YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO

  Рет қаралды 26,674

Mzee wa upako

Mzee wa upako

Ай бұрын

#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: / mzeewaupakotzz
IG: / mzeewaupako_tz
TIKTOK: / mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za KZfaq Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Пікірлер: 485
@abuurasshaad
@abuurasshaad 20 күн бұрын
Haqq siku zote inakaa juu, Ahsant mzee Allah akuongoze ktk uislam
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices Ай бұрын
Yesu ni Mungu. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6
@HansiKatumbi
@HansiKatumbi Ай бұрын
Ww hushasema mtoto amezaliwa huo ni mpango wa Paulo Yesu katabiriwa na malaika gabrieli na hutabiri huo aliyopewa bikira maria kuwa hatapa mtoto na mtoto huyo jina lake hataitwa Yesu sasa huo mpango wa mtoto amezaliwa jina Emanuel ni mpango wa wapagani waliokupeni dini ukisoma matendo ya mitume 11:25-26 hutapata jibu
@kimwerimhando3383
@kimwerimhando3383 Ай бұрын
Mungu hajazaliwa na yeyote wote waliozaliwa na mwanamke siku zao za kuishi ni chache Mungu hana mwisho
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 Ай бұрын
mungu haonekani na bibilia inaema vivyo na atakae muona mungu anakufa sasa iweje yesu awe mungu
@farajisewe7416
@farajisewe7416 Ай бұрын
acha kukalili someni maandiko jamani, acheni mambo ya kurithi Tutumie akili zetu mungu alizotupa,, mungu atatuuliza tulizitumiaje
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Ай бұрын
Kwahio mungu alimuumba maria ikisha maria akamzaa mungu na kumnyonyesha. Ikisha mungu akakamatwa na binaadam akauliwa na binaadam 😂. Yani mnaona kama kungu ni kipande cha nguru eeh
@DaudiSangella
@DaudiSangella 22 күн бұрын
Watu hawakumwelewa Yesu na hawata mwelewa milele. Yesu alikuwa binadamu aslimia 100.
@rizikilukali1558
@rizikilukali1558 18 күн бұрын
Ajidhaniae amesimama aangalie asianguke
@NicholasMacharia-nt5jf
@NicholasMacharia-nt5jf 16 күн бұрын
Tabiriwa na manabii kama yeye waseme utakuja,zaliwa kiroho kama yeye,fufua watu kama yeye,tebea juu ya maji uliwa na usurubiwe fufuka siku ya tatu na upae angani ikielekea paradiso,kama wewe ni mwanadamu kama yeye.
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc Ай бұрын
Baba uko sawa nakubali na unatuelimisha hiyo kazi ni ngumu sana mungu akutie nguvu
@StephanoAkyoo
@StephanoAkyoo Ай бұрын
Yesu ni Mungu. Isaya 6: 9 Hakuna hajaye Kwa Baba ila Kwa njia ya MIMI. FILIPO alijibiwa. Hakuna atakayeelewa haya ila MTEULE TUU.
@NLCG100
@NLCG100 18 күн бұрын
Daaaaaa hakuna ajae kwa baba ila kwa njia yangu??? Kweli kaka Akyoo hapo mimi cjaelewa kifungu hiki kinanichanganyaga sn
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 Күн бұрын
Upo sahihi Sana Mzee wa upako, wafundishe watu wanahubiri utamaduni wa Warumi wanafanya kua Injili.
@kizasebaziga8135
@kizasebaziga8135 Ай бұрын
Mzee wa upoko ni muukweli
@jamesmwakyusa7719
@jamesmwakyusa7719 Ай бұрын
Ukweli tusiopenda kusikia
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Ай бұрын
Mungu atatutia nguvu hata mbuyu ulianza kama mchicha
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Ungekua unajua vyema maandiko unpeeled kuwa huu si ukweli ni upotofu. Wanafunzi wake wakamuuliza unasema unakwenda kwa baba tuonyeshe basi huyo baba, akasema nalikua nanyi siku zote hamkunijua? Lakini maeneo mengi tu anajitanabaisha kuwa mimi niko ambae niko, mimi ni alfa na omega. Lakini maandiko yanathibitisha kuwa Yesu ni Mungu, ukitamani tuyachakate nambie tuendelee nikuthibitishie.
@joshuandone468
@joshuandone468 27 күн бұрын
soma Yohana Sur ya 1 yote hapo utaelewa uungu waYesu
@iysser
@iysser 6 күн бұрын
​@@joshuandone468 kweli lakini hakusema yeye ni Mungu... ndio point yake anakusudia Kwa Nafasi yake yesu kulinganisha na Sisi wanaadam Daraja yake ipo Juu, ila kwa Mungu Hafanani nae. I think Hapo ndio Anakusudia.
@BensonNevele
@BensonNevele Ай бұрын
Asante cheef Kwa mafundisho yako
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤Kipawa nilichonacho nilikitamani kutoka kwako miaka hiyo. Nilimuomba Mungu akanishushia biblia ikanijaa kichwani, chanzo ni ww.
