын
Udini ni sababu ya kuharibika África
@user-ud4ti3lv9v6 ай бұрын
Naombeni namba ya huyu mzee
@jastinmkoba6 ай бұрын
Anazeeka vibaya sana wazee wenzie wanabusara🤷
@faudhiasaidi36695 ай бұрын
Uyu mchungaji anahekma sana
@kasimkassam95656 ай бұрын
Babu kamaliza wanao penda udini mnapigania pepo je niyakwenu ua kama hakuna pepe je mmeuwaniya nini😮
@maalimhamad12976 ай бұрын
Huyo nawewe akilizenu nyote sawa
@martinisadru98996 ай бұрын
@@maalimhamad1297kwani baba Ako aliwahi kufika peponi? Hebu mwambie atume kwene status tuone peponi pakoje.
@user-ti3gx9jr4v6 ай бұрын
Mzee maneno yako mazito yanaitaji yachukuliwe nawatu wote
@fortyyellu99716 ай бұрын
😂😂😂
@gooleserviceyoutubescandar34506 ай бұрын
Masha Allah Amiiin.
@jumaomari38425 күн бұрын
Ananja wewe ni kiumbe unae tumia kichwa chako vizuri
@idrisandaka21986 ай бұрын
Na traffic waache rushwa
@abdul-azeezmagram49736 ай бұрын
Mtangazaji kuwa makini na maswali yako yanalenga uchonganishi kwenye imani za watu usije ukajutia maswali yako
@seynabhaji80356 ай бұрын
Busara imetawala hapa
@loner_wolf6 ай бұрын
Mzee ningekuwa Mwandishi hapo ningekuuliza hiv " kati ya mchungaji na wazazi ,nani anaweza kukubariki " ?
@zamdanamwenje94156 ай бұрын
Alishawahi kujibu kuwa ni wazazi tafuta clip clip za miaka mingi
@ramadhanihafidh77326 ай бұрын
Wewe ni mtu wa haki unaekubalika na kila mwenye akili na imani ya uwepo wa MWENYEZI MUNGU mtukufu
@denismugisha26 ай бұрын
Mchungaji Hananja usiongee sana ukapitiliza, wewe ni mchungaji mtu wa imani unasemaje pengine mbingu haipo?? Siku nyingine utawaambia watu habari za kwenda mbinguni wakuelewe?? Acha ukomedi ktk kila jambo
@alleyd.alleyd6 ай бұрын
Don't pretend like you know too much.
@natafutamatatizo43826 ай бұрын
IMANI ZA KISHOGA KUFUNGA NDOA👀👀😂😂😂
@jpmanotaofficial6396 ай бұрын
utafungaje ndoa wakati unaowa owa hovyo wake wa nne4 utamvisha pete nani umuhache nani Kwahiyo ndugu zetu waislamu mambo ya ndoa mtaangalia kwa mbali kama balamwezi 😂
Mama Samia pambana na rushwa tunakuomba mama rushwa imezidi nchii hii
@user-kk6gj7cw3h6 ай бұрын
point wewe ni mtu makini
@HAMZALUHANGA5 ай бұрын
Mchungaji yupo sahihi, binafsi naamini imani zote zinazo fundisha utii, waaminifu, upendo, na kumtii Mungu zipo sawa.
@Philipoupdates6 ай бұрын
Mbego nina mkasa nitafute
@loner_wolf6 ай бұрын
Naungezaliwa uchawini.....? Tafuta haki acha kurithi mzee. Otherwise nakukubali na kukuthamini sana .
@user-wo4do5pk8z6 ай бұрын
Wewe mzee,acha uongo, MUHAMMAD alienda usiku mmoja na akarudi,akaeleza kila kitu paka jinsi kulivyo huko mbinguni.na alikutana na Mola wa viumbe wote.kasome!!!
@youngrappertz17356 ай бұрын
Prove
@user-wo4do5pk8z6 ай бұрын
U want a prove,how do u want aprove n I can't believe!,go n read in Islam it's there very open.
@user-wo4do5pk8z6 ай бұрын
U can't believe,there is an interesting story abt Muhammad sw wen he went to heaven.ucan even Google on ua phone
@jpmanotaofficial6396 ай бұрын
Muhamad gani alie kufa kwa sumu au kunamwingine alie mbaka haisha au unamuongelea muhamad sala mchezaji wa Egypt 🇪🇬 🤔
@user-wo4do5pk8z6 ай бұрын
@@jpmanotaofficial639 sawa iko siku utakuja juta,utatamani dunia ianze upya lakini majuto yako siku hiyo hayatakufaa kitu.endelea kupinga eti mnaona mnaudhi waislamu.kila mtu atalipwa sawa na vitendo vyake,kumbuka hayo unayoyasema pia ni katika vitendo vyako.utalipwa tu.endelea kucheza
@yohanampangule88176 ай бұрын
Sahihi kualikana ,Ila Ni lazima Uwaeleze UKWELI kuwa YESU NDIYE NJIA YA KWELI ,NA HUKO KWENYE UISLAMU WAMEPOTEA ,,,...LAKINI NAONA MCHUNGAJI HUNA USHUHUDA KABISA KABISA. Humjui Allah ,UNASEMA ,unamshukuru.....ALLAH SIO JEHOVA BABA ,,,,HAPA LEO NIMEJUA WEWE BADO SANA..
@carterjordan42166 ай бұрын
Allah, Jehova, Mungu, God, ni lugha hizo mkuu. Siyo imani.
@Sheba46516 ай бұрын
###Yohana Kwani wewe lugha yako ya kijijini huyo muumba mbingu na ardhi huwa mnamuitaje? Maana kwa uhakika wewe si mswahili wa mjini, una lugha yako ya kijijini, hivi Yehova huwa mnamwitaje?
@SaidiRashid-yc3rc6 ай бұрын
Hujuwi ulitendalo usamehewe
@rahimukayela2976 ай бұрын
Jamaa ni empty knowledge ALLAH, JEHOVAH, BUDDHA, JAH, GOD, izo ni lugha tu za watu kw Kiswahili ndo MWENYEZI MUNGU.
@emmanuellwinga56866 ай бұрын
Bomu lingine hili linaweza tulipukia
@zuchu97506 ай бұрын
Mch Yuko vizuri kwa majibu
@KhadijaKipua-dw7yz6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyo ndio Hananja bwana unanikosa sana babaangu wewe Mungu akubariki sana