PART 1: "NAOMBA NIMUONE RAIS KAMA NISIPOMUONA BORA NINYWE SUMU"-MZEE MFUGAJI ATOA MACHOZI HADHARANI

  Рет қаралды 115,434

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 715
@dicksonjames1096
@dicksonjames1096 4 жыл бұрын
Kama machozi ya huyu mzee yamekugusa kama mimi tujuane
@rahmahrahmah6683
@rahmahrahmah6683 4 жыл бұрын
Atakutetea In sha Allah nimtetezi má sha Allah
@androydthegully6390
@androydthegully6390 4 жыл бұрын
Binaadamu sio watu
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 4 жыл бұрын
Kweli kuna miungu watu humu duniani? Mzee anatoa machozi kabisa Raisi tunaomba msikie baba huyu
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 4 жыл бұрын
Inauma sana! Kuna viongozi wanatesa wanyonge kama hao. Wakati rais anahangaika kutatua kero za wanyonge huku wengine waliopewa nafasi wanafanya kinyume. Hivi Huyu Rais atashika lipi aache lipi? Viongoz wanapewa nafasi ya kumsaidia lkn mkishakalia kiti mnakuwa Mbogo Taifa halijengwi na kiongozi mmoja bali na viongozi wote na wananchi Wa Taifa husika. Ahsante Millard Ayo kwa kumulika Jamii na kutupa picha kamili iliyoko kwenye jamii yetu
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 4 жыл бұрын
Ayo TV Mungu awazidishie wafanyakazi wote mnapambana sana kutuhabarisha
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 жыл бұрын
Sijawahi ona masai analia kwanza hawajuagi uwongo jamani nimesikia uchungu
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Yaani mbele ya ng'ombe lazima Alie Bora hata angekuwa mtoto labda asingelia hayo machozi.
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 4 жыл бұрын
For sure dada hii imewagusa wengi, na sisi wafugaji tunaonelewa Sana! Ng'ombe 311 sii mchezo
@godfreymahavile4688
@godfreymahavile4688 4 жыл бұрын
Blandina Mnyinga kweliii kabisa
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@godfreymahavile4688 yap!!!
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
@@amosikabalata6381 poleni Sana moja ya chamamoto za maisha
@bonithamhagama7217
@bonithamhagama7217 4 жыл бұрын
Duuuh! Maisha haya jamani mungu yupo amsaidie baba huyu like my father at
@rosegrminder5702
@rosegrminder5702 4 жыл бұрын
I felt his pain you all know how hard it's for a simple person in Africa. He sold his kids jesus have mercy. The person responsible for his pain he will have more pain in life. For the cry of children sold and sleeping empty stomach.
@nancyandrew9273
@nancyandrew9273 4 жыл бұрын
Rose Grminder ameeeeennn
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais Tafadhali hebu Muone huyu Raia wako
@lucyshirima7862
@lucyshirima7862 4 жыл бұрын
Mm ninahasira sana
@edesmwanakulya6453
@edesmwanakulya6453 4 жыл бұрын
Kabla ya kumuona Rais awaone vioongozi wa ngazi nyingine kabla ya Rais kwasabsbu wanafanya kazi chini ya Rais pia wameteuliwa na Rais kwenda kumuona Rais kabla ya kuwaona wawakirishi wa Rais ni uchonganishi
@kkhalifairumba2932
@kkhalifairumba2932 4 жыл бұрын
@@edesmwanakulya6453 unasema awaone viongozi wengine wakati ameshawamaliza kuwaona hiyo dhulma itaisha lini kwa viongozi Wa cgini wakati wanalipwa mishahara kila mwezi?
@simonkaggwanjala9597
@simonkaggwanjala9597 4 жыл бұрын
Dah wala sio huyu tuu watu wanateseka sana hukoo😥mungu wasaidie hawa watu maana viongoz wetu bongo wanaangalia matumbo yao tuu😔
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 4 жыл бұрын
@@kkhalifairumba2932 Tena hawa Viongozi wa ngazi za chini ndo wanaotindinganya mambo🤔tena me napendekeza wachapwe viboko maana hawajui wanachafua serikali.
@athumanimvula3718
@athumanimvula3718 4 жыл бұрын
Allah akbar, mwenyezimungu akupe subra,na akufanyie wepesi upata hitajio lako inshaAllah.
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Amin
@ephraimkyando6331
@ephraimkyando6331 4 жыл бұрын
Amaa kweli,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
Nimelia kwasababu nimefeel Kama baba angu 😭😭😭😭😭😭😭 ,pole Sana .
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 4 жыл бұрын
Daaaaah pole
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 4 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu jamani mimi huyu amenigusa kwani mimi pia mtoto wa mfugaji ombi langu serikali imsaidie huyu mzee
@lamecknkila3291
@lamecknkila3291 4 жыл бұрын
upendo Enock Duuuh kweli
@jacksonmesaya3145
@jacksonmesaya3145 4 жыл бұрын
upendo Enock vip mama
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 жыл бұрын
@@jacksonmesaya3145 salama
@blackmamba7553
@blackmamba7553 4 жыл бұрын
Presedent do something😭😭😭
@julianammbaga137
@julianammbaga137 4 жыл бұрын
Mungu uliye hai upo , yaone Haya. Mtendee huyu mwanao ajue upo.
@IreneCtz
@IreneCtz 4 жыл бұрын
juliana mmbaga amen
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 4 жыл бұрын
Amina
@khamisfaki4640
@khamisfaki4640 4 жыл бұрын
Mwnyez mungu hakuzaa wala hakuzaliwa ss hyu masai mtafutien babaake ila ng'ombe zake mrejeshen jaman cry forever
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Mungu hakuza wala Haku zaliwa SURATUL IKHLAS
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😭😭😭😭Masikin pole sana baba Mungu akufanyie wepes
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Amin
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 4 жыл бұрын
jamani mwenye kuweza kumsaidia amfikie raisi , this is painfull
@iddsempay9726
@iddsempay9726 4 жыл бұрын
Inauma aise jamani vp mnakula majasho yawatu nyie viongozi msio nasifa bora kwanini mnaidhalilisha sheria
@allyjuma189
@allyjuma189 4 жыл бұрын
Idd Sempay g
@adventurekaskazini2238
@adventurekaskazini2238 4 жыл бұрын
Kama machezo ya huyuu mzee hayatamuacha mtu salama Gonga like tujuane
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 4 жыл бұрын
Ooh my God am feel so painful.😥😥😥 Dhulma ya Allaah msaidie hyu mzee wa watu ameniliza pia mimi
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 жыл бұрын
Yoh daddy don’t cry 😢 it’s painful God finish them this son of. Babylon put them to shame haki not fair 😢😢😢
@khadijatonge3636
@khadijatonge3636 4 жыл бұрын
Machoz yamenitoka jaman😭😭
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Wallah tena amenitoa machozi kweli
@sellah4603
@sellah4603 4 жыл бұрын
Daaah inauma San Rais wetu msaidie uyo ndugu hap wauni wachache wameuza ngombe zake ban Leo ndiy maraa ya kwanza kuona Masai mtu mzima analia 😭😭😭😭😭😭😭😭
@sakinat2527
@sakinat2527 4 жыл бұрын
Yani kweli masai alii bure bure inauma
@purple4463
@purple4463 4 жыл бұрын
@@sakinat2527 Ni kweli kabisa
@queenmaya8022
@queenmaya8022 4 жыл бұрын
Mpeni ngo'mbe wake jaman ongopen dhuruma, 🙄 MUNGU AWE MSIMAMIZI WAKO IN SHALLAH
@kareemnduma2278
@kareemnduma2278 4 жыл бұрын
Mambo
@jenymtafya3430
@jenymtafya3430 4 жыл бұрын
Jamani pole sana mzee, Rais atakusaidia naamini hivyo maana ni mtetezi wa wanyonge
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Magufuli. Nakuaminia. Na. Makonda. Mpo wapi. Majaliwa. NawAaminia
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Kesi. Imeisha apo mifugo yako utaipata. Raisi wetu. Tunamuaminia
@mursalseleman2174
@mursalseleman2174 4 жыл бұрын
@@said306nyatu9 sana sana mtetezi wawanyonge atamsaidia hakika
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Tafadhali wewe ndie Baba yetu mtetezi wetu.hebu muone Raia wako hebu mfute machozi yake.
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Kabisa yaani
@rowdyrondarouseyfire9476
@rowdyrondarouseyfire9476 4 жыл бұрын
Nahisi kama hyu ni my really father...i feel painful in my heart. 😂😂😂😂😂
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 жыл бұрын
Sasa unacheka nini nijambo la kucheka hilo?? Km kweli umeumia hebu jaribuni kutumia emoji zenu vinzuri
@Siasia209
@Siasia209 4 жыл бұрын
@@niaanthony9588 nahis hajaelewa maana ya iyo emoj ndiomaana wengi huzichanganya
@masungasitta2058
@masungasitta2058 4 жыл бұрын
kwakweli hiikazi
@purple4463
@purple4463 4 жыл бұрын
@@niaanthony9588 Huyu kweli hafahamu hizi emoji.
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
@@Siasia209 mpuuzi uyu a nacheka nini
@fatumamohammed4226
@fatumamohammed4226 4 жыл бұрын
Pole mungu akutie nguvu usikate tamaa mungu yupo pamoja nawe Daah mpaka nimeumia kwa kweli.
@marykyusa8212
@marykyusa8212 4 жыл бұрын
Pole,Mbal na rais hata Mungu kakusikia,msubr akufanyie njia
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Subhannallah
@abubakarhassan1915
@abubakarhassan1915 4 жыл бұрын
Mh raisi huyo masai anatia huluma sana mpaka machozi kunitililika kana kwamba mimi ndo mwenye hao ng'ombe hebu chunguza hilo jambo lake uone ukweli wake ukowapi ujue namna ya kumusaidia .mh raisi tunakupenda sana sisi wananchi wako .kutokana na utendaji mzuri unao unaofanya juu ya nchi yako. We love you baba.
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 4 жыл бұрын
Pole sana Ndugu,pole sana. Rais amekusikia na atakusaidia,pole sana Mtanzania mwezetu,pole sana,Mungu yupo,haki yako utapata,wala usijiue au kujidhuru kwa namna yoyote ile.
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 4 жыл бұрын
Yupo mungu ndugu yangu ukijiuwa utapoteza hakizako na utakuwa umemkosea mungu mungu anaenda kuku fungulia milango mingi ndugu yangu mpaka utashangaa mwisho waakilizetu mungu anaanzia hapo
@alirashid3239
@alirashid3239 4 жыл бұрын
Mzee wangu mm ni muislamu ww ni mkristo lakini licha yakuwa na tofauti ya ya dini ila hili limenigusa.na kwenye maandiko ya mtume wetu muhammad (s.a.w) yanasema duwa yamwenye kudhulumiwa hairudi hata kama nikafiri.mwisho wa kunukuu.pole sana mzee ninakuonea huruma mzee wallahi ninatamani niwe kiondozi leo nikusaidie ila ninahakika raisi wetu nimsikivu lazima atatenda haki raisi wawote raisi wawanyonge pole baba nimeguswa na Allah atakusaidia utapata haki yako ww na wenzako imeandikwa kwenye qur'aan tukufu ya kwamba ""baada ya dhiki faraja"" pole baba ww nimfano wa baba yangu kwaumri ulio nao ninakutaki mwisho mwema wa kesi na Allah yuko pamoja naww na wenzako kwa ujumla haki itatendeka aamin.
@naomyrunda5244
@naomyrunda5244 4 жыл бұрын
Haya nizaidi ya maumivu.. nimeangalia tu mwenyewe nimejikuta nalia muda wote. . sisi wamasai kitu tunakitegemea Sana Kama msaada wetu Ni ng'ombe kwani ndo chakula, na inayotupatia pesa za matumizi na Ada za shule. Sasa kumdhulumu mtu ng'ombe wake Ni Kama umemchukulia kila kitu chake😭😭 look baba ameachwa adi na wake zake umefika sehemu anawaozesha wanae bila kupenda 😭😭😭 .. pls mamlaka husika tunaomba mtoe sauti kwa hili, inaumiza sana Kama haya Mambo yakiendelea.. ukifkiri kwa upande mwingine unaona kua yawezekana wakawepo wengine wamenyanyashwa Ila nguvu ya kuendesha kesi hawana so wanaamua tu wanyamaze . .. Pls Mheshmiwa Rais JP.Maguful naomba utututazame jamii yetu ya wafugaji😭💔💔😭😭
@emmanuelmsanga7627
@emmanuelmsanga7627 4 жыл бұрын
Aisee inauma saana yan unazurumiwa hv hv. Pole sana mzee hao ng'ombe wako watarudi rais wetu hachekag na watu kama hao.
@dottomakanyanga5214
@dottomakanyanga5214 4 жыл бұрын
Hivi huyu rais si anawasaidizi jaman mbona wanampa mzigo mawazir wako wapi
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 4 жыл бұрын
Wakitumbuliwa wanachanganyukiwa
@mejasign1926
@mejasign1926 4 жыл бұрын
Tunakula ng'ombe unaweza kuta za dhurumaa daaa
@stevensteve7519
@stevensteve7519 4 жыл бұрын
Pole Sana shujaa pamoja na mahakama kukupa haki bado hukupewa haki. Wamekudanganya Rais wetu haingiliagi maamuzi ya mahakama.
@munaaabdillah9097
@munaaabdillah9097 4 жыл бұрын
Kiteto home kbs ❤️pole mzee raisi atakusaidia inshaalah
@happyluka586
@happyluka586 4 жыл бұрын
This us more than pain jaman Apewe haki yake ameniliza, ikumbukwe wamasai kula kwao kuendesha familia ni mifugo yao lakin pia Masai ajui kusema uwongo ebu fikir watoto 40 wake sita atawaudumiaje, Mungu atusaidie sana mm ni mgumu wa kulia lakin kwahili nimemshindwa kuvumilia hiv leo akamuua kuvunja chungu walio kula mifugo yake watamezwa wote ile kitu aina mchezo ila Mungu nisamehe maana tayar mm ni mkristo
@hawaashaban8008
@hawaashaban8008 4 жыл бұрын
Kwann watu wapo hivi dunian hawan huruma jmn
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Aki ya Mungu
@subirambao5762
@subirambao5762 4 жыл бұрын
Chozi lako halijadondoka bure Baba😭😭 pole sana
@chungwenlameck1048
@chungwenlameck1048 4 жыл бұрын
Daaaah Mungu amsaidiee serikari iweze kuingilia Kati swala Hilo mtanzania mwezetu aludishiwe Mali zake
@faridamkesso97
@faridamkesso97 4 жыл бұрын
Imeniuma sana 😭😭😭😭
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 4 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu. Mungu akupiganie
@isasora4846
@isasora4846 4 жыл бұрын
pole sana mzee.... Kushika Mifugo ya watu kwa muda wote huu sio haki, huyu mzee ameteseka, kulia kwake hadharani ni ushahidi tosha kwamba amepitia mateso mengi. Rais JPM amekusikia
@emmykiwelu6932
@emmykiwelu6932 4 жыл бұрын
so painfully it hit me like ooh those tears.... jmn kuoza watoto apate hela😭😭😭😭
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Inauma sn
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
So sad
@queensjuma1832
@queensjuma1832 4 жыл бұрын
Dah Masai analiaa aisee,, pole babaangu,, 😭😭😭
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 4 жыл бұрын
Aisee nimejikuta machozi yananitoka,,....ukiona baba mtu mzima kama huyu anatoa machozi .....aisee nimekosa maneno ya kusema, pole baba Mungu akusaidie.
@salimzaidi9203
@salimzaidi9203 4 жыл бұрын
Daah pole sana baba mungu akupe wepes rais tuomba usikie kilio cha huyu baba
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Yaani, inauma sana tena sana😭 ila Mungu yupo na ataukumu apa apa duniani agheira itapita esabu tu na haki ya mtu ailiki utapata tu aki yako insha Allah dah!
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 жыл бұрын
maskin huyu mzee mungu amsimamie, nchi hii dhulma imetawala, binaadam wamekosa imani
@adamkadiri3864
@adamkadiri3864 4 жыл бұрын
Duh mmmmmh
@ronaldmassanga8386
@ronaldmassanga8386 4 жыл бұрын
pole mzee magufuli kasikia
@israelimunuo3538
@israelimunuo3538 4 жыл бұрын
Naamin kwa jinsi raisi wetu asivyopenda vitu vya kona kona, kwenye hili hatamwacha mtu salama! Natamani kujua mwisho wake! Hongera Ayotv
@felistermbua4703
@felistermbua4703 4 жыл бұрын
Hii haijakaa vizuri imenifanya nimelia ameozesha watoto kisa pesa ya riba dunia huna huruma ww
@rubeniharuna1874
@rubeniharuna1874 Жыл бұрын
pole sana mungu tazama haki zawatu hawa watawala hawa wasiojua haki zawatu
@saimonmwansile6101
@saimonmwansile6101 4 жыл бұрын
Pole kwake mhusika!Lkn MTU wa kufuatilia hili kwa karbu ni mbunge kama naye kashindwa atakuwa ni mzigo!Pia kuna ngazi kadhaa b4 kwa Rais, mahakama zinapotoa hukumu ofisi za wakuu wa Wilaya zina mandate ya kutoa order ya m2 fulani kulipwa ama kukamatwa kwa mali hivyo ni vema angepitia level hizo!
@shabanbetram7698
@shabanbetram7698 4 жыл бұрын
Inasikitisha sana yaa sisi kwa sisi tuna nyanyasana kwasababu ya vyeo vyeo ambavyo wanyanyaswaji ndio tuliowaweka mungu atunusuru
@muuhhb4787
@muuhhb4787 4 жыл бұрын
Daahh..so hurt...nilichokisikia pia kilichoniuma xn 😓😓watoto kuuzwa...halo walioshiriki katik ng'ombe kuwapoteza na kutofany hadilifu mungu anawaona hii ni dunia tu,,,am done😓😓
@mussamaulidi3918
@mussamaulidi3918 4 жыл бұрын
DR Hamis Kigwangala Upo wapi Mkuu, Hii ipo chini yako kaka
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 4 жыл бұрын
Moja kati ya wakuu wa mikoa ambao wakomakini wanatekeleza majukumu yao vizuri na kumsaidia Raisi pasipo kumshirikisha au kumsumbua kwa matatizo madogo madogo kama haya mhe AllyAppy tatizo ni kwamba viongozi wengi wana tamaa wanapenda rushwa ,dhuruma Happy anasimama kama mfano
@ramadhaniyusphu7674
@ramadhaniyusphu7674 4 жыл бұрын
Pole mzee wangu haki itatendeka umesikikaa
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 4 жыл бұрын
duh mtu mzima yuwalia kwa uchungu 😢😢inshallah nguvu yko utaipata
@kamaikangaiyoni1967
@kamaikangaiyoni1967 4 жыл бұрын
Dah, kwanini wafugaji tunanyanyasika hivi? Hii sio haki kabisa ng'ombe 311? Kweli zipotee? Mmmh mungu atawaona
@zamirumaftaa6532
@zamirumaftaa6532 4 жыл бұрын
Bora kufa na mtu kuliko kuzurumiwa huko
@roycahsubira9345
@roycahsubira9345 4 жыл бұрын
Imeek kuko oogelita iyook
@kamaikangaiyoni1967
@kamaikangaiyoni1967 4 жыл бұрын
Kake torrono naleng taatanji ina nataasa ingishu imbalak uni oo tomon onabo mokore oorgela ilo etaa pae endoki torono naleng
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Amin
@reginaandrew6891
@reginaandrew6891 4 жыл бұрын
Pole Sana baba Mungu akutie nguvu na akusaidie upate haki yako
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 4 жыл бұрын
Inauma sana kuna watu wanatumia nafas walizopewa kuumiza wanyonge kutoka ng'ombe 300 mpaka 0 pole sana mzee
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Umejitahidi lalashe kujieleza Mungu akusimamie upate haki yako
@annekayi273
@annekayi273 4 жыл бұрын
Oooh my God nilikua nafikiri ni kenya tuu haina haki jameni saidieni mzee aki
@kenethnkota6022
@kenethnkota6022 4 жыл бұрын
Daaaah poleh xnaaaa mzee mungu yupo atakuxaidia
@fredytarimo9107
@fredytarimo9107 4 жыл бұрын
Poleni sana rais wetu ni msikivu naamini haki itatendeka
@richardkaijage1557
@richardkaijage1557 4 жыл бұрын
Dah mpaka na mimi nimelia jamani msaidie huyu mzee haki ya mungu machozi ya huyu mzee hayatowaacha salama
@angelholsey2484
@angelholsey2484 4 жыл бұрын
Haya machozi unayotowa baba hayata mwagika bure watalipia, MUNGU akufanyie wapesi inauma saanaa 😢
@kaeniyahya7536
@kaeniyahya7536 4 жыл бұрын
Amin
@lilatito2816
@lilatito2816 4 жыл бұрын
Jamani ukiona mzee kalia mbele ya nchi ujue laana zinashuka mwenyezi mungu tusaidie
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Corana itaishaje tz kwa dhuruma kama hizi??Mungu baba tuhurumie....
@michaelmutula9128
@michaelmutula9128 4 жыл бұрын
Dawa imefika. Hamna haja ya kuogopa corona. Vueni barakoa na mzidi kutengamana.
@ecamshorts471
@ecamshorts471 4 жыл бұрын
Michael mutula dawa isiyo na verification
@elisulle1478
@elisulle1478 4 жыл бұрын
Hii kitu inauma sana pia inatia sana uchungu mkumwa sana Mungu mtie nguvu aweze pata haki yake na aweze kurudi katika maisha yake ya sikuzote
@abdallabundala158
@abdallabundala158 4 жыл бұрын
daah mzee wngu pole sana.yaan watu wanaitwa wasomi kumbe usomi wao ndo unafanya RAIA watowe machozi????Oh my GOD. pole mzee
@purple4463
@purple4463 4 жыл бұрын
OOh, pole sana mzee. Jameni mzee huyu asaidiwe kupata ngombe zake. Naumwa sana nikimuona huyu mzee akilia machozi. Kweli anaumwa zaidi.
@kassimsaid3300
@kassimsaid3300 4 жыл бұрын
Watumishi wachache wa namna hii ndio wanao sababisha wananchi waliowengi wanyonge kuichukia serikali iliyopo madarakani. Na wakuu wengi huko juu hawajui haya yanayotokea huku kwenye maisha yakawaida. Hilo chozi ni baya sana kibinadam
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 4 жыл бұрын
Waziri Wa mifugo uko hai kweli au umekufa ? Haya machozi yatakutafuna ,kwani watu wanatesema nyie
@chackszephaniah592
@chackszephaniah592 4 жыл бұрын
Mungu twaa kilio cha huyu ndg
@jumamaduhu5598
@jumamaduhu5598 4 жыл бұрын
Pole mzee. Nenda kwa waziri mifungo na uvuvi. Mheshimiwa mpina atakusaindie
@lonsmanempire9627
@lonsmanempire9627 4 жыл бұрын
What a hell 😡😠😠 Meamia sana yaani mpaka machozi
@fredrickserafin4510
@fredrickserafin4510 4 жыл бұрын
Usikat tamah mapema bab yang we endel kumlia mungu wako hatakusaid tu usijl mweny mungu hakupe tumain ya kupat ngombe wako rais wetu hatakusikiza na hatakusaidia mim nakuaombe kwa mungu hawez kurudisha family yako na watoto wako huweze kuludi kweny maisha yenu yeny fuhar na aman ombaa mlilie mungu wako 😭😭😭😭😭
@petermende5153
@petermende5153 4 жыл бұрын
Kilio cha mtu mzima ujue kina jambo. ..Pole sana baba Mungu atakupgnia ..Rais usichoke kuwatetea wanyonge
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 жыл бұрын
Ukitak ujuwe kama viongozi wetu wengi ni madhalim ona vitu kama hvi
@elizabethkizota3474
@elizabethkizota3474 4 жыл бұрын
Pole mzee aisee nimelia daaaa
@barakamollel2109
@barakamollel2109 4 жыл бұрын
Sad sad sad....uonevu huu na unyanyasaji huu...hakika hakika...Kama Mungu aishivyo....
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Kesi imeisha iyo baba yamaza kulia atakusaidia magu ni jembe awezi kukuacha mungu akutie nguvu katika hili🙏🙏🙏
@rhodatoroka2627
@rhodatoroka2627 4 жыл бұрын
Mungu akupiganie babaangu
@Jordan_g9
@Jordan_g9 4 жыл бұрын
Duh😥nimeumia Sana kumuona mtu mzima kama huyu akidhurumiwa mali yake mpk inafikia kuwauza wanae ili alipe madeni😫😭😭 rais wa wanyonge hebu fanya kitu mana hii imeniuma mpk nikatamani Mimi ndoningekuwa baba magufuli ili niwaoneshe hawa watu wanaotumia vyeo vyao kuwanyanyasa wananchi wasio na hatia
@danielmtena9167
@danielmtena9167 4 жыл бұрын
Millard barikiwa sana
@saluma.m.el-harthy9265
@saluma.m.el-harthy9265 4 жыл бұрын
Very fast to Mr President Baba etu kwa Taifa Letu
@happyjustine3364
@happyjustine3364 4 жыл бұрын
Inatia uchung jamn Mungu amsaidie hy bab jaman
@tanzaniawildlifeprideoftan5070
@tanzaniawildlifeprideoftan5070 4 жыл бұрын
Aseee hv wazir wa mifugo yupo au kafa au yupo karantin msaidien mzeee
@machumurobert2754
@machumurobert2754 4 жыл бұрын
Daa! Uongozi ni kazi ngumu sana.
@agneskigeme1197
@agneskigeme1197 4 жыл бұрын
Watu wabaya njo wanatuleteya Corona.pole sana usinywe sumu kwasababu ya wanadamu wewe zidi kumuomba Mungu ipo siku walio kuzulumu watajikuta wako matatani.🙏
@hellenmarandu1787
@hellenmarandu1787 4 жыл бұрын
Daah so painful jamani to see a man crying like this. Don't loose hope brother God is going to stand on your side
@pendomoshaalecy6356
@pendomoshaalecy6356 4 жыл бұрын
Aiseee mpni ng'ombe wake yaan mmekula mpka wamebki hao na bado mnae ndelea kula....Mungu awalaani wote mnaozulumu
@RomwardWM
@RomwardWM 4 жыл бұрын
Duniani kumjaa dhuruma .. haki ipo kwa Mungu tu kikubwa usikate tamaa mzee wangu.... Usifikirie kukatisha maisha yako kisa tu mali wamekunyanganya ..ipo siku utapata zaidi ya hao ng'ombe wako.
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 4 жыл бұрын
Yesu wangu kuitoa hiyo
@maryswai9856
@maryswai9856 4 жыл бұрын
Jamani mpaka uchungu ila mahakimu Mungu awalaani popote mlipo hakimu yeyote anaekula rushwa Mungu awalaanii
@ruthwatson1366
@ruthwatson1366 4 жыл бұрын
Baba usiwe na hofu. Tuko na rais mwenye anajali watanzania. Utapata wanyama wako. Pole kwa uchungu umepitia.
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Millard ayo ubarikiwe kwa kutuletea mambo muhimu kama haya ramadhan kareem but inauma kwa kweli 😭😭😭
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 4 жыл бұрын
Subuhanallah. pole saana mzee wangu.
@nasrakhamis6430
@nasrakhamis6430 4 жыл бұрын
Mungu yupo atakufanyia wepesi
@zubemiloneamohamedizahera6231
@zubemiloneamohamedizahera6231 4 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu
@marysaituni4584
@marysaituni4584 4 жыл бұрын
Ni uchungu kweli.. pole baba
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 31 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 59 МЛН
Martha Mwaipaja - NITOFAUTISHE ( Official Video )
6:25
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 141 М.
Neema Gospel Choir - Sitalia (Live Music Video)
7:28
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 42 М.
Nacha - Press conference (Official Music Video)
2:51
Nacha Ousam
Рет қаралды 190 М.
KARURA VOICES - THERE IS A FIRE OFFICIAL VIDEO
7:13
Karura Voices
Рет қаралды 4,6 М.
PISI ZA WATU  - USWEGE MURDERER
5:00
Uswege Murderer
Рет қаралды 124 М.