Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo Jumanne ya October 3 2017 alikuwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC) na kuhutubia katika uzinduzi wa mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa.
Пікірлер: 285
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Pumzika kwa AMANI shujaa Wetu wa Africa 😭😭😭😭 TUTAKUKUMBUKA sana
@focusdaily27422 жыл бұрын
There's never existed a president who understood his role as president like John Pombe Magafuli, I am a Kenyan but I will never forget JPM.
@oredibonk5925 жыл бұрын
Mimi ni mu Congo Raisi JPM najivunia kuona TZ inaendeleya kwa kuwa imenikuza 1996 to 2007 Big 👍 JPM
@theafricanphilosopherqueen30323 жыл бұрын
The man who knew the job of presidency, RIP Shujaa wa Afrika
@frankkidugo58176 жыл бұрын
Mungu muumba mbingu na Nchi akulinde akupe maisha marefu na ya kujitoa kwa moyo .
@josephsirgwa41505 жыл бұрын
President Magufuli is today one of the best Presidents in Africa. Tanzania is so lucky to have you...
@mathiasambrose80275 жыл бұрын
I love my president John pombe magufuli kwa utendaji wake wa kazi..... I stand with my president for this.
@matsarigi29863 жыл бұрын
If only all the African heads of state worked like the late Magufuli, you can imagine how far Africa would be! Rest In Power, the true son of Africa!🙏😭😭
@jeanneandfrancislifestyle15183 жыл бұрын
Rest In Peace Baba 🇹🇿😭😭😭
@OmanOman-gc1zu4 жыл бұрын
Allah akuzidishie kheri in Shaa Allah akupe maish marefu kwa kil jambo, akulipe mema siku ya mwisho.. 🌹🌹🌹🌹♥️
@onelife78503 жыл бұрын
It is hard to believe you no longer with us. May your spirit remain in our midst
@predigandamdee31706 жыл бұрын
Damu Yesu ikufunike Mungu akupe roho wake mtakatifu ili uweze kutenda mapenzi yake
@evansm88024 жыл бұрын
You are God given to tanzania.our nation will surely benefit greatly in your terms of office 🦾
@kedmonmaquiz3 жыл бұрын
R.I.P mzee wetu Magufuli
@richardsoka24006 жыл бұрын
Kudos President Dr Magufuli, you are doing wonders for Tanzania!!!!!!👍🙏
@danielmlanda69696 жыл бұрын
UWIIIIII UWIIIIIIIIIIII UWIIIIIIIIIIII BABA LEO UMESABABISHA NIANZE KUKUOMBEA MAANA UKWELI UMEZUNGUMZA HASWAAAAA BARIKIWA SANA
Bila kuacha tabia za kuteka, kupiga na kuua watu hatutakuacha. Haiwezekani tukuache wakati unaua wapiga kura wako.
@jessemwasanguti81656 жыл бұрын
Ukiongea machozi yanamwagika, nakumbuka, nilivyo pambana, japo sina chama, ila huwa nachagua mtu anae faa,sijawahi kosea hilo.Mungu akulinde
@jacksonolotu93186 жыл бұрын
acha unafiki
@fredkyara.babamunguwambing4826 жыл бұрын
Jesse Mwasanguti. mh Rais kama kuna mtanzania mzalendo anaekupinga akiliyake inakipindu pindu
@methodrweyendera68146 жыл бұрын
Jesse Mwasanguti umeulizwa?
@gabrielisack77863 жыл бұрын
Mungu ndiye mpanzi na mvunaji, tunamshukuru Mungu kwa maisha ya JPM na sasa pumzika salama maana umetuonesha Mwanga.
@blandinalukole55353 жыл бұрын
Mungu akupunguzie adhabu ya kabur baba
@drhenrya.msangama72175 жыл бұрын
Mbele ya Mungu, Rais wetu, una haki. Ni kweli "msema kweli ni mpenzi wa Mungu".
@felixkamkala33035 жыл бұрын
Maombi juu yako mh Rais wetu mpendwa!!!
@davidmayenga483 жыл бұрын
Unfortunately those with ideas,they don't survive for so long!Farewell Mr president,My President,May your memories last forever in my heart!
@vitreenandeth34573 жыл бұрын
Daah Nuru imesima mbele kisa 😭😭😭😭
@bertshebashadrack36486 жыл бұрын
Tunakuitaji sana mzee mungu atakulinda hakuna wa kukugusa mzee one love
@exaverymakoye60262 жыл бұрын
Daah huyu mwamba alikua noma sana
@gabrieladam4916 жыл бұрын
Mungu akuongoze,zaburi 1:1 basi akatokea kiongozi Mwingine asiye mjua ni Raisi John Pombe Magufuli
@jessemwasanguti81656 жыл бұрын
Hakuna Raisi bora,mzuri zawadi kutoka kwa Mungu kama wewe baba,
@saidwilson65296 жыл бұрын
Hapo hakuna raisi kichekesho
@nasibmaganga11316 жыл бұрын
Jesse Mwasanguti M nampongeza magufuli kwakazi anayoifanya nizuli kinoma
@edwardmkanje64676 жыл бұрын
wambie hao mzee maana walipenda sana vya bure leo hii vyuma vimebana wanalalamika
@samsan95tvlaizer596 жыл бұрын
I love you my President Mungu akulinde Uishi miaka I'm laizer a from Arusha Engay toripo el arikon lag amen
@shabbymakapane32126 жыл бұрын
Hivi kweli Mpambanaji na Maovu Yote Haya Bado kina Watu eti Wana muona Hafai Wanambeza na Kumtukana Dah kweli Binaadamu Hakuna Wema
@sekuludevid52396 жыл бұрын
Anae nuna anune piga kazi Mzee Wang japo baadhi hawakuelewi
@sideniuskatula66166 жыл бұрын
Mzee Leo nimekuelewa wewe kinomanoma umetisha sana hutuba iliyojaa marifa,busara na hekma mungu akujarie tenda haki Mzee.
@joycemaganga2986 жыл бұрын
uko vizur baba
@Ress1143 жыл бұрын
Duh! Watanzania mumehujumiwa. Huyu jamaa amewawa ! Very painful. I wish he finished his second Term Tanzania would be at par with South Africa Africa interms of Infrastructure
@kisulilatv96896 жыл бұрын
AHSANTE YESU KWAAJILI YA MAGUFULI WETU, TUNAIMANI NAYE.
@TheNdina6 жыл бұрын
una imani naye
@martnemlalasi61175 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@DottRoBroc3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@jummannes71193 жыл бұрын
Amakweri mti mwema ndio Upigao mawe
@mashamasha28543 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭💔🇹🇿
@ibrahimpius8936 жыл бұрын
Mapedesheeee hawapo tena zilipendwa
@johnnybegood925 жыл бұрын
MAGUFULI Oyeeeeee 👏 Mzee wa kazi uyo 👍 Fukuza safisha wizi wote out from East Africa yote ....Tiya Magufuli 👍 My love and respect to Mzee Magufuli from RWANDA 🇷🇼
@akademkkz6 жыл бұрын
Kweli mzee Mungu akubariki 💪
@arqamhaiadar18356 жыл бұрын
Pongezi nyingi Sana kwako MH Rais
@nyangimarwa34483 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Baba Mzalendo wetu wa kweli Daima hatutakusahau Kipenzi chetu Mwendo umaumaliza Amani Umeilinda
@mathewsmusukuma23294 жыл бұрын
Mimi ni mu zambia watanzania naomba mumupe support President wenu God bless Africa
@lusambolusambo88333 жыл бұрын
No more political party in tz than ccm, ccm is the best political party
@sanyakirori72956 жыл бұрын
Asiekupenda mchawi ila ukweli unaongea na unapambana kwa ajl ya nchi na kwa ajl ya watanzania wote
@nyandamannyanda71085 жыл бұрын
V
@kissatuagusto22466 жыл бұрын
......naiona Tanzania mpyaa,yenye maji teelee,maziwaaa meengii... Dawa nyiingii hospital... Baba wee may God be with youu all the time...
@erickkaaya96406 жыл бұрын
Na amini hata baba akitaka kubadili mazingira ya nyumbani kuwa bora zaidi, lazima maisha yawe magumu kidogo kwa wote pale nyumbani. Kama kuna raisi Kama ww tena kwa nchi hizi za Africa? Mungu mbariki huyu raisi wetu ahishi maisha marefu, ili amalize mda wake.
Hapo hapo rais wang mana wanaozungumza sana mana yake hawajafahamu na hawajajuwa kazi unayofanya cku wakiiona watakukimbilia mkuu nakupiga goti.Mana wanajuwa matabaka yalikuwa tayar yamejingeka kama yupo aliyeugua na akaenda HOSPITALIN kipind hicho najuwa hata ongea nenda hospital nw uone jinc unavyo hudumiwa .I LOVEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MY RAIS JOSEPH P MAGUFURI wanyooooooooooooooshe mana ndy hao wanaolalamika ucjaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ACHANA nao tupo vijana tayariiiiiiiiiiiiiii kukubeba raisiiiiiiiiiii.
@fredkyara.babamunguwambing4826 жыл бұрын
Baraka Mgendi mh. Rais wetu kipenzi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupo pamoja. tupopamoja. tupopamojà Anko magu tunajivunia kuwa nawewe Wewe ndio baba mzazi wa watanzania wooooooooooote asietaka ajinyonge. asiekubali alizaliwa njiti
@charlessamba37934 жыл бұрын
Baraka Mgendi
@jessemwasanguti81656 жыл бұрын
Ayo ubarikiwe, usiache wokovu, maana unakufanya kuwa mkweli
@annyrutty6575 жыл бұрын
Haaaa kelele za watumbuliwa majipu, kununua cheti kariakooo. Eeee Rais wetu ubarikiwe sana unasimamia ukweli na ndo tabia ya rais yoyote yule.
@MasungaHuma Жыл бұрын
R.I.P JPM
@thedragonmusic76876 жыл бұрын
Wewe ndo wew baba
@frankadolph396 жыл бұрын
sasa wafanyakazi waliogushi vyeti wakati wanafanya kazi vizuri si warudishwe kama makonda kabaki
@tatunaally15106 жыл бұрын
Chapa kazi baba
@albertalex16083 жыл бұрын
Rest Easy Our President 😥😭😭😭😪
@barakamgendi96496 жыл бұрын
CJUW NIKUPONGEZE VP RAIS WANG.ILA GOD BLESSIN YU. PREACH FOR RAIS MAGUFURI UONGOZI CO MANENO HAPA N KAZ TU
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
hahahahaha,rais umenichekesha tumeacha kujinyonga.mwenyezi mungu akulinde na husda za walimwengu
@jofreymwanawima5532 жыл бұрын
Dah!!! Tutakukumbuka Sana hayat magufuri na tunaenderea kukuombea hko uliko ,raisi wa wanyonge na mungu akubaliki kwa kuibadillisha Tanzania
@zozohmeed55464 жыл бұрын
Uko vzr rais wetu Allah akuongize kila hatua
@lilianbunjulu12816 жыл бұрын
Big up our president
@hurumasalyanda60326 жыл бұрын
unafanya nizidi kupenda nchi yangu mwaaaa rais wang kila la heli
@mamaschoiceforever74156 жыл бұрын
mashaalh
@fahamyyusuph96616 жыл бұрын
tumbua mzee
@allankimaro4327 Жыл бұрын
One of my best presidents in Africa. Rest in peace John pombe Joseph magufuli.
@laylatmlacha47293 жыл бұрын
Dah mungu amrehem mzee magu
@eliasathurnas51656 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@felixnkoleye68273 жыл бұрын
Nini maana ya swera haposijamuerewa wadau
@fatimasaleh19916 жыл бұрын
I love u my president 😘😘
@pazzyamily28576 жыл бұрын
gift saleh damond sita
@pazzyamily28576 жыл бұрын
gift saleh gdg
@pazzyamily28576 жыл бұрын
gift saleh fjxbbvj
@petermwita97362 жыл бұрын
Hongera mzee Mungu akubariki hk uliko
@josephgadau89136 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais, huyojamaa nyumayako mbona hatikiski kaganda kama sanamu?.
@aminamfaume42445 жыл бұрын
Rais wetu pitia lushoto maana kaya hewa nyngi hatari.nawazee hawapewi wapewa vijana wanao jiweza..tumechoka kata ya mlalo
@mafanikioyatoba.49456 жыл бұрын
MUHESHIMIWA RAISI NATAMANI UNGENIAJIRI NIWE NAKUOMBEA TU.... AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU NA WEPESI KTK HUDUMA KUBWA MUNGU ALIYOKUPA... MAANA YOTE UNAYOSEMA NI KWELI... WEWE NI MSEMA KWELI.... WANAOKUKATAA WANAMKATAA MUNGU ALIYEKUPA HAYO MADARAKA.
@ayubuharuna82976 жыл бұрын
M.9
@saidwilson65296 жыл бұрын
Mnafki wewe umuombee au ujiombee mwenyewe
@hamedal-dhanki40286 жыл бұрын
Mafanikio Yat oba .
@hamedal-dhanki40286 жыл бұрын
Mafanikio Yatoba .
@annyrutty6575 жыл бұрын
Haaaa ila jmn et akuajir kumuombea 😁
@barakastephano89962 жыл бұрын
Bado nakupenda Sana magufuli,pumuzika kwa amani baba!!!!
@wamoroboy89633 жыл бұрын
😭😭😭R.i.p Dady
@user-ig5yn4zp2u2 ай бұрын
Matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na serikali zilizotokana na ccm
@kulwabodolo40194 жыл бұрын
Big up rais wangu
@apple7tv4856 жыл бұрын
nakupenda baba
@fredkyara.babamunguwambing4826 жыл бұрын
apple 7 tv. nakupenda sana Rais wangu. mungu azidi kukulinda
@julianamasunga41476 жыл бұрын
magu mungu akulinde na kusimamie......... tanzania mpya hiyoooo....... wanaomtusi hawakumchagua hivyo wakome kbsa...... piga kazi ili watoto wetu waje wainge mfano wako 😘 😘 😘 magufuli.
@sumayyaqassim71216 жыл бұрын
Juliana Masunga
@f1-4simplifiedchem723 жыл бұрын
😭😭😭😭though I cry from kenya with TZ I feel u lost a God sent leader
@abdallahhamza96896 жыл бұрын
The one yes youre one of the best my prezda
@edithabayona41156 жыл бұрын
abdallah hamza ungetuboreshea mshahara tungekuelewa kiongozi!
@idrisamassalu56356 жыл бұрын
Rais magufuli Mungu akupe maisha zaidi na zaidi
@stanfordwiliam2396 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde, hakika kweli wewe ni mtanzania no.1. Songa mbele raisi wetu.
Naamini kila mtu timamu anaunga mkono juhudi za kuiweka nchi kwny reli, lkn linapokuja suala la malalamiko ya hali ngumu ya uchumi mtaani siyo jambo la kupuuza hata kidogo,increment za mishahara kwa watumishi kila mwaka ziko kisheria kabisa but nothing going on for 2 year now,na kwny mishahara ndo kuna kodi isiyo na longolongo mind you 🤔🤔!
@jarrinmagatty32526 жыл бұрын
Ok !!!
@therezakaijage14396 жыл бұрын
I love magufuli mungu akubariki mkulima bado hajaona mazao lakini sasa hivi Nina imani. mungu azidi kukubariki. mama k
@mussatendeli69096 жыл бұрын
million 9 !!! I can't believe
@lusambolusambo88333 жыл бұрын
hahaaaaaaaaaaa Y?
@richardzakaria22706 жыл бұрын
Mungu awarehemu kwa walichowatendea watanzania bali tuzidi kumwombea rais Magufuli kwa kulitambua kuwa tulinyanyasika kwa mda mrefu sana!!!
@nicksonnziku96795 жыл бұрын
asante raisi kwa haki unayo tenda mungu akuongoze
@adobelameckmhagama23935 жыл бұрын
barikiwa baba mkombozi wa taifa mungu azid kukuongoza
@geofreykajengile17884 жыл бұрын
Safi sana mzee mungu akusaidie wewe ndiye mkombozi wa taifa letu piga kazi sisi tupo nyuma yako mungu mbele yako akikuongoza mungu akulinde tena sana sana
@makwetaawalino6816 жыл бұрын
uko sawa.
@geofreykajengile17884 жыл бұрын
Kiukweli mzee maghufuli mungu katupa zawadi na zawadi yenyew ni wewe mzee mungu akupe maisha marefu kweli kweli