@rockevarist4299
@rockevarist4299 22 күн бұрын
Jeremiah 10:16,19 Warumi 9:5
@husseinbhatia434
@husseinbhatia434 Ай бұрын
Allah akuongoze zaid.imebaki sehem ndogo tu utakua umenyoooka mzeee
@amedeusmtui5495
@amedeusmtui5495 17 күн бұрын
Isaya 9:6 ...Naye ataitwa jina lake, mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
@KhamisiMohamed
@KhamisiMohamed Ай бұрын
Hakika upo saw yesu sio mungu na ana sifa ya uungu wala usimuingize yesu kwenye mtihani siku ya kihama aulizwe na mwenyez mung
@josephatmahango3869
@josephatmahango3869 Ай бұрын
Kwani wewe unajua hiyo kiama Nani atahukumu
@user-wq4pl5dv6b
@user-wq4pl5dv6b Ай бұрын
Naye neno ni Mungu, naye neno akafanyika mwili, yaani wakristo wa siku hizi jau kweli
@user-hk1dz8de2x
@user-hk1dz8de2x Ай бұрын
Sio wote,.Wale aliojifunua kwao wanamjua na kumuelewa ,achana na huyu mtumishi ambaye anahararisha kutoelewa kwake,mathayo 11;27
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 Ай бұрын
Na Kila jicho litamwona, na hao waliomchoma watamwona, YESU NI MUNGU KWELI KUTOKA KATIKA MUNGU KWELI,!!!!!
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 Ай бұрын
​@user-wq4pl5dv6b Ukisoma Biblia kwa utashi wako hutaelewa kaa hivyo hivyo.Au tafuta watu wakuelesmishe.kwa nini Ni Neno.Kwa maana Mungu aliumba kilakitu kwa neno vitu vikawa.Ila wewe kibinadamu huwezi tamka vitu vikawa ndio maana yake.
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n Ай бұрын
Yesu siyo Mungu. Mwenyezi Mungu ni mmiliki wa Ulimwengu ambao una Sayari zaidi ya Trillion 2 na anajua vilivyomo. Yesu si mmiliki na hajui chochote kuhusu Sayari zote hizo. Mungu hana hofu lakini Yesu alikuwa na hofu wakati alipopata habari anatafutwa na maadui zake. Mungu hajaribiwi na Ibilisi lakini Yesu alijaribiwa.
@user-wq4pl5dv6b
@user-wq4pl5dv6b Ай бұрын
Yesu alimjibu shetani usimjaribu bwana Mungu wako , soma biblia wewe
@nduwimanaamidou4009
@nduwimanaamidou4009 26 күн бұрын
Yesu ni Nabi tu wala siyo Mungu
@user-fy8qs3fb5b
@user-fy8qs3fb5b 2 күн бұрын
Hiyo njia ulioichangua mzee itakuangamiza mungu anachukia upotoshaja@
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 Ай бұрын
Yesu ni mtume kwa wana waisirail tu sio dunia nzima
@rogatimushi689
@rogatimushi689 Ай бұрын
Kwaiyo we unapindana na yesu au maana yeye anasema ametumwa ulimwenguni ili kuokoa ulimwwngu
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 Ай бұрын
@@rogatimushi689 bibilia haibadiliki maneno yanakua ni yale yale binadamu ndio mnabadilisha
@cadiaOnesmo-hd5lr
@cadiaOnesmo-hd5lr Ай бұрын
Pole
@smprotz
@smprotz 19 күн бұрын
Nachomkubali @mzeewaupako anajenga msingi WA andiko Kwa uwazi WA maandiko MENGI. Sio Hawa wengine wanaotegemea andiko Moja lisilo WAZI. Wewe ni Chief Bhana
@Mwalamidihimbwa
@Mwalamidihimbwa Ай бұрын
Uko sawa mzee kabisa yani mungu hazai hajulikani alivyo yesu watu waliish nae na alimuomba Amuepushe na baraa
@adamcharo9327
@adamcharo9327 5 күн бұрын
Mzee wa upako ako sawa kabisa na watu wajifunze kutoka kwake
@user-jo2qv2qw9x
@user-jo2qv2qw9x 14 күн бұрын
Soma Neno Mzee wa upako wafilipi 2:5-10 jitahid kujua unabii acha kudanganya watu wa Mungu na msome nabii Isaya vzr
@castorchipalo84
@castorchipalo84 Ай бұрын
kwani mshikaji wa upako kakosea wapi mi kwangu sahihi mungu na yesu vitu viwili tofauti
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Mungu mmoja nafsi 3. Yesu ni Mungu, Mungu ni neno, Yesu Kristo ni neno, akafanyika mwili akaja kwetu nasi tukaona utukufu wake!! Yohana 1:1-14, Yesu ni Mungu Warumi 9:5, Tito2:13. Kwahiyo mzee wa upako ww ni mpinga Kristo. Utaangamia tu!! Tubu leo hii.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Ай бұрын
Haangamii Kwa Kusema Ukweli. Soma Vizuri Biblia Au Sikiliza Ama Uliza Haujui. Usinukuu vipengelee Usivyovijua. Rudia Maneno YEROI YEROI MBONA Umeniacha Bwana Yesu Akiomba Msaada Kwa Mungu Wake.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 No no no. Isaya 9:6 Yesu ni Mungu mwenye nguvu mfalme wa amani. Huwezi kuniambia kitu ww mpagani usiyejua kitu.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Ай бұрын
@@user-cw8zn2dn6m Eti Yesu Ni Mungu Na Mungu Atakuwa Nani.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Ай бұрын
@@user-cw8zn2dn6m Ukweli Umekufikia Mengineyo. Mengine Aongoki Mwenye Kuongoka Ila Kwa Matakwa Ya Wetu Mlezi.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@nurdinmfamau3493 andika point vizuri maana hata sikuelewi. Andika kitu vizuri ueleweke
@user-cm5xv7gb2e
@user-cm5xv7gb2e 4 күн бұрын
Acha kufundisha watu uongo sifa zote alizanazo Mungu na Yesu anazo,utahukumiwa Kwa kufundisha uongo huu sijui kama unafundisha Kwa kutokujua au Kwa kujua
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq 5 күн бұрын
Yesu ni mungu nafsi ya pili na kabla hajapewa jina la yesu alifahamika kama neno na alikuwepa kabla ya dunia kuumbwa rejea kitabu Cha mwazo mungu amesema na tumfanye mtu Kwa sura na mfano wetu alikuwa na yesu
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 13 күн бұрын
Ukweli huu wakristo wengi hawataki kuusikia.Mzee wa upako umefanya sehemu yako,kazi ni kwao wenyewe siku ya kiama hutawajibika ktk jambo kama hili.Mara nyingi maubili yako huwa ni logical sana.M.Mungu akuongoze uzidi kuiona na kuisimamia kweli.
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 Ай бұрын
Mungu hawez kutahiriwa na kiumbe wake aliemuumba,
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th Ай бұрын
Swadakta
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Yeye mwenyewe anaajichanganya, mwili wa nyama aliotoka nao kwa Mariam aliuvua palepale alipokufa msalabani, anasema Yohana baada ya miaka 30 alimwona akiwa na. Mwili mwinginekabisa, mwili wenye utukufu, anasema alipomwona alizimia, kwanini azimie maana alimona Mungu. Tizama sifa alizomwona nazo, macho kama miale ya moto, sura kama mwangaza wa jua, sauti kama wa maji mengi nk. Alikua na mwili wa utukufu, mtukufu ni Mungu tu, kwanini manajichanganya afu mnasifiana.
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Kwahilo lakusema alitahiriwa ni pale unapomwangalia Yesu kibinadamu, ili akubalike katika jamii ilibidi afanye hayo ili aishi na jamii Ile ili aweze kuwahubiri Habari njema, hebu fikiria kama angekuja kwa utukufu ule wa mbinguni, nani angeweza kuwa nae karibu? Alijishusha ili injili itufikie. Kwahiyo usimwangalie Yesu in a human perspective. Mtizame Yesu yule aliekuwepo kabla ya Ibrahim babu yenu, Yule Yesu katika Yohana 1:1-14, yaani pale tunaposoma kuwa alikua neno nae neno alikua kwa Mungu, nae neno alikua Mungu, akafanyika Mwili nao utukufu wake tukaona kama utukufu wa mwana pekee wa Mungu. Jamani kwanini hatusomi maandiko? Yaani alikua kwa Mungu nae alikua Mungu. Ila sisi wanadamu tukamwona kama mwana pekee wa Mungu. Mnataka andiko lipi mjue kuwa alikua Mungu? Ee baba wasamehe maana hawajui wayafikiriayo.
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 19 күн бұрын
Nyie ambae mmeshawahi kumuona Mungu tuambie anafananaje?
@AyubuBenard
@AyubuBenard Ай бұрын
Yesu ni mungu tu wew endelea kukataa na yesu ndiyo njia ya kweli na uzima na mtu aendi kwa baba pasipo yeye yesu ambaye ni njia
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
Amen
@drelizakilili
@drelizakilili 20 күн бұрын
Na ni mwisho wa sheria
@Sheba4651
@Sheba4651 6 күн бұрын
Sasa ndio nini 😂😂😂 Ati Yesu ni mungu, mtu haendi kwa baba pasina yeye😂😂😂 Ndio maana Mungu akaanda Jehanam kwa vilaza wajinga kama hawa.
@SekaMaster45
@SekaMaster45 Ай бұрын
Sahihi kabisa we mzee Uwe MUISLAMU TU Allah akuongoze YESU Ni nabii tu wa MUNGU
@PeterJuliusSabuni
@PeterJuliusSabuni 27 күн бұрын
Mzee wa upako ni mlevi hap kagonga bia zake anaongea utumbo utumbo kalale wewe
@barackamosi4116
@barackamosi4116 Ай бұрын
Lazima wapinga kristo watokee ili unabii hutimie kwahiyo Mimi sishangai hiyo kwasababu na juwa tupo mwisho wa Dunia na hayo yote yalisha tabiliwa habali za mpinga kristo
@KornelNyenzi
@KornelNyenzi Ай бұрын
Upofu wako ndio kikombe chako , ila Mungu n mwenye rehema anakuhtj Zaid so sisi kama wakristo tunakuombea uione rehema n pia jifunze kusoma bible vizuri n roho mtakatifu akuongoze uyapate mafunuo haya , maaan mpinga kristo yupo mbioni n anafamya kazi
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 27 күн бұрын
Huo ndo ukweli mungu Hali,hashikwi na usingizi Wala kulala,halii Bali anachukia,hacheki Bali anafurahi,haendi chooni, hakuzaa Wala kuzaliwa, hafi Wala kufufuka ukiona mungu unaye muabudu anasifa hizo jua umepotea upotofu ulio dhahiri Wala usilete ujanja ujanja maana wengine wanasema Kuna mungu wa mwili na waroho uo ni uhuni2
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
bado kitambo kidogo tu mzee wa upako utaweka wazi ukweli wote
@Faya884
@Faya884 Ай бұрын
Ata yesu alimulizaa petro watu wabasema mimi ni nani petro hakamjibu wew n mwana wa Mungu ulie hai🙏🙏🙏
@user-pq6wd1nj4d
@user-pq6wd1nj4d Ай бұрын
Yesu anakuona tubu KWA maneno Kuntu yasiyo na uzima wala uhai ,wewe sio mkristo ,sis wakristo tunaamini Yesu ni MUNGU , MUNGU pamoja nasi baba wa Milele
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 Ай бұрын
soma vizuri biblia.huyo mzee wa upako anatoa maandiko kwa biblia.someni biblia ndio utajua
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq 5 күн бұрын
Huyo ni tapeli tyu yupo ki pesa
@KaristusiMnyagala-ci8kb
@KaristusiMnyagala-ci8kb Ай бұрын
Mzee wa upako uko sahihi kabisa
@Sheba4651
@Sheba4651 6 күн бұрын
Karibu kwenye Uislamu, muda unaisha huo. Achana na music, muda ndio huu. Mjadala uungu wa Yesu kwenye Uislamu una majibu ya wazi.
@DaudiSangella
@DaudiSangella 22 күн бұрын
Neno la Mungu lilikuwa kwa Yesu.Tulizungumza na Mungu aslimia100 kupitia kinnywa cha Yesu.aliye muona yesu alimuonaMungu kwa NENO sio kwa kwa umbo.na ukweli huu haupingiki.Lusekelo yuko sawa.
@jameswissa9981
@jameswissa9981 12 күн бұрын
Yesu Ni Mungu Na ni Hakika Yoh 1:1
@nehemiagwalusako596
@nehemiagwalusako596 Ай бұрын
Lkn ktk yote najua Mungu uliniamin kuwa kwenye kizazi hiki,one day nitayang'oa haya mana mi nyundo yako uliniambia wazi YESU WEWE NI MUNGU
@HansiKatumbi
@HansiKatumbi Ай бұрын
Lusekelo yupo sahihi na namuomba MUNGU hamfishe hali ya kuwa muislam
@user-bw5pp3vk3r
@user-bw5pp3vk3r 14 күн бұрын
Upo sahihi sana. Na Mungu akuongoze uzidi kuiona nuru.Ameen.
@JumahAShabani
@JumahAShabani 16 сағат бұрын
Sahihi kabisa Yani Uumbe viumbe mwenyew Kisha wakuuwe ili wachukue Ufalme wako au yani hii ni kwawenye akili timamu2 ambae hana akilitimamu ataendelea kumuita yesu Mungu
@isayakiyeyeu6295
@isayakiyeyeu6295 Ай бұрын
Yesu anajitambulisha kuwa ni Mungu Yohana 1:1_5
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Ай бұрын
Wewe hauna akili nasiyo kosa LAKO na ndio maana bibilia zenu Kila mwaka Zinabadilishwa vifungu mala viongezwe mala viondowe ondeo vifungu siyo kola lako Mimi nawalaumu mashetani wanao potosha watu 😢😢😢😢
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x Ай бұрын
W tz wanaoamin wahubiri badala ya kusoma neno la mungu ni janga hyu aombewe amepagawa au konyagi yohn 1 kulikuwako neno naye neno alikuwako yesu ni mungu mwanzo na mwisho
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
Amena amen
@lilyg2134
@lilyg2134 25 күн бұрын
kabisa yaani hata sijaimaliza kuangalia upuuzi wake wote....namuona kichaa tu maana msingi wangu biblia...akawadanganye vipofu wenzie huko kanisani kwake
@zenajuma1745
@zenajuma1745 26 күн бұрын
MUNGU YUKO NDANI YA YESU NA YESU YUKO NDANI YA MUNGU NA SISI TUNAOMWAMINI YESU KRISTO KAMA BWANA NA MWOKOZI WETU TUKO NDANI YA YESU NA YEYE YUKO NDANI YETU. ......
@ustawiwetu
@ustawiwetu Ай бұрын
Wapinga Kristo
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Unatakiwa na wewe uje na hoja
@neemamajana3078
@neemamajana3078 Ай бұрын
Hajampinga Kristo msikilize vzr
@lilyg2134
@lilyg2134 25 күн бұрын
kabisaa biblia ilituonyaa!!!
@user-pq6wd1nj4d
@user-pq6wd1nj4d Ай бұрын
Token KWA huyu mtu ni NABII WA MWONGO ,Yesu ni MUNGU MILELE
@rogatimushi689
@rogatimushi689 Ай бұрын
We bado sana nakushauri usikubali kusomewa maandiko jitahidi kuchunguza maandiko matakatifu ya biblia utamjua yesu ni nani maana yeye mwenyewe anasema ni mwana wa mungu
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 21 күн бұрын
Yohana akumuona yesu, aliona mfano wa mwanadamu, Mzee muongo sana uyu yani anasoma Biblia aelewi sijui ni mlevi😂😂
@abbymdee8920
@abbymdee8920 19 күн бұрын
Umesema kweli Mzee wa Upako Mwenyezi Mungu akubariki.
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 19 күн бұрын
Kanisa ni moja tu ,katoliki la mitume
@user-ob9mc5zc1k
@user-ob9mc5zc1k Ай бұрын
UBARIKIWE SANA KWA UKWELI MZEE WA UPAKO
@emmanuelmwakibolwa735
@emmanuelmwakibolwa735 28 күн бұрын
roho ya upotevu hujishuhudia yenyewe kwa yenyewe. Nabii Isaya alishaona na kutabiri kuja kwa "MUNGU MWENYE NGUVU", lakini kizazi cha leo baadhi wanapinga kwa kutokujua kwao, kwa kuwa hawamjui Mungu, wanajitumikia wenyewe na kuwadanganya wengi ili waangamie pamoja naye.
@alimzee
@alimzee Ай бұрын
Yes yes yes
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Ай бұрын
Mathayo 1:23 [23]Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
@kelvinmurithi7255
@kelvinmurithi7255 26 күн бұрын
Amen Mzee nakubaliana nawe mia kwa mia ubarikiwa
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt Ай бұрын
Safi sana
@rockevarist4299
@rockevarist4299 22 күн бұрын
Yesu ni Mungu mzee, ebu tutafsirie na izi mistar :😂 Wahebrania 1:19 Warumi 9:5 Jeremiah 10:16,19 na subiri
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 15 күн бұрын
Kaeni Chocho hikinikiama chawazungu nawarabu wanahiria afrka wafanye wananaume kuzaa kama mwanamuke mungu tusahidie namajaribu yawatu weupe
@VictorChisanza-uf4ly
@VictorChisanza-uf4ly 24 күн бұрын
YESU NI MUNGU.
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 19 күн бұрын
Ni kweli kabisa Yesu siyo Mungu na wala hakuhusika ktk kuumba hii dunia ila ni nabii wa Mwenyezi Mungu na wanaomwita mungu na kumuabudu hiyo ni imani yao maana kuna wanaoabudu ng'ombe na masanamu pia wapo hivyo msimlaumu mzee wa upako
@lilyg2134
@lilyg2134 18 күн бұрын
HEBU KAFIE MBELE HUKO, DINI YAKO YENYEWE INATEGEMEA MSINGI WA WAKRISTO, YAN BILA UKRISTIO HAMNA DINI NYIE MAKAFIR YA KIISLAM... QURAN KARIBU YOTE TUMEJAA SISI NA WAYAHUDI TU JINSI MNAVOWASHWA🤣
@lilyg2134
@lilyg2134 18 күн бұрын
YESU NABII HUKO KWENU KWA BABAKO SIO KWA WAKRISTO!! NIACHE KUWAAMINI MITUME WA YESU WALIOKULA NAE MEZA MOJA NIMUAMINI CHIZI MMOJA ALOKUJA MIAKA 600 BAADA YA YESU KUPAA MBINGUNI🤣🤣 HATA SURA HAJAWAHI KUMUONA WALA KUMUOTA, ANAAMKA TU ANAKUJA KUWADANGANYA, CHIZI LINGINE NI HILI LA 2024 LISILOJUA LINACHOKIABUDU..AFU LIKIWA KANISANI KWAKE LINAOMBEA WATU KWA JINA LA YESU HUYO HUYO ANAESEMA SIO MUNGU NI MTUME...MXIUUU!!!!
@lilyg2134
@lilyg2134 18 күн бұрын
MNAABUDU MUNGU MWEZI, MNAABUDU JIWE NA KULIBUSU KUOMBA KWENE HILO JIWE, WEHU WENZENU KIBAO WANAKUFA KWA KUKANYAGANA HUKO MECCA KISA KUGOMBANIA KULIGUSA JIWE🤣🤣🤣🤣🤣🤣HEBU KAMRUSHIE SHETANI MAWE HUKO MECCA USITUPGIE KELELE..KATIKA WATU WALIOCHANGANYIKIWA NA KUDANGANYWA NA MUDI NYIE WAISLAM..HAMNA DINI !!!
@petermwenda6470
@petermwenda6470 26 күн бұрын
Jitathmini mzee
@emanuelyohana3049
@emanuelyohana3049 14 күн бұрын
uko sawa
@user-vo5zg1bj3i
@user-vo5zg1bj3i 19 күн бұрын
Ulivyo kuwa masikin alikuwa mungu leo syo Mungu pouw
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq 3 күн бұрын
Soma mathayo 1:23 Tazama bikira atachukua mimba naye atamzaa mwana nao watamwita jina lake Emmanuel mungu pamoja nasi.
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 21 күн бұрын
Mzee wa upoko umeongea ukwel wachie wanunu ukwel ndo uwo
@abubakarmustwafa-lg8fe
@abubakarmustwafa-lg8fe Ай бұрын
Chief Mwamba....Saf sana Chief Mwenzangu
@mchopacalvin2986
@mchopacalvin2986 Ай бұрын
Na ndio maana unaelewa? Ila unaidhalilisha sana diploma yako. Hujui hata maana ya Neno akavaa mwili????
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 25 күн бұрын
Huyu Mzee n mlevi yesu ni mungu utake usitake
@humbimusisa-db1tg
@humbimusisa-db1tg 24 күн бұрын
Wewe ndo mlevi 😅😅😅😅 Mungu hajazaliwa na mwanamke yeyote Yule.... Mungu hajafa wala mungu hawezi kupigwa na kusurubiwa na aliyowaumba 😅😅😅😅😅 una feli wapi wewe..... Yesu siyo mungu na wala Hana uungu wowote ule
@Sheba4651
@Sheba4651 6 күн бұрын
Ati mungu wenu kazaliwa na mwanamke? ##Wazungu wamedanganywa vibaya
@apostel.jofreymkumbwa6092
@apostel.jofreymkumbwa6092 Ай бұрын
Pambana na zambi watu wajitakase YESU analudi kwani masomo Yamaha antoney lusekelo koo wewe umeona ndio somo lakubabadilisha my iyo Y😂ao ao 5:57 washilika wako wapi mitume namanabi I walisimama kuya zungumuzia
@user-tr1jm1ux9f
@user-tr1jm1ux9f 15 күн бұрын
Nakukubali sana mungu akupe umri mrefu
@user-tw6pk6vf4v
@user-tw6pk6vf4v Ай бұрын
Ivyo mungu ndoanapenda
@Hapomwanzo
@Hapomwanzo Ай бұрын
Pombe sio nzuri jamani.
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p Ай бұрын
Sisi WaUNITARIAN japo nasi pia ni wa Kristo kwetu sisi Yesu si Mungu ila Mtoto au Mtumishi wa Mungu au Kikomboleo pekee na kiumbe wa Kwanza wa Mungu na ni mpatanishi pekee kati yetu na Mungu yaani Yahwe. Someni Biblia Yote enyi wakristo jina.
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Ай бұрын
Wanao amini yesu ni Mungu siyo kola lao wanastali maombi na kuelimishwa vizuli
@user-ft4cp2tt5c
@user-ft4cp2tt5c Ай бұрын
Ukiona unapongezwa na wapinzani wako, yaani wenye imani nyingine, jiulize umekosea wapi.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Huo ndio ukweli hata kama unauma mmedanywa sana
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno Ай бұрын
Watu wamemsubilia shakahola yesu hajaja wamekufa kwa njaaa jamani Imani nyingine hizi 😭😭
@SamhhIlo-ib4ij
@SamhhIlo-ib4ij 28 күн бұрын
Ndomana Mungu alimpa kila mtu akili na macho ukiamua kusikiliza uvundo ni wewe tu! "Mungu akasema naTUMFANYE MTU KWA SURA YETU" Mwanzo 1:26 mwanzo 11:7 isaya 6:8 tito 2: 13 ufunuo1:3-6 ukipotea umechagua
@FadhilaHaki
@FadhilaHaki Ай бұрын
Mungu ni mmoja katika nafsi tatu ;baba ,mwana na roho mtakatifu
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Biblia inakushangaa.
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 12 күн бұрын
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 5 20 NASI TWAJUA KWAMBA MWANA WA MUNGU AMEKWISHA KUJA, NAYE AMETUPA AKILI KWAMBA TUMJUE YEYE ALIYE WA KWELI, NASI TUMO NDANI YAKE YEYE ALIYE WA KWELI, YAANI, NDANI YA MWANA WAKE YESU KRISTO, HUYU NDIYE MUNGU WA KWELI, NA UZIMA WA MILELE. AMEN!!!💖💖💖
@EmmanuelJulius-vw2dl
@EmmanuelJulius-vw2dl Ай бұрын
Mungu anatufungua macho ila bado hatuoni, mlisikia wapinga kristo waja na sasa wako duniani, nawaombeni sana wana wa Mungu tusome maandiko, kumtegemea mwanadamu akufundishe neno la Mungu haya ndio matokeo yake
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Ай бұрын
Wewe Yesu alikuwa fundi seremala, soma biblia.
@user-hr7ep8zt2r
@user-hr7ep8zt2r 25 күн бұрын
Hatauseme yesu si mungu haitamufanya kutokuwa mungu danganya Hao ambao hawasome maandiko
@lilyg2134
@lilyg2134 25 күн бұрын
si ndo hapo, sana sana anajizidishia dhambi za uzeeni tu, kamwe biblia haitobadilika
@user-hk1dz8de2x
@user-hk1dz8de2x Ай бұрын
Huwezi kumjua Yesu bila yeye kujifunua kwako,mathayo 11;27 Yesu ni Mungu hakuna ubishi.Wanaochanganywa na maandiko nawashauri waokoke kwanza,waishi maisha matakatifu,wajazwe Roho mtakatifu ndipo watamuelewa vizuri 1wakorinto 2;13(atajifunua kwao).Waulize wanaosema kuwa Yesu si Mungu ,waliambiwa na Roho mtktfu au wamepotelea kwenye maandiko? Maandiko hayo yameandikwa kwa uongozi wa Roho mt ,hivyo ukitaka kuyaelewa lazima ujazwe Roho yuleyule maana hayatambuliki kwa hekima ya kibinadamu,thx
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 Ай бұрын
Kwahiyo wewe mbwa unataka kusema yaani wewe wakati unakuja dunia ulipita sehemu ya siri ya mama yako na huyo mungu wako yesu wakati anakuja duniani alipita sehemu ya siri ya Mariam yaani kwenye uchi wa Mariam Sasa wewe siutakuwa ni taira huyo ni mungu gani wa hivyo
@user-hk1dz8de2x
@user-hk1dz8de2x Ай бұрын
@@hajimasoud7210 kwa njia hiyo ya matusi na ubishi hautamjua Yesu,naomba akusamehe nami nimekusamehe maana hujui au unajua nguvu zinazokutumia..Mpokee Yesu,uliishi neno lake ,ujazwe Roho mtakatifu ,atajitamburisha kwako ya kuwa yeye ni nani,Asante ,Mungu akupe kipawa cha wokovu shekh
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Acha matusi aisee, wewe unaupofu wa kimaandiko, Yesu mwenyewe anakwambia mimi ni alfa na omega yaani wamwanzo na wamwisho, tena anasema kabla ya Ibrahim mimi niko, Yesu anatamka kwa kinywa chake. Sasa kama alikuwepo kabla hata ya Babu wa mababu Ibrahim, wewe unamzungumziaje kibinadam, tizama usiwe kama wale waliomsurubisha maana alipojitanabaisha kuwa yu Mungu waliona amekufuru nakumsema kuwa anafundisha mafundisho mapotofu maana walikua na idea kama zako, Tumwombe atuokoe nakututoa kwenye upofu huo. Usitukane maana u naupofu wakimaandiko.
@yessesamson741
@yessesamson741 Ай бұрын
​@@hajimasoud7210 umemuelewa vzuri uliekomenti kwake au unajibu kudhihirisha ujinga wako amejibu alichosoma na wewe lete ulichosoma sio ushabiki na ujinga ujinga lete maandiko yanayozuia yesu kutokua Mungu kwenye biblia
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
Amen amen
@PeterNMzee
@PeterNMzee Ай бұрын
Mathayo 3:17 na tazama sauti kutoka MBINGUNI ikasikika ikisema huyu ndiye mwanangu nipendezwaye naye msikilizeni yeye
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
❤❤❤❤
@jumasukari7866
@jumasukari7866 Ай бұрын
Kweli kuyaelewa maandiko kazi ngum sana aiseee
@kilianmtotowamungu3885
@kilianmtotowamungu3885 26 күн бұрын
Kumbe ni Katoto kwenye maandiko .aibu sana hiii huyu siwezi msikiliza
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 19 күн бұрын
Yesu ni Mungu kweli
@hajimasoud7210
@hajimasoud7210 Ай бұрын
Eti kazaliwa mtoto yaani kuna siku mungu alikuwa ni mtoto anafungwa nepi kama watoto wengine jamani mataira punguzei huo utaira wenu
@elihurumamushi2521
@elihurumamushi2521 Ай бұрын
nakuuliza swali wewe mjiga mtume muhamad aliyemwambia yeye ni mtume ni nani nijibu tafadhali
@SamsunSamsung-dq4bc
@SamsunSamsung-dq4bc Ай бұрын
Tatizo la afya akili ni hatari mno hasa wajiitao viongozi😢
@Gospelsingersandactors
@Gospelsingersandactors 17 күн бұрын
Mzee umekuwa mwiba sana kwenye ukristo aise
@zenajuma1745
@zenajuma1745 26 күн бұрын
YESU LEO YUKO KWETU KAMA ROHO MTAKATIFU...NDIYE YESU LEO.....NDIYE ANAYEKAA NDANI YETU TUMUAMINIO LEO....
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 20 күн бұрын
Haki mandiko yana timia wewe unaye sema yesu sii Mungu naa fikiri wewe ni mzee wamashatani
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices Ай бұрын
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 28 күн бұрын
❤❤❤
@timotheosimon3722
@timotheosimon3722 25 күн бұрын
Nice nice
@anoldpotentin2446
@anoldpotentin2446 19 күн бұрын
Umemaliza kila kitu comrade
@ShabaniMoshi-jh7yj
@ShabaniMoshi-jh7yj 19 күн бұрын
😀😀😀😀
@burkardkayombo4608
@burkardkayombo4608 8 күн бұрын
Mbele ya mungu wako unasimama kwa maneno yako. Lakini baada ya kukusikiliza inaonesha wewe ni sawa na Askofu Nikodemu aliyeshangaa uzaliwa wa mtu mara ya pili. Kwako (1) Hujaokoka (2) Kwa kukosa wokovu umeshindwa kujua pande mbili za Yesu, ambazo hayo aliyosema Yesu alikuwa wapi na akiwa nani. (3) Kwa kukosa kwako kuokoka umeshindwa kujua Yesu Duniani alikuja kufanya nini. Sikushangai, kwani ndani ya nyumba kuna vyombo vyenye thamani na visivyo na thamani. Huna uwezo wa kubadilisha kitu, YESU NI MUNGU.
@lilyg2134
@lilyg2134 6 күн бұрын
HANA AKILI, NA HAJUI ROHO NGAPI ZA WATU KAZIPOTOSHA!! KAZI YAKE ANATAWANYA KONDOO WA BWANA , HUYU NI MPINGA KRISTO NAWAONEA HURUMA HAO WANAOENDA KANISANI KWAKE
@gbreezy_tz
@gbreezy_tz Ай бұрын
😂😂uyu mzee kashachanganyikiwa maneno yote ayo anayoyatoa ni ili apewe hela duuh ndo maana kafulia
@davidmaisely7487
@davidmaisely7487 21 күн бұрын
Dah kiukwel nimesikitika sana , kuona hadi wateule nao wameanza kukengeuka
@user-lw3kp8ns2o
@user-lw3kp8ns2o Ай бұрын
Kweli yesu ni mtume kama mtume, Sio mungu ndugu zetu wakristo
@rashidmexes3629
@rashidmexes3629 Ай бұрын
Mbona hujakubali kama Yesu ni Mwana wa Mungu kama mwalimu alivyoeleza hapo
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 Ай бұрын
YOHANA 20:28" Thomaso akamwambia(Yesu), Bwana wangu na Mungu wangu, Yesu akamwambia, wewe kwakuwa umeniona umesadiki, heri wanaoamini bila kuona"......je, kama Yesu si Mungu kwanini alikubali kuitwa na Thomaso kuwa ni Bwana na Mungu?..tena alimpongeza Thomaso Kwa kumtambua yeye kuwa ni Bwana na ni Mungu?
@StevenPeter-sg7zo
@StevenPeter-sg7zo Ай бұрын
Tito 2:13 Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa kristo Yesu MUNGU MKUU na mwokozi wetu. Hivi haya maandiko hamuyaoni au mkifika ukurasa huo mnaruka??!!
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 21 күн бұрын
Mzee wa upako kazi unayo umekosea sn
@SokratesStallin
@SokratesStallin Ай бұрын
Unavosema nisawa kabisa yesu ajawahi kuwepo duniani nistor za hao manguruwe na mungu mnaemuabudu sioyule original vais x vesa
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 24 күн бұрын
Kumtambua kisha kumshusha Yesu kunahitaji matumizi ya akili huku moyo ukautenga kando hapa ndipo roho mtakatifu wa kweli utahisi anakuingia na kuelewa zaidi...
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Ай бұрын
Daaah hili fundisho gumu ila ni ukweli
@elijahmediaservices
@elijahmediaservices Ай бұрын
Uongo
@ZuhuraMwanafuno
@ZuhuraMwanafuno Ай бұрын
Ukweli
@dicksonkimanthi5242
@dicksonkimanthi5242 19 күн бұрын
Ni ni mwana wa mungu lakini lakini ni mungu kwa asili but sio nafsi
@Sostere98
@Sostere98 19 күн бұрын
Kwani kuna mtu kasema Yesu ni Mungu
@realramjen3270
@realramjen3270 20 күн бұрын
Luka 9:20 Akawaambia, Nanyi mwasema ya kwamba mimi ni nani? Petro akamjibu akasema, Ndiwe Kristo wa Mungu.
@Moses-yw5mb
@Moses-yw5mb 16 күн бұрын
Mzee wa upako anaelewa Bible na haubiri kama kibaraka Yesu ni mshirika wa Mungu na sio Mungu hata yeye alisema "mimi ni mzaliwa wa kwanza wa baba yaani Mungu" lakini alisema kwanini kuniita mwema mwemani Mungu pekee yake" kwavyo Yesu anatutambulisha ukuu wa Mungu
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 31 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
UKRISTO NA POMBE
4:25
Mzee wa upako
Рет қаралды 20 М.
JE YESU NI MUNGU?
29:27
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 39 М.
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
FRESH SPRING FELLOWSHIP
Рет қаралды 493 М.
FAFANUZI JE YESU NI MUNGU.?
46:14
Mzee wa upako
Рет қаралды 30 М.
VITA VYA KIROHO
33:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 6 М.
MCHANGO WA SHILOLE KATIKA KANISA LA MASANJA (Feel Free Church)
4:26
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 78 М.
MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE
15:54
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 1 МЛН
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 45 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 31 МЛН