MCHINA ATETEMEKA MBELE YA DC WA ARUSHA BAADA YA KUDHULUMU MIL 26 ZA ASKOFU, "NITAKUVURUGA HAPA HAPA"

  Рет қаралды 55,385

kiswahili Tv

kiswahili Tv

Ай бұрын

#Dc #ArushaDc #mkuuwawilaya #mkuuwamkoa #arusha #wikiyahaki #makonda #Rcmakonda #rcarusha #arusha #arushamjini #arachuga #arusha #chugacomedy #chugadance #makonda #paulmakonda #kizaziog #babalababa #kenyonyo #dipperrato #majanaba #markubamajanaba #waduduwarchuga #makonda #kenyonyo #kizaziog #chugacomedy #chugadance #chuga #arusha #makonda #pdiddy #fidovato #target #chidbenz #fidovato #fido #krg #krgthedon #khaligraphjones #khaligraph #kenyan #kenyanyoutuber #kenyanewsmedia #kenyanews #tanzania #tanzanianews #tanzanianews #tanzanianmusic #tanzanianyoutuber #diamondplatnumz #diamond #diamonds #alikiba #dah #alikibadah #kings #kingsmusic #kingsrecords #dharau #mapoz #inbrahtz #diamondplatnumz #harmonize #kondegang #kondeboy #wasafi #youtube #youtubeshorts #cr7 #diamondplatnumz #aka #a.k.a #coasttitch #coastal #costarica #costa #papa #papawemba #morgan #morganheritage #alikiba #diamondplatnumz #mondi #mapoz #harmonize #harmonize_tz #kondegang #konde #kondeboy #anjela #anjellatz #poshqueen #poshqueennaharmonize #poshnaharmonize #mpenzi #cr7 #niposingleharmonize #wemasepetu #wemawhozu #whozu #whozunawema #wemanawhozu #mapenziyawemanawhozu #penzi #penzizitowemanawhozu #kenyonyo #dipper #kenyonyonadipperrato #comedy #comedyvideo #comedymoments #comedyshorts #comedyvideos #comedyfilms #comedyshow #nyokaa #storyyanyokaa #storybynyokaa #movieyanyokaa #tamthilia #tamthiliayanyokaa #bugibenga #benga #arusha #arushamjini #fido #fidovato #msaniifidovato #mkaliwahiphopfidovato #vatoloco #chugaiyo #fidovatoftrayvanny #rayvannynafidovato #movie #movies #moviereview #inswahili #kwakiswahili #kiswahili #kiswahilitv #kipagocomedy #wachaga #moshi #arushamjini #vichekesho #mwakampya #chrismas #missomisondo #djmisondo #missondo #rayvanny #rayvany #rayvannymissomisondo #rayvannykitukizito #kitukizito #arusha #chugadance #chugacomedy #chugaboy #majanaba #majanabamarkuba #markuba #hanang #mafuriko #manyara #mafurikohanang #hanangmafuriko #majanabamarkubamafuriko #madawa #madawayakulevya #vichekesho #yvonnekrg #krgdoughteryvonne #kichanga #mtotomchanga #mtotoatupwakichakani #mtotomchanga #ashikwaakitupamtoto #uswahilini #uswahiliniarusha #arushamjini #kenyonyo #wadudu #chugacomedy #chugadance #waduduwachuga #machaliiyar
#madawa #madawayakulevya #waathirika #wasanii #allydangote #paulinegekul #gekul #dangote #arusha #arushamjini #fidovato #allydangote #fidovatoallydangote #allydangotefidovato #chugaiyo #fidovatoamchanaallydangote #fidovatodangote #fidovatovsallydangote #fidovsdangote #dangotevsfidovato #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #arusha #dangote #allydangote #dangoteauawa #mwiliwadangote #arushamjini #dangotemochwari #watuwaendakumuonadangote #dangoteazikwa #dangoteafariki #sinoniarusha #ungalitediarusha #arushamjini #taharukiyatawala #auawanawananchi #millardayo #millardayoupdates #kusagatv #global #globalnews #auawa #millardayo #millardayoupdates #millardayo #inatisha #watuwafurika #wananchiwenyehasirakali #wananchi #binadamu #amwaga #amwagadamu #achomwavisu #mchomavisu #taharuki #taharukiyatanda #taharukiyafunika #mochwari #jijilazizima #arushawatuwafurikamochwari #damu #trendingshorts#Mochwary #mochwari #mrrocky #arusha2099 #arusha #fidovato #johmakini #dogojanja #fidovatonajohmakini #fidovaton #wimbowamrrockyarusha2099 #derby #vatoloco #fidovatonako2nako #fidovatonembo #fidovatochugaiyo #fidovatoarachuga #fidovatonaweusi #fidovatoweusi #weusi #johmakiniweusi #vatolocoweusi #harmonize #ngarenaro #ngarenaroarusha #arusha #wananchi #wananchiwenyehasirakali #matapeli #jambazi #majambazi #vibaka #simu #wiziwakutumiasimu #derby #magoliyayanga #magoliyayanga #magolinbc #magoliligikuu #golilayanga #mashabikisimbayanga #mashabikiyangasc #shabikiyanga #yangasc #yangafc #yangayaifungasimbagoaltano #waduduwachug #kariakooderby #derby #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoli #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #golden #cr7 #cr7fans #cr7shorts #christiano #messi #messiskills #messifans #messi10 #messifans #messi10 #comedia #comedy #comedyvideo #comedyshorts #comedyfilms #comedymoments #comédia #chugacomedy #chugadance #chugadanceofficil #vichekesho #shabiki #mashabiki
#mashabikisimbayanga #rosaree #wadudu #waduduwachuga #makaomakuuyahiphop #rosareesong #rosareemusic #waduduwachuga #wadudu #kariakoo #derbyyasimbanayanga #simbasc #simba #simbafc #livesimba #yangasc #yangafc #yanga #yangaleo #yanganasimba #yangatv #yangalive #yangavssimba #kariakoo #baleke #derby #boko #aziziki #magoliyayanga #magoliyasimba #golilachama #golilasimba #goliya #cr7 #cr7f

Пікірлер: 152
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Ай бұрын
Mm napenda nimsikilize makonda tu hawa wengine naona vichekesho tu😂😂😂
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 Ай бұрын
Kweli kabisa naona hata chalamila kaanzisha but Hana vibe
@robertmahenge3614
@robertmahenge3614 Ай бұрын
Makonda jembe awa wengine wababaishaji tu.
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Ай бұрын
Ni kweli ,hawana uwezo wamefosiwa tu makonda no jiniasi
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Kabisa ndugu ..
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
siomchina tuu kuna mtanzania mwenzetuu pia anaitwa maganga niizaidi ya mnyamaa anaajiri mtuu saa moja anafukuza saa mbili naanasema haogopi serekali anatesa wafanyakazi vibaya mnoo nimkatili vinaya mnoo mimi nilipita kuosha gari pale nilishuhudia yule jamaa nimyamaa
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Afungiwe biashara yake ,wakat uchunguzi uafanyika huyu mswahili
@AdorophinapKahwa
@AdorophinapKahwa Ай бұрын
Maganga wa maeneo ya Kwa mromboo??
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Ай бұрын
Huyu Maganga tunamjua wote wa Arusha. Huyo ni mnyama, hana utu hata kidogo na inasemekana huwa anatabia ya kuimiliki serikali kwa pesa zake. Si yule aliye Mbauda kule? Bora huyu mchina iwapo ni huyo Maganga.
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
ndio huyoo yani yule sio mtuu kabisa utasema anaishi dunia yakee yani akikupa ajira asubuhi huewezi fika saa tano kama serekali imuangalie kwajicho latatu na uraiya wake hakuna mtanzania nwenye roho alioko nayo yule mtuu
@AdorophinapKahwa
@AdorophinapKahwa Ай бұрын
@@amanimlengwa9202 maganga tangu tukiwa wadogo ni katili tu. Nashangaa mpaka Leo amedumuje inamaana hata viongozi anakula nao
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x Ай бұрын
ingekuwa kwao haojamaa siyo, tz tujifunzeni, raia wa china wengi nimataperi sana,
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 Ай бұрын
Arusha inawaka moto kama china vile. Ukionea umekwisha. Safi sanaa.
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Ай бұрын
Mkuu wa wilaya umebuma kwa kukosa ufahamu wa kuendesha mashauri.
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 Ай бұрын
Hawezi kazi huyu anamuiga makonda ila unaona kabisa ni arrogant hana mapenzi na wananchi ila tumuache atasiadia kdgo
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Mchina alipe gar ya watu,lakin hao maafisa wetu mhhhh......duh!!! Sjui
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz Ай бұрын
Tatzo anaongea hatoi nafasi yakujieleza kama makonda anavyo fanyaga hana vebe huni makonda Bg up
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Sio kama makonda,hatoi nafasi KUMSIKILIZA mtu kama kiongozi yyte anavyotakiwa.
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz Ай бұрын
@@fredyjeremia7074 asa kiongozi unaongea pekeako huwapi nafasi ya kujieleza ujue changamoto zao we unatoa hukumu bila kusikiliza pandezote mbili asa ndo Nini maon kwa upande wangu lakin
@user-up9gz8ij1s
@user-up9gz8ij1s Ай бұрын
Uko vizuri mkuu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Hao wachina kama kosa hilo umelifanya weye huko kwao unapotezwa ninkunyongwa tu. Naye akamatwe akanyongwe. Halafu mpelekeni Uhamiaji je ana status ya kuishi na kufanya kazi TZ kisheria? Afilisiwe na arudoshwe kwao kwani hapa TZ hakuna waTZ hawawezi kufanya?mnatoa vibali vya wageni kufungua garages. TZ njaa mwisho
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
HUWAMUZI GANI MKUU WA WILAYA FUNGULIA KESI YA WIZI HUYO AU AWALIPE WOTE AKIMALIZA DENI LUDISHA KWAO
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Ай бұрын
Bongo kweli tumeoza yani officer uhamiaji anajua na anakiri kua jamaa hana vibali vya kuishi lkn wanamruhusu kuishi na anafanya biashara bila tabu daaah!!!
@ludovickbenjamin6104
@ludovickbenjamin6104 Ай бұрын
Inasikitisha sanaa asee, Tena anajibu kwa ujasiri kabisaa hana kibali. Na wanamuangaliaa kabisaa @ssalimsalim3864
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Ni aibu hovyo,,halaf yanaongea bila aibu ety Hana vibali.🤣🤣 Ndo wanajua Leo??
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KASEMA PASPORT IKO POLISI KWA UWIZI WAKE ALIKUWA AMUULIZE SABABU YA KUWA IKO POLISI NA TOKEA LINI.
@hanskitundu874
@hanskitundu874 Ай бұрын
Afisa uhamiaji unajua kabisa jombaa Hana vibali vya kuishi na kufanya KAZI nchini na anasumbua ria na gerezani haujampeleka au kumrudisha kwao
@justerissaya9165
@justerissaya9165 Ай бұрын
Hawez mrudisha wakat anapewa rusha
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 Ай бұрын
Huyo mchina serikali yake ikijua anafanya utapeli huyo mchina kazi anayo, atanyongwa.
@BedaKunguluche
@BedaKunguluche Ай бұрын
Hii kweli ni Comedy
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 Күн бұрын
Wa china wanajifanya wajeuri sana huku Africa hata kuuwa wanatuuwa yaani ndani ya Congo wanauwa mpaka Raia wa Congo ni kama tumerudi kwenye ukoloni wa mchaina wa Africa mufunguwe macho
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 Ай бұрын
Weka ndani mpuudhi
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 Ай бұрын
Shida ya Wachina ni kamari
@billaljuma6297
@billaljuma6297 Ай бұрын
Tapeli huyo mchina
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Bila Makonda kuanzisha clinic ya kusililiza watu,haya mambo yasingekuwepo.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Kuna shida gani mtu akianzisha jambo zuri watu wakaliendeleza
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 Ай бұрын
Na mkuu wa mkoa wa mwanza nae ameanza kufanya hivi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Dhuluma ni nyingi sana nchi hii. Hongera Mh. Makonda kwa kulianzisha
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Ай бұрын
Kabisa ndugu unamjua yule sio binadamu wakawaida nizaidi ya shetani kunasiku nilienda kuosha gari aliwapiga wafanya kazi kama mbwaa hasamini utui wamtuu yulee
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Very true
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Tumeshakuelewa mkuu wa wilaya,,watafte kwa mda maalum wasikilize wote kama kiongozi.
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Ай бұрын
Kama sio Mkuu wetu wa mkoa makonda mngeongea hivi .
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Huyu jamaa shat ya drafti ni mtumishi wa uma kasema,,ni kitengo gani mbona ana maelezo mengi mno!! Nenda kwa point tukwelewe.kwani we mgen na magerej!? Hyo karatas ni ya nini au ...
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Ай бұрын
Wachina wezi tu
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 Ай бұрын
Yani afisa uhamiaji anasema Hana vibali vya kuishi kweli ,? Hatari sana
@drtobias_
@drtobias_ Ай бұрын
Makonda ana radha yake kwenye jambo km hilo
@mohddelo
@mohddelo Ай бұрын
Safi
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
DHULUMA SIO NZURI SANA. INA GHARAMA YAKE
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Makonda tu ndo ataweza ishu ya mchina,
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 21 күн бұрын
Mchina DADEKI 😂 Jamaa eti siyo Mtu wa Kawaida...😅😅😅 Mchina TAPELI fukuza Huyo Bwege..Tia ndani hata Serikali ya China haitaki wizi.. Afisa uhamiaji mbona umeniangusha Mama yangu unajua mtu kuwa hana Vibali unaongea hadharani hata Haibu huna..? Sasa unafanya Kazi gani..? Siku zote mko wapi..?
@Gamba177
@Gamba177 Ай бұрын
Gari yako au gari la serikali acha kudanganya walipaji kodi hapo
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 Ай бұрын
Unatake vitu personal sana kaka..... Gari anekabidhiwa yeye kwahiyo yeye ndo mwenye gari
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MBONA UELEWA MDOGO??? KASEMA PIA LIPO GARI LA SERIKALI LIMEKAA HAPO SIKU NYINGI SIO ALILOLIPELEKA.
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 Ай бұрын
Mnyakuu tu huyu kelele
@user-wj9cy9bg8u
@user-wj9cy9bg8u Ай бұрын
mkomage mkiona wachina shobo wabongo wenzenu mnatunyima kazi mkiona mchina shobo ila pole
@godlizennassari5525
@godlizennassari5525 13 күн бұрын
Uyo mchina Yuko kibaha kwa sasa
@lovenessfracis
@lovenessfracis Ай бұрын
Hakuna kitu hapa angekua makonda angemnyoosha tapeli huyu
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Kk mwenye shati la draft ana mlologo wa story sana
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 Ай бұрын
Huyo atakimbia usimwache anatakiwa kukaa ndani tu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
ATAKIMBIYAJE NA PASSPORT IKO POLISI???
@sumaidgasto4721
@sumaidgasto4721 Ай бұрын
Mchina asikilizwe
@supersoulsupersoul4667
@supersoulsupersoul4667 18 күн бұрын
Ana kitu,
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
INAMAANA MCHINA KAWAFANYA MSHINDWE KUWA NA MIC HATA MBILI?
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Ай бұрын
Sukuma ndani huyu . . China's as
@MathiasFrancis-hl4ph
@MathiasFrancis-hl4ph Ай бұрын
Sijaelewa pccb imeingiaje hapo lkn kweli 11m unatoa tu bila progress
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 Ай бұрын
Duh!!mwajjna Wangu Felician DC tiya jera kwanza iyo mbuzi ya kichina ujue mtandao wake akae jera kwanza akuna dhamana kabisa yani uniongee mbele zangu eti peleka police nitatoka ihiiiiiiiiiiiiiiiii baba ihiiiiii baba pumbavu
@NasraN-hr5uh
@NasraN-hr5uh Ай бұрын
Haka kachina kanaubavu gani wa kusumbua watanzania
@SaidHassen-gf5tx
@SaidHassen-gf5tx Ай бұрын
Watu weupe wametudharau sana .mtuhumiwa mpka anaenda kufuatwa na gar ya DC Tena kwa kubembelezwa.huyo ni mwizi Kama wez wengine ..anatumia gereji Kama kivuli tu...huyo ni wakuondoshwa nchini na alipe ela za watu...haya mambo mtu meeusi hawez kufanya china ata sekunde moja..serikeli tuone makucha watu Kama hao .wawe na heshima na serikeli
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KIUFUPI NI MWIZI TU
@AwadAbedalla
@AwadAbedalla Ай бұрын
🇪🇸🤔👍👍👍❤❤
@asmartonline5030
@asmartonline5030 Ай бұрын
Huyo kwa aibu hii China wananyongaga tuu.........
@DanielFisoo
@DanielFisoo Ай бұрын
Huyo mchina amemrushia babu yangu milion 18 mpaka sahiv bado anakaa na gari yetu
@mariaikombe7839
@mariaikombe7839 Ай бұрын
Eti asurubiwe 😂😂😂😂😂
@user-jl5zh6qi2w
@user-jl5zh6qi2w Ай бұрын
Hii kweriiiiii comedy show
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza Ай бұрын
Wachina wengi ni wezi lakini serikali ipo kimya huku wakielewa
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 Ай бұрын
Sasa kama ana vibari wewe Afisa uhamiaji mliluwa wap?mnatia aibu nanyie mkae ndani😂
@GoodluckKimbe
@GoodluckKimbe Ай бұрын
Tatizo laviongozi wetu sijajua wanatatizogan tukifa fanyakosa ss wabongo tunavofanyiwa kama wakimbizi lakin watuwamataifa yambali wakifanya makosa wana belezwasana daaaaaaa
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf Ай бұрын
Msimuonee mchina mnashindwa kushugulika nawezi wamamilioni mmeanza kumsumbua mchina
@timothbenard8213
@timothbenard8213 Ай бұрын
Looo hana hata vibali jamani selikali hii na maafisa uhamiaji wanajuwa nani mwenye kosa hapo
@godlizennassari5525
@godlizennassari5525 13 күн бұрын
Wachina ni wakumaliza tu
@wensislauschimba2792
@wensislauschimba2792 Ай бұрын
Ila Kwa huyo amesingizia mchina
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Ай бұрын
Duuuh ila hii nchii yetu viongozi ni wana demka tu
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Ай бұрын
Unyanyasaji Wa tz tu nafanya
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Ай бұрын
Eti polisi anasema anamjua huyo tapeli na Yuko mtaani wakati muuza kuku Yuko jela
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Ай бұрын
Huyu akakae sero miaka kumi na mko walau
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Hadi chaji imeisha bado sijafaham mada ni nn
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 Ай бұрын
Mchina anaonewa kiboya. Halafu huyu DC anajaribu kutembelea copy za Konda halafu hazijulii kabisa yaani. DC fala tu. Maelezo ya mchina yako kidogo poa ukilingalinisha na order za DC.
@SonitajoseDonita-tm5ex
@SonitajoseDonita-tm5ex Ай бұрын
Mkuru wa wilaya unazingua,Na Wewe anakulipa Nini ??? Eti akatengeneze !!! Huyu machina anatakiwa aende jela Na afungwe ,Yuko Bila vibali alafu anaachiwaje awe huru mkuru wa wilaya acha ubabaishaji ,nahisi Na Wewe unahusika ,kisheria kabisa huyu anatakiwa awekwe kizuizini Kwa kuishi Bila vibali afungwe jela Kwa utapeli,mbona mnawafumbiya macho Hawa ni Nini mnawaogopa mbwa Hawa kule kwako wanatutesa tukiwa Na kosa dogo tu.waafrika munanikeraaaaaa.
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Dc😮😮
@saidmwangasama
@saidmwangasama Ай бұрын
Wachina wote hapa tz heshima wamekosa sana na hawa wa maguluduli ni wahun tu hawatow furusa kwa watazania ili wanufake tz
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 Ай бұрын
Ndio maana anawatapeli amewaona.haeafu huwezi kutumia lugha ya kusema anaishi kwa makaratasi
@evidencekangimba1538
@evidencekangimba1538 Ай бұрын
huyu so mchina mbona anaongea kiswahili kama wabongo
@phaustinemmao424
@phaustinemmao424 Ай бұрын
Gari inatengenezwa mil26 duuuh ila ni maisha tu
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd Ай бұрын
Watu wa kusikilizwa ni wengi sasa muda woote unamsikiliza mtu mmoja tuuu.
@lilianurio9781
@lilianurio9781 Ай бұрын
Ila hii nchi inajua kuigiza sana, mpaka mtu anakaa miaka yote bila vibali ni kwa sababu gani??
@SylvesterAmbokile-ur2vd
@SylvesterAmbokile-ur2vd Ай бұрын
Mil 11 kutengeneza subaru?
@justerissaya9165
@justerissaya9165 Ай бұрын
Mtu anakwambia serkali inamtambua bado unategmea nn apo
@user-me5on9ir7b
@user-me5on9ir7b Ай бұрын
Huyu afisa wa uwamihaji ni pumbavu kabisa yaani hanajuwa mtu hanaishi bila vibali kisha hanamwachilia fukuza huyo mwanamke shenzi kabisa
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Ай бұрын
Duh hicho kiswahili ulichoandika ndio changamoto sasa!!!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Kiswahili 😂😂😂😂😂😂😂
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Kala russhwa bila shaka.
@upgo6112
@upgo6112 Ай бұрын
Huyu kiongizi ni anaegemea upande Moja ... Angeenda kujihakukishia
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Huyu hafai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Ай бұрын
Mchina anakichwa kama kobe😅
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
SEMA CHAKOBE KIDOGO 😂😂😂😂😂😂
@nehemiamwailongano2960
@nehemiamwailongano2960 Ай бұрын
Mikoa mingine mnangoja nn kuanza. Mtu hana kibali anaishi tyu kwao hawana ujinga huo watanzania kuelimike
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf Ай бұрын
Mtangazaji ki Swahili jitaid
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Tatzo huwa mnababaika naa ngozi nyeupe angekuwa mweusi sku nyingi mngemkamata
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 Ай бұрын
Viongozi you are not serious, mtu anaishi ndani ya nchi kinyume Cha Sheria, na bado mnamchekea, ingekuwa ni huko kwao, huwezi kufanya ujinga kama huo
@kingkinye1419
@kingkinye1419 Ай бұрын
Anamuiga makonda
@YahayaKishakwi
@YahayaKishakwi Ай бұрын
Iv kero zimeanza leo au uchaguzi umekaribia
@cleverjesus
@cleverjesus Ай бұрын
Pilato hi!
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Sheriazauwekezaji waraia wakigenizikoje?.kama wanapewahohovyotu nakuanza kuwafanyaraia wenye nchi kamawatimwa wao ilihali niwatiwalioshindwamaishakwenye nchizao Tanzania watanzania tunakuwajehanamu kwa ajili yawaekezaji via wasionautu kamahao?
@oam14l
@oam14l Ай бұрын
Mbona kama maigizo?
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Ай бұрын
Na akikimbia je
@nehemiamwailongano2960
@nehemiamwailongano2960 Ай бұрын
Nyongaa ujinga huo kwao wakiwakuta hawatawaacha
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
Be fair give the chinese man time to explain. As a leader you have to listen both side of the story
@nellysukuret9560
@nellysukuret9560 14 күн бұрын
Wachina hamnakitu
@AbdulrahimSwedi-ll9ly
@AbdulrahimSwedi-ll9ly Ай бұрын
mpango was kulipa ndo tunataka
@kingkinye1419
@kingkinye1419 Ай бұрын
Mh
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Ай бұрын
Mahakama zk.ehqmiq mitaani lakini mahakimu hawa wengine hawana uweledi na hii itasababisha sintofahamu Lazima kwanza tujitathmin je kila kiongozi anauweledi wa kusimamia haki kishetia? Tusikutupuke tu. Makonda mfano mzurisa je wengine wanauweledi kama yeye? Elimu na uweledi ni vitu viwili tafauti. Hatuwezi kuharibu badala ya kutengeneza? Think twice
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Razima nyuma kunamtu hayupo pekeyake
@melejijohnson3257
@melejijohnson3257 Ай бұрын
Viongozi wamekua waigizaji
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Ай бұрын
Ale virungu kidogo kama mhalifu mwingine
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 Ай бұрын
Uchaguzi Umekariba tutaona mengi Huyu Alikua wapi mkuu?
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Ай бұрын
Kazi iyo muachie makonda mana ww haujui kabisa uenda ata wanamsingizia ila makonda anatuliza akili mana uenda kila kitu na izo pesa Wanachukua wengine
@mwatelaedward1638
@mwatelaedward1638 Ай бұрын
Wanamwonea mchina wabongo ni wajanja sana haiwezekani eti mchina ni mgeni anajua kiswahili chote inamaana ameishi miaka mingi Tanzania nawanajua ana pesa sasa wanatafuta njia za kumdhulumu. Kama kweli amekua akidhulumu watu kwa inchi ya kigeni mbona hajachukuliwa hatau siku ya kwanza.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
MCHINA HUYO MWIZI TU USIMTETEE.
@piusnagawantu8475
@piusnagawantu8475 Ай бұрын
Haya mambo yanafanyika Tanzania tu kwa sababu watanzania tunaonekana wajinga. Serikali yenyewe ndio hivyo ya kubahatisha tu kwa sababu sheria zetu zinachezewa na wageni. Nchi imekuwa jalala tu. Hana vibali lakini yuko na garage. Haibu kwa nchi nzima.
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Ай бұрын
Kama kesi yangu
@nassorally9008
@nassorally9008 Ай бұрын
Mpeni nafasi ya kuongea mnamuandama sana
@urbanmission3072
@urbanmission3072 Ай бұрын
Ni KWERI hawampi nafas ya kuongea huyu mkuu wa WILAYA kabila GANI?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
KAMPA MDA ATAELEZEA VIZURI HUKO ALIPOPELEKWA MWIZI HUYO.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Ай бұрын
Watanzania ni wajinga kupita kiasi hamuwezi kutapeliwa na mtu kila siku halafu mnamwacha tuu
@nassorally9008
@nassorally9008 Ай бұрын
Mkuu wa wililaya kamandi fata sheria
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН