MPASUKO NDANI YA KANISA KATOLIKI, ASKOFU RUWAICHI ATOKA HADHARANI KUPINGA KUBARIKI MASHOGA

  Рет қаралды 43,429

HABARI 24

HABARI 24

6 ай бұрын

papa atetea ushoga?
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

Пікірлер: 359
@MJB-Africa
@MJB-Africa 6 ай бұрын
Mjomba ww mwenyewe ushaingizwa chakike bila KUJUA unaenda wapii Kama MTU ANAE waongoza DUNIA nzima anasapotii , ujue ndo mshapotezwa
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 6 ай бұрын
Analukaluka tu,, Papa wao kashasema yeye anazuga zuga tu,,
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 6 ай бұрын
anaongoza watotowake siyoss
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 6 ай бұрын
Mwisho wa dunia umefikaa... Ile chapa ya 666 inakarbia... Mungu atujalie mwisho mwena wale tutaosimama katika kweli
@kasigagervas9491
@kasigagervas9491 6 ай бұрын
Alama ya mnyama ipo siku nyingi
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 6 ай бұрын
acha uoga hayo hayana budi kutokea lakini ule mwisho bado ,Cha kufanya Ni kuishi maisha matakatifu na sio kukariri Maandiko ,haitosaidia ,wewe ishi kwa kufuata misingi ya Neno la ufalme wa Mbinguni Hawa wanaobishana juu ya kutoa Baraka za ushoga achana nao wasikupotezee muda
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Kwani uliambiwa 666 IPO sehemu gani
@lucimwica647
@lucimwica647 6 ай бұрын
Najivunia kuwa mkristo mkatoliki, kwa sababu nalielewa vizuri na kupata mafundisho sahihi ya kanisa katoliki.
@amosraphael810
@amosraphael810 6 ай бұрын
Wwe hujaijua kanisa lako vizuli , unayoyaona yote dunia mambo yakishetani anayo kuhusu ni papa
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 6 ай бұрын
Mungu Akubariki sana mtumishi wa Mungu Baba Mwenyezi. Namshukuru hutakuwa mmoja wa kumsikitisha Baba yetu. Amina
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 6 ай бұрын
Romani wamechemka kwenye ushoga tena kaa owaneni ninyi wenyewe 😂😂😂😂
@user-ue1vy6fe3d
@user-ue1vy6fe3d 6 ай бұрын
Mungu akubariki baba asikofu Hilo ndilo Jambo la Imani endeleya kumweshimu mungu ivo ivo mungu atakutoza 😊
@UmmuNuzullah-fv5ue
@UmmuNuzullah-fv5ue 6 ай бұрын
Kiufupi kubalini mmetumbukizwa kwenye shimo Maana hamtaki kujifunza kuujua Ukweli, amkeni Mungu yupo alieumba ulimwengu wote na hakuzaa wala hakuzaliwa.
@KaristusiMnyagala-ci8kb
@KaristusiMnyagala-ci8kb 6 ай бұрын
Huyo papa mpuuzi kabisa amekalia kiti cha mkuu wa giza. Kanisa katoliki lile la miaka 20 iliyopita na la sasa ni tofauti
@ayububakari9942
@ayububakari9942 6 ай бұрын
Kanisa ni lile lile we sema miaka 20 ilopita media zilikuwa hakuna kama sasa !!
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 6 ай бұрын
Halina utofaut linajigeuzageuza km km shetan.
@muhamedkhatib4913
@muhamedkhatib4913 6 ай бұрын
Kanisa lote ni Hilo Hilo Hakuna tofauti sawa na company ya Cocacola inabadili bidhaa tu mlianza kuambiwa yesu ni mtoto wa mungu ikaja akawa Mungu kabisa na yote Kwa ajili ya ushabiki wenu na kujipendekeza Kwa wazungu mkakubali sasa imefika muda muoane wanaume Kwa wanaume na wanawake Kwa wanawake daadeki zenu
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 6 ай бұрын
@@muhamedkhatib4913 kwa hiyo ipi ndo nzur
@1gmakhala
@1gmakhala 6 ай бұрын
Bishop anatafuna maneno tu. Sema wazi tu PAPA FRANCIS KABARIKI USHOGA.
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 6 ай бұрын
Hayupo Binadamu mwenye sifa ya kupewa utakatifu
@martinjohn7854
@martinjohn7854 6 ай бұрын
Huijui Biblia wewe.
