Somo:DALILI ZA KUNYAKULIWA KWA KANISA Andiko: Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE Tarehe: 30.06.2024
Пікірлер: 13
@user-zn4fw9cl1g19 күн бұрын
Pole Mzee wangu. Umebaki mwenyewe
@Erick-y6y23 күн бұрын
Asante baba Niko Kenya
@Augustinbonane27723 күн бұрын
Mimi nawasubiria hapa Kampala jameni
@GervasSospeter-vt3zi23 күн бұрын
Sengerema mzee unalukaga sana
@jastinemwambi230723 күн бұрын
Amina Baba
@MusaMapinduzi-gr6zv23 күн бұрын
Amina
@JanetSaidi-xm6ky21 күн бұрын
Amen sema tupone mchungaji 😂
@LindaJohn-fy1in18 күн бұрын
Huku vijijin ndo usiseme baba Hadi hamu ya ibada inaisha walokole tumezidi
@LindaJohn-fy1in18 күн бұрын
Samahani naomba kuuliza mbona ulisema kusuka ni dhambi halafu wamama wachungaji hapo mbelele wamesuka inakuaje nieleweshe mch
@taitusjohn119723 күн бұрын
Amina,naomba link ya video ya mafundisho ya kitabu Cha luka
@mhelezijoackim-kl9vb20 күн бұрын
Angalia tu ipo KZfaq page ya mchumgaji
@jastinemwambi230723 күн бұрын
Sasa Baba Mchungaji Kuna Mchungaji hapa anatushauri tucheze Rhumba na wake zetu au wachumba wetu ni sawa ama . Nisamehe kwa hiyo comment kama Ina muktadha usio sahihi.
@FrancesMapunda19 күн бұрын
Huyo cyo mchungaji hama kwenye hilo kanisa bila kuaga maana mchungaji wasampuli kama hiyo mm cwez kumuaga