MTOTO Shujaa ALIYEMKUNA MAGUFULI, Akatoa MILIONI 8!

  Рет қаралды 563,310

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MTOTO Shujaa ALIYEMKUNA MAGUFULI, Akatoa MILIONI 8!
Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 08, amewasili mkoani Sumbawanga akiendelea na ziara yake nchini ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali...
Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: kzfaq.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzfaq.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzfaq.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
kzfaq.info?list...

Пікірлер: 215
@sarahminja7255
@sarahminja7255 4 жыл бұрын
Yani huyu ndiye president wa kwanza Tanzania ambaye anafanya kazi bila kupumzika yani watanzania tuko teyari utuongoze mpaka mwisho wa uhai wako tunaamini Tanzania tutakuwa kama nnchi za ulaya kwa maendeleo. Maraisi wengine wote waliopita walikuwa wanafanya kazi kwa starehe yani hawaangaiki kama huyu wao tulikuwa tunawaona kwenye sherehe kubwa ndiyo wanatoa khutuba yao mfano sherehe za Uhuru au mwenge n.k ndiyo tunawaona kwenye maviwanja. Siyo kama huyu president wetu J.P.M JEMBE LA WATANZANIA Ubarikiwe sana raisi wetu
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 2 жыл бұрын
Hawapendi watenda wema
@King-Jack-ryan
@King-Jack-ryan 4 жыл бұрын
Ninapo mwona huyu Rahisi watanzania moyo wangu hufurahi na napenda kumsikiza licha mm ni mkenya but I love Mr. Magufuli ana hekima yakipekee Africa nzima pia moyo wa upendo mungu amulinde amupee maisha marefu
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 4 жыл бұрын
Amiin
@bettymajele186
@bettymajele186 4 жыл бұрын
Kenyan lady ndukhu j
@bettymajele186
@bettymajele186 4 жыл бұрын
Kenyan lady ndukhu ja
@nurahoneybby7902
@nurahoneybby7902 4 жыл бұрын
Kweli kabisa rahisi wetu subutu hongera sanaa rahisi wa Tanzania
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
@@nurahoneybby7902 wallah mm najuta kuwa mkenya yani ningezaliwa tz raisi wa kenya aongee na myonge subutuu raisi magufuli ongera sana
@djungabahati3103
@djungabahati3103 4 жыл бұрын
Upeweeee sifa mzee Raïs
@joycematonya1241
@joycematonya1241 4 жыл бұрын
hongereni sana kwa wimbo mzuri wanafunzi wa sekondari una mafundisho mazuri mnoooo na walimu pia hongereni
@fredricklyimo3238
@fredricklyimo3238 4 жыл бұрын
long live My president
@flavian-augustino.pangah
@flavian-augustino.pangah 4 жыл бұрын
Kura kwa Magufuli 2020
@hamisijuma6022
@hamisijuma6022 3 жыл бұрын
God bless you and give you long live J. P. M
@anawa4326
@anawa4326 4 жыл бұрын
I like Mr president 🙏🏽🇹🇿
@ndungurukandosa8105
@ndungurukandosa8105 3 жыл бұрын
Mungu akutangurie mweshiwa rais wetu kila jambo unalofanya kwa sis wananch wako
@mariamgaitan6520
@mariamgaitan6520 4 жыл бұрын
BIG UP DOGO MWANAMKE ANAWEZA BILA KUWEZESHWA
@sikujuakalomtana1653
@sikujuakalomtana1653 3 жыл бұрын
Aje nahuku kwetu maana warafi niwengi Sana angekuja akatunyooshea maana wamezidi kutulia pesa zetu wazazi
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Huyu mtoto ni bonge la kiongozi siku za usoni,wanaomfahamu watakuja kusema,kaeleza vizuri kuliko ata wakubwa
@irfanally7647
@irfanally7647 4 жыл бұрын
Bless you J.p.m
@newforcejv9721
@newforcejv9721 4 жыл бұрын
Long life my father JPM
@erickkiptanui9386
@erickkiptanui9386 4 жыл бұрын
Kari nzuri rais
@luganojacob
@luganojacob 4 жыл бұрын
Mnyakyusa balaa kwa kuimba twende sawa mtoto uyo Balaa sana
@einothmbatia9501
@einothmbatia9501 4 жыл бұрын
Hahahaha 😁 😁 😁 😁 😁 gonga like kama umesikia headmaster wa primary bado hajaoa na rais kasema unasubiri niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@khamzahamis1975
@khamzahamis1975 4 жыл бұрын
. Oo
@ommybiggie4825
@ommybiggie4825 4 жыл бұрын
Magufuli yani tanzania inameremeta ...mungu akulinde ..akuwezeshe zaidi na zaidi...salute my president japo mm mkenya ila siko mbali kuhama
@tunkuh661
@tunkuh661 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
Karibu sana tz Omar Badi,wote ni ndugu sisi
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 4 жыл бұрын
😂😂😂ww mi shida
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
mm pia ntakua nyuma yako twende
@mtumwafaraji8768
@mtumwafaraji8768 4 жыл бұрын
M/Mungu akubariki sana Rais wangu nakuombea sana Dua uzima Na Afya njrma ili uzidi kutekeleza majukumu yako.
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 4 жыл бұрын
Daah huy. Ni kiongoz wakuikwa jaman asitoke madarakan japo nipo nje ya tz nimeipend
@nasramohamed8372
@nasramohamed8372 4 жыл бұрын
Maryam
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 4 жыл бұрын
@@nasramohamed8372 naam
@sofiagashomba5550
@sofiagashomba5550 4 жыл бұрын
M4C Magufuli 4 change🙌🏼
@gabrielngure4880
@gabrielngure4880 4 жыл бұрын
Watoto wasikuizi bana mbele ya Raisi wanashindwa kusalimia Siku hizi shikamo imekuwa adim sana.
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Mshituko labda😂kuwa mbele ya rais mmmmm
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Magu jamani love my presdent
@florencekashaija7539
@florencekashaija7539 4 жыл бұрын
Shikamoo Ni za bili .
@youngassaidy7845
@youngassaidy7845 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@gwakisamwaikandage7281
@gwakisamwaikandage7281 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 4 жыл бұрын
Watoto Smart sana na nyimbo yao ya shule ni nzuri sana.
@zinaibrahim7004
@zinaibrahim7004 4 жыл бұрын
mashaallah hongera sana rais wetu
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 жыл бұрын
UYO NI MALIKIA WANGUVU WA BADAE UYU MTOTO MUNGU AMBARIKI
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Sina shaka juu ya hilo
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 жыл бұрын
Olewako ukasile naww utaliwa hahaha huyu rais wetu bhana mngu ambariki
@gidionsitobi5916
@gidionsitobi5916 3 жыл бұрын
Iiii
@revocatusedward5739
@revocatusedward5739 4 жыл бұрын
Hizo headmaster hujapewa za kutolea mahali yaani hapo istoke hata mia
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Kweli inapendeza sana, lkn mwandishi wa habari amekata wimbo wa shule ya msingi, hatukusukia, ametunyima raha. Ila yote ni mema. Amen.
@sangaroofing8379
@sangaroofing8379 4 жыл бұрын
Naona mada ni yamagufuli lkn watu wanakoment mapenz nimeona mmoja ameandika mambo vip my love inachekesha sana
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Huyu mtoto mdogo anaakili sana na adabu piaa..
@khadijakinyala8241
@khadijakinyala8241 4 жыл бұрын
Ubarikiwe rais wetuu
@elizabethnzunda651
@elizabethnzunda651 4 жыл бұрын
Watoto Mko vizuri sama
@ummulkurthumabeid2914
@ummulkurthumabeid2914 4 жыл бұрын
Yaan sijuwi nisemeje lait ingekuwa maraishi wote km magufuli nchi yetu shida zote zingeondoka magufuli ht akiondoka ataacha historia kwani mtu jupo karibu sn na mattzo ya wananchi anajali sn ana huruma machangafu aisee huu ni mfano kwa wengine inatakiwa wachukuwe mfano km wa rais magufuli allah akuweke inshallah uzidi kutendea wanachi mazur❤❤❤❤❤👏👏👏👏
@jumamfaume3204
@jumamfaume3204 4 жыл бұрын
👏👏👐👐👐
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri iliyobora, hongereni Walimu. Na muimbishaji yupo juu. Wow!
@morrismutua2206
@morrismutua2206 4 жыл бұрын
God bless you more mangufuli
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 4 жыл бұрын
Kweli mh
@mangegervas9651
@mangegervas9651 4 жыл бұрын
Gud saana jpm
@hamissatweetshamissatweets1310
@hamissatweetshamissatweets1310 4 жыл бұрын
Mashallah magufuli
@ayshahusseinmohamed5984
@ayshahusseinmohamed5984 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 baba uende na aridhi pia
@ridhiwaniomari7425
@ridhiwaniomari7425 4 жыл бұрын
Hawa wanafunzi wa siku hizi hata kuamkia hawataki
@juliaslengai3323
@juliaslengai3323 4 жыл бұрын
Itakuwa wamejisahau usiwalaum
@lizety199
@lizety199 4 жыл бұрын
Ila kweli. Mmoja hapo angemwamkia Rais , laki moja ingempiga usoni
@joycematonya1241
@joycematonya1241 4 жыл бұрын
honger sana baba Rais Magufuli mungu akubariki kwa kazi mzuri unayoifanya
@user-zh8nb2yj8o
@user-zh8nb2yj8o 5 ай бұрын
Nakukubali Rais wangu
@prscaroilen3203
@prscaroilen3203 4 жыл бұрын
Huyu mwanafinzi was shule ya msingi kaongea vzr kuliko wakubwa
@christophercheruiyot5755
@christophercheruiyot5755 4 жыл бұрын
I wish Dr. president could be my president
@lauraabass1077
@lauraabass1077 4 жыл бұрын
Huwa napenda mhe Rais anavyoongea na kutreat watoto. Anawapenda mno. Mashallah
@tonybleamangi6792
@tonybleamangi6792 4 жыл бұрын
I like it
@sampachino5184
@sampachino5184 4 жыл бұрын
Kama umependa alichofanya m Rais gonga like apo chini
@solomonmasanja7111
@solomonmasanja7111 4 жыл бұрын
Mwimbo Mzuri sana ..
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@richardtv8339
@richardtv8339 4 жыл бұрын
HKL bhana ina maneno meng😂😂😂
@paulngigwa2757
@paulngigwa2757 4 жыл бұрын
Richard Mtui : hahahahaaaaaaaaaaaa
@DjmubaTechServices
@DjmubaTechServices 4 жыл бұрын
😂
@simasemeo7515
@simasemeo7515 4 жыл бұрын
Johncna Mieleka
@staphodmwalubinga5267
@staphodmwalubinga5267 4 жыл бұрын
😅😅😅😅 kawaida tu jaman
@rizikimbilinyi5615
@rizikimbilinyi5615 4 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi raisi wetu magufuli hakika wewe niraisi wawanyonge unastahili pongezi baba wafipa mpooooooooooooo?????
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 жыл бұрын
Je kama Rais asingelikuja mngemalizie lini?
@a-leeroderligoes5800
@a-leeroderligoes5800 4 жыл бұрын
mnipe like wakwanza kucomment
@michaelmasasi112
@michaelmasasi112 4 жыл бұрын
dc mbona hujibu maswali kama ulivyoulizwa?
@MrDoug002
@MrDoug002 4 жыл бұрын
Kalikwenda sawa kabisa
@55goodmen
@55goodmen 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubaliki sanaa baba Magufuli ni mtu wa watu....nakusikiliza kila siku na kuona video za ziara zako wewe ni Mwanamapinduzi wa pekee!!!
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 4 жыл бұрын
Wako wapi wale wa suruali mtepesho😂😂😂😂 Baba jesca hataki
@godfreywilliam9673
@godfreywilliam9673 4 жыл бұрын
Magufuri bhana eti unasumbilia nn kuoa wakati..,..😂😂😂 Oa ili usiwe unawatamani hawa😂😂😂
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
😂 😂 😂 Mbavu zangu
@dottnatta310
@dottnatta310 4 жыл бұрын
Mjomba Magu 😂😂😂
@user-ey2so3pl6n
@user-ey2so3pl6n 10 ай бұрын
Nimeipenda
@jumasaidi8157
@jumasaidi8157 4 жыл бұрын
Wimbo mzuli sana
@anduljuma1673
@anduljuma1673 4 жыл бұрын
Ongela magufuri 👏👏👏
@deborahcharles2963
@deborahcharles2963 4 жыл бұрын
Hongera anko magu
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 жыл бұрын
Mwenye nyumba.......
@AmusedAstrolabe-fh8ox
@AmusedAstrolabe-fh8ox 6 ай бұрын
Ingekuwa unaweza kurudi ungerud mtu wetu mungu atunze watorp wako na mama yao
@kessymajjo5466
@kessymajjo5466 4 жыл бұрын
👍👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@pilimsangeni8668
@pilimsangeni8668 4 жыл бұрын
Mashaallah baba etu wataifa
@karimbagalwa8498
@karimbagalwa8498 4 жыл бұрын
Kweli ni baba wataifa. Namkubali
@josephemanueli6668
@josephemanueli6668 3 жыл бұрын
Atammi naona
@wanzitamaseko6802
@wanzitamaseko6802 Жыл бұрын
Miss Rais wng unaishi ndani ya mioyo yetu
@teonilakitindi8430
@teonilakitindi8430 4 жыл бұрын
Good
@GiftyohanaMadiyosi-uc7gd
@GiftyohanaMadiyosi-uc7gd 6 ай бұрын
unastahili kuwa kiongoz
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 2 жыл бұрын
I am done with western life, home sweet home
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 4 жыл бұрын
Jamani 😂😂😂😂chngamoto hatari san
@robisongidion4864
@robisongidion4864 4 жыл бұрын
htr
@thhtthht1485
@thhtthht1485 4 ай бұрын
Nacheka huku nalia 😢kweli kizur hakidum
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri
@ismaelsalum6
@ismaelsalum6 3 жыл бұрын
J
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 4 жыл бұрын
Raisi wangu Mungu wa mbinguni alikuleta duniani kwa makusudi ya kuwakomboa watanzania, ni nani angeweza kukemea utelekezaji wa haki za wananchi hivyo ufanyavyo. Hisia inayoguswa na wanyonge ni dhamira njema kwa watu. Moyo wako umejawa na upendo mwingi, unakerwa waziwazi na uonevu, hupendi uongo, ufisadi, ucheleweshwaji na uzembe, unatamani maendeleo na mafanikio yanayoanzia kwa mtu binafsi, unapenda haki. Mungu akulinde baba.
@rizikimbilinyi5615
@rizikimbilinyi5615 4 жыл бұрын
Wafipa oyeeeeeeeeeeee
@CosmasMturi
@CosmasMturi 5 ай бұрын
😊😊😊😊😊l😊ll😊😊😊😊
@hancekiteve8362
@hancekiteve8362 4 жыл бұрын
Daaaa hajaoa jamaaa hedmasert wanawake
@martinejoseph6098
@martinejoseph6098 4 жыл бұрын
Huo wimbo wa shule wakiufanyia na video ndo utakuwa hit zaid...kichupa wakapigie kwa Nicklass
@masanjaemanuel6754
@masanjaemanuel6754 4 жыл бұрын
Big up our president
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 4 жыл бұрын
😘
@zulu695
@zulu695 3 жыл бұрын
This is the reason why western countries will never like you sir respect mweshimiwa Rais
@jafaryhassan5302
@jafaryhassan5302 4 жыл бұрын
Kweli
@JudithMaziku-tf5os
@JudithMaziku-tf5os 8 ай бұрын
Mpendwa. We're. Tutakukumbuka. Daima
@sameerasumar7663
@sameerasumar7663 2 жыл бұрын
Unaku mkumbuka sana - there will be no one like you ever again- rest in peace my dear
@naimabwinga8572
@naimabwinga8572 4 жыл бұрын
Ety hujaowa unasubiri nini😂😂😂😂😂
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 4 жыл бұрын
Hahahaha jaman nimecheka swali la mtego ..... "Eti inawezekana wanawachungulia...." anko hapana😘😘
@zaineumutabazi1862
@zaineumutabazi1862 4 жыл бұрын
Banana
@josephemanueli6668
@josephemanueli6668 3 жыл бұрын
Usijaribu
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Mashaallah , hongera sana Rais wetu Magufuli, Allah kukupa uhai na afya ,
@richardemmanuel4533
@richardemmanuel4533 4 жыл бұрын
Safi JPM
@55goodmen
@55goodmen 4 жыл бұрын
sasa cha kushangaza hawa watu MPAKA AJE RAIS NDIO WAANACHANGAMKA KWELI?? SIKU ZOTE WALIKUA WAPI??? Kwa nini wasifanye mkutano waka adress hiyo issue and kutatua wenyewew bila kusukumwa??? Shame on those guys !!! Theres no EXCUSE their answers do not make any sense !! Rais kaja ndio wanawajibika !! Je asingekuja je ??
@AmusedAstrolabe-fh8ox
@AmusedAstrolabe-fh8ox 6 ай бұрын
Daima rais tunakukumbuka kwa iman uliyo nayo wakati wa corona
@Thomas-cj8zi
@Thomas-cj8zi 4 жыл бұрын
mkuu nakuelewa sana
@KhadijanasoroSimba
@KhadijanasoroSimba 8 күн бұрын
Qur an
@sharondivine8994
@sharondivine8994 4 жыл бұрын
Hamjengi mpaka Rais atembelee hapo
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 4 жыл бұрын
Safi Sana Rais,,,pia Ongera mkuu wa Wilaya kwakujibu maswali ipasavyo,,,
@user-lg2uv8ts5e
@user-lg2uv8ts5e 9 ай бұрын
Hat huko uliko uchp kz
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 4 жыл бұрын
hakuna mwanafunzi aliye salimia
@chrisjulius6622
@chrisjulius6622 4 жыл бұрын
Waliitwa kutoa kero sio kusalimia
@dullahhassan1577
@dullahhassan1577 4 жыл бұрын
Hakika Ww ni Rais wawanyonge
@sepalejombezi175
@sepalejombezi175 4 жыл бұрын
Kweli huyu ni kiongozi kweli
@seciliasevelino3572
@seciliasevelino3572 4 жыл бұрын
E
@yakiniramadhan8921
@yakiniramadhan8921 4 жыл бұрын
I proud to be Tanzanian
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 4 жыл бұрын
mbona raisi wa kenya awi kama magufuli kusikiza wanyonge jamani
@jumamfaume3204
@jumamfaume3204 4 жыл бұрын
Safi
@marwalzzy5983
@marwalzzy5983 4 жыл бұрын
Raisi Wa Kenya anapambana na siasa sio maendeleo
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 4 жыл бұрын
Hahamia tz soon
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 4 жыл бұрын
Namkubali sana Rais Magufuli wa Tanzania kwa uongozi bora. Nakutakia rais wangu, JPM, afya njema na maisha marefu ... mimi natoka Kenya.
@allyparahole2338
@allyparahole2338 4 жыл бұрын
daimondi
@user-jn4zq3zm5o
@user-jn4zq3zm5o 4 ай бұрын
Na mim nakuja kuwa kama rais magufuli
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
Hasante baba
@SalmahIddy-oz6wt
@SalmahIddy-oz6wt 9 ай бұрын
ulale salama
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mwanafunzi ‘AMKUNA’ MAGUFULI, ATOA MILL 5, Ampandisha Kwenye GARI!
13:43
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 177 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM
11:08
Global TV Online
Рет қаралды 3,7 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
25:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Azam TV
Рет қаралды 583 М.
BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE
6:30
Global TV Online
Рет қаралды 492 М.
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 711 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН