MSAIDIZI wa HALIMA MDEE AHAMIA CCM - ASKOFU GWAJIMA AMKUMBATIA - AMOS MAKALA AMKARIBISHA CCM...

  Рет қаралды 28,322

Global TV  Online

Global TV Online

6 күн бұрын

MSAIDIZI wa HALIMA MDEE AHAMIA CCM - ASKOFU GWAJIMA AMKUMBATIA - AMOS MAKALA AMKARIBISHA CCM...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 110
@globaltv_online
@globaltv_online 5 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-re3sr7qu2i
@user-re3sr7qu2i 4 күн бұрын
Halima mdee tangu 2020 hakuwa mwanachama wa CHADEMA kwahiyo msaidizi amechelewa sana kujiunga
@fredrickkaaya6287
@fredrickkaaya6287 4 күн бұрын
Hakika Makala unatia aibu hizo ni siasa za maji taka.
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 5 күн бұрын
Halima mwenyewe alishanunuliwa tayari bado Tu kumuanika😊
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku 4 күн бұрын
Yuko njian uyo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 күн бұрын
CCM hakuna la zaidi mimi siyo mwanachama hata mara moja lakini hakuna lo lote bali ni ni uhuni mtupu
@rogersiddy
@rogersiddy 4 күн бұрын
Mnajidanganya nyinyi aisee uyo Halima mwenyewe si ccm kitambo bado hajavaa vijezi vyenu tu ila uyo ametamgulia yeye anafuata nyuma
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 4 күн бұрын
Kwani Halima Mdee si ni CCM sikunyingi ??!! Hakuna jipya
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 5 күн бұрын
Eeh Mwenyezi Mungu km ni kwa matakwa yako tunashukuru lkn kuna sio kwa matakwa yako au kwa manufaa ya sisi watu wako uschelewe kutujibu! Kwa upanga wako wa Moto-Amen
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 4 күн бұрын
Jidsnganye njaa imekupeleka umekuja kuiuwa ccm tutaongea Nini wewe
@amosmangura
@amosmangura 4 күн бұрын
Uzaifu za ccm mkubwa sana makala unatia aibu
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 4 күн бұрын
Nyie watu wa Bara hebu jifunzeni kiswahili fasaha. Uzaifu ndio nini unaongea mbele ya hadhara uzaifu . Ukisema Udhaifu ulimi utatoboka?
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 4 күн бұрын
2025 CHADEMA mkombozi wa maisha ya watanzania
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 күн бұрын
@@elvisoscar9912 🤣😂😅ENDELEA KULALA....HIYO NDOTO NI NZURI SANA
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 4 күн бұрын
@@sskondopoleani9616 ndio chadema ndo chama pendwa
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h 3 күн бұрын
Njaaa zinawasumbua ,,umekuja CCM sababu ya njala zinawasumbua
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 4 күн бұрын
Sasa za zamani sana.
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 5 күн бұрын
Safali hii tunawabomoa kabisa ccm oyeee👍👍👍
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 5 күн бұрын
Muwajali wananchi msiwafanye wananchi waonekane hawana maaana kwasababu tu mna mamlaka
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 күн бұрын
Tena tunauwa wote chadema sasa hivi wanachungulia kaburi
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 күн бұрын
😂UNAAMBIWA PALE KWENYA CCM 5 TENA UNAWEKA 0 INAKUWA CCM 50 TENA 😂😂😂😂
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 күн бұрын
@@exaverysimon1064 na kweli kabisa
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 5 күн бұрын
Wasaliti wote hukumu yenu itakuja kwa muda na majira yake. Mnaangalia maslahi yenu badala ya kuangalia shida za wananchi. Mungu atahukumu wanaoangalia manufaa yao.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 5 күн бұрын
Yeyote atakae kuja Wallah ni walewale. HAKUNA atakae MALIZA SHIDA ZENU, PAMBANENI na Hali zenu, *POLITICS IS A DIRTY GAME*
@HajiSimba-mq7tp
@HajiSimba-mq7tp 4 күн бұрын
Kila mtu apambane sio kutegemea mtu akupambanie
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 4 күн бұрын
Duh hiii rushwa itaisha lini
@agofranco4766
@agofranco4766 4 күн бұрын
Aisee Kuwa upinzani inahitaji ujasiri sana ,sio lelemama
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 4 күн бұрын
Uchaguzi ukikalibia kuhama vyama ni kawaida sana
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 4 күн бұрын
Matatzo ya wa tz hayawezi kumalizwa na upinzani kujiunga na ccm. Maigizo
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 5 күн бұрын
Kwani alikuwa wapi? Baada ya 2020
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Күн бұрын
Hovyo kabisa mbona tunawajua😂😂😂
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 5 күн бұрын
2024-2025 kabla ya uchaguz tutaone meng Anyway yetu macho
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 4 күн бұрын
yaani badala ya kujivunia mmetufikisha wapi nyi mnajigamba kwa huu upuuz
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 күн бұрын
Kwani Halima Mdee siyo CCM? Nyie vipi? Nadhani hapa anachofanya ni kuonyesha kuwa ukiona mbwa ujue mwenyewe yuko nyuma au karibu naye
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 күн бұрын
Mtanunua mifukule tu inayochumia mautumbo yake wenye akili timamu tutapigania haki zetu tumechoka kunyonywa na mambogamboga
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 күн бұрын
CCM nishaichoka
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 5 күн бұрын
ametumia haki yke ya kikatiba.....
@user-tx6dh6ii3m
@user-tx6dh6ii3m 4 күн бұрын
Hii njaa nishida matapeli ktk ubora wenu
@marwamagere
@marwamagere 4 күн бұрын
Ccm ya Leo ni genge LA watekaji na majambazi
@user-um7rz2lv3t
@user-um7rz2lv3t 4 күн бұрын
Tatizo viongozi wetu weu😮
@georgemallya4311
@georgemallya4311 5 күн бұрын
😢watakuja wengi sana
@zacharianjanga
@zacharianjanga 2 күн бұрын
ccm oyeeh
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 4 күн бұрын
Halima ajakusaga kweli
@shivobs4485
@shivobs4485 4 күн бұрын
Kwendaaaaa
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 5 күн бұрын
Ila ccm wapumbavu sanaa mtatiletea mpaka mavi sasa 😂😂 sasa majimbo yapi anayotaka yarudi wakati yote niya ccm 😂😂😂
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 4 күн бұрын
Kweli majimbo Gani ajitambui huyu matako
@marwamagere
@marwamagere 4 күн бұрын
Tapeli mkubwa umetangulizwa na halima mdee Malaya ww
@richardhosea8827
@richardhosea8827 5 күн бұрын
Hilo. Ni fyagio la chuma
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 3 күн бұрын
mbona mmemkamata kama mnampeleka kinguvu
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 4 күн бұрын
ccm kweli mmeishiwa hata hawa watu wambao wanajulikana na mtaa tu mnajitangazia mpaka kwenye media
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 5 күн бұрын
Vile vituko uchaguzi ukikaribia sio vigeni kwa watz
@leokamil6284
@leokamil6284 4 күн бұрын
Nilidhani Mwanaumme
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 күн бұрын
UNAAMBIWA PALE KWENYA CCM 5 TENA UNAWEKA 0 INAKUWA CCM 50 TENA 😂😂😂😂UNAAMBIWA PALE KWENYA CCM 5 TENA UNAWEKA 0 INAKUWA CCM 50 TENA 😂😂😂😂
@hildalyatuu2710
@hildalyatuu2710 4 күн бұрын
Chadema hatuna mtu anaitwa Halima Mdee. Sasa huyo msaidizi wake tutamjulia wapi?
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 4 күн бұрын
Hongi is tipping
@erickenock3198
@erickenock3198 5 күн бұрын
Sema ana nundu
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 4 күн бұрын
chakula ya boss
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 5 күн бұрын
Tunajua ccm ndo mlivyo karibu na uchaguzi munasmabratisha upinzani kama mlivyofanya nccr mageuzi nabado mapandikizi yenu bado yapo upinzani
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 4 күн бұрын
Nimeona kwamba chama cha chadema wana ccm waliojificha tangu awali
@francismomo7067
@francismomo7067 4 күн бұрын
Kinachoendelea ni udhalilishaji ,kwann inakua ivi lakin
@paulowilly7864
@paulowilly7864 4 күн бұрын
Wewe malaya tu
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 4 күн бұрын
Bado shida ipo palepale mtaisoma namba wenyewe sisi tunataka maendeleo tunayotaka
@RamadhaniMsagati
@RamadhaniMsagati 5 күн бұрын
Ameondoka 1 wameingia zaid ya 50
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 күн бұрын
Acheni siasa hizo. Kwenye chama kila mtu muhimu.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 5 күн бұрын
Kama ni hivyo POVU la nini??? Kumbe akiondoka mmoja wana kuja 50, basi ombeni 100 watoke waje 500. Hovyoooooo CCM mwendo mdundo tu.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 күн бұрын
Ndiooooooo​@@sskondopoleani9616
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 5 күн бұрын
Nchi nzima wanasiasa wa ukweli ni MH kikwete/baba wa taifa/na mzee mwinyi tu. Wengine wote ni shida
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 5 күн бұрын
Mkweli alikuwa jpm
@benswai8099
@benswai8099 4 күн бұрын
Halima hajatambulishwa tu
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 4 күн бұрын
Wala hata haitutishii hatuna haja naye.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 5 күн бұрын
Hawa ni wafa maji tuu . Mwaka huu tunae shujaaa Baba wa mbinguni . Wao wana hela na dola sisi tunae shujaa wa mashujaa . Safari hii lazima waondoke . Mipango yao ya gizani itabatilizwa
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 күн бұрын
INAHITAJIKA NGUVU KUBWA SANA KUITOA CCM MADARAKAN SAS KWEL HIZO SIASA WANAZO FANYA WAPINZAN ZA MIHEMKO YA OVYO OVYO UNADHAN WANAWEZA KUTOBOA
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 4 күн бұрын
Umma ukiamua hata leo ccm itakuwa chali… ishu ni moja tu wa🇹🇿 waamuke… ccm ilishakufa… limebakia genge la majambazi na wafuasi wao!
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 күн бұрын
CHADEMA WENYEWE KWA WENYEWE HAMUELEWANI
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 5 күн бұрын
Kama mnajiamini msije mkaiba kula
@RajabuDangi-qv2uo
@RajabuDangi-qv2uo 3 күн бұрын
2025
@user-jf2gp7wb9i
@user-jf2gp7wb9i 4 күн бұрын
ukiona mijitu inanenepeana hovyo ujue akili ni ndogo mno sijamtaja mtu
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 4 күн бұрын
hahahaha chama cha majambazi
@barakakevela245
@barakakevela245 5 күн бұрын
MBOWE MHUNI TUU ANANGANGANIA UENYEKITI WA CHAMA KARIBU MIAKA 20 AIGE KWA MH ZITTO KWA ACT
@rendiman2878
@rendiman2878 5 күн бұрын
Nyerere nae alikuwa muhuni pia. Aling’ang’ania kiti miaka 27. Kidumu chama cha mapinduzi. zidumu fikra za mwenyeketi. Umesahau hayo? nyani haoni kundule
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 күн бұрын
CCM haina mvuto tena
@ce-08
@ce-08 4 күн бұрын
Chadema wasipojiangalia wao watakuwa wanafanya kazi wanazalisha wanakula matunda wengine
@chabrumachabruma
@chabrumachabruma 4 күн бұрын
Askofu gwajima amkumbatia.
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 4 күн бұрын
Majimbo yapi wewe wakati yote yako ccm? Alafu unasema eti una msimamo msimamo upi? Mbona umeondoka chadema? Upuuzi mtupu.
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo 4 күн бұрын
Mkagomanoane vyeo
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 5 күн бұрын
Njaaaa kali sana alishahama kitambo
@MnubiMm
@MnubiMm 5 күн бұрын
Huyu ana njaa hivi lowasa nae alikuwa na njaa au Dr Slaa nae alikuwa na njaa
@user-um7rz2lv3t
@user-um7rz2lv3t 4 күн бұрын
Akuna jambo
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 4 күн бұрын
Hahaha,hahaha
@user-df9ue7ko3u
@user-df9ue7ko3u 4 күн бұрын
Wacha uongo
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 күн бұрын
😂😂😂 MKIAMBIWA CCM N CHAMA KIKUBWA MSIWE MNAFANANISHA NA VYAMA VYA USHILIKA HAWA WANAUWEZO WA KUMCHUKUA YEYOTE AT MBOE WAKIAMUA WANAMCHIKUA N SWALA LA MDA TU 😂😂 MMOJA MMOJA MPAKA WAISHE😂😂
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 4 күн бұрын
Tz ndo ccm hata museme nn hilo linajulikana abadani anayeigia ccm ni katiba inamruhusu sina chama ila ccm ndo mama wataifa na chama katika tz hii ogopa mwanamke aliyejifugua kwa uchugu mengi atayavumilia sana na atafaulu katika kazi zake na mama hata awe kichaa kumbuka hatokumbali ashidwe
@allyndabe2458
@allyndabe2458 4 күн бұрын
𝐃𝐮𝐡 😂 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐦𝐛𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐦𝐛𝐢𝐨 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐜𝐡𝐚𝐝𝐞𝐦𝐚 😂 𝐣𝐞 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐫𝐚𝐣𝐢𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐩𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐛𝐨𝐞 𝐚𝐮 🏃‍♀️
@bakarimkwizu4335
@bakarimkwizu4335 4 күн бұрын
Bado mbowe
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 5 күн бұрын
Upuuzi
@user-lt1nr4tk9r
@user-lt1nr4tk9r 5 күн бұрын
Mwenzak c huyo hapo nyuma mulize anann mpaka leo
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 5 күн бұрын
Hiyo siyo siasa hata kidogo
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 4 күн бұрын
Hiyo chakula ya boss chukuweni tu
@robertphilip385
@robertphilip385 5 күн бұрын
Chawa mkubwa wewe njaa tu imekupeleka ccm
@bakariiddy5387
@bakariiddy5387 5 күн бұрын
Maigizo
@RenardMakori
@RenardMakori 5 күн бұрын
Nchi ni ngumu wana ccm atamkitafuta watu wakupandisha jukuani lkn safari hii mmegonga mwamba kwa wananchi tunawacheki tu.
@zully756
@zully756 5 күн бұрын
Haki yake
@romanamassawe814
@romanamassawe814 3 күн бұрын
Ujinga mtupu
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 5 күн бұрын
Furahini majuto yanakuja
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 5 күн бұрын
Naona kumekucha! ccm kimeanza biashara yake ya miaka nenda rudi ya ulanguzi na ununuzi wa wanachama wa vyama vya upinzani hasa chadema kwa nguvu KUBWA.
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 5 күн бұрын
Yan mnaigopa chadema msipo msema mbowe hampat raha kama mnajiamini mwambieni mama akubali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi japo lazma mnyooshwe na tume hiyo hiyo na katiba hiyo hiyo
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 күн бұрын
Chadema mashogaaaaa tu hakuna kitu mnakufa polepole tena mnajiua wenyewe CCM haina shida na watu wenu CCM wameja watu wenye vipaji hatari
@EdwardOkemba
@EdwardOkemba 4 күн бұрын
Umeona kizuri Gani ccm hata ukamuacha mdee lkn karibu hauja shinikizwa na mtu ni mapenzi Yako na ccm kidumu chama tawala
@user-df9ue7ko3u
@user-df9ue7ko3u 4 күн бұрын
Chadema chama kubwa
President William Ruto dissolves Cabinet
11:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 138 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 114 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 90 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43
Ndaro Tz
Рет қаралды 161 М.