safia Abeid hapi nakufatilia sana jinsi unavyo wasaidia wanyonge.huo ndio uislam kutenda haki.allah atakulipa duniani na ahera.amin
@fatmahassan91534 жыл бұрын
Asante muheshimiwa ali hape kweli hii ni iringa mpya🔥🔥🔥💪💪💪
@mathayowilson15254 жыл бұрын
ASANTE SANA MKUU WA MKOA TUKIENDA HIVI HADI INAKUWA RAHA KUITWA RAIA WA TAIFA LINALOJALI WATU WAKE, VIONGOZI WQSIOJALI HUKATISHA SANA TAMAAA NA MTU ANAKOSA KABISA RAHA YA UTAIFA WAKE... UNAWEZA KUFAA KWA MADARAKA MAKUBWA ZAIDI YA UKUU WA MKOA... NIMEFURAHI KUTOKA DAR