PART13:BINADAMU MWENYE ASILI YA JINI ALIEISHI GAMBOSHI YA UCHAWI/NAKULA WATU/NAISHI NA JINI/NILIKUF

  Рет қаралды 18,318

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 214
@theunseen.believe5672
@theunseen.believe5672 3 жыл бұрын
😀😀😀Davista unatuhangaisha sana yani kila wakati tuko online ili tuendeleze stori😅😅msimulizi ni hodari
@neemaomar76
@neemaomar76 3 жыл бұрын
Halafu leo mm nilijiuliza au yuko mapumzuko mana anatutesa kweli kweli 🤣
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
Yan huyu anatufanya tusilale kisa story inavyo noga😅😅😅
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 3 жыл бұрын
Kwakweli ata mm
@luciamutongore799
@luciamutongore799 3 жыл бұрын
😆😆😆😆 kweli kabisa
@luciamutongore799
@luciamutongore799 3 жыл бұрын
@@marthamaligo458 hahahahaha
@davidtseeblessedsound5438
@davidtseeblessedsound5438 3 жыл бұрын
This is the most interesting story I have ever heard!!!Following from Nairobi Kenya.
@emmanelly6864
@emmanelly6864 3 жыл бұрын
Tell you its one of a kind!
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Kama Kiswahili hakieleweki najitolea kuwafunza Wakenya.Bureeeee kabsa. If you encounter any difficult word I'm here for you.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 tufunze💃
@mr.jasonfxsignals4873
@mr.jasonfxsignals4873 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 naona ukija inbox 📥 tuongelelee uko 😂😂😂
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 Uliza neno lolote gumu lililokutatiza. Najua wahanga wakubwa ni Warundi, Wanyarwanda,Wakenya na Waganda ndo hoi kabisaa 😜😅😆🤸🤸🤸🤸
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Zablon kakangu umepitia kweli njoo kanisani ufufuo na uzima Yesu kristo akiwa ndio mwanzilishi wa imani yetu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hii ni huduma ya nani km sio mwanadam? Wote hamna uzma ndani yenu
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 3 жыл бұрын
Kijana unasimulia in details, gud
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Bado nafwatilia story hii,Pole sana umepitia mazito sana waa😢🇰🇪🇰🇪
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 3 жыл бұрын
Waganga wachawi Mungu anawaona popote mlipo 😥😥😥😥😥😥tunamuona Mungu mbaya kumbe wachawi ndio wabaya wetu
@haikaelazakiel9731
@haikaelazakiel9731 3 жыл бұрын
Jamaa mpambanaji Sana alafu jasirii vibaya mno Mr Zab itabid tufanye jambo
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 3 жыл бұрын
Davista wee kaka umeteka mtandao unatukutanisha wote hapa na hi stori ya zabron shukran from 254
@joycedzuya2330
@joycedzuya2330 3 жыл бұрын
Cmu zko mikononi❤️💕🙈
@inzozizanje3738
@inzozizanje3738 3 жыл бұрын
Like from kuwait
@kanyangezafaraniddi6518
@kanyangezafaraniddi6518 3 жыл бұрын
ALLAH akbar mambo ni meng kweny iy dunia
@monicamonica4597
@monicamonica4597 3 жыл бұрын
Duuu sikusikiliza muda davistar simulizi zako toka umalize simulizi ya mti mkavu 😁
@duliz2002
@duliz2002 3 жыл бұрын
Davista umenifanya am glued to youtube yaani details to details kaka anatueleza duh inasisimua jamaa hodari aisee
@azuwaniriziwani2695
@azuwaniriziwani2695 3 жыл бұрын
Achia episode 3 3 mwana
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Doh pole sana ndio maana kila ukienda unafukuzwa hakuna akutakae pole sana kaka
@mariethajacob8537
@mariethajacob8537 3 жыл бұрын
Bibi kakuroga na akafa😂😂hii ndo maana halisi ya msemo wa neno UMEROGWA NA ALIEKUROGA ASHA KUFA☹️☹️polee
@b.a.m6243
@b.a.m6243 3 жыл бұрын
Nimechekeleaje😁😁😂 love u Mr Fact.
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Nasikia uchungu uyu kaka kapiti magumu san hadi leo hii unashea na jamii aiseee pole san
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
We acha tu
@asfarsham9037
@asfarsham9037 3 жыл бұрын
Yaani hii stori kama kashata,kila kipande kitamu
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Wachawi kumbe ndio walimfanya aweana fukuzwa kila sehemu😔😔
@irakozejclaude7087
@irakozejclaude7087 3 жыл бұрын
Duh mpaka mwili wangu unasisimuka
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Pole sana
@salamaali6318
@salamaali6318 3 жыл бұрын
Pole Sana kaka kwa mikosi iliyokukuta ama kweli want wabayaaaa!!!
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Mungu wangu!!!kumbe ilikuwa hivyo masikni!!! Mambo mazito,wachawi,,,,,?!!! tatizo:
@angelbiringane5717
@angelbiringane5717 3 жыл бұрын
Damn interesting ♥️✊🏽
@jeaninemugisha6395
@jeaninemugisha6395 3 жыл бұрын
Davistar nagupenda sana kazi nzuri
@jamilaokello2340
@jamilaokello2340 3 жыл бұрын
Story nzuri sana pole kwa mikosi
@mashamramba3461
@mashamramba3461 3 жыл бұрын
Pole sana zabloni broo . Haki umepitia hali ngumuu
@colonelghadafi.4806
@colonelghadafi.4806 3 жыл бұрын
Npo mombasa Kenya 🇰🇪 nafuatilia simulizi hii,pole sana brother kwa matatzo uliyo pitia.
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Amin
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
davistar unatufanyia kusudi unatulingishia sana hii story
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Umeona eeh Alf stor ndefu ilibid aunganishe matukio
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 жыл бұрын
Kweli kabisa anatutesa hatar
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 жыл бұрын
Yani
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Hiii story inaleta Raha msimulizi yuko vizurii
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Dooh hatar jamani pole sana kaka nimtihan mzito Ila nimecheka balaa eti mganga kala kofi hadi mdomo umekwenda juu
@mr.jasonfxsignals4873
@mr.jasonfxsignals4873 3 жыл бұрын
Davista watueka kweli ...watu twategea ii story sanaaaaaaaa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Kivuli chakuadhibuu kweli eti umesema nahaujasema jamani hadi ndoa kuvunjika waa makubwaaa mitihani hiyo
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 3 жыл бұрын
Pole sana kaka
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 3 жыл бұрын
Leo kidg nimejitaidi iihii bonge la story
@nancychissamo379
@nancychissamo379 3 жыл бұрын
Dah!!!
@dotosalim5090
@dotosalim5090 3 жыл бұрын
Pole kaka mungu yupo
@veeinn7965
@veeinn7965 3 жыл бұрын
Duniani kuna mambokweri poleni sana Love
@ninabizimana6869
@ninabizimana6869 Жыл бұрын
Kaka pole Sana mpenzi ulipitia mambo mengi
@adrian4771
@adrian4771 3 жыл бұрын
Respect davistar mata
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 жыл бұрын
Tamu Sana iyoo story.
@oscarlemamaringo8081
@oscarlemamaringo8081 3 жыл бұрын
Du nimefwatilia mpaka kitu kimewekwa pamoja davista ila kitabu nitanunua
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Hii stori balaa
@jongoathumani3690
@jongoathumani3690 3 жыл бұрын
Oy oy oy 5 star ☝️😄
@kelvindaudi6765
@kelvindaudi6765 3 жыл бұрын
Sawa kaka
@bragajohn8944
@bragajohn8944 3 жыл бұрын
Bro hi story Noma sana nlkua nasubiria Tu part anayo elezea gambush
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Subiri part inayofuata ndio gamboshi inaanzia hapo
@ndonyekavinga2876
@ndonyekavinga2876 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM kaka una uhondo kweli kwelikweli
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Yani isikixe kwamtu tuu jamani kivuli chatesaa kwelii
@rukiammangammanga1166
@rukiammangammanga1166 3 жыл бұрын
🤣 🤣 😂 Iyo dp shaghalaa kwiooo weni ntiii roeeee
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@rukiammangammanga1166 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ANAMAFHI ROEE 😊
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 жыл бұрын
Daaa pole sana jaman😭😭😭😭 Ndo mana umeteseka san
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Ndio kufika sasa twende nalo mpka tukielewe
@fadhiliswalehe9286
@fadhiliswalehe9286 3 жыл бұрын
Story kali kuliko zote toka dav mata uwapate wa kuwahoji ni zabron mwamba
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
TV asilia nimeipenda mno ase
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Mapema mapema kabla ya uxngiz🙄🙄🇪🇭🇪🇭💃💃
@angelokihaka8363
@angelokihaka8363 3 жыл бұрын
Nilikuwa naisubir 😋😋😋😋
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hzo yeboyebo zenye kabendera ka brazil wanozjua waje hapa najua ni wachache tu
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Wachawi sio watu wazuri kabisa raha yao wakuone unateseka
@susankomu8978
@susankomu8978 3 жыл бұрын
Hii storii n ndefu I sayy...
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 3 жыл бұрын
Hii story inabamba Sana mwendelezo haraka haraka iishe,tuna hamu sana
@laurianitemba3335
@laurianitemba3335 3 жыл бұрын
Hii story noma sana mata
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Hicho kichungu kilio vunjika kinaitwa kifuu pia chanazi pia huitwaaihivyoo😨😨😨😨😨😨kwahilo kweli hiyo azabu ulipewa kwakuwa ulipeleka nywele zamtu mwingine 😨😨 loo mitihani kweli kumbe ndounasikia mtu kaingizwaa kwachupaa kumbe huwa nikivuli jamani wachawi hatari
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 жыл бұрын
Mimi nafikiriya chetezo😁
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Yaani bongo tuna uchawi kama Nigerian bongo nyoshoooo duh
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Nikama tutafunga mwaka na hii story 🤔
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 3 жыл бұрын
Dhu! Mamaeee yani niko peke yangu arafu jitu lingine linatokea si zani kama nitabakisha hata kinyoleo cha ugoko kwa hizo speed nitakazo tokanazo hapo 🤣🤣🤣🤣
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Hoiiiiii du noma
@soudytv7471
@soudytv7471 3 жыл бұрын
Toa movie 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@allykibabe8182
@allykibabe8182 3 жыл бұрын
Duuuuh htr xna hii...!!
@mariamripiti2137
@mariamripiti2137 3 жыл бұрын
Oooh
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
Davista twakesha twashinda you tube juu yako This is interesting
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Kabsa😍😍
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
Hii stori matata sna yani hapa ndo mwanzo bado hajachkuliwa msukule ndo balaaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@mursallusinde9189 sanaa
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 story imenoga
@violinenyakara5028
@violinenyakara5028 3 жыл бұрын
@@mursallusinde9189 kabisaa ndio sasa story imeanza
@chingaboy6917
@chingaboy6917 3 жыл бұрын
yani kila mda nakuja kuchungulia
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😢😢😢😢😢😢 Jamani ndio wanavotufanya tusifanikiwe wanatuchukuwa vivuli vyetu
@hunkybully2547
@hunkybully2547 3 жыл бұрын
from nairobi kenya..
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Pamoja 🇪🇭🇪🇭🇪🇭🙄
@nyendochamwela3031
@nyendochamwela3031 3 жыл бұрын
Karibuni 🇹🇿
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Kama Kiswahili hakieleweki najitolea kuwafunza Wakenya,bureeeee kabsa. If you encounter any difficult word I'm here for you.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@abbyadams8691 tufundisheeeeeeeee
@matukicmagere3331
@matukicmagere3331 3 жыл бұрын
Kwangu mimi hii ndo bonge la story kati ya story zako zoote ambazo nimezitizama
@michaeleustach9769
@michaeleustach9769 3 жыл бұрын
Yaan kivuli chako kinakupa onyo duuuh hapa nmegundua Kuna utofaut Kati ya mwili na nafsi
@beatricekweka6683
@beatricekweka6683 3 жыл бұрын
Dàah 🙏💪💪💥🔥
@learnselfdefense765
@learnselfdefense765 3 жыл бұрын
Duuh! 🙄 🙄 Oyaaa unatuweka sana ujue yaan tunasubir kama tunasubiri mbingu
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Tupe no ya mwenye kioo
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Whaat? Kwa hiyo umewekwa kwenye chipa omg
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
🙉😆😅😆😅🤸🤸🤸🤸🤸Bonge la banzi
@geraldkilowoko7042
@geraldkilowoko7042 3 жыл бұрын
Huyu si ndio zabron " chief gikalo" nilisikiliza story yake nikiwa form three 2008....
@ochuboysosman8376
@ochuboysosman8376 3 жыл бұрын
Leo mm wamiso jaman
@pazimazongera4934
@pazimazongera4934 3 жыл бұрын
kivuli noma
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
Shangala wenzangu hamjambo
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Zeni allaa mdulilahi
@sherrymamakeboiz2256
@sherrymamakeboiz2256 3 жыл бұрын
Nipo dadangu......uko za wapi mwezangu....Me UAE Abu Dhabi
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@sherrymamakeboiz2256 mimi niko Omani panaitwa kalimtei
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Riyadh hapa ksa
@maryamumapenzi1257
@maryamumapenzi1257 3 жыл бұрын
@@sherrymamakeboiz2256 saudia hail
@nurdintembo7480
@nurdintembo7480 3 жыл бұрын
Wa 22 Leo nimejitaidi
@mbwanaomary4504
@mbwanaomary4504 3 жыл бұрын
Mambo ya gambushi
@mudulorukuyana3722
@mudulorukuyana3722 3 жыл бұрын
Duh
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Tupiaaaa nyingine kabla hatujalala
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Duh. Kateseka mnooo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mildredmukoshi6381
@mildredmukoshi6381 3 жыл бұрын
Nakwambia nimeingojea kwa hamu.. ila inaogopesha 🙈
@michaeleustach9769
@michaeleustach9769 3 жыл бұрын
Watu wabaya duniani
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Jamani kila nikijitaidi bado nakuwa wa mwisho tu
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪🎤🎤🎤
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Duh hatari
@mariammgombayeka1824
@mariammgombayeka1824 3 жыл бұрын
Ck hizi zabron huwapati kama hao wakuchungulia move yako ila wapo wengi matapeli
@alexjos7625
@alexjos7625 3 жыл бұрын
54
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Ndan🙄🙄🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@josephinemumbua159
@josephinemumbua159 3 жыл бұрын
Grand mother kakutendea mambaya 👹👺mwili waumizwa kifuli katenda maofu🙉🙉
@christophersaimon4398
@christophersaimon4398 3 жыл бұрын
22
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Kaka hii ni tamthilia kabisaaa
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Kweli uchawi upo ! Iyo story kimvuli imeniogopesha.
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 3 жыл бұрын
Yani toka walivyouchezea huu mtandao wa internet mpaka sasa ni shida tupu yani video ina scratch kama cd mbovu inakera napata story kwa shida sana.
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 жыл бұрын
tabu kwel internet scratch Kama cd
@angelbiringane5717
@angelbiringane5717 3 жыл бұрын
How come your own grandma anakufanyia unyama kama huuuuuu???? Duh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭watu wana rohooo mbayaaaa sanaaa😭
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 101 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 135 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
The World Of The Jinn & Black Magic || Ustadh Abu Ibraheem Hussnayn
2:23:56
Muhammadi Masjid Bradford
Рет қаралды 58 М.
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 16 МЛН
IQ Level: 10000
0:10
Younes Zarou
Рет қаралды 4,4 МЛН
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН