ALIYEWAHI KUWA MKE WA SAID APATIKANA ASIMULIA ALICHOWAHI KUFANYIWA

  Рет қаралды 484,428

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 924
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Ila huyu dada kafanana na Masha love kama unakubaliana na Mimi gonga like hapa👇
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Somo kubwa hapa ni Kwamba ndoa ilfanywa kwa desturi za Ki islamu. Makosa ya vijana wengi TZ wakusoma Dini vyema kiasi cha kufahamu elimu ya Tawhid. Kuna habari kwamba mganga au wanganga waliruhusiwa kuingilia mambo ya ndoa hiyo. Ikiwa ni hivyo, viumbe hao huwa ni hatari, hugombanisha watu na kuharibia mtu Dini kabisa. Ni jukumu la Ulamaa nchini wawaonye watu wasiangamie. Wawaelimishe vijana na hata wazazi na Waislamu wapya. Njia sahihi ni ile ya Allah.
@freduallughano2301
@freduallughano2301 2 жыл бұрын
Njia sahihi ni ile ya asili yako kama ni mwafrika.
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
@@freduallughano2301 Afrika ni pana ina Dini nyingi ikiwepo Uislam Ukienda Misri , Moroco , Algeria au Tunisia au Sudani kote Huko ni Afrika Na Imani zao Za Asili ni Islam Hivyo Acha Maneno Maneno yenye Viashiria vya Chuki
@user-sc4iv7qp9b
@user-sc4iv7qp9b 2 жыл бұрын
shida kubwa ni ujinga wa wengi katika baadhi ya waislamu kutokuijua dini yao na misingi yake mtu huwezi kuidhulmu nafsi ya mwenzako na bado ukaongeza na yako mwenyewe pia.. ni sawa upitie shida au migogoro kiasi gani , pia ni wazi khofu ya Mungu haikuwepo vyote chanzo ni ujinga maana angejua alichokitenda matokeo yake kwa Mujibu wa dini yake ingemfanya apate khofu ya Mungu
@SMG109L
@SMG109L 2 жыл бұрын
@@freduallughano2301 Dini ya asili ni uislamu.
@angelyahya418
@angelyahya418 2 жыл бұрын
i see watu wanalazimisha swalha kuonekana alikua na tatizo lkn huyo saidi hiyo ilikua ndoa ya ngap kwake? and besides ndoa still alikua na wanawake wa pembeni mpk mama yake mzazi alisema alikua na wanawame wengi sana hamuoni hiyo ni shida?? Shida ya wabongo mwanamke akiwa na muonekano mzur huyo ni malaya na hiki kitu kinapoteza wengi.... ingekua swalha ana sura ya mjomba wake kusengekuepo na comment za namna hiyo .... Tubadili Mtazamo ktk mahusiano if not kila siku kutakua na matukio na wanawake msikingie vifua wanaume wana mambo mengi sana na wao wanaona ni vzr kuwa na wanawake wengi pasipo kujua wanaharibu afya ya akili kwa mke au mpnz wake All in All RIP
@bettymwigune8150
@bettymwigune8150 2 жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@annethsongwe6063
@annethsongwe6063 2 жыл бұрын
🙌
@olivamwaikuyu5757
@olivamwaikuyu5757 2 жыл бұрын
1
@thomasdunstan8263
@thomasdunstan8263 2 жыл бұрын
Nawewe nimojawapo mwenyetabia kama za huyomke
@vevo3130
@vevo3130 2 жыл бұрын
umesema kweli....yaani at last nimekutana na mtu mwenye akili kwenye comments....so many ni psychos u can tell kwa comments tu
@esthershaban6103
@esthershaban6103 2 жыл бұрын
Mmmh huyu dada kafanana na Masha love
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 2 жыл бұрын
Ila dada kwa miaka umetupiga chenga😅😀
@neemasawe7016
@neemasawe7016 2 жыл бұрын
Alivyobabaika kwnz wakat wa kujibu😂
@madamhappymwalongo3653
@madamhappymwalongo3653 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@phelgonaamondi7251
@phelgonaamondi7251 2 жыл бұрын
Atleast amesema mabaya ma mazuri...wengine wanasema mazuri tu
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 2 жыл бұрын
Hio nyumba ya huyo kaka wamepita wanawake wengi jmn 🤲🙌
@ghatititus7136
@ghatititus7136 2 жыл бұрын
Yaani kwa kweli alioa wake wengi
@happinessteven2401
@happinessteven2401 2 жыл бұрын
ameweka maagano na watu wengi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Zaidi ya watano ata mama yk alisema
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 2 жыл бұрын
Pesa a babuu🤣🤣
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Dini yake inamruhusu,mkumbuke hilo???
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 2 жыл бұрын
Ila said alikuwaga anachukua vyuma kwelikweli wake zake wote warembo😘
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 2 жыл бұрын
Sahh uko sawa
@jacquelinekahamba7872
@jacquelinekahamba7872 2 жыл бұрын
pesa
@MsMayna-ih6uq
@MsMayna-ih6uq 2 жыл бұрын
Kuna wanaume hawafai au hawajaumbiwa ndoa kbsa... na baahdi ya wanawake vilevile!