@MathiasKunnanga
@MathiasKunnanga 6 ай бұрын
Soma waraka wa kwanza wa Petro sura ya Kwanza mstari wa16
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
@@martinjohn7854 ni kweli hakuna mtakatifu duniani
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
..heri watakatifu walio duniani...
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
@@agnessima5032 umesoma wapi na kitabu gani cha biblia
@AmosKitunka-xx7cs
@AmosKitunka-xx7cs 6 ай бұрын
Safi sana baba najua hisia zimekataa kukaa kimya umeamua kusema kwamba nawengine watoke waseme wasiogope tusiruhusu huyu shetani wanaomtaka aje kwann tunawapenda wazungu ambao hawana adabu na heshima.
@maspro6294
@maspro6294 6 ай бұрын
Hapo ndio utajua ISLAM NDIO DINI YA HAKI YA MWENYEZIMUNGU DINI ZINGINE NI UPOTOSHAJI
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 6 ай бұрын
Inna dina indallahi al islam
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Uislamu ushetani
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 6 ай бұрын
Hamna ipo ila kwa Kristo katoliki hawana mungu,mungu wao ndo huo shoga
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Uko sawa
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 6 ай бұрын
Dunia hii ina mambo , tuombe sana huko mbeleni Kuna taabu sana.
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 6 ай бұрын
Mimi nakuomba baba mtoke hadharani na kauli moja kuhusu kauli hiyo ilitolewa na baba mtakatifu kama inaukweli wasitumie kanisa kua imerusu jambo ambalo siolakweli
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 6 ай бұрын
Mungu wangu ingawa mimi siwezi kujua ila tusamehe sisi wanawako
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 6 ай бұрын
I'm proud to be a Muslim
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Define Muslim
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 6 ай бұрын
Most of area dominated by Muslims is where you can find gays, go and research for your own benefit then come to your senses
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 6 ай бұрын
me too,am sooooooo proud,imani y Kiisalm ndio imeni inayomake sense
@MauriceMichael-em4dg
@MauriceMichael-em4dg 6 ай бұрын
Zanzibar na mumabasa wanaongoza Kwa ushoga sjui wale ni dini gani
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
@@MauriceMichael-em4dg Ongezea hapo na Tanga, Lindi, Pwani na Pemba.. huko kote ni mwendo wa kuchokoana vinyesi
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 6 ай бұрын
Somen Alama na nyakati😢
@user-jl6pd1yp1n
@user-jl6pd1yp1n 6 ай бұрын
Ww pastor pia ni shetani km huyo papa yani baraka kwa mume na mume ww kweli moto unakusubiri
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 6 ай бұрын
Umemuelewa anachosema? Yy hakubaliani na k8ongozi wake papa.
@paulheavyrain9584
@paulheavyrain9584 6 ай бұрын
Papa sio baba mtakatifu ni mtumishi wa shetani
@phillipmbuligwe6033
@phillipmbuligwe6033 6 ай бұрын
Ni mtizamo wako
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Uko sawa
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 6 ай бұрын
Ni sawa
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 ай бұрын
Ndio maana ukisoma Kwenye Quran inasema utawakuta watu wanaingia Kwenye dini ya mwenyez mung makundi kwa makundi na hiyo ndio mwisho wa kiama
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 ай бұрын
We Nenda kinyume na wenye dini yao wenye dini yao washaruhusu
@lenatusmasolwa5323
@lenatusmasolwa5323 6 ай бұрын
kaa ukijua kuwa, wengi wa mashoga ni waislam ( majina yao wakikamatwa wengi ni waislam)
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 6 ай бұрын
Hahahahaha ukafiri bwana????
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 6 ай бұрын
​@@lenatusmasolwa5323kwahivyo sisi waislam tunawafungisha ndoa mashoga???
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 ай бұрын
@@lenatusmasolwa5323 Lazima uelewe kuna muislamu na uislamu dini yetu inakataza ushoga dini yenu inakubali ushoga na inaruhusu pia mnywe pombe km isemavyo biblia na ndio maana kanisani mnakunywa pombe
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 ай бұрын
@@lenatusmasolwa5323 muislamu yeyote akiwa shoga akiwa mlevi huyo hana tofauti na kafiri
@subirajohn728
@subirajohn728 6 ай бұрын
Nimekuelewa sana! Tatizo Kanisa Katoliki lina Maadui wengi sasa wamechukua nafasi hii kutaka kuliangusha Kanisa! Haitawezekana abadani!
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
Yaani watu wanapotosha sana msimamo na mafundisho sahihi ya kanisa..ukiona hivyo ujue shetani anataka aue kanisa..na ni wazi kanisa katoliki lina misingo imara zaidi kuliko kanisa lolote lile.na lina tunu nyingi sana..
@daniellagianna-ll3dc
@daniellagianna-ll3dc 6 ай бұрын
😊,Time will tell!Muda ni Mchache na Mambo ni Mengi
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 6 ай бұрын
Asante kwa ufafanuzi mzuri
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 6 ай бұрын
Uspige kona Mzee ukweli umeshasemwa sasa usijifariji Mtafuteni Mola wkweli
@oswardmsigwa5728
@oswardmsigwa5728 6 ай бұрын
Huyo ndo babaenu mtakatifu wakatoliki alichaguliwa na mungu
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 6 ай бұрын
waendao kuzim,nikamamchanga wabahari hayonimandiko
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 6 ай бұрын
Kubalini tu kwani huyo s ndo babaenu mtakatifu mbona mnamkana kama mmeweza kumkana baba mtakatifu bsi mnaweza kumkana hata babaenu yesu aloko mbinguni na hamtauona uzima wa milele
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 6 ай бұрын
Nashukuru Baba Askofu kwa ufafanuzi wako. Kabla ya hapo niliingiwa na wasi wasi. Wakati huo huo nilijiuliza, kwenye nyumba za Ibada wanaingia walio wema tu au hata wenye dhambi? Nikakumbuka pia kuwa Amri za Mungu ziko 10 (Kumi), je? Wote wanaokuwa kwenye Ibada wanakuwa wametimizi hizo Amri 10 wakati wa kupokea Baraka? Nikakumbuka pia wale Viongozi wanaokuwa wameapa kwa kutumia Vitabu vitakatifu, wanatimiza viapo vyao? Je? Wanaotoa na kupokea rushwa, na kudidimiza haki za wanyonge, wakati wa kupokea Baraka wanatoka nje?
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Safi sana Kwa uelewa huo
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 6 ай бұрын
Kwani Papa hawezi kutumbuliwa
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 6 ай бұрын
😂😂😂 angekuwa marehem yupo hai angemtumbua
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Ukatoliki hamna Mungu Karibuni kwa Kakobe mpate kuijua kweli yote alafu ukatoliki na Uislamu ni kitu kimoja
@user-sk1yd4pw1v
@user-sk1yd4pw1v 6 ай бұрын
Wewe acha upuuzi usizungumzie uisilamu kwenye upuuzi wenu
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 6 ай бұрын
Uwislam ni ustarabu sio uwo utakatifu wetu
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
😂😂😂😂❤
@muhamedkhatib4913
@muhamedkhatib4913 6 ай бұрын
Hata mjitoe vp hapa mmenasa ukristo ni ushoga acheni kuuonea uislam umenyooka hauna mpindo nyie wakristo ni mashoga ukawa kakobe cjui katholic cjui SDA ,mkurino ,mara nan nyooote mashoga tena mnatobwa na wapagany wenzenu waliowatia kwenye mtego wa ukristo
@devisshirima6780
@devisshirima6780 6 ай бұрын
(Zaburi 1:1) Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
@selestinemalole4562
@selestinemalole4562 6 ай бұрын
Uyo siiiii mtakatifu uyo ni shetani bana
@hamismabula9934
@hamismabula9934 6 ай бұрын
Mkifuata Biblia sawa! Ila mkimfuata papa wenu huyo (mnayemwita mtakatifu), atawaingiza kuzimu vizuri sana!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Kwanini asife huyo Papa Francis toka lini Wakatoliki wakafanya kitu cha kuoana jinsia moja afe tu haraka sanaaaa analidhalilisha ksnisa Katoliki
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Mie sio mkatoliki kabisa. Tumehama. Papa amekosea sana. Hivi kweli waje mashoga ofisi ya kiongozi wa dini wakuombe baraka alafu uwabariki. Nyie mnachanganya watu acheni ujinga Papa amekosea sana
@frankvianey2438
@frankvianey2438 6 ай бұрын
Acha kuzunguka zunguka,unajaribu kutetea vitu vichafu kabisa ambavyo Mwenyezi Mungu amevikataza toka mwanzo wa kuumbwa kwa dunia
@shabanponera2895
@shabanponera2895 6 ай бұрын
Nilivyomuelewa ni kwamba anapingana na kauli ya papa, papa kasema wabariki mashoga yeye kasema hata bariki mashoga kwenye ushoga wao bali atawabariki kwenye ishu nyingine
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Kwa kupitia kinywa cha papa. Ni mungu yupo kazini. Maana Mungu mwenyewe alisema watakao fany as kinyume na mapenzi yake atageuza vinywa vya wakuu kusema mambo yaliyokosa hekima.
@bukurugibson-zi5br
@bukurugibson-zi5br 6 ай бұрын
Huo ndio upagani uliovikwa joho la kidini
@maulidimpili698
@maulidimpili698 6 ай бұрын
Mbona papa Francis ameongea waz waz kuhus ushoga kule marekani kuna mchungaji alipinga papa Francis akamtengua alaf huyo mchungaji anatetea ujinga
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 6 ай бұрын
"FUNDISHO LILILOTELEWA KWA SEHEMU KUBWA HALINA TATIZO!" Ok, nataka mbaraka wa KIKATOLIKI kuruka na UNGO! Acheni janja-janja..NENO LA MUNGU HALINA MAUJANJA...TEGEMEENI HUKUMU TU!
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 6 ай бұрын
ndoyo
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 6 ай бұрын
Dont complicate the Subject....hakuna Baraka ya ndoa ya Jinsia moja Pope alitoa hii taarifa Miezi chache nyuma. Utabariki mtu moja??? Inabarikiwa Mume na Mke kwa pamoja siyo Akija mtu moja. Poleni sana....
@charlesmpunga1161
@charlesmpunga1161 6 ай бұрын
Baba Askofu tunakuheshimu.huwezi kuomba baraka ya tendo ovu.Uhasherati wizi ufiraji .Kazi ya ukuhani ni kulaani kukemea maovu.na si vinginevyo
@samuelkahuro7758
@samuelkahuro7758 6 ай бұрын
Even this Bishop should repent for trying to defend the pope who is in Apostasy, his statement is HELLISH PERIOD.
@frankvianey2438
@frankvianey2438 6 ай бұрын
Excactly
@noelmsanjila7684
@noelmsanjila7684 6 ай бұрын
Upuuzi mtupu,jamaa anajaribu kutetea lkn uovu ni ngumu kuutetea.
@bbs10072002
@bbs10072002 6 ай бұрын
Shida sio yeye. Ni wewe na uelewa wako. Uwezo wake wa akili na wako ni bahari na kidimbwi. Jaribuni kuwa mnasikiliza na kusoma mambo mwanzo mpaka mwisho.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 ай бұрын
Hahaha,,,, umeonaeeee, Yani ana pata tabu kutetea
@bonabonala5559
@bonabonala5559 6 ай бұрын
upo sahihi ruaichi mungu anakutumia kwa ushujaa huo wakukana baraka za jinsia moja
@user-hv7pw6ih5v
@user-hv7pw6ih5v 6 ай бұрын
Baba Askofu Ruwaichi toa ukweli acha kupinda pinda neno la Mungu halipindishwi tunaomba usimtetee Papa hilo swala amelitamka na kama kweli atalipitisha kubariki jinsia moja basi Papa tutamuhesabu kama ni mfuasi wa shetani sasa tutasemaje ?? ila ni kweli yale maandiko yaliko Ufunuo wa Yohana yameanza kutimilika MUNGU TUSAIDIE
@YalkinAlkindy-nt2hf
@YalkinAlkindy-nt2hf 6 ай бұрын
Uislam ndio dini ya haki ,,km hamuamini fanyeni utafiti mtagundua hilo
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
We unaumwa washirikina tu
@YalkinAlkindy-nt2hf
@YalkinAlkindy-nt2hf 6 ай бұрын
@@user-kx7ob5rx4p sasa washirikina na wasenge bora nani
@jamaldeenmakenga
@jamaldeenmakenga 6 ай бұрын
@@user-kx7ob5rx4pnakushahuri usiwe mbishi bila proof reference, jielimishe, Anza kwa kujua maana ya maneno unayo yasikia kila siku kwa waislamu Utagundua uislamu ni dini ya haki Mfano neno ‘Allahu akbar’ maana yake Mungu ni mkubwa. Jua Maana ya maneno yaliyopo kwenye adhana utaona ni maneno mazuri ya kumtukuza Mungu
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Haki ipi?
@MosesJoseph-tp3dr
@MosesJoseph-tp3dr 6 ай бұрын
BABA TUNATAKA KUFA HATUWEZI KUBARIKI WATU WANAO FANYA KINYUME NA MAAGIZO YA MUNGU HATUITAJI KUBARIKI
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
Huna option ndugu R.C ni dhehebu la Wazungu na ndio hadi wameandaa Biblia Yao, Sasa Papa akubali wewe Ukatae??? Karb na Mwisho wa Dunia karb wote tutakuwa Dini ya haki, sio muda mrefu , na zile zilizoundwa na wanadam zitajichuja zenyewe
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 6 ай бұрын
Nilikuwa najiuliza kwanini mapadri hawaoi na masista hawaolewi "LEO ndo nimegundua kumbe watu wanageuzana nyuma wao kwa wao na kusagana mwanzo mwisho....!! "
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Kwa sababu mdomo Mali yako utaongea unavyotaka,ila wapo waliozaliwa Wana Mdomo kama wewe Leo hawapo duniani na siku ya mwisho utatoa ushahidi wa maneno yako
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 6 ай бұрын
@@audifansisafari5587 Papa kashasema mliwe {○} Wake zenu hawana kazi tena {ukilijua hilo kuwa ni jambo baya utalazimika kuingia ktk uislamu Dini iliyo takasika {Dini pekee iliyo haramisha vitendo vya Qaumu lutwi}
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Mtu Kuomba Baraka Ni Tofauti na Mtu Kutaka Abarikiwe Tendo Lake au Kitu Chake, eg Mtu anaweza Akaleta Gari amenunua Kuomba baraka, Na Je Kama Ameua na Kulipora Utalibariki? Akija Mtu na Mke wake Akaoba Ubariki Ndoa yao Utambariki, Wakija Washoga Wawili Wakakuambia Muungano wao Ubarikiwe Utaubariki... I N SHOT HUYU POPE ANA SHIIIDA!
@ambakisyejohn6710
@ambakisyejohn6710 6 ай бұрын
Hii huwezi kunishawishi,kama vile Askofu unataka kupindisha kauli ya papa,jambo la kujiuliza unatambua wazi huyu ni muasi wa Mungu halafu unambariki badala ya kumuongoza Sala ya Toba,hii haiko sawa kabisa
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty 6 ай бұрын
Mkiambiwa ukristo sio dini mnakataa huwezi ukamwita Mtakatifu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 ай бұрын
Sasa ukishaona kiongozi mkuu wa dini anabariki ndoa ya jinsia moja bado unasubiri nini kujua haki iko wapi?
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 6 ай бұрын
Kiongozi ni bunadamu cyo Mungu
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty 6 ай бұрын
Huyu nae anajinga'tang'ata ongea pointi hakuna baraka za ndowa za jinsia moja
@user-zs7nf7ph5n
@user-zs7nf7ph5n 6 ай бұрын
Ndoa ni baina ya mke na mme,Hiyo ni baraka. Basi hamna baraka nyingine.
@muridundhikri
@muridundhikri 6 ай бұрын
Hapo ndio mnapata somo kua ukiristo ni dini inayoendesha matakwa ya wazungu. Mkitaka dini sahihi itakayokuepusheni na moto njoni kwenye uislamu
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Uislamu inaendeshwa Kwa matakwa ya waarabu
@vascomwalongo451
@vascomwalongo451 6 ай бұрын
I Feel Very Sorry For the Followers of this Roman Catholic chachi.
@gallusmbaga5522
@gallusmbaga5522 6 ай бұрын
By the way the pope did not talk about lovers but he said of people who practice homosexual. this does not mean blessing the union. People should follow what they believe and not consentrate on things which are unnecessary.
@admiraseverin9556
@admiraseverin9556 6 ай бұрын
Wanaomwitaji Dactari niwale walio wagonjwa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 ай бұрын
​@@gallusmbaga5522Are you against the pope?
@Tiffany340
@Tiffany340 6 ай бұрын
Huyo papa kajuwa kuiharibu Christmas yani mapadri watakuqa na muta mwingi wa kuijadidi na kutafuta namna ya kuifunika funika wakiwamadhabauni siku ya ibada, as if watu hatukumuelewa alichoomaanisha vile..
@joysekiza3944
@joysekiza3944 6 ай бұрын
Chamsingi ni kumuomba mugu to tusihukumu siamini nasubilia iyo ndoa ya jinsia moja ifungwe kanisani papa ajiuzuru
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 6 ай бұрын
Ila hapo papa franciss kafika mbali kiongozi mkubwa sana huyo ktk dini katoliki hapaswi kuongelea hayo mambo kbs
@mkurdimnubi-oo8es
@mkurdimnubi-oo8es 6 ай бұрын
Hapo ndio din ya kweli utajurikana bado kidogo tu
@edwardkahembetz
@edwardkahembetz 6 ай бұрын
Mtaangaika sana Ukristo ndio dini ya kweli
@j4ally534
@j4ally534 6 ай бұрын
Sasa ukwel wenyewe kuoana watu wa jinsia moja?
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 6 ай бұрын
Mm sipo humo kundi lamashoga hamna Dini hapo mnachelewa Sana huko
@mbjunior166
@mbjunior166 6 ай бұрын
@@edwardkahembetz Haya tafuta mume uolewe sasa si hiyo dini yako ya kweli imesharuhusu!
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 6 ай бұрын
Soon wataelewa kama wapo mtumbwi wa devil
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana askof sasa wokovu unaingia katoliki Mungu ameruhusu papa akosee ili macho yafunguke watu waone heeee tupo wapi kwenye dini gani Yesu yupo kazini kimbieni kimbieni kimbieni huko sio sarama wenzenu tulikuaga huko tuliwakuta wazazi wapo huko tulipoona uzaifu tulikimbia kwa miguu miwili njooni huku Huyo papa sio sarama
@user-ff1gh8wn1x
@user-ff1gh8wn1x 6 ай бұрын
Fuatilieni chambuzi zangu kwa huyo Cardinali muarjentina kabla hajawa papa.
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 6 ай бұрын
Waraka umeashatolewa Bariki mashoga 😊 baba
@ModestaMassawe-br1bw
@ModestaMassawe-br1bw 6 ай бұрын
Sasa!!! du! Watu ni mashoga ni baraka gani ina kibali kwao mbele za Mungu?wamejilaani wenyewe iwe toba sio baraka
@agnessima5032
@agnessima5032 6 ай бұрын
Kwani shoga hastahili baraka yoyote toka kwa Mungu?? Lah hasha! Kwa mambo yete yaliyo haki anapaswa kubarikiwa ila katika dhambi zake hapaswi kubarikiwa ili atumikie zaidi dhambi. Hivi shoga akiomba baraka ktk afya je asibarikiwe kwa kuwa yeye ni shoga? Kila mtu anastahili baraka bila kujali dhambi alizonazo..ingekuwa tunabarikiwa kwa kutokuwa na dhambi basi dunia yote ingekywa tupu tena yenye ukiwa tangu enzi za Adam na Eva!!
@user-un1wh9ms1q
@user-un1wh9ms1q 6 ай бұрын
Wewe,askofu. Baraja ni kibali,poneza,zazawadi,kukubaliwa,kuruhusiwa.kibali cha Mungu. Sasa kwa tafriri hiyo,padri au mchungaji anabariki nini? Mwenye masikio amesikia,ni lazima wajatoliki mjitambue.
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 6 ай бұрын
Anajaribu kuvuka kiunzi cha bwana wake, {aliye mpa maagizo : Mapadri wote waliwe nyuma ili wawe mfano kwa waumini wao na wambaliki kila aliye chagua wakumla "HAHAHAHA WAKRISTO KAZI MNAYO {Mtakuja kutafuta uislamu mkiwa tayar mmesha liwa} jisalimisheni kwa Allah kabla hamjakubwa na hiyo fitna
@wachujahabari3022
@wachujahabari3022 6 ай бұрын
Wakristo ata mpige kelele sheria ya papa ishasainiwa iyo awa maaskofu wenu wanaopinga kwasab baada ya mdA watsataafu watakuja wapya watakao tekeleza sheria ya papawao kwaiyo mjiandae tu wakristo ilo lishapita 😁😁cha kuwa shauri tu amieni kwenye uislamu ili msiwe na dhiki na amshaka yamoyo kwenye uislamu
@samuelkahuro7758
@samuelkahuro7758 6 ай бұрын
Ati Baba mtakatifu au Baba Mtaka Uchafu.
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 6 ай бұрын
Mimi sizani main issue ni kubariki au kutobariki ndoa za jinsia moja. Mimi nadhani tatizo ni kuwa chini ya kiongozi anaye elekeza watumishi walio chini yake kubariki ndoa za jinsia moja.
@user-mg4uf5vm5i
@user-mg4uf5vm5i 6 ай бұрын
Dunia iko mwisho tutaerewa tu🪱🧑‍🎓🧑‍🎓🧑‍🎓
@joycefrances4516
@joycefrances4516 6 ай бұрын
Huyu papa Hana akili kabisaaa,aiseee aolewe yeye,anaaibisha kabisa duniani,
@phillipmbuligwe6033
@phillipmbuligwe6033 6 ай бұрын
Chunga ulimi wako. Najua hujui unaongea nini. Mungu akusamehe
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 6 ай бұрын
Kaongea kweli
@mbjunior166
@mbjunior166 6 ай бұрын
Mzee anababaisha hajui hata aseme nini huu ni msiba mzito! Fuateni dini ya haki achaneni na hzo ajenda za ibilisi! Dini ni uislam tu!
@williammaxmillian5738
@williammaxmillian5738 6 ай бұрын
Huyu mnamwelewa kwel maan mm simwelew toka lini mwanaume na mwanaume mzenzie wakaenda kuomba baraka si ushoga au mm ndo sielew
@aloycesamba998
@aloycesamba998 6 ай бұрын
Hapo bado cjakuelewa kwa kweli
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 6 ай бұрын
Hujaelewa nini, Msikilize Papa Mwenyewe alichokisema..ktk kanisa katoliki, Mume kuoa mume Halali na padri afungishe ndoa hiyo ila si hadharani..
@jamaldeenmakenga
@jamaldeenmakenga 6 ай бұрын
Utaelewa tu unahitaji muda 😂😂😂😂😂
@superangeltv4615
@superangeltv4615 6 ай бұрын
Mm ni mkatoriki lakn hapa rasmi mm hapa Sina dini larud kule Kwa mungu ni sapanga sio uyo mungu wenu et God uyu ni wakenu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 ай бұрын
Njoo kwenye dini ya haki apo dini akuna ilo kanisa limejaa ushetani
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 6 ай бұрын
​@@mangulimanguli3974dini ya haki ipi? Wakati at waislam mshauzwa inataka kuwa dini moja,chrislam
@masetomaswali1563
@masetomaswali1563 6 ай бұрын
Ukristu matatizoni maana sio Roman Cathoric tu Mbona muda sasa Methodist church mpaka bendera za ushoga wanapeperusha makanisani, mashoga wanafungishwa ndoa na kubarikiwa.
@banihashim5347
@banihashim5347 6 ай бұрын
Safi Sanaaaaaa
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 6 ай бұрын
Huwezi kueleweka kama kuna machafuko kama hayo halafu ukayakataa huku ukiishi humo humo! Kusiwe na kisingizio chochote bali ni kuondoka tu.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
Nimekupenda kwa point yako
@evalinemagige495
@evalinemagige495 6 ай бұрын
Msiipambe dhambi kama mkubwa wenu amekosea semeni ndiyo siyo mnajiumauma kusema ukweli kumbukeni siku yaja ambayo kila mtu atauchukuwa mzigo wake mwenyewe hakutakuwa na maelezo unayojiumauma kuieleza dinia Muweni wakweli maana kweli itawaweka huru msije mkaliangamiza kanisa kwa aji ya mtu moja kisa kiongozi mkuu
@nsusabudda2951
@nsusabudda2951 6 ай бұрын
Mzee tafadhari usipindishe maneno..papa kasema mbariki ndoa za jinsia moja... sasa wewe unataka kupindisha maneno ..sisi sio mazuzu..
@cosmasshauri9002
@cosmasshauri9002 6 ай бұрын
Mmm kazi ipo
@superangeltv4615
@superangeltv4615 6 ай бұрын
Kwangu uki niambia mungu nitasema mungu gan wa kikatoriki au kiislam au wa kisamato uyo mm Nita sema no mungu yoyote wa kigeni nitasema no nitasema mungu wangu mwenye nguvu anayenisaidia Kila wakat dhini ya dhambi na uhovu uyu kwangu ni sapanga ushoga kwetu ni dhambi
@kalifree2855
@kalifree2855 6 ай бұрын
Baraka inatoka Kwa mungu pekee Kama vile riziki, ushoga ni Laana hauna mjadala ila ni kuupiga vita Kwa namna yeyote Ile, Je vpi kuhusu pope Hana hatia ama anayo? Mbona makanisa na viongozi wa makanisa ndio wanatumika zaidi kuhalalisha ushoga?
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 6 ай бұрын
AAjamani papasiyombongo kwadiniyooinarusiwa pengine arizariwanamwanau mekwa mwanaume kwasababu kuya. fikiriyaaya mambo pakauwe shetani. auajenti wakuzim,ivaivi iwezi
@mrok284
@mrok284 6 ай бұрын
Welcome in Islam.
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 6 ай бұрын
Islam witchcraft
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 6 ай бұрын
Islam with a prophet who slept with a 9yrs old girl (Aisha).. no thank you
@mrok284
@mrok284 6 ай бұрын
@@user-kx7ob5rx4p you are Witcher
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 6 ай бұрын
Poleni jamani hivi bado wakatoliki mnamuita Baba Mtakatifu? Kweli? Inasikitisha.
@modestuskangalawe2420
@modestuskangalawe2420 6 ай бұрын
Askofu mkweli Joseph wa texas marekani aliyepinga na ametengwa tayari kwa utakatifu wake
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 6 ай бұрын
BABA MTAKATIFU mwakilishi wa MUNGU duniani kulingana na imani za kikatoliki, tena inaaminika kwamba HAKOSEI (ex--cathedral). Ametamka kwamba wanandoa wa jinsia moja wabarikiwe. Askofu Ruaichi ni nani amkosoe? Ndiyo maana anatafuta kichaka : Mara aseme ni mafundisho ya Papa hayajaeleweka, mara aseme watu wasiolipenda kanisa wanazusha .Hivi couple kiswahili maana yake si wanandoa? Wakija kuomba mibaraka si watakuja wawili? unategemea wataomba mibaraka gani? kama siyo ya ndoa yao? Afadhali Papa angesema wakiomba kitubio msiwanyime ila wakubali kuachana ningemwelewa.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 6 ай бұрын
Exactly
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 6 ай бұрын
Wewe ninani mapaka uelewe usipoelewa Kanisa KATOLIKI litapungukiwa na nini
@frankjohn8706
@frankjohn8706 6 ай бұрын
​@@audifansisafari5587SOMENI NENO LA MUNGU VIZURI MJUE NINI MAANA YA KANISA NA KWANINI YESU ALIONYA WALIOMWAMINI KWAMBA (MTU)ASIWADANGANE.. WATATOKEA MAKRISTO WA UONGO WATADANGANYA WENGI. MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO
@rashidiiddi2433
@rashidiiddi2433 6 ай бұрын
Ubaliki wewe ni mungu
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 6 ай бұрын
Tafadhalini Maaskofu, Pope Fransis Amewehuka, Sio Mara ya Kwanza Kwa Historia ya Mapapa Kutoa Maamuzi au Kufanya Vitendo Vya Kishetani. Sasa Najua Ni Kwanini Pope Benedict Alijiuzulu. YAANI BISHOP RWAICHI WAJE MASHOGA WAMEUNGANA WAJE KUTAKA BARAKA IWE NA MAANA TAKATIFU??? Acheni Kumtetea Huyu Pope, Amechanganyikiwa!
@Brave7371
@Brave7371 6 ай бұрын
Sawa wabarikini mashoga, na wasagaji na hata ikibidi wapeni nyadhifa huko kwenye makanisa yenu ili kuonyesha kuwa mnashikamana nao kwa dhati, Ila tambueni kuwa hukumu ya MUNGU ipo na kila mtu atatoa hesabu yake.
@sinevictor8966
@sinevictor8966 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢Mungu akupe mwanga wa imani
@peterkanja4765
@peterkanja4765 6 ай бұрын
iwapo baba mtakatifu anatoa mafundisho tata yanayohitaji makasisi wake kuulizwa maswali tata basi na yeyeastasishwe ajiudhuru apumzishwe atawezaje kutoa mafundisho kinyume na imani katoliki awekwe benchi.
@user-rd3hk5qt5p
@user-rd3hk5qt5p 6 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi usimamie msimamo wako na kuwambia watu ukweli maana Biblia imeandika yote
@wignaspaschal38
@wignaspaschal38 6 ай бұрын
Nenda straight. .. shoga
@brother4others750
@brother4others750 6 ай бұрын
Si dini hii weeee
@saidbakar7137
@saidbakar7137 6 ай бұрын
Uwache upwage
@somenimaira3381
@somenimaira3381 6 ай бұрын
Hakuna baraka ktk dhambi, uongo wa shetani.
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 6 ай бұрын
Kwani ndo leo unamfahamu mpinga Kristo!
@EliaHiluka-ep3tp
@EliaHiluka-ep3tp 6 ай бұрын
Huyo sio baba mtakatifu
@obadiajonas9889
@obadiajonas9889 6 ай бұрын
je vile vyeti walivyo pewa au nimeona vibaya
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 60 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 21 МЛН
NO one Financing GEN-Z | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
16:25
ThingiraWaNduraTV
Рет қаралды 42 М.
🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU...
1:18:21
JAMBO TV
Рет қаралды 77 М.
MCH HANANJA ATOBOA SIRI ZA MITUME NA MANABII, LEO NAONGEA UKWELI
31:52
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00