Khaaa ila watu wamejichokea jamani yani mdada yupo poa kabisa ata hashtuki kusema ana mabwana wawili mweee😢😢
@user-hm4rr3ln1qАй бұрын
Mimi ninao 4 unashangaa 2 napemda 2 to
@sabihaibrahim1438 ай бұрын
sasa ajuwe huyo alomtaja ndo wa kwake huyo alokata simu ni wawengine na nna uhakika anayependwa ni huyo alokata simu😂
@jescalaurent93588 ай бұрын
Kabisaa 😅
@faustinedeogratias43378 ай бұрын
Vp kama Irene anamkubali zaidi mwamba mkata simu
@sabihaibrahim1438 ай бұрын
@@faustinedeogratias4337 atakufa na tai shingoni yani kiofisa
@ambrose_vevo1378 ай бұрын
@@jescalaurent9358Hahahah sure unajua hii ni fact
@user-xi4pd1yw7o7 ай бұрын
😂😂😂
@saidihysn22128 ай бұрын
Sasa itakuwaje yeye katajwa lakn yeye mwenyewe kasema ana wapenzi wawili na akiona interview kumbe wapo wawili atakuwa na moyo wa kuendelea
@witnessinary78078 ай бұрын
Hapo chacha
@Thadeus978 ай бұрын
Hapo sasa mzee baba
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Alaf ofice moj
@zuberhamza78527 ай бұрын
Spati picha jamaa katika pitapita zake kwenye mtandao aiyone hii video amsikie dem wake akisema ana wawili
@d.m453Ай бұрын
Hapo sasa!!😢
@abedysteven49308 ай бұрын
Bora aliyesema ana wawili kuliko kudanganya!
@dinabuyoga8820Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rukiaiddyyahaya95068 ай бұрын
Hapa kitaalam inaitwa mwizi kakutana na mwizi😂😂😂 jamaa wa kwanza noma
@jacklinejackson9600Ай бұрын
Sasa unakuta Moyo wake uko kwa Michael 😂😂😂
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Ngoma droo maiko ana wengi na dada ana wengi 😅😅
@AnithaTumain-jf9qlАй бұрын
Yaaan apo Mr uk alivyosema acha aende uko akagombane na mtu wake 😂😂😂😂😂
@asachlyforex94258 ай бұрын
Anabadili badili majina 😂😂
@raviniloviny8 ай бұрын
Oya mpeni huyu jamaa awatangaziee
@rachelmwano7289Ай бұрын
Eti atakupa story nyingine badae 😂😂michomo
@sylvanjosam34028 ай бұрын
Me nikisikia kaka kiredio hap nitaxma nipo site nikte. Na simu man kuna kuachwa na mpenzi unaempend 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aprinciplefilms8 ай бұрын
Izi macontent zingine bhana 😂😂
@user-wh5zz5dk2g8 ай бұрын
Ikirushwa hii kawapoteza wote akili kumkichwa 😂😂😂😂😂
@JescaMwagama-oc9yt8 ай бұрын
Kila siku maswal nihayohayo
@bennylove6021Ай бұрын
We umeionaje kama haijarushwa?
@sammallya50027 ай бұрын
Hata kama ukinitaja Mimi nitakuacha tuu...maana tayari ww ni Mwongo..
@gracerichard8145Ай бұрын
Mm ninao 6 siku yakukutana na mm kiredio utajuta nam pia ndo ntajijua sasa
@mwinjanavil8 ай бұрын
michael miyeyusho ila jackson mwaminifu kama mimi hapo huyo dada irene anatakiwa abaki na jackson ndo anaempenda irene kiukweli
@cotctvshow35538 ай бұрын
hivi unawapendaje wote wawili...mbwaa wew wanawake bna mbwa kbsa
@thestoryteller2123 ай бұрын
Na wewe mwanaume ni mbwa pia😂
@edvinaselestine7122 ай бұрын
Atampenda mmoja Sasa unafikir Sasa huyo jamaa wa mwanzo atampenda Tena
@obsonjulius312Ай бұрын
Jackson kapigwa na kitu kizito pia
@anselmoonolius8 ай бұрын
Xaxa yeye katajwa alaf alotajwa yy anao wawili😢😢
@user-ch2it3qt5zАй бұрын
😂si ndo hpo sasa
@martinamuryang1537 ай бұрын
Khaaaa😂😂😂😂😂😂
@dostovan51427 ай бұрын
Ngoma droo
@markomkiva63668 ай бұрын
Aliye mtaja jina hana hela
@rahimaally60448 ай бұрын
🙈🙈
@kwejimisobi44918 ай бұрын
Baada ya challenge ni kuachika🤣🤣🤣
@user-xi4pd1yw7o7 ай бұрын
Hhhh
@EMILYSAMSON-rv3ns4 ай бұрын
kaka dodoma lini
@msafirisaimoni95618 ай бұрын
Mdada kasema ukweli
@user-np2tk1jy1tАй бұрын
Ila nimefrai mdada Kawa mkweli
@AyishaOman-cw4xsАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ashurakiswamba70857 ай бұрын
Kiredio au kispika itakukosti ipo siku utakutana na machiz.shauri yakooo
@thestoryteller2123 ай бұрын
Wacha ushamba hii wanayofanya karibia kila nchi mambo za kawaida
@ashurakiswamba70853 ай бұрын
@@thestoryteller212 mshamba mamaako
@ashurakiswamba70853 ай бұрын
@@thestoryteller212 halafu ndio umenunuwa cm Leo maana ni miezi minne iliyopita wewe ndio umesema Leo. Sasa si ungeangalia kitu kipya upate kukoment au ndio Hy cm mpya unaajibu mambo ya mwaka jana juzi .hongera na cm mpya
@user-vx8or2ek9m8 ай бұрын
Mungu atusaidie wanaume kama imefikia mahali mwanamke kuwa na wanaume wawili na anaona ni fashion adi anatangaza hadharani kama vile mazuri🤮🤮
@whatif..69618 ай бұрын
Kama ilivyo kwenu kuwa na wanawake wengi! Japo hamtangazi ila hakuna tofauti! Tunapita mule mule yaaani😂
@ezyjob50838 ай бұрын
@@whatif..6961habari ndo hiyo, mule mule
@user-re1bx4wt2k8 ай бұрын
Unazingua wewe yanj Ile ya Dodoma ujamalizia Alf ujatupa mpya
@KingMashimba7 ай бұрын
Hahahaha
@masanjaabasi89708 ай бұрын
Nimeamini vibonge awanaga akili sasa hakuwaza ikirushwa itakuwaje 😂😂😂😂
@lovemwagala82598 ай бұрын
😢😢😢 vibonge tena
@zamratallly41918 ай бұрын
Vibonge tumeingiaje sasa broo 😂😂😂
@nobodyog95128 ай бұрын
😂vibonge mnaingilia kati!
@thestoryteller2123 ай бұрын
😂
@user-bb7lc9td6o5 ай бұрын
Ukija dodoma uniambie nazawad yako kiredio
@emmanuelmmbaga52098 ай бұрын
Kiredio nna content nitafute tupange mchongo... Ni Dm
@RyycRaji2 ай бұрын
nahis uyu dada alitongozwa bado hajatoka na hata mmoja ndomaana anajiamin yupi atoke nae