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah hasira hasara Mama yake Anamtetea mwanae kumbe mwanae ndie mkorofi upendo bila kuona wazazi bila wazazi mngepatikana? Mbona mama yake anakuja kutembelea ukimpenda uwa penda na boga lake matatizo kweli
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 жыл бұрын
Said ulikuwa ukioa kilasiku. Hongera mama mzaa chema. pesa zinamfanya mtu afanye anacho weza
@ismailmatari916
@ismailmatari916 2 жыл бұрын
Unakimiss wakati ulisha achika kitambo na nyie waandishi ulizeni naswali ya msingi yanayoendana na wakati bush it: R I P wapendwa mungu awafanyie wepesi huko muendapo🤦
@fatumakassim3793
@fatumakassim3793 2 жыл бұрын
Wanawake mnaomhukum swallher mnaniumiza Sana,,aisee,,,hivi imeandikwa wapi ,mwanamke ndio anatakiwa kutulia kwenye ndoa tyu,,?jukumu la kutulia nilawanandoa wote mwanamke na mwanamme,,nasi mwanamke tyu,,,,,
@delphinkakudji
@delphinkakudji 2 жыл бұрын
😢he needed someone to help him ,he was stressed and he didn’t know what to do. Stress nyingi uzaa hasira 🙏🏾. So sad 😞
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 2 жыл бұрын
Mbona uyo dada mwingine kiherehere ivo kwan anaulizwa yeye khaa🤣
@victoriamajeni3474
@victoriamajeni3474 2 жыл бұрын
Na alisema alikua rafiki wa swalher uyu alihojiwa Hadi msiban kwa swalher kumbe mnafikii tu
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Anafanana na mke wa hamorapa
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 2 ай бұрын
​@@gracejonh4022Ni yy
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 2 жыл бұрын
Marehemu kapuzika hawezi kuyajibu haya yote, Msimpe njia ngumu huko aliko nyinyi wanadamu kwani ninyi niwakamilifu, jibu litakuwa hapana si wamilifu Basi acheni apumzike, Tafakari ya kwako Kwanza marehemu kamaliza kazi yake hapa duniani!
@dorisonesmo8814
@dorisonesmo8814 2 жыл бұрын
Ibaki kuwa fundisho kwa wengine kuua na kujiua ni dhambi kuliko yasemwayo
@yasinrasheed5743
@yasinrasheed5743 2 жыл бұрын
Mungu amekataza kujiua ama kuua nafsi yoyote tayari Hilo Nikosa, mwenyezi Mungu anaahidi ukifanya kitendo cha kujiua utaishi motoni milele
@thedon8048
@thedon8048 2 жыл бұрын
💪💪
@silyvesterrichard758
@silyvesterrichard758 2 жыл бұрын
Ni kweli Kaka maana huyo aliyekuwa mke wake anakuambia alikuwa na upendo Sana sasa kwa sababu hawezi kujibu wamwache apumzike
@maximillianmagesa2758
@maximillianmagesa2758 2 жыл бұрын
Kabisa wamwache apumzike kwa amani.
@chrissmichaelmashouda1726
@chrissmichaelmashouda1726 2 жыл бұрын
Yaaani Kusikia ajali imetokea hakukufanyi uache kusafiri...tusikiapo haya ya ndoa hakukufanyi kuacha kuamini bado kuna waume na wake Bora wanaishi it's matter of selection tuu🤞
@mwitaagness455
@mwitaagness455 2 жыл бұрын
Huyu alimkuta hana kazi na kuna mwingine anasema pia alimkuta hana kwa kifupi wanataka kusema mali ni halali yao Marehem ndo alimkuta akiwa vzr, hata wafanye nini haez pewa chochote hao, mama anakir said qlikuwa na wake wengi, swalleher ndo mke nhie wengine simliondoka swalleher kavumilia mpk kifo😭😭
@samwelpaul6944
@samwelpaul6944 2 жыл бұрын
je watoto wanatambulikaaa ?
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 2 жыл бұрын
@@dorahwillson1807 Swalha angekuwa hai angepewa mali.sasa atapewa shemeji,mama mkwe, au Baba mkwe?Kwa hapo watoto walivyo wengi Yule Mama naa anaweza pewa.au huyo mama Saidi
@felexulomi7793
@felexulomi7793 2 жыл бұрын
Ukiona ela yako yako inakupeleka kwenye umalay maisha yako yatakua mafupi san
@doreencharles2836
@doreencharles2836 2 жыл бұрын
𝙿𝚘𝚒𝚗𝚝
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Kabisa ndugu
@dorahwillson1807
@dorahwillson1807 2 жыл бұрын
Daaah umenena kweli
@limymasele21
@limymasele21 2 жыл бұрын
Umeonaeee?
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
Duh word
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Kumbe kakaang alikuwa mtu wa hivyo, mtihani kwakweli.
