MWANZO MWISHO WALIVYOACHIWA WAFUNGWA GEREZA LA BUTIMBA MWANZA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI

  Рет қаралды 3,189

GSengo

GSengo

4 жыл бұрын

Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kuwasamehe wafungwa 5,533 katika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika, wafungwa 79 kati ya hao waliokuwa wamefungwa katika gereza la Butimba Mkoa wa Mwanza wameachiwa Jumanne Desemba 10, 2019.
Rais Magufuli alitangaza msamaha huo katika maadhimisho hayo, akibainisha kuwa idadi hiyo ni kubwa kuwahi kutokea kuliko wakati mwingine wowote na kutaka walengwa ndio waachiwe.
Katika mkoa wa Mwanza wafungwa watakaopata msamaha huo ni 190.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella amefika katika gereza la Butimba kwa ajili ya kushuhudia utekelezaji wa agizo la Magufuli huku mkuu wa gereza hilo, Hamza Hamza akitaja idadi ya watakaoachiwa.

Пікірлер: 2
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 4 жыл бұрын
Mungu azidi kumsimamia raisi wetu mpendwa.!! Na azidi kuwa na moyo wa huruma huo huo.
@AnaniasAndrew-mk5vj
@AnaniasAndrew-mk5vj Ай бұрын
Gereza butimba
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 93 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 95 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 31 МЛН
RAIS MAGUFULI ATEMBELEA GEREZA LA BUTIMBA..JULAI 16,2019.
1:03:12
ITV Tanzania
Рет қаралды 47 М.
#TBC:MAISHA YA WANAWAKE WAFUNGWA GEREZA KUU KINGOLWIRA
17:12
TBConline
Рет қаралды 12 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Rtd.Gen j.KABAREBE ASOBANUYE UKO BARWANYE URUGAMBA RWO KU MURINDI W'INTWARI
29:24
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 93 МЛН