Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH MWENYEZI MUNGU awalipe kheir sheikh letu #nurdeenkishki na team nzima ya #kishkitvonline kwa ilmu tunayo faidi kutoka kwenu na Ummah mzima atuongoze tuwe miongoni mwa waja wake wema na atujaalie mwisho mwema Amiin ya Rabbil Allamin
@zainabmaulidi98462 жыл бұрын
Waalykum salaam warhamatullah wabarakatuh shukran jazzakaAllah khayra nawependa sana kwa ajili ya ALLAH ♥ ❤🧡🧡🧡🧡
@user-ws9ek8dj5n2 жыл бұрын
MAASHA ALLAH TABARAKA ALLAH habibty #ikhilasabubakar hujambo