@mohamedally6390
@mohamedally6390 2 жыл бұрын
Sema mwamba alikuwa anapenda kuchukuwa pisi kaliii
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
La!! maana hata huyu anauehojiwa!!! du!!! simchezo.
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
@@saimonijonas4356 wa kawaida sanaa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
@@ahz6907 😂😂😂
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 2 жыл бұрын
@@saimonijonas4356 alikuwa anapenda wanawake wale cha wote
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 2 жыл бұрын
Wadangaji hao
@fatmaqhta8528
@fatmaqhta8528 2 жыл бұрын
Poleni Wafiwa Innalilah wa Innalilah Rajiun pepo iwe makaazi yake 😭😭😭🇰🇪🇰🇪
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Mmmmmmh Tanzania 👑😇
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 2 жыл бұрын
Basi hapa nimeamini huyu Said alikuwa ana wivu sana na alikuwa mkorofi sana maana kwa maelezo tu ya huyu dada wanawake wote hao walikimbia said alikuwa na matatizo .Wivu ukizidi sana matokeo yake ndio Kama haya ni mauti.R.I.P Swallher & Said.
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Mama alisema mwanawe alikuwa na wake wengi sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Yes alisema
@sarahomary3615
@sarahomary3615 2 жыл бұрын
Yani aliropoka yule mama jamani
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@sarahomary3615 kasema kweli
@happnessjoseph7191
@happnessjoseph7191 2 жыл бұрын
@@sarahomary3615 hajaropoka alisema kwa Nini amefanya tukio la hivi mbona hakuwahi kufanya kwa wake zake wengine.
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
SIFA ZA AKINA SAIDI: 1)Wana midudu (mibolo) mikubwaaa. 2)Wana hasira Sana 3)Wana roho za kwa Nini. 4)Wana sumbuliwaga Sana na maradhi ya tumbo. 5)Wana penda utani ila Wana wahi kukasirika. 6)Wana desturi ya kuperekesha wanawake (wapenzi wao). 7)Wana mapenzi Sana na mama zao wazazi. 8)wanapenda Sana ndugu zao. 9) asilimia kubwa wanapenda Sana michezo ya kubahatisha (kamari), Hawa jamaa huwaambii kitu Katika issues za kubeti. 10) wasafi kwa nje, ila siyo nguo za ndani. 11)Wana kuwaga na viarufu kama vya beberu la mbuzi lililo komaa. 12)Wana wivu Sana wa mapenzi ,ila ni wazinzi Sana, wanapenda Sana kuhisi vibaya wanawake wao. Ahsante!.
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
😆
@harousaissa7235
@harousaissa7235 2 жыл бұрын
Iyo kwel my wala hujakosea
@teehassan4731
@teehassan4731 2 жыл бұрын
Ni kweli hujakosea ngumi mkononi
@luciamashauri5723
@luciamashauri5723 2 жыл бұрын
Inabid nicheke2 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@deusdedit789
@deusdedit789 2 жыл бұрын
@No one like 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌nimecheka jaman 😂😂😂😂😂😆😆😆
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 жыл бұрын
Huyo dada hapo pembeni anatamani ahojiwe yy au nayy x maana anavyosaidia kujibu maswali yasiomuhusu🤣🤣🤣💃💃💃
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 2 жыл бұрын
Kwa maelezo ya huyu, Said alikuwa na msongo wa mawazo pia.
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Nachokiona,ni huyu jamaa baada ya kufilisiwa hakukutana na watu wa kumkansel.Naalitembea na vidonda moyoni na akili mwake.Hivyo alijikaza kiume.Na ikapelekea kuwa nahofu na kila mtu ama niadui wa maisha yake.Kiukweli alilaumiwe kama aafufuka saizi kisha aelezee maswaiba yaliyo ndani ya moyo wake,yawezekana watu wengi watatoa machozi.
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 2 жыл бұрын
Kwa maelezo ya make said alikua na shida kwenye mental health (he was depressed,he had an obsetion with perfection Yani watu wenye hii tunasema ni Alpha,what he says goes.. he had anxiety and he was late in it mpk akawa suicidal when things don't go the way he wanted)
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 2 жыл бұрын
Of course you are right
@samueljoseph6542
@samueljoseph6542 2 жыл бұрын
Obsession***
@TAASISI
@TAASISI 2 жыл бұрын
I need to know more about Alpha male I feel like I am like that
@olivajoseph1697
@olivajoseph1697 2 жыл бұрын
Huyu Said nae alikuwa na Majanga na mama ake alikuwa anakaa kimya tu
@anithanithaa2651
@anithanithaa2651 2 жыл бұрын
Afadhali tuskie na upande wa Pili maan Hiyo familia ya Said wanajitahid Sana kumtetea Ndugu Yao 😪😪😪
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Hahahaahaha
@zulfahalily6095
@zulfahalily6095 2 жыл бұрын
Kabisa nawakati ndo kafanya tukio
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@TamuzaKale 😂😂😂😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@zulfahalily6095 kabisa
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
Sio family ya Said tu mpaka shemeji yake anamtetea
@ngoshachaula172
@ngoshachaula172 2 жыл бұрын
Muongo uyu dada miaka 23 khaaaaaaa😆😆😆😆😆👏
@nengabablizer333
@nengabablizer333 2 жыл бұрын
Sema uyo said anajua kuchagua kweli yaaan 😂😂😂
@filberthabashi2870
@filberthabashi2870 2 жыл бұрын
Hahaha ni kweli alikuwa mchaguaji na mpambanaji saana
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 жыл бұрын
Sanaa
@fleviakazungu4560
@fleviakazungu4560 2 жыл бұрын
Apo kwel
@exaverymtumba7907
@exaverymtumba7907 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣alikua anajua kuchagua
@Idafa
@Idafa 2 жыл бұрын
Alikuwa ana wivu kwa vile alikuwa anajua anachokifanya huko nje na wanawake wengine. Mwizi always anahisi na yeye anaibiwa hivyo anachunga mali yake kwa uangalifu sana ila alikuwa na matatizo ya akili.
@zaipazzi9490
@zaipazzi9490 2 жыл бұрын
Ata kama mkali lakini alikuwa anaishi na msongo wa mawazo na saikorojia yake haikuwa nzuri sema hakuwa na mtu wa kumfuatiria na kumrudisha kwenye mstari. Ni jibu la tatizo lake, msongo wa mawazo hakuwa sawa.
@neyhemed5485
@neyhemed5485 2 жыл бұрын
jaman 2022 si ndo huu jaman au mi sijaelewa
@eliamaruma7846
@eliamaruma7846 2 жыл бұрын
Uwiiii kumbe alikuwa na wanawake wengi uwiii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Wote wanawake zake warembo lazima awe na wivu
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 2 жыл бұрын
Nilikuwa naitafuta hii
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 2 жыл бұрын
@@petermahimbo3458 Akii ata mimi🤣🤣🤣tena Masha Allah hasa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Jamani sasa mbona awa wake zake wamekua wengi mno khaaa ?! Kila mtu ni mke wake ?! Saidi nayeye hapana khaaa haya uyu anasema kaishi nae adi 2022 na uku ndo na swalha wamefunga ndoa mwezi wa 12 jamani 🙌🏻,, sema mama ake alisha sema alikua nao wengi
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Alhamndulillah 🤲🤲innalillah wainna ilayh rajiunah 😥
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 2 жыл бұрын
Huyu mwanamke wa 6 sasa🙌🙌🙌
@anthonikabuye8210
@anthonikabuye8210 2 жыл бұрын
Hasira kupitiliza,wivu kupitiliza,madeni ya mamilioni na anamiliki chuma ya moto😂😂😂😂 kaa mbali hapo ni hatar sana
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
Mwanza Uyuu Dada Ni Muongoo Na Umrii Amedanganya pili Amesema Aliondoka kwenye Ndoa Yke na Said Mwanzo mwa Mwaka 2022 mpka hpo ni Muongoo Akiwa Saidi Alimuoa Swalha December mwaka 2021 Uyuu Danga ni Muhungo Jmn
@isackakyoo1533
@isackakyoo1533 2 жыл бұрын
Kwakwel umri amedanganya
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Kwaiyo alikua anawivu sana na mkorofi pumzika kwa amani amen 🙏.
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 2 жыл бұрын
Kwa hiyo interview tu ya huyo mwanamke. Ni wazi kuwa jamaa alikuwa na wivu kupitiliza na hasira. Kosa kubwa hapo ni kumiliki chuma! Na kukosea maamuzi ya wapi kuitumia, hatujui ukweli ni upi na uongo ni upi ila ndiyo hivyo tena chuma kimeshatema shaba!!!
@anthonikabuye8210
@anthonikabuye8210 2 жыл бұрын
😂😂😂
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Haha
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Oooooh SALHA umekuwaa kama mchezo wakuingiza umemuachia wago zako historia ambayo haifutiki machoni mwao na taswirwa yako mama inampitia machoni kwake kama atakuona hivi saa nyingine ukisikiliza vizuri lNTAVYOO ukewenza ni mvaya ndio lile neno tukose wote R.I.P SWALHA ukewenza umekuponza sanda mlio iyona getini imejibu pole sana mama SWALHA kupoteza akiba yako mungu akupe faraja dada Amina R .I.P SWALHA
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 жыл бұрын
RIP SAIDI
@maisarah6819
@maisarah6819 2 жыл бұрын
Ukweli mtupu ddangu..wanawake Allah atustiri😭😭 utajir n mtihani/ Umaskin n mtihan.
@mayilahamisi3730
@mayilahamisi3730 2 жыл бұрын
Dah! Huyo Chawa wa mke wa marehemu alivyo na Kipwipwi cha kuonekana kwenye camera na kuhojiwa 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@raphaelsenzia8835
@raphaelsenzia8835 2 жыл бұрын
Kumbe na ww umeona😂😂
@mariamomar1735
@mariamomar1735 2 жыл бұрын
Hahaha huyo cyo chawa kunguni haswa
@jacklinegideon8074
@jacklinegideon8074 2 жыл бұрын
Masikini alikuwa na shida jamani 😭😭 ni vile watu hawakuona hilo
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 2 жыл бұрын
Huyu marehemu alikuwa na mitihani mingi yote pombe
@hidayakisensi2747
@hidayakisensi2747 2 жыл бұрын
Ila mama iyo miaka 23 hapo kwa umri wako uwenda tumepigwaa🤣🤣
@pretykileotv4186
@pretykileotv4186 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@missshenenga3220
@missshenenga3220 2 жыл бұрын
Tena na kitu kizito
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 2 жыл бұрын
Siye tunataka aliofunga nao ndoa Ao wapita njia imekula kwao Alikuwa ana subira na wanawake😔😌mungu amsamehe alipokosea
@paulinaswalehe5298
@paulinaswalehe5298 2 жыл бұрын
Ww umesemaa ukwelii,mshukuruu Mungu Kwa kuchukua hatua.
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Tangu nimeanza kufatilia interview huyu mwanamke wa5 niliyowaona wakihojiwa mama Ashraf mke wa kwanza watoto 2 Kuna mama Naa mke wa pili ndy aliyechuma nae kuanzia kiwanja hd nyumba miaka 6 wameishi wamepata mtoto 1 Kuna yule asiyemuoa kazaa nae watoto 2 kuna huyu hajazaa nae kakaa nae miaka 2 Mwisho Marehem Swalha wameishi ndy baadae ndoa miezi 5 wamependana ndy wakafa hawakubahatika kupata mtoto Hapo sasa asisemwe Swalha hajatulia wenyewe mnaona maneno ya ma x wanavyotoa ushuhuda 2022 ndy wameachana na huyu Swalha kaishi nae hd mwaka jana 2021 wamefunga ndoa sasa huyu wameishi wapi hd kufika mwaka huu na Swalha yupo humo ndani yaani Ma x hawaeleweki interview zao wanajikanyaga familia nayo vile vile dah. Tukubali Saidi alikuwa kivuruge hapo kuna watoto wengine hawajaonyeshwa wala kuhojiwa wazazi wao jaman ifike kusema tusihukumu mkamilifu hakuna
@wardw3022
@wardw3022 2 жыл бұрын
umeona kumbe
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 2 жыл бұрын
Na hapo Huyo said asingelikua na Mali usinge muona mtu kujitokeza hapo
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa shuhuda hizi anaonekana alikuwa na matatizo ya ugonjwa wa akili, shuhuda inaonyesha alishawai kumeza vidoge na pombe ili ajiue
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 жыл бұрын
Washafika 7
@mo_hustler9099
@mo_hustler9099 2 жыл бұрын
Sema huyu mwamba kazingua Bora angejiua akiwa hana watoto sasa amejiua huku ameacha watoto Unafikiri watoto wataishi kwenye mazingira gani? Cjapenda jamaa alichokifanya Bora angeachana na huyu mwanamke
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 2 жыл бұрын
Kuna vitu majumbani tunavichukulia poa utaona mtu ana tabia za ajabu ukali mwingi kumbe ana tatizo la akili bl kujua matokeo yke hasara na misiba
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 2 жыл бұрын
Kweli kabisa alikuwa mgonjwa wa akili
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Kabisaaa ukiona hivi bora ujitoe
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Kijana utulivu ziroo,tamaa mbele mauti nyuma,nakwasasa wanawake kuna jambo la kujifunza,ukiiona mwanaume haeleweki muachie mbolo yake,tembea na kuma yako huenda ukapata mtakae endana nae,maisha matamu hakuna mtu atafurahi mateso,swalha aliishi kwa mateso makubwa
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 2 жыл бұрын
Naona pembeni Kuna danga lingne linataman kuongea au kuchomekea maneno 🤣🤣🤣🤣
@hidayamakuka7876
@hidayamakuka7876 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 2 жыл бұрын
Una miaka 23🤣🤣🤣
@madamhappymwalongo3653
@madamhappymwalongo3653 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@hawasaid7151
@hawasaid7151 2 жыл бұрын
Amefanana na mashalove
@annayessa5256
@annayessa5256 2 жыл бұрын
Sana had me nimeona ivo
@maisarah6819
@maisarah6819 2 жыл бұрын
Tofauti n maziwa tuu apa
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 2 жыл бұрын
Mimi Dada huyu dada kanipiga na kitu kizito, alikaa na saidi miaka 2 afu Ana watoto3, inaana alikua akijifungua na kubeba mimba au Mimi ndio sijaelewa🙇🙇🙇
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Huyo Dada nyuma si ndio alisema ni rafiki yake salha kabisa kumbe ni rafiki yake pia huyu, inaelekea pia alikua mke wake
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
sishangai kusikia hata huyo dada wanyuma keshaliwa na saidi
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
😂😂😂
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 2 жыл бұрын
Alikuwa maraya tu pesa bira Yesu
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Yesu kafanyaje tena jmn
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiun. RIP brothers.
@michaelmchodo3307
@michaelmchodo3307 2 жыл бұрын
Basi sawa
@maryevarist8583
@maryevarist8583 2 жыл бұрын
Dah
@athumanibakari5656
@athumanibakari5656 2 жыл бұрын
Alimuachia watoto 3 alaf hajawah kuzaa nae apo sijaelewa😂😂😂
@verenabenjamin7893
@verenabenjamin7893 2 жыл бұрын
Amjamuelewa alikuwa akiishi nae na watoto watatu means watoto wa said
@shaniramsale5324
@shaniramsale5324 2 жыл бұрын
Hata mimi sikuelewa🤣🤣🤣
@samiajabu2256
@samiajabu2256 2 жыл бұрын
Hapo tyu kwa miaka 23 unaongopa
@naftaribulenya5847
@naftaribulenya5847 2 жыл бұрын
Si ndio hapo Sasa kumbe umeisoma na wewe🤣🤣
@nataliakenny9499
@nataliakenny9499 2 жыл бұрын
Nyoote mlikua wake zake akini nahisi mtu aliempenda Sana alikua swallher,,maana hi inaitwa kufa na kuziana jmn duh
@bettynkunga2321
@bettynkunga2321 2 жыл бұрын
Angekuwa anampenda angempiga na kumuua, angejiua mwenyewe kuthibitisha anampenda
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Upo sahih kwan ameshindwa kuwaua wote hao.aliopita nao kaamua kumuua swallher ili asibaki akapendwa na mwingine ameona bora wote waende tu
@emmysfitnessandforex9403
@emmysfitnessandforex9403 2 жыл бұрын
Nyoko nyie ndo mkinyanyaswa mnahisi mnapendwa...jua kutofautisha...huenda kafanya hayo kwasababu ya aibu...huwez kumuua unayempenda
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
@@emmysfitnessandforex9403 waambie hao hawajitambui
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Aseee Huyu mtoto nimemwelewa kichiz naipataje mawasiliano #millardayo
@doreencharles2836
@doreencharles2836 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
@@doreencharles2836 frusa asee nikiipata hii najiweka
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 2 жыл бұрын
Unataka ukachote maji kwenye kisima cha said 😅😅
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
@@mbarikiwambarikiwa6479 🤣🤣🤣 me nimemwelewa t mtoto asee
@fizomedia5112
@fizomedia5112 2 жыл бұрын
Shida siijui mi nadhan hayo maden aliyolipa yalimchanganya huyu jamaa
@fizomedia5112
@fizomedia5112 2 жыл бұрын
Mi wala simsemi huyo jamaa mpaka kuamua kujiua sio jambo dogo
@fizomedia5112
@fizomedia5112 2 жыл бұрын
Maisha yangekua bila mawazo yoyote makubwa wala sio sababu kusema mwanamke bali kachanganywa tu na maisha aisee🤮😓dah haya maisha yana siri nyingi
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 жыл бұрын
Namm nlsema hvyo huyu jamaa maisha ndo yalmchanganya tu swalher imekua njia ya yy kujiua tu basii,ila kama alyachoka si angejiua mwenyew tu kulko kuua dada wawatu yan binadamu bhana
@fizomedia5112
@fizomedia5112 2 жыл бұрын
@@catherinemuhagama7338 kweli kabisa yani
@sarahomary3615
@sarahomary3615 2 жыл бұрын
​@@catherinemuhagama7338 kwakweli yani dah mdada WA watu ndiyo tegemezi kubwa kwao maskini
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
Na yule mtoto wake Ashrafu anaonekana atakua kama baba yake daah maskini Mungu amnusuru huyo Ashrafu, Said hakuwa mtu mzuri naona alikua na madudu kichwani
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
KWELI kabisa yuke ashrafunanaonekana ana roho.mbaya sana
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 2 жыл бұрын
Mimi naona hayo yote ni kumdhalilisha marehemu said kafakufa wakujibu hayo yote ni nani????????😭😭😭😭😭😭
@happymhuli725
@happymhuli725 2 жыл бұрын
Kajidhalilisha mwenyewe kwa alichofanua
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 2 жыл бұрын
Punguzeni uongo. Usi uwo miaka 23 loooh wabongo taireni. Hupungui. 38
@virginiamutisya6216
@virginiamutisya6216 2 жыл бұрын
Said alitaka makuu. Said wa mapepo congratulations gal u left him
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 жыл бұрын
apepoulimpa hii ni mitihani amabayo hakufanikiwa kushinda wivu ulizaliwa na upendo wakupitiliza kwa wake zake hata kujiua na kuchanganyikiwa uchumi ulikua unamsumbua kuhusu ushirikina mke a mwisho ndio alikutwa na hivyo vijimambo mpaka babayake kuitwa na kuja na mganga kitulize
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Haya mambo ya uke wenza sass jamn,, kumbe alikuwa na wanawake weng
@amirmbuyu5733
@amirmbuyu5733 2 жыл бұрын
Huo sio ukewenza,wakewenza huishi kwenye ndoa ya mume mmoja kwa wakati mmoja,hao wanawake wa Said Kila mmoja ameishi nae kwa wakati tofauti, acha upotoshaji kama hauelewi waulize wanaojua
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 жыл бұрын
Ndyo ni sawa,,, rakn hayo ndo madhara ya kuolewa na mwanamme ambae alishawahi kuwa na wanawake weng wengne amezaaanao🙄🙄
@alextz5877
@alextz5877 3 ай бұрын
Ndo muache kukimbilia wanaume wenye pesa hamjui wanapata je hzo money but mapenz ya kweli siyo pesa ni upendo na amani ndani ya nyumba
@hawashosi
@hawashosi 2 жыл бұрын
Poleni
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Wapo wengi hao wake utahoji wangapi
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 2 жыл бұрын
Kwani saidi alikuwa nawakewangapi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Saidi wa kumuombea tu Mungu amsamehe alikuwa na matatizo. Swallha kawa victim tu Mungu ampumzishe kwa amani Swallha watu wamemzomea sana bora ukweli uwekwe hadharani hakuwa malaika
@swaggerizedninjagoseprocom8523
@swaggerizedninjagoseprocom8523 2 жыл бұрын
23yrs old
@piusphilip307
@piusphilip307 2 жыл бұрын
Mwandishi mbona umemtolea mbavuni huyo mpambe wa mjane hahahahahahaha
@goodhelpnolland6792
@goodhelpnolland6792 2 жыл бұрын
Sasa huyo mwingine mbona anadakia maada wakati hajahojiwa yeye
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Uyo mwengne mke wa homorapa pia ni rafik wa marehem wote
@ciarmnyone738
@ciarmnyone738 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@neemaboniphace349
@neemaboniphace349 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@shukranichomolla4977
@shukranichomolla4977 2 жыл бұрын
Mmmh dada eti tuangalie na wanaume wenyewe utamjuaje si mpaka uingie uyaone
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 жыл бұрын
KUNA WATANZANIA AKILI KICHWANI HATUNA MMEAMBIWA NI KAZIKWA WAPI MOJA KWA MOJA TAFAKARI WANAUME WA HUKO KABLA YA KUMLAUMU MTU TAMBUA ASILI YAKE KUPIGA NI KAWAIDA TU. HUYO MWAMBA KWAO HUKO MARA NI SHUJAA ILA KIBINADAMU SIO KABISA.
@monadinadi5295
@monadinadi5295 2 жыл бұрын
Hyo said ni mkorofi Sana pia labda alikuwa na maden bank yote yanawezekana. Jmn marehem asemwi lkn mmmh alikuwa htr said. Hya hyo mama mkwe amesema kaonewa wkt said ndio alikuwa mkorofi Asante Dada umeongea km familya ya swallaher.
@mrpresident3620
@mrpresident3620 2 жыл бұрын
Huyu saliha ilikuwa hapendeki na wazee wake wanasema uongo leo ukalale mkoa siku 3 unatoka unaenda mpirani bila ya izini ya mumeo
@rosefredy5398
@rosefredy5398 2 жыл бұрын
Miaka 23 jaman hahaha mbon mkubwa usoni au macho angu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Ngono za mapema. Miaka 23 ashaolewa na kuachika?
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 жыл бұрын
Mambo mengi mjini mtu akifka miaka 20 utasema anamiaka 40 🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦jua kali
@rosefredy5398
@rosefredy5398 2 жыл бұрын
kwakweli tunazeeka mapema uwii
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
Wabongo kwa kujifanya watoto hawakuwii bs mastaa wamezidi kabisa.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
@@malak-lz6kx Mi mwenyewe Nina 40 lkn ukiniuliza nitakwambia 25😂😂😂 sijali Wala nn 😂 😂
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Bora shoga uli move on mapemaaaa vinginevyo saaiz tungelikuwa tuna lia msiba wako, pia mkulya si wakumchezea nina historia nao hilo kabila ali wah ishi na ndugu yangu alinusurika kukatwa sikio sio kwa mbio zile ndugu yangu yule😂😂😂😂hapo ndio siku alio move on mbali na hapo alichezea vipigo vya mbwakoko yule hata ndugu alikuwa hapend no kutoka mke lkn vipigo sasa🙌🙌🙌🙌nakushikiwa silaha mara kwa mara kina muraa wanatabu sana aiseee
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 жыл бұрын
🤣🤣
@giftpeter9118
@giftpeter9118 2 жыл бұрын
Miak 23 mmmmh
@timelessdaddy.2542
@timelessdaddy.2542 2 жыл бұрын
Sura imevimba iyo ati miaka 23 kenge ww
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Labda 46
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Jamanii watuuu
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 жыл бұрын
😅😅😅😅 kajua kutuvunga zee zima iloo
@suzyclement3899
@suzyclement3899 2 жыл бұрын
Si alikua analia jamani... Na wengn ndo walivyo umbwa na Mungu
@mariej6962
@mariej6962 2 жыл бұрын
Yeye mwenyewe na mazingira aliyopitia ilikuwa ni timed bomb 💣. Vidada vyenyewe maskini haviwezi kujua hatari yoyote, vinajipeleka tu, moral of the story, olewa na mtu unayemjua kweli siyo kwa hisia za mapenzi ya siku 2 au 3.
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
Yakobo 4a: 6 Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi;....." *TUNAPOKEA SASA TOKA KWA MUNGU NEEMA ZAIDI NA KUONGEZEKA KWA UTENDAJI WA NGUVU ZAKE MAISHANI MWETU. UJUZI WA NENO LAKE UNATUFANYA TUTEMBEE KATIKA WINGI WA NEEMA AMBAYO HUZAA UPENDELEO, UZURI, NIA NJEMA, MAPENZI MEMA, UKAMILIFU, UTUKUFU NA UWEZO KATIKA MAISHA YETU, HALELUYA!!!*
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 жыл бұрын
Sifa za marehem kumbe hata swalha angeachika balaaaa huyo said hapo mwanza maana hana sifa za kuzungumzia bora mtu unyamazee
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Duh nasikia Mwanza wasichana wengi kapita nao
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Ashura ulimfanya nini diwani wetu
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 2 жыл бұрын
Pesa dear ukiwa nayo unafanya lolote.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Kuoa oa ni kujitia mikos tu kila nyuchi ina mambo yake nyingine ukilamba kali kama jiki na maisha yako yanakua meupee kama yameoshewa jik mia mbovu hupati🥺🥺
@happinessteven2401
@happinessteven2401 2 жыл бұрын
😅sitaki bhn
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
Kweli kabisa 👌
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Nyuchi ina jiki we bwana mbavu zangu
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
@@daudimwidimakihanda5386 🤣🤣🤣🤣watu wana maneno humu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@emmakifimbo6792
@emmakifimbo6792 2 жыл бұрын
Mmmh jamaa marehemu alijua kuchagua wake zake wote wazuri sana kama mke wangu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 жыл бұрын
Kutokana na maelezo inaonekana ana matatizo tangu kazini kwake na na wivu mwingi vyote vilikua vinamzingua na kwa kua alikua na hasira za karibu. Bila shaka ndio yametokea hoyo. Lkn kila mtu ana mwisho wake.
@jacklinebrightness4513
@jacklinebrightness4513 2 жыл бұрын
Marehemu Side alikuwa anapenda wanawake weupe mwee
@ashamakelele7002
@ashamakelele7002 2 жыл бұрын
Alikuwa anapenda mashangingiiiiii
@ezabethenock3564
@ezabethenock3564 2 жыл бұрын
Wakury wanapend wanawak weupe
@fatmasaid9400
@fatmasaid9400 2 жыл бұрын
Roho ya kujua kumbe ni yake
@ashamohamed9374
@ashamohamed9374 2 жыл бұрын
Nimejaribu kufatilia lakin asilimia kubwa ya ss wanawake tunatak kushindan na mwanaume ww ukisha olewa kubali kuwa chin mumeo akikukataz jambo usifany pia kuna kuomba ruhusa na kuaga asilimia kubwa ss wanawake hatujui kuomba ruhusa tunaaga pia pale tunapoag tukikataziwa bc usiende lakin mtu umekataziw ila ww unaenda mwish wa siku utatokea tu ugomv wanawak wote walio ojiwa wote hawakubali kushindwa nao wanatak wafany kama mwanaume anavyo fany
@nururaymond5
@nururaymond5 2 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema Ila Said inaonyesha hakuwa mwaminifu...ana wanawake wengi kwa kipindi kifupi kifupi...na inaonyesha wkt anaoa na nje Anaendelea kuupiga mwingi kulingana na hadithi za hao wanawake wengine unagundia jamaa alikuwa anakata mti na kupanda mwingine.,.,,na huenda Swallah Ndio aliolewa KWA NDOA wengine waliishi ama walifunga Ndoa ya kimila maana Hawa wanawake wengine wanavyopenda Camera wangeshatoa na picha zao za harusi
@zaraally2295
@zaraally2295 2 жыл бұрын
Wakurya na wasukuma wanapenda kumiliki wanawake wengiwengi ni tatzo😢😢😢😢
@jacklinekanunu5390
@jacklinekanunu5390 2 жыл бұрын
Usiwafananishe wasukuma na wakurya wako tofauti sana.
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 жыл бұрын
Said alikuwa kivuruge Ila sasa dada kwel una miaka 23 mmmmh uwongo huo mbona hufananii kuwa na miaka hyo
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka akuambie miaka 30 Ni miaka yake kwani inakuuma nini kwanza humfaham hebu tuachie ndugu yetu
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 2 жыл бұрын
😁😁😁
@lilyrose7983
@lilyrose7983 2 жыл бұрын
Hata mimi pia nina 40 lkn ukiniuliza nitakwambia Nina 25 😂😂😂sijali Wala nn 😂😂
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 145 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 23 МЛН
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 20 МЛН
KIBAKA ALIYEBAKA WATOTO WAKE 4 AKAMATWA | MAJIRANI WASIMULIA MAZITO
36:02
Maximum Tv Online
Рет қаралды 24 М.
ALIFANYA MAPENZI NA NGOMBE NA KUPATA MIMBA
21:34
XPLUS TZ
Рет қаралды 1,5 МЛН
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 172 М.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,1